kiukweli majani hapa alifanya kweli huyu dogo ni noma na nusu yaani hii ni zaidi ya package ambayo muziki umelala kila beat anatembea nayo, uandishi mzuri, flows, vina dah hatari sana. Najua mnaplan kubwa sana kufika level za kimataifa RAPCHA nakukubali sana kwa jinsi unavyofanya mziki uonekane kuwa ni kitu kirahisi sana. Hongera kwa mziki mzuri.
I CALL THIS BEST OF RAPCHA KILA NYIMBO INA SOUND NA INA TASTE TOFAUTI THIS IS WHAT WE CALL MUSIC LET ME GET IT DOWN KWA APPLE MUSIC HII NI BESTEST KWANGU HONGERA SANAAAAAA
listening now..... 99 fam #1 SUU ni noma #2 INTERVIEW story telling madness #3 WAIT feelings the vibe #4 MELODY chemistry approved #5 BADO mzee hizi story ni madness baada ya kuisikia na MVINYO I see more to come from rapcha, IPO SIKU TUTAGONGA MVINYO WANANGU
Baba ukichonga barabara usisahau kutuekea lami
Engineer soma Iyooo mkandarasi yupo site 💥💥💥💥
mwanangu wa 99 umefanya kweli japo itachukua muda kukuelewa
Raptcha ni sumu ya panya
Kwa sangoma unachanwa na nyembe, we bwege hospitali unaogopa Sindano..🤣😂🤣 👌🏿
Ukiwa kwa sangoma unachanwa na nyembe ila hospital unaogopa sindano 🤣🤣💥💥💥✔💯
Nakubali
huyu ndo rapcha sio yule wa zaman
Kila kukicha nabadilisha fav song toka kwnye ep
Sana kaka🇹🇿%
daaah ashakum sio matusi ii ngoma uoiandikia bafuni nn sio kwa mamistari at
Umetisha sana
Nyimbo uliyoimba na frida amani Tungeeita netflix and chill 😫😫
Dogo unajua sana
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Kifurushi chakutisha interview noma
Yeaaaaaah
motoooo
Kali sana 🔥
🔥🔥🔥
We mshenzi unabalaa atalee, 🙌🙌🙌🙌🙌
💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥
"Uwezi shindana na kazi ya mungu"
kama unabisha sema
Sema...... @rapcha u kill dem
Iv kwan 2nachelewa wap mwanang mbona bongo kimya kinene🙌🙌🙌unaskika ww 2🗣
Youngking👣
Hii Ep imekosa promo tu ila um ndani dgo kachafua nyinyi
Unajua sana mwanang Rapcha
Rapcha we ni moto🤯🤯kama wamkubali rapcha gonga like apa⚡⚡
Bado my fav 🙌🙌🔥
Sitaki hizo flowers I need a garden 💪🏿
Rapcha unatusahau sisi watu wa audiomack
Noma sana rapcha sema bro hii ngoma ya suuu no nyoookooo sana ya moto kinoma nmependa
🙏🙏🙏
kiukweli majani hapa alifanya kweli huyu dogo ni noma na nusu yaani hii ni zaidi ya package ambayo muziki umelala kila beat anatembea nayo, uandishi mzuri, flows, vina dah hatari sana. Najua mnaplan kubwa sana kufika level za kimataifa RAPCHA nakukubali sana kwa jinsi unavyofanya mziki uonekane kuwa ni kitu kirahisi sana. Hongera kwa mziki mzuri.
Kazi safi last king
Nomaaaaa Sanaaaa
I CALL THIS BEST OF RAPCHA KILA NYIMBO INA SOUND NA INA TASTE TOFAUTI
THIS IS WHAT WE CALL MUSIC
LET ME GET IT DOWN KWA APPLE MUSIC HII NI BESTEST KWANGU
HONGERA SANAAAAAA
GOMA LA KIBABE...SAFI SANA MWANA KAZA MBELE KUNA ZAIDI YA MAFANIKIO!!
P1
Wait sema suu😂
The Last King of 99' this EP ni balaa, for those who understand the meaning of Good Music
Toa moja moja bro maana daaaah nibya motooo kila moja yan daaaah good job rapcha we ni noumaaa ni nyokooo
99s G E N E R A T I O N Hatuingiwi kiboya sema suuu
🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿🔥🔥
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Suuuuuuuuuuuuu
YOGO On the first track umeua sanaaaaaaaa🙌 beat hard sana
Mwanetu bado ngoma na YOUNG LUNYA👊 good Music from KING of 90s
Hii apa mwanangu. ua-cam.com/video/Ul5c6i0SL80/v-deo.html
Namwona Eminem kabisaaa kwenye SEMA su🙏🏻👊🔥🔥👍
Suu
Huu moto mungine Majani P Funk pls Kuza hii Pesaaa ni bonge moja ya Tallent
Waaaah is he a Tanzanian 🇰🇪
💥❤🔥 utaunguza kila kitu
💥💥💯
listening now..... 99 fam
#1 SUU ni noma
#2 INTERVIEW story telling madness
#3 WAIT feelings the vibe
#4 MELODY chemistry approved
#5 BADO mzee hizi story ni madness
baada ya kuisikia na MVINYO I see more to come from rapcha, IPO SIKU TUTAGONGA MVINYO WANANGU
Nakuelewa sana damu yangu
Raspect, AfreeCan KiTeamTeam
💯🔥🔥🔥💯💯🔥🙌
🔥🔥
Huyu dogo anatisha sana kuliko lunya
Rapcha ni 🔥🔥🔥🎤🕺king tz
King
Yogo uwo mbeat wa track wa Kwanza hatari!!!!
Number one like kwa wanangu 99
Ngoma zote Kali hakuna mbovu
🤸♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️ 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Mwanetu anafinya 👁
Hii ni package iliyojitosheleza kiukweli, umeua sana rapcha
Creative bro never seen🤛
Rapcha we ni nowma🚧🙌🙌🙌🙌🙌
🙌🔥🔥🔥 @rapchaaaaa 🌏
Baaabaaa hii mistarii HEAVY maanina 🙌
Nice Sana jombaa
Wanangu 99 💥💥💥
Oya rapcha
Mwanangu unajuwa sna mpka unaboa
♥️♥️♥️♥️🔥🔥🔥🔥
Nice
Free style qali💥💥💥💯✔️✔️💪👍🔥
Jombaa una hasira san
King wa kizazi chake #rapcha
🐐🐐🐐🎤🎤
full maunyama king boy jah akubless ufike mbele zaidi kingrastafari 🇬🇳🇬🇳
Nipo nyimbo ya tatu ni fire unyama mwingi sana
mwotooo!!!
Nomaaaa💪💪💪
Broh💪
Unyamaaaaaah .by wizzy mp
Best Album Of The Year
Kama Unabisha Sema Suu
✌️✌️✌️
🔥🔥 wakupe bet TU mwanangu
Nice ep nipo nyimbo ya 5 now
99🔥🔥🔥🔥 genius sema suu
Absolutely
Story teller🎉🎉🎉
THE PACKAGE🏆
#Interview/Suu/Wait ni mbwa sana 🔥🔥🔥🔥
Good 99 fany ututupie moj moja iz
town boy
Rapcha my young Brother you here for a reason n season TS YOUR TIME TODAY N FOREVER 🎼🏁
Rapcha you kill it1👍👍👍👍👍👍👍
Yaan unajua sana
My favorite is
#Interview
#Melody
#Mvinyo
Bars nzito mno🔥🔥🔥🔥🔥
Bro toa iyoo download