Ili madogo wenye vipaji wa hip hop waweze kufanya vizuri kwenye Game ya Bongo ,ni lazima Wapate usimamizi kutoka Bongo records / PFunk, na sio kwengine. Studio na label ziko nyingi ila Bongo records wanajua Hip hop ni nini. I believe Rapcha atafanya vizuri sana kuliko madogo waliopata Fame kubwa halafu Catalog ina nyimbo tano tu hadi hype imeisha. Rapcha usije ondoka hapo hadi uwe kama kina Prof Jay na wengine au zaidi ya hapo. Majani ni mtaalam wa mziki kwa hyo uko kwenye mikono salama.
"Allah tujalie hekima" " Kama pumzi unanipa bure ahsa kvp pesa initenge na ww" "Ndege hawalimi wala hawavuni ila hawakosi chochote"" Bless up youngtar big contents u rise here
mistari flaani ya kawaida saana ila duh imepenya moyoni.............jide kiitikio tuu rapcha.............................i see rapcha kuja kua mtu mbaya na tishio kwenye hiphop........AMEN
Sema iyo chorus ungeeitupia insta kwny page yako na baadh ya line zako....alafu wana waishi nayo kwny status...jide kamaliza sana iyo chorus huhitaji kusali ndo utubu jide ameshatusaidia kuongea na sir God
Hakika upendo wa Mungu hawezi kufa never kwa sababu humekufikisha sehemu ambayo ukuwezaaaa kufikilia kwann na sema ivo leo hiii tumekuwa wa kwafwatilia ngoma zako kila kuchaaa yote kwa kuwa Mungu anapendaaa tuzidi kuwa pamoja na ww af pili bila upendo wake kusinge kuwepo wa ku support nyimbo zake hakika Becouse of God you love you na anaupendo zaidi kwa kila mtu "Amen"
Amen Lyrics by RAPCHA Uh hebu tazameni Matendo ya Mungu yanavyotisha Amefanya mengi makubwa ya kustaajabisha Marafiki leo wana upendo kesho umekwisha Ila upendo wa Mungu hauwezi kwisha Naamini neno lako linaishi forever Utendawazi hauwezi kubadili Dhambi ikawa haki, Never! Umenifikisha sehemu ambazo Wala sikuwahi kuzifikiria Sifa zako nitazihadithia Unaniepusha na maadui Unanilinda na mabaya Ambayo hata siyatambui Mungu uliye hai Hata mimba zilizotokea Kwenye mazingira ya dhambi Watoto umewapa uhai Na kama pumzi unanipa bure Sasa kivipi tamaa ya pesa initenge na wewe Nashukuru kwa kunileta hii sayari Milele nitakuamini Mungu wa kweli AMINA Amen Baba, Amen Upendo wako, huruma yako Amen Wema wako utukufu wako, Amen Amen Baba, Amen Umenipa maarifa, umenipa uhai, umenipa mali Hata nacho kipaji siwezi sema sijaridhika Umenipa kile ulichonipa, hukunitupa Nami sitakijuta Baba, nasema AMEN Glory to God, utajiri mkubwa ni furaha Mungu anaweza kubariki mpaka ukashangaa Niwapo kwenye njaa nikumbushe kwamba Ndege hawalimi, hawavuni ila hawakosi chochote Nilipotoka usiwache nikumbusha Nipe hekima nisitamani magari Nisiyoweza kuyaendesha Niishi kwenye ukweli nidumu Maana uwongo hauishi milele Na unaua faster kuliko sumu Pia asante kwa kunipa bidii Napokuomba haujibu haraka Unajibu wakati sahihi Una hekima inayoshangaza dunia Watu hata tungombane vipi Tunashare mvua na jua Nilijalie nisilewe sifa Nikumbuke siku za uhai wangu zinahesabika Hivyo nikuabudu nikiwa kijana Nawe utaniweka juu kwa baraka leo zaidi ya jana Amen Baba, Amen Upendo wako, huruma yako Amen Wema wako utukufu wako, Amen Amen Baba, Amen
I see the fire in there, kizuri kinajiuza chenyewe! Ndo Official track ya kwanza na kiukweli haujatudissappoint, umefanya kitu kibubwa na umekipresent vema kimeonekana imebaki kuchora kuchora tuh ramani ya mafanikio na Kitu kikubwa na muhimu ni kuwapa mashabiki wanachostahili na sio unachoona ni sahihi. AMEEN #GHETTO GOSPEL...!! #Wanangu99
All the way from #ShyTown *@Lady Jay Dee* ameshirikishwa kwenye hii ngoma inaitwa #Amen by @Rapcha ni bonge moja ya kolabo na nusu kama ujapata time ya kuickliza nakubless enjoy nayo hii apa kwenye #E20 ya Efm... kwa sauti ya #Twangalaaaaa💥💥💥💥
asnte mzee mwnzangu kuna baadhi ya mambo ni makubwa sana japo yanaonekan madogo Mzee binafsi umenikumbusha kusema asante kwa muumba sijajua kwa wenginee............
Mara Nyingi Tunaamini kila jambo.ukianza kwa kumshirikisha Mungu Basi hilo jambo linakuwa ni lenye baraka na bahati kubwa #Rapcha Hii ngoma ni sawa na umeamka asubuh ukaanza kuomba kwa mungu akika safari yako ya mziki humeanza vizuri koz hii ngoma umechukua nafasi ya wachungaj na mashekh katika kuwakubusha wahumini wao juu ya uwepo wa mungu na karma zake ...Mimi naamini dude litakalo kuja autotumia nguvu nyingo kozi mungu kashakubariki na kasha kufunulia kwetu so now unajulikana Sema AmEni #rapcha kama unakubaliana na mimi. Member of wana99DaR. #gucci #pamoja #ameni #onlove #rapcha #united
Mmetukomoa tena. Bonge la pini hili! Salute kwa Rapcha, Salute kwa Madam Jide, Saluti kwa Majani kwa kukazia kinomanoma, Saluti kwa Mchizi Karabani kwa tambala kali! Kwa pamoja, mumecheza nafafsi zenu! #Peace and #Love!
Wanaotega sikio kwa huu wimbo in 2024 gonga like hapo🔥
UTAJIRI MKUBWA NI FURAHA❤
I love this! Maombi ya kweli, Kazi safi kwa PFUNK , Rapcha na Lady Jay Dee. Nipeni likes za🇰🇪🇰🇪wa kwanza, tunaikubali sana! Amen baba!
Msitari umenigusa sana
"Hata mimba zilizotokea kwenye mazingira ya dhambi Mungu watoto umewapa uhai" nani kasikia?😍
👇
Umenigusa pia!
❤
Wimbu unanikumbusha nishukuru Mungu Kila wakati na siku za maisha yangu
Happy Easter 2022 Everyone reading this today 🙌🏾
"Kama pumzi unanipa bure sasa kivipi tamaa ya pesa inetenge na wewe"🙏🏿
Katisha sana
Kali saaana yuko so lyrically
Makin
Pamoja
Rapcha acha nifate nyayo zako
Hila msalim dada mkubwa
Amen
Gonga like
Kama waikubal hy ngoma
"Napokuomba haujibu haraka,unajibu kwa wakat sahihi" hili ni andiko bora sana,keep doing Rapcha
Alooo ngoma kali #sanaaaaaaa
Yani ninanacho jikubali kwako uandishi wako najikubali sana mzee #Rapcha
Salute sana my brother you're so good
good music nimerudia kuckiliza kalibia mara therathin mpaka MB zangu zimeisha
Umenifikisha Sehemu ambazo wala sikuwahi kuzifikiria sifa zako nitadisia bonge la andiko yani toka nizaliwe mpaka Sasa God bless you
When legend meet youngstar....ts always Amen
Amen🙏
Yaap
Is true Ameen
True
Hii ngoma itaishi moyoni mwangu mile🥺❤️🙏🙏🙏
Rapcha nakukubali mwana kazi zako hujawah kosea brother baraka nyingi brother pamoja na mama yetu jide
Amen
Keep going my G
Umeeleweka👊👊
Rapcha Kaja Kuchukua Nafasi Ya Rapa Mmoja Mzembe.....Kama Unaamini Gusa Like!!
si umtaje tu ni youngKiller
Hakuna nafasi aliyochukua mzee ila kuna nafasi kajitengenezea. Keki ya taifa ni kubwa sana
Wanaojiita wanyamwez wana mikato flan hiv wawe makin mchiz toka shinyanga town katumwa kazi
Tunakutegemea mzee toka bariadi simiyu umeuwa kaza but 🥰🥰🥰🥰
Kala jeremaya
Mwanangu uko good
We jamaa unajua sana aisee dah!!!!!
Kuna rapa mzembe atanyang'anywa nafasi apa
Gonga like kama unamkubari *RAPCHA*
Htr
Namjua young killer aangalie
Wow.....bonge moja la dude....Salute.
Kikubwa Sana nyimbo ni Kali Sana kuanzia audio mistar mpaka video 🔥🔥🔥
Rapcha nilijua huu mwimbo ni mpya very good song
"Nijalie nisilewe sifa, nikumbuke siku za uhai wangu zinahesabika hivyo nikuabudu nikiwa kijana".
Amen!!
Ebwana ee ngoma kali sana hii bro @Rapcha umeuwa knyama yan wacha na mie niseme #AMEN
Umetisha rapcha na nimefurah mpaka saiz hakuna dislike... Muzik mzur unaongea wenyew..! Tufanye kazi dogo ✌️✌️✌️
Wale wanao dislike hua wanahisi ili ni button ya kudownload
@@abrahamaugustine8606 Inawezekana ikawa ni kweli maana #MAPIMBI nao ni wengi kwa kwel
Nyimbo kli sana
Ili madogo wenye vipaji wa hip hop waweze kufanya vizuri kwenye Game ya Bongo ,ni lazima Wapate usimamizi kutoka Bongo records / PFunk, na sio kwengine. Studio na label ziko nyingi ila Bongo records wanajua Hip hop ni nini. I believe Rapcha atafanya vizuri sana kuliko madogo waliopata Fame kubwa halafu Catalog ina nyimbo tano tu hadi hype imeisha. Rapcha usije ondoka hapo hadi uwe kama kina Prof Jay na wengine au zaidi ya hapo. Majani ni mtaalam wa mziki kwa hyo uko kwenye mikono salama.
My Legend my star of hip pop Nakupenda sanaa brooo No one like you..... continue shining Brother
"Allah tujalie hekima" " Kama pumzi unanipa bure ahsa kvp pesa initenge na ww" "Ndege hawalimi wala hawavuni ila hawakosi chochote"" Bless up youngtar big contents u rise here
Unajua sana man..
mistari flaani ya kawaida saana ila duh imepenya moyoni.............jide kiitikio tuu rapcha.............................i see rapcha kuja kua mtu mbaya na tishio kwenye hiphop........AMEN
Sema iyo chorus ungeeitupia insta kwny page yako na baadh ya line zako....alafu wana waishi nayo kwny status...jide kamaliza sana iyo chorus huhitaji kusali ndo utubu jide ameshatusaidia kuongea na sir God
Daah mwanang wimbo mkali knoma nisiwe mnafki umetisha
Nani yuko hapa Baada ya interview kaifanya Wasafi the Switch akiwa na P Funk Majani
Mm apa
Naweka stutus 💪🙏🙏🙏
Much respect to Majani. Hii ndo nyimbo ya kusikiliza sasa. Siyo za hao wanaoimba na kutukuza ngono na matusi. Mungu akubariki Rapcha.
🔥🔥🔥🔥🙌🙌
Good job # utajiri wa kwanza furaha
Bro mie nakupenda sanaaa , love from 🇨🇩🇨🇩🇨🇩 , nakubali sana unacho kifanya
Legend Bint Machozi...wow....
RAPCHA thanks and God be with you Nice Song You prove PFUNK POSITIVE
Raptcha mitaa imekupitisha broo
#Rapcha ni nani jaamani ??huyu kijana yuko sawa🌹🌹🌹🌹💯 love from+254
Oya mjuba Goma la kwenda na la kutusafishia njia nakubali
Aiseeeeee for sure talent will never last
P FUNK MAJANI & BONGO RECORD is more than fire GOD BLESS P FUNK MAJANI
Amen 🙏🏽
Will last au will never last??mbna unamtabiria vibaya
@rapcha,,,,akili kubwa ,,kipaji kikubwa,,,nakuona mbali saana ,,,,
Hakika upendo wa Mungu hawezi kufa never kwa sababu humekufikisha sehemu ambayo ukuwezaaaa kufikilia kwann na sema ivo leo hiii tumekuwa wa kwafwatilia ngoma zako kila kuchaaa yote kwa kuwa Mungu anapendaaa tuzidi kuwa pamoja na ww af pili bila upendo wake kusinge kuwepo wa ku support nyimbo zake hakika Becouse of God you love you na anaupendo zaidi kwa kila mtu "Amen"
P.funk dah iyo beat ni kali balaa kweli bongo fleva godfather is bakkk
Bonge la kazi, kutoka Mombasa mad respect.
Utandawazi hauwezi kubadili dhambi ikawa haki 🙌🙌🙌🙏🙏🙏
rapcha kiukweli hii ni ngoma kali wote mmeitendea haki...endelea kuwa mwenye nidhamu na unyenyekevu mungu atakufikisha mbali
Você tens Tudo, from Moçambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Goma kali
Mungu akubariki sana kwenye safari yako ya Muziki. Wimbo mzuri sana sana. Stay safe ✌🏾 ❤️
Tulio ufahamu huu Wimbo Kipindi Cha Kifo Cha Mh.John Pombe Magufuli gonga like
Amen rapcha last king of 90's..likes zake apa
Nakbl ngoma Kali sana
You know what? neno moja kwenu "MBARIKIWE"
Kizaz xana rapcha mistari mikali video kali umeuwa kikubwa blood angu
All the way from Indonesia 🇮🇩🇹🇿
Kazi nzuri sana bigup #Rapcha #Jide #Majani #Karabani
🙏🏽Amen
Upendo wa munguu pekee ndo usioisha milele❤️❤️😥
show kali
Amen Lyrics by RAPCHA
Uh hebu tazameni
Matendo ya Mungu yanavyotisha
Amefanya mengi makubwa ya kustaajabisha
Marafiki leo wana upendo kesho umekwisha
Ila upendo wa Mungu hauwezi kwisha
Naamini neno lako linaishi forever
Utendawazi hauwezi kubadili
Dhambi ikawa haki, Never!
Umenifikisha sehemu ambazo
Wala sikuwahi kuzifikiria
Sifa zako nitazihadithia
Unaniepusha na maadui
Unanilinda na mabaya
Ambayo hata siyatambui
Mungu uliye hai
Hata mimba zilizotokea
Kwenye mazingira ya dhambi
Watoto umewapa uhai
Na kama pumzi unanipa bure
Sasa kivipi tamaa ya pesa initenge na wewe
Nashukuru kwa kunileta hii sayari
Milele nitakuamini Mungu wa kweli AMINA
Amen Baba, Amen
Upendo wako, huruma yako Amen
Wema wako utukufu wako, Amen
Amen Baba, Amen
Umenipa maarifa, umenipa uhai, umenipa mali
Hata nacho kipaji siwezi sema sijaridhika
Umenipa kile ulichonipa, hukunitupa
Nami sitakijuta Baba, nasema AMEN
Glory to God, utajiri mkubwa ni furaha
Mungu anaweza kubariki mpaka ukashangaa
Niwapo kwenye njaa nikumbushe kwamba
Ndege hawalimi, hawavuni ila hawakosi chochote
Nilipotoka usiwache nikumbusha
Nipe hekima nisitamani magari
Nisiyoweza kuyaendesha
Niishi kwenye ukweli nidumu
Maana uwongo hauishi milele
Na unaua faster kuliko sumu
Pia asante kwa kunipa bidii
Napokuomba haujibu haraka
Unajibu wakati sahihi
Una hekima inayoshangaza dunia
Watu hata tungombane vipi
Tunashare mvua na jua
Nilijalie nisilewe sifa
Nikumbuke siku za uhai wangu zinahesabika
Hivyo nikuabudu nikiwa kijana
Nawe utaniweka juu kwa baraka leo zaidi ya jana
Amen Baba, Amen
Upendo wako, huruma yako Amen
Wema wako utukufu wako, Amen
Amen Baba, Amen
DOGO ANAFUNDWA BONGO RECORDS WITH HIGH DISCIPLINE BIG UP MAJANI
Salute rapcha sound good nice words
Nice beats cool video🦾
Kama pumzi unanipa bure kivip tamaa ya pesa initenge na ww" 🙌 ❤
If happen somebody dislike this song instead of like it may be 💯 percent is insane RAPCHA unatisha
ngoma kali sana majani kwenye beat katisha sana rapcha jide mmeua
Amen 🙏🏽
This is unfair for soundmind person to dislike this song.Sorry God for personal doing so RAPCHA KEEP IT MEN
Hiyo back vocal ya jide ni balaaaa
I see the fire in there, kizuri kinajiuza chenyewe! Ndo Official track ya kwanza na kiukweli haujatudissappoint, umefanya kitu kibubwa na umekipresent vema kimeonekana imebaki kuchora kuchora tuh ramani ya mafanikio na Kitu kikubwa na muhimu ni kuwapa mashabiki wanachostahili na sio unachoona ni sahihi. AMEEN #GHETTO GOSPEL...!! #Wanangu99
Natamani ungejua vile nakukubali kaka😭😭😭😭😍🙏
😘
All the way from #ShyTown *@Lady Jay Dee* ameshirikishwa kwenye hii ngoma inaitwa #Amen by @Rapcha ni bonge moja ya kolabo na nusu kama ujapata time ya kuickliza nakubless enjoy nayo hii apa kwenye #E20 ya Efm... kwa sauti ya #Twangalaaaaa💥💥💥💥
Mwanzoni nilijua young killer,,,you kill it my young bro rapcha
Bloodline tumeuwaa humuuu 💥💥💥☄️☄️
Amen ahsante kwa kutubless na ngoma kali sana hii
Ngoma Ni Kali rapcha umeua mama Yetu ndo balaaa kabisa. Mjini tumefka mapambano Yaendlee.🤲
UPcominng Tz Rapper nayemubali sana haswa kuandika
Mashallah last king of 90s🔥🔥🔥🔥🔥Ata mimi nasema Amen🙏🙏
Dah nakuona mbl #wanangu99
I expected this Hommie coz I know what good is in u...one big song @Rapcha_tz @jidejaydee @majani187
@kalabani
asnte mzee mwnzangu kuna baadhi ya mambo ni makubwa sana japo yanaonekan madogo Mzee binafsi umenikumbusha kusema asante kwa muumba sijajua kwa wenginee............
Nakubali Sana the last king
Gonga like Kama unamkubal rapcha💪
Huwezi tengeneza nyimbo kwa p funk halafu ikawa mbaya haitokuja kutokea
Wooow wat a song am so excited...i love it,shout out
Bro I see your music in the high levels jo
Gud Job Kijana Endelea Kukamua Hadi Ufikie Malengo Yako
p funk majani is very🔥🔥 sound qali kwa wote i.e rapcha pia commando jide
Amen 🙏🏽
dah nani kaelewa mistari kama nilivoelewa mm jaman? hyo chorus na jaydee sasa tisha sana AMEN
Mara Nyingi Tunaamini kila jambo.ukianza kwa kumshirikisha Mungu Basi hilo jambo linakuwa ni lenye baraka na bahati kubwa #Rapcha Hii ngoma ni sawa na umeamka asubuh ukaanza kuomba kwa mungu akika safari yako ya mziki humeanza vizuri koz hii ngoma umechukua nafasi ya wachungaj na mashekh katika kuwakubusha wahumini wao juu ya uwepo wa mungu na karma zake ...Mimi naamini dude litakalo kuja autotumia nguvu nyingo kozi mungu kashakubariki na kasha kufunulia kwetu so now unajulikana Sema AmEni #rapcha kama unakubaliana na mimi.
Member of wana99DaR. #gucci #pamoja #ameni #onlove #rapcha #united
Mmetukomoa tena. Bonge la pini hili!
Salute kwa Rapcha,
Salute kwa Madam Jide,
Saluti kwa Majani kwa kukazia kinomanoma,
Saluti kwa Mchizi Karabani kwa tambala kali!
Kwa pamoja, mumecheza nafafsi zenu!
#Peace and #Love!
mjomba majan n hatar
@@fadectv5964 Hatari na nusu!
Rapcha binafsi namkubali kaza buti jombaaaa!!
Maneno makavu ufundi nakuombea upate shavu.......
Daaah Rapcha ww ni noma sanaa. Tunaomkubali Rapcha gonga like tafadhali 🇹🇿
Nyimbo nzuri hii baada ya gwiji kwangu inafata hiii, pia mkongwe komando kaua
Utunzi mzuri...tatizo production mbovu mpaka inaboa kusikiliza
GROLY to God utajiri mkubwa ni Furah Mungu anaweza kubariki mpaka ukashangaa,🙏 this is another level.. See you far @rapcha RAPSTAR 💥
🥳🥳🥳
P funk Majan 🙏🏽