MAJIBU YA JENNIFER KUHUSU KUOLEWA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 вер 2022
  • ‪@JenniferMgendichannel‬

КОМЕНТАРІ • 402

  • @erickkakule-wj7fq
    @erickkakule-wj7fq Рік тому +5

    Dada Jennifer, unatupendeza sana Niko muyimbazi kwa DRC, tumeimba nyimbo zako mingi mu kanisa letu,

  • @KandidoLuvanga
    @KandidoLuvanga 2 місяці тому +2

    Unanikumbusha mbali mwaka 1996 nikiwa block t mbeyaa na redio ya panasonic nikisikiliza kanda jenifa mgendi hongera nimoja ya waazilishi wa nyimbo za injiri👏👏👏jenii

  • @davidsimbeye1548
    @davidsimbeye1548 Рік тому +4

    Jennifer Mimi nakupongeza Sana kwa kukaa kwenye fani hii kwa muda mrefu bila skendo hata ya kusingiziwa nakuombea kwa Mungu utunze uadilifu wako mpaka mwisho wa maisha yako.

  • @lynnnkinda6973
    @lynnnkinda6973 Рік тому +2

    Mungu ni baba wa yatima na mume wa wajane "Mungu aendelee kukutangulia ktk kila jambo Jennifer. Napenda sana nyimbo zako na sauti yako unique,

  • @edinamwalukisa9000
    @edinamwalukisa9000 2 місяці тому +1

    Mungu azidi kukutumia sweetie, kwa Utukufu wa Jina lake Yesu

  • @RHODAMHILYUNGU
    @RHODAMHILYUNGU 2 місяці тому +2

    Pole sana mpendwa wangu Jennifer Leo ni miaka mingapi toka mume wake amemchukua mungu

  • @mputaostin3077
    @mputaostin3077 3 місяці тому +3

    Dada unaendeleaje?pole kwa kazi ya BWANA. wimbo wako wa haleluya Bwana Mimi nitakuhimidi wewe ulitufanya nikuwekee kiroho. naomba wimbo wako wa tangu siku hiyo alipo nijia uachie you tube.

  • @mamapraise9382
    @mamapraise9382 Рік тому +1

    Mahojiano haya yamenitia moyo sana. Mwenyezi Mungu azidi kukupa neema zaidi dada Jennifer unapoendelea kumtumikia. Baraka.

  • @majidukalokola7253
    @majidukalokola7253 Рік тому +1

    Yes. Hapo Jennifer Mgendi nimekuelewa vizuri sana juu ya Siri ya wewe kudumu ktk Gospel. Kwamba ni NEEMA tu Wala siyo vinginevyo. Nimependa sana hilo jibu lako. Ubarikiwe sana.

  • @raphaeljakwonga5975
    @raphaeljakwonga5975 Рік тому +10

    Bonjour Jennifer Mgendi! Merci pour tes très belles chansons pour soutenir l'Évangile. Kazi njema. From R D Congo.

  • @bertinntawe8115
    @bertinntawe8115 Рік тому +2

    Chombo ca Bwana,nilikupend wakati uliimba "mi nalia ,pole,pole sana"...n a wema ni akiba wimbo mzuri sana...your voice is wow...From Glory to glory, lov u from Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @kuhaniagapemwasomola.6468
    @kuhaniagapemwasomola.6468 Рік тому +4

    Yesu akubariki sana kwa kuelewa maana ya neno NEEMA nimeipenda sana hiyo,ni kweli NEEMA YA MUNGU YATOSHA,ubarikiwe sana Yesu akukumbuke sana,akutie nguvu umalize mwendo salama.

  • @norahrigha8436
    @norahrigha8436 Рік тому +6

    wewe ni mrembo sana,umebarikiwa mtumishi.. much love from kenya, 😘😘😘😘😘

  • @agneskyando3241
    @agneskyando3241 Рік тому +1

    Duh hongera Da Jenifa hiyo album ya Kwanza ilinikamata sana nikiwa secondary school nilikuwa naomba sana Hadi nikapewa jina Jenifa Mgendi na wanafunzi wenzangu.Hadi Leo hujachuja,Mungu akulinde my sister, We love you so much,mwimbaji usiye na skendo keep it up!

  • @fortune3502
    @fortune3502 Рік тому +3

    Sauti yako tu dada ni burudan tosha. Mungu akubarik sana

  • @stenara1
    @stenara1 Рік тому +16

    Mama yangu,wewe ni legend ulieweza maintain pamoja na mabadiliko ya utandawazi uliopo.. Yesu akutunze sana ❤️.. Mimi nabarikiwa sana na kazi zako

  • @neemakilindu6347
    @neemakilindu6347 Рік тому +2

    Wewe ni mbarikiwa mnoooo, na umetii ubarikio uliopewa na Bwana, pole kwa kuondokewa na mume wako mpenzi, lakini usiwaze sana kiroho uko naye na mtaendelea kuisimamia familia yenu, Mungu awe nawe daima.🙏👏👏❤❤😘😘

  • @Farajahelene23031
    @Farajahelene23031 9 місяців тому +1

    shes very respectful calmdown women and shes so cute mgendi

  • @cosmahassan7262
    @cosmahassan7262 Місяць тому

    Ongera mama kwa kazi nzuri

  • @witnesskilasi5267
    @witnesskilasi5267 Рік тому +1

    Nampenda Sanaa Jennifer najikuta napenda kujifunza mengi kupitia yeye

  • @angelsabrina1266
    @angelsabrina1266 Місяць тому

    Ur my role model....be blessed mtumishi wa Mungu....much love from Kenya..💕💕🥰🥰

  • @user-yi6ff5wc3y
    @user-yi6ff5wc3y 2 місяці тому +3

    Ninakusapoti saaana mama mzuli saaana
    From Burundi

  • @AgnesKyando-cd6ug
    @AgnesKyando-cd6ug 2 місяці тому +1

    Pole sana dia,nafurahi kusikia utarudi Nakupenda sana mama.

  • @PatrickNguya
    @PatrickNguya 16 днів тому

    mama yetu jenifa mgendi nakupenda bure nyimboo zako huwwa mpk zinanitoa machozi

  • @user-tt7cu2et1x
    @user-tt7cu2et1x 2 місяці тому

    Blessd my lovely sister ❤umepotelea wapi...wakat wmbo unaimba naliaa😢...sikujua kama siku moja nitakuja kuokoka...nikikumbuka nyimbo nachekaaa saana...na ule uliimba pamoja na bahati bukuku❤....nakupenda saana..umekimyaaa sanna.dada rud tena kwa YESU KRISTO...uzid kuimba na kuninuliwaa juuu

  • @lawrencekabuje7080
    @lawrencekabuje7080 2 місяці тому +1

    Dada Jenifer ubarikiwe sana
    Pia pole kwa msiba uliokukuta
    Mungu azidi kuku stawisha tunakuombea tunakupenda
    Zab 92:12-14

  • @florenciaearnest5241
    @florenciaearnest5241 Рік тому +5

    Mi nampenda babaangu sana niliambia mama asiolewe. Apana. Ata ikatokea nikaja mpoteza Mume wangu nikiwa na watoto and God forbid siwezi olewa. Natumikia tu Mungu

  • @pendopascal1899
    @pendopascal1899 Рік тому +6

    Dada jenifa mimi nataka nikuite mama tu nakupenda sana nakupenda sana mungu wambinguni akubaliki

  • @euniestherwilliam1513
    @euniestherwilliam1513 Рік тому +2

    Happy to see Jenifer Mgendi. I remember at the time you teach me at Zanaki, I think at that time u was a university student

  • @johnbernad829
    @johnbernad829 Рік тому +1

    Mama nimeipenda hiyo kwamba unajikuta unatumika kwa Mungu na huna Mungu ni kweli kabisa inatakiwa kwa sisi watumishi wa Mungu ni muhimu sana kuwa na uwepo wa Mungu 🙏

  • @rachelmbarakukukighoma8806
    @rachelmbarakukukighoma8806 Рік тому +1

    Uyu si wifi katika filamu ya mama mukwe ? Na jirani katika teke la mama, yaani ninapenda munavyo ingiza , mukiwa wa tatu uyu dada bibi esta Na bahati bukuku , filamu zenu si choki kuziangaliya, yaaani , Mungu Awa bariki sana

  • @christinachazy8644
    @christinachazy8644 Рік тому +5

    Nakupenda sana mama yangu Jenifer♥️♥️♥️ pia pole sana kwa msiba,unaeleza vizuri ila Mungu wambinguni azidi kututunza sis wajane tunapita magumu mengi hasa sis wenye umri Mdogo,Mwenyezi Mungu atuongoze katika maisha yetu

  • @lindarundi9877
    @lindarundi9877 Рік тому +3

    Saaaaaan kwaman mm nyumbo zako uwa zinanifarij Saaaaaaan kama unanitungiy mm kwakweri ubarikiwe saaaaan napia pole saaaan kukosa mume😭 mungu akupe ngumvu usimame imara🙏🙏🙏🇧🇮🇧🇮🇸🇦 natokea burundi

  • @a.j.m9740
    @a.j.m9740 Рік тому +2

    Sema Mama angu unajitahidi sana kutunza maadili ya Gospel sahizi uimbaji ni madudu

  • @rosengowi847
    @rosengowi847 2 місяці тому

    Upo very charming dada Jenifer nakupendaga Sana ❤❤❤❤❤Mungu akupe nguvu ya kushinda Kwa utukufu wake ktk liwalo lolote🙏🙏🙏

  • @user-uu7oj6xv6f
    @user-uu7oj6xv6f 5 місяців тому

    Nakupenda sana dada Jennifer nyimbo zako nzuri pia unafanana sana na dada yangu

  • @RehemaKatana-gc1mz
    @RehemaKatana-gc1mz Рік тому +1

    Wah kweli walio ndani ya yesu hawezeeki,1995 na wenye wako na hyo miaka na hawamjui Mungu wamezeeka sana.

  • @mariamdenis2136
    @mariamdenis2136 Рік тому +1

    Mungu azidi kukubariki Mtumishi nakupendaga Sana tangu niliumia Sana ulivyofiwa na mumeo Mungu azidi kukutia nguvu kuwalea watoto wako

  • @maliproductiontv5708
    @maliproductiontv5708 Рік тому

    You are my fevourite gospal singer for you outstanding character

  • @lightnessmariki4313
    @lightnessmariki4313 Рік тому +1

    Kwa kweli ni kwa Neema ya Mungu!Barikiwa Mtumishi.!!

  • @johnbernad829
    @johnbernad829 Рік тому +1

    Hakika Mungu anajivunia wewe kama alivyo jivunia kwa ayubu ubarikiwe sana mwana wa Mungu 🙏🙏

  • @zakarialusingu5521
    @zakarialusingu5521 Рік тому +4

    Ubarikiwe kwa nyimbo nzuri

  • @paulgasper2781
    @paulgasper2781 Рік тому +4

    Nilianza kukupenda toka nikiwa mdogo paka sasa bado nakupenda mama yangu Mungu azid kukubaliki

  • @rutinginyaneysam.5087
    @rutinginyaneysam.5087 Місяць тому

    Mungu akutunze mama Ang mzur

  • @balancedviewpoint7418
    @balancedviewpoint7418 6 місяців тому

    Dada mrembo sana pia mnyenyekevu sana. TZ hiko na waimbaji shujaa sana wa gospel na hapà kenya tunawapenda sana. Tunashukuru. Dada endelea kuendeleza neno la mungu na hekima hiyo hiyo moja.

  • @magrethjoel97
    @magrethjoel97 Рік тому +6

    Mimi nilianza kumpenda toka kwenye ule wimbo wake wa Nalia..polee😊adi leo sijaacha kukupenda dada jenipher na movie zako za nyimbo zinanifurahishaga kweli. Kwakweli umekua kioo cha jamiii chema uzidi kubarikiwa dadangu.

  • @MauaMazuri01
    @MauaMazuri01 Рік тому +1

    Sending you my sincere condolence servant of God wacha mungu azidi kukufariji mpensi wako alienda nyumbani usiwe hofu

  • @Shalom2018
    @Shalom2018 Рік тому +3

    Mungu azidi kukubariki na kukulinda Mtumishi wa Mungu dada Jennifer,napenda nyimbo zako na film pia.from Holland

  • @peterkihongosipeterkihongo1154

    Barikiwa sana dada jennifer.pole kwakuondokewa na mpendwa mmewako..YESU AWEFARAJA.maishani mwako

  • @eliasmosses7210
    @eliasmosses7210 2 місяці тому

    Fanya kazi kwa bidii wew na maarifaaa Mungu atakusaidia kwa bidii yako oo,,nimemalizia wimbo Mama angu

  • @deliverancetvtanzania
    @deliverancetvtanzania Рік тому +3

    Barikiwa Sana
    Tuko wengi tunabarikiwa nawe.
    By Apostle P.K.E

  • @MargrethMloka
    @MargrethMloka Місяць тому

    Mama jaman ubarikiwe sana nyimbo zako zina nibarik Sana Sana

  • @sonofgod5301
    @sonofgod5301 Рік тому +1

    Dada Jennifer Mungu akupe Maisha marefu ubarikiwe sana AMEN 🙏

  • @maggynaftaly6774
    @maggynaftaly6774 4 місяці тому +1

    Sauti nzuri sana sauti ya dhahabu❤❤

  • @yaredngalaba3188
    @yaredngalaba3188 Рік тому

    hii ni huduma kubwa sana Dada mnyenyekevu na mtangazajii wa kimataifa mbarikiwa sana anayeliishi Neno Hongereni mnoooo

  • @janethmwihumbo1289
    @janethmwihumbo1289 Рік тому +1

    Barikiwa Dada mungu akutunze Kuna Dada aliwai ongea muimbaji wa nyimbo za injili ambaye ni mtu wa rohoni wa Kwanza jenifa ,

  • @adijahmdosi5863
    @adijahmdosi5863 Рік тому +1

    Mashallah tabarakallah Mwenyezi Mungu akupe umri mrefu dadangu nakupenda sana haki

  • @saumusulaiman4742
    @saumusulaiman4742 8 місяців тому +1

    Nakupenda xn dd Jennifer ❤🎉

  • @harunione19
    @harunione19 Рік тому

    nakupenda sana mama,nyimbo zako nilikuwa nazisikiliza nikiwa nachuga mbuzi nikiwa mwanza sengerema kwa sasa nipo daresaalam MUNGU akutagulie

  • @RoseMwaboneke
    @RoseMwaboneke Місяць тому

    Alipoanza kuimba binafsi nilikuwa na miaka 10 lkn leo hii mm nimzee kuliko yy jamani mama umebarikiwa mno❤

  • @evamringo3071
    @evamringo3071 Рік тому

    Kwa kwel Dada endelea na Mungu.. atakuletea .. uko vizuri sanaaa

  • @user-xg8xx2eh1u
    @user-xg8xx2eh1u 3 місяці тому

    Ubarikiwe sana Jennifer. Napenda sana uimbaji wako.

  • @jeniferrwehumbiza
    @jeniferrwehumbiza Рік тому

    Hongera sana mtumishi wa MUNGU kuna jambo nimejifunza hapa

  • @kassebo
    @kassebo Рік тому

    Ubarikiwe Sana mtumishi Wa MUNGU. Usimuache Yesu Kristo. Hakika utafika mbali Sana ameeee

  • @hidayaswai3119
    @hidayaswai3119 Рік тому +1

    Hongera Jenifa. Umetunzwa sana na Mungu

  • @rachelmshana6555
    @rachelmshana6555 Рік тому +3

    Hongera sana mate wangu wa UDSM, Mungu aendelee kukutunza na kukuinua kwa viwango vya juu zaidi.

  • @aoman5214
    @aoman5214 Рік тому +15

    Kupitia wewe nilibadilisha jina langu nikaitwa Jennifer toka mwaka 2002 nilikupenda Sana dada Jennifer na ninazidi kukupenda

  • @charleskuyeko4400
    @charleskuyeko4400 3 місяці тому

    Huyu ni Mtumishi mzuri wa Mungu asiye na makandokando kama akina Dada wengine wanaoimba nyimbo za injili ingawa siyo wote. Mungu ambariki sana aendelee kumtukuza Mungu wetu.

  • @zukramlula1153
    @zukramlula1153 Рік тому +1

    Ubarikiwe kwa majibu ya hekima hasa sababu kutokubadilika katika uimbaji Mungu aliouweka ndani yako. NEEMA ya MUNGU ndo kila kitu. Hawa waandishi wa habari kuwa nao makini kwa sababu mambo ni mengi.

  • @junithamwasile5738
    @junithamwasile5738 Місяць тому

    Napenda Sana tulia moyo

  • @marianguli7994
    @marianguli7994 Рік тому

    Umependeza sana, ongea yako, vaa yako inakutambulisha vizuri uliyembeba ni nani! hongera sana

  • @user-lp8dg4bn6c
    @user-lp8dg4bn6c 2 місяці тому

    wimbo wa Yesu unipendaye kwako nakimbilia ulinitoa machozi ya upendo na Yesu,Mungu akutunze Mama

  • @neemawasha8080
    @neemawasha8080 2 місяці тому

    Barikiwa sana mtumishi Jennifer

  • @amosibilingi4299
    @amosibilingi4299 3 місяці тому

    Tumebakiza wew shujaa wetu hujatuvua nguo kaka zako, Mungu akulinde kwelikweli, wewe ni mfano kwa wake zetu tuliooa.

  • @JeremiahKuhenga
    @JeremiahKuhenga 2 місяці тому

    Waimbiji wa kike karibu wote,wangekuwa kama wewe ulivyojitunza katika BWANA safi dada kiukweli nakukubali sana.endelea kudumu ktk wokovu.

  • @RenimwahNafutali
    @RenimwahNafutali Місяць тому

    Urembo unao na yesu unae kweli mungu amekubariki saw saw ❤❤❤

  • @nikitumarthinne8909
    @nikitumarthinne8909 Рік тому +2

    Pole sana JENNIER .MUngu azidi kuwa pamoja nawe.

  • @RafaelSangale
    @RafaelSangale Місяць тому

    Mungu akutangulie wewe nikioo cha waimbaji Kwa Sasa Uwe Na Bwana mmoja moyoni mwako.

  • @vumiliavumiliasambepo4999
    @vumiliavumiliasambepo4999 Рік тому

    Asante kwa ushauri wako mama Ubarikiwe sana na Mungu ,,,, hakika nimejifunza kitu kikubwa

  • @carolineletara8275
    @carolineletara8275 Рік тому +2

    Hongera da Tina kipindi kizuri sana,Mungu awabariki pamoja na mgeni wetu

    • @janegabriel8123
      @janegabriel8123 Рік тому

      Dada Mungu anakutunza kiafya hubadiliki nimependa ngozi yako

  • @obadiambilinyi27
    @obadiambilinyi27 2 місяці тому

    Hongera Sijawahi kusikia skendo yoyote, Linda utakatifu

  • @irenenyauhule6017
    @irenenyauhule6017 Рік тому +1

    Nimekuelewa sana Mimi pia nimuimbaji na nilisha Wai kuja kwako hapo mwamzo ukiwa mabibo ulinishauri vizuri sana njapo kwa muda huo niliona nimekosewa Ila kwa Sasa ushauri wako umenisaidia sana

  • @noelngowitechnicalsolution
    @noelngowitechnicalsolution Рік тому +2

    Hongera Sana . Nimepata kutiwa moyo kwako

  • @benjaminborngreat-official7550

    I love Jennifer mugedi songs

  • @hamisaabdulhamid529
    @hamisaabdulhamid529 Рік тому

    Pole Sana kwa msiba nijambo zito kufiwa mume Mungu akupe nguvu

  • @sheilamtuweta6769
    @sheilamtuweta6769 Рік тому

    ana ushauri mzuri sana na napenda pia muonekano wake.Big up mum
    Following from kenya

  • @amenaameeena3317
    @amenaameeena3317 Рік тому

    Pole kupoteza mume wako pia hongera unavaa vizuri sana sijui fundi wa nguo zako ninani jamani anajua kukupendezesha mungu akubariki

  • @jennifermakere5139
    @jennifermakere5139 Рік тому +1

    Nakupenda sana dada Jennifer kazi yako njema sana nampenda movie zako zinavyoendana na nyimbo songa mbele

  • @aivanntomi9484
    @aivanntomi9484 2 місяці тому

    Ubarikiwe Mtumishi wa Mungu

  • @hadassahhadassah3385
    @hadassahhadassah3385 Рік тому +1

    Niko na cidi zko za 2007 I love your songs. Keep it up

  • @aureliayuktankabebwa5066
    @aureliayuktankabebwa5066 Рік тому

    Nyimbo zako bado zinaishi mioyoni mwetu 🙏🏾MUNGU azidi kukutumia kwa uimbaji uzidi kuponya watu mioyo Yao,MUNGU azidi kukutunza Mtumishi wa MUNGU.

  • @davidmdeka8339
    @davidmdeka8339 Рік тому

    Hongera Sana kwa nyimbo zako zenye Mafunzo mazuri

  • @EstherBirungi-cm9ew
    @EstherBirungi-cm9ew 2 місяці тому

    Mungu akubariki sanaa tena sanaaa

  • @hilgathchambega4913
    @hilgathchambega4913 Рік тому

    Hongera dadaangu kipenzi hakika nakukubali sana Mungu azidi kukutunza

  • @davidjackson448
    @davidjackson448 Рік тому +1

    Amina mtumishi Mungu akubariki sana sanaa

  • @angelsabrina1266
    @angelsabrina1266 Рік тому +1

    Much love from Kenya my sis you are my roll model.Ubarikiwe saana mtumish wa Mungu.🥰🥰🥰🥰

  • @japhetmevoroo113
    @japhetmevoroo113 Рік тому

    Hongera sana dada yangu. Mungu aendelee kukutunza na kukuonyesha njia sahihi katika kumtumikia. Nakupenda sana.

  • @pastoremanuelnicodemus8648
    @pastoremanuelnicodemus8648 3 місяці тому

    Ubarikiwe sana Mtumishi was Mungu

  • @machibyajeremia9650
    @machibyajeremia9650 Рік тому

    Hongera mtumishi mengi umeelza , ushauri wangu unaonaje pia ukafungua kanisa uwe Mchungaji

  • @user-hq6et3vm7y
    @user-hq6et3vm7y Рік тому

    Napenda nyimbo zako tangia ulipoanza kuimba endelea Mami yangu I love just from your nature.