Dakika 60 za Kutoana jasho//Je,Yesu ni Mungu? Dr.Sulle Mch.Ndacha//vuta ni kuvute

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 жов 2024
  • #live #drsulle #tanzania #trending

КОМЕНТАРІ • 17

  • @boscojohnny8980
    @boscojohnny8980 3 місяці тому

    Kitu napendea mr Ndacha ni kwamba yeye hutumia maandiko vizuri sana...Honestly ukweli usemwe this man of God amesoma nakuelewa Neno la Mungu

  • @eliasaamina9165
    @eliasaamina9165 4 місяці тому +7

    Dr sule achana nahayo makafiri ,hata ukisema Vip ,hawaskii,kwa kusudi Ila ukweli wana jua uko hapi hapi

    • @boscojohnny8980
      @boscojohnny8980 3 місяці тому

      Shida yenu ni kuelewa maambo makubwa...danganywa na waislam wenzio uachane na wasomi wa neno la Mungu

  • @MpangileMzee
    @MpangileMzee 4 місяці тому

    Safi Dr

  • @WisdomWise-id1xj
    @WisdomWise-id1xj 4 місяці тому

    Ndacha ni fire 🔥

  • @ManirankundaSwaleh
    @ManirankundaSwaleh 4 місяці тому +3

    Asalamu alayikumu sule mimi nakuku bali san

  • @MpangileMzee
    @MpangileMzee 4 місяці тому

    Oyo ndaxha mjanja mjanja true mwenyewe ukweli anaujua kua yeah sio mungu

  • @ZiadiZiadi-wb4sn
    @ZiadiZiadi-wb4sn 4 місяці тому

    Dawa ina waingia ila wagumu kusirimu

  • @nomar3708
    @nomar3708 4 місяці тому +2

    Dr Sule, nakushauri uachane na huyo kafiri ndacha hoja zake ni za juzua zua anazidi kuwapotosha wenzake na yeye kupata umaarufu wa kuonekana. Hili litaharibu badala ya kutengeneza. Yusuf Estes, mzungu aliyesoma Biblia zote na Pastor mkubwa nae kaachana na hiyo dini, kaingia uislamu. Huyo ndacha tapeli tu. Usimpe muda

    • @boscojohnny8980
      @boscojohnny8980 3 місяці тому

      Kuwa na adabu kijana mdogo? Utakuaje na akili wakati unakubaliana na wajinga?

  • @lydianyangau8142
    @lydianyangau8142 4 місяці тому +1

    Jesu ni mungu❤❤❤❤

    • @MOHAMMEDMOSHE-sy3qi
      @MOHAMMEDMOSHE-sy3qi 4 місяці тому +4

      ENDELEA KUSEMA ]hivyo[ TU!!! KISHA KESHO ]ukiwa jahannamu~motoni[ MILELE, NDIO UTAJUA!!!

    • @AssdfAssd-g3y
      @AssdfAssd-g3y 4 місяці тому +1

      Kweli hakuna Wala kuona ukweli he awataki kuelewa ila Toka nianze hii midahalo hakuna hara alie ritadi kwa kuona haki na ukweli ktika dini Yao ya ukiristo nawasikitikia sana Bali wao ndio wanapungua Kila siku na kuingia katika dini ya haki ya uislamu njia pekee ya paradise alhamdulillah nipigeni Sasa kama yko muislamu alie ingia ukiristo kisa amepata ukweli akaina njia akaifata niambieni ndugu katika Adam

    • @AzizaAli-f8v
      @AzizaAli-f8v 4 місяці тому

      Yesu ni mtu sio mungu

    • @jafarimalesi3872
      @jafarimalesi3872 4 місяці тому

      Mungu apigwa mafimbo na maskaaskari mbaka kutumdikwa msalabani,Mungu kasulubiwa😂😂😂😂 tuache kufru,,,Aghstafrilla

  • @abdallahhamisi45
    @abdallahhamisi45 4 місяці тому +1

    niseme tu ukweli huu mdahalo ulikosewa kuandaliwa sababu hakuna kushindana kwa hoja bali ipo kuongea hoja. Dokta sule ana sema hoja zake na Ndacha anasema zake. sasa mwisho wa siku hawaja fikia makubaliano ya kuonyesha nani mshindi au nani kazidiwa hoja.
    mfano juma anasema, Kuku ana miguu miwili
    John anasema, hapana kuku ana miguu minne sababu mabaya yake pia ni miguu
    kujua yupi sahihi kati ya hawa ni awepo msuluhishi judge hivi. lakini katika dini msuluhishi ni vitabu vya dini. kila mmoja ana vutia kwake.
    lakini ingekuwa mtu akisema kuku ana miguu minne, una muuliza kabla huja endelea umetoa wapi? akijibu una muuliza tena miguu ni baina ya wapi na wapi. akijibu mpaka mna maliza mjadala. Next debate fanyeni hivo. almost 10 hrs mmetumia lakini mdahalo hauna mvuto. in sha Allah kila la kheri