HALIMA AFUMWA GUEST NA MUME WA MTU WAKILA URODA |NAMKOMESHA NA BWANAAKE SIMUACHI |WIFI WA ZABIBU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 60

  • @skjjsj1889
    @skjjsj1889 11 місяців тому +4

    mungu amekataza zinaa
    Wee unajisifia unazini na mume wa mtu
    Ngoja ufe utaenda kuyakuta malipo yake

  • @OmanOman-fr5hl
    @OmanOman-fr5hl 11 місяців тому +3

    Laanatullah sura mbaya

  • @ummySheikh72
    @ummySheikh72 11 місяців тому +6

    Huyu si ndio aliekuwa wifi yake zabibu? Jamaani wanajisifia laana heeh! Sasa huyo mumewe si atajuwa. Famila hii mbayaa subhannallah😮😮

  • @leilasaid3623
    @leilasaid3623 7 місяців тому +1

    Yaa rabbiy tuepushe watoto kam huyu tupe watoto wema wenye maadili mema

  • @zuhrakhamis6508
    @zuhrakhamis6508 10 місяців тому

    Loooh nakesho kwa Mungu kasema ivoivo unajisifia zinaa tatizo hujui elimu ya akhera zisikuhadae pumzi

  • @felistersmejumaa5188
    @felistersmejumaa5188 11 місяців тому +2

    Hii familia sijawai ipenda hata kidogo,, hawa ndio chanzo Cha mamake Zabibu kufa haraka kwa pressure, mama wa watu mawazo yalimzidi mapema 😢😢😢😢😢😢😢

  • @fatmamansour676
    @fatmamansour676 11 місяців тому +2

    Maskin roho yako unajivunjia heshima na kujitoa thamani hata akitoka mme kukuoa akisikikiza hii hakuulizi hata hali

  • @stellasimon8306
    @stellasimon8306 11 місяців тому +4

    Mdomo sawa sawa na wa mama yake

  • @nurumwinyi796
    @nurumwinyi796 11 місяців тому +1

    Like mother like daughter,subhanna llah

  • @Lllllllmmn
    @Lllllllmmn 11 місяців тому

    Mhm mtihani kweli duu mungu atupe vizazi vyema wallah

  • @JulianaJackson-nm7te
    @JulianaJackson-nm7te 11 місяців тому +3

    Domo baya..usikute hapo anaongea mama ake kakaa pembeni anacheka cheka.

  • @Catherine-u6g
    @Catherine-u6g 11 місяців тому +1

    Sura bovuuuu nyoooooo

    • @Shuu.A
      @Shuu.A 11 місяців тому

      Mashavu kama panya buku

  • @DeboraNgura
    @DeboraNgura 11 місяців тому +1

    Hilo domo SSA!! Mwenye mume unasubr nnkurefusha Hilo domo Zaid😂

  • @stellasimon8306
    @stellasimon8306 11 місяців тому +3

    Yaani huyu vituko kama mama yake tu

  • @NiceWatson-y7e
    @NiceWatson-y7e 11 місяців тому

    Kawa shangingi la temeke Mungu atusimamie watot wetu

  • @nasrafadhili7408
    @nasrafadhili7408 11 місяців тому

    Huyu ndomaan alikataa shule jmn mungu tulindie watoto wetu jmn

  • @NiceWatson-y7e
    @NiceWatson-y7e 11 місяців тому +1

    Hawajui first wife huyu subir arogwe na mimba juu ndo atajua kama kisiju au temeke

  • @OmanOman-fr5hl
    @OmanOman-fr5hl 11 місяців тому +1

    Mkishauliwa ndo mtajua utam washenzi wakubwa

  • @chantalharakandi2576
    @chantalharakandi2576 11 місяців тому +2

    Wakose kutafuta kazi za kufanya wamekalia ujinga

  • @chantalharakandi2576
    @chantalharakandi2576 11 місяців тому +2

    Uzinzi tu unazani sifa uswailini shida

  • @munirachangawa2928
    @munirachangawa2928 11 місяців тому +1

    Mhhh alisema kweli huyu shule haelewi.ni kweli alikua haelewi haya ndio anayoyaelewa....

  • @hosea7919
    @hosea7919 11 місяців тому +1

    Chefuuu

  • @hassansalim227
    @hassansalim227 4 місяці тому

    Maradhi tu

  • @hadiadaoman1981
    @hadiadaoman1981 11 місяців тому

    Innallillah waainnaillaihii raajuhun

  • @FainessiMateasi
    @FainessiMateasi 10 місяців тому

    Na huooo uso kama chula😮😮

  • @mtumwamalikmtumwamalik1304
    @mtumwamalikmtumwamalik1304 11 місяців тому

    😢😢duuu hatar umalaya meweka mbele hatar dunian tunapita tu

  • @MatroneNizigiyimana
    @MatroneNizigiyimana 9 місяців тому

    Iyi familia hawana adabu

  • @devotajulius7572
    @devotajulius7572 11 місяців тому +1

    Kumbuka mume wa mtu ni sumu.

  • @MariamAbuubakar-e5o
    @MariamAbuubakar-e5o 11 місяців тому

    Ila nyiny ndiyo mnalongwa

  • @sheikhasalim1190
    @sheikhasalim1190 5 місяців тому

    aibu hii mtoto wa kiislam! unajisifia uzinzi

  • @ukhtylatifa1062
    @ukhtylatifa1062 11 місяців тому

    Hilo domo khaa hovyo mtoto mdogo wajiharibia zinaa imekuwa kama fashion subhanallah 😢😢😢

    • @Shuu.A
      @Shuu.A 11 місяців тому

      Wabongo wanaona sifa zinaa

  • @KurthumKhamis
    @KurthumKhamis 7 місяців тому

    Kaaa ukijuwa malipon dunian yatakukuta mung yupo

  • @MawaddaKhamis-zh3kc
    @MawaddaKhamis-zh3kc 11 місяців тому +1

    Ovyoo tafuta kazi fanya wacha kujisifia zinaa uso umekushupaa mtoto mdogo

  • @HamidaSaid-d6p
    @HamidaSaid-d6p 11 місяців тому +1

    Una laana ww

  • @MatroneNizigiyimana
    @MatroneNizigiyimana 9 місяців тому

    Mume hana

  • @zawadikasim6679
    @zawadikasim6679 11 місяців тому

    Jamani

    • @SafiyaJ-yw2vt
      @SafiyaJ-yw2vt 3 місяці тому

      Cku Akirogwa hapo uso chini Ndo cku atajuta kuzaliwa

  • @MizeKombeSuleiman-id1rp
    @MizeKombeSuleiman-id1rp 11 місяців тому

    Wanaume washakuchokesha waona sifa kujidai kutembea na mume wa mtu ng'ombe mwitu ww

  • @leilasaid3623
    @leilasaid3623 7 місяців тому

    Ummmmh

  • @marykirigiti203
    @marykirigiti203 11 місяців тому +2

    pumbavu domo chafu

  • @MizeKombeSuleiman-id1rp
    @MizeKombeSuleiman-id1rp 11 місяців тому

    Wanaume washakuchokesha waona sifa kujidai kutembea na mume wa mtu ng'ombe mwitu ww alafu mtangazaji anachochea kuni moto uwake

  • @aishatest4451
    @aishatest4451 11 місяців тому

    😢😢😢😢😢

  • @sheikhasalim1190
    @sheikhasalim1190 5 місяців тому

    itakuwa hana akili mtu mwenye akili zake hawezi kuongea ujinga huu mbele ya kadam nnas

  • @sharifahabsi5004
    @sharifahabsi5004 11 місяців тому

    Mmmh😮

    • @HawaDegwa
      @HawaDegwa 11 місяців тому +1

      Huyu dad's c mzima

  • @ashahassan2120
    @ashahassan2120 11 місяців тому

    Anaona zifa kusini sula baya lama nazi

  • @Leylah-pz5sc
    @Leylah-pz5sc 11 місяців тому

    Maskini huyu mtoto kakosa malezi, na ndo mana zabibu kajiondokea asije kuuzwa bure na mkwewe loh famila chafu

  • @OmanOman-fr5hl
    @OmanOman-fr5hl 11 місяців тому

    Huyu mschana ni mhuni na kamafata mama yke kwa ujumla fmly yote hio ni yakishenzi

  • @NiceWatson-y7e
    @NiceWatson-y7e 11 місяців тому

    Hilo domo sasa bwakubwaku 😅😅😅😂😂 ndo maana aliacha shule mwishoe kimimba ndwii ndo atajua ajui kama mume wa mtu mtamu au mchungu

    • @nasrafadhili7408
      @nasrafadhili7408 11 місяців тому

      Huyu mimba abebi atakuwa anachomoa kila siku

  • @nurumwinyi796
    @nurumwinyi796 11 місяців тому

    Hii familia mthiani mtupu,yote mabaya yapo kwa hii familia,mola hainusuru yarrabi

  • @marymanoni5536
    @marymanoni5536 11 місяців тому

    Huna akili wewe una laana ww na familia yako

  • @UmayyaNkya-ze3ri
    @UmayyaNkya-ze3ri 11 місяців тому +1

    Ujinga kujicfia upuuz tuu

  • @MizeKombeSuleiman-id1rp
    @MizeKombeSuleiman-id1rp 11 місяців тому

    Wanaume washakuchokesha waona sifa kujidai kutembea na mume wa mtu ng'ombe mwitu ww

  • @MizeKombeSuleiman-id1rp
    @MizeKombeSuleiman-id1rp 11 місяців тому

    Wanaume washakuchokesha waona sifa kujidai kutembea na mume wa mtu ng'ombe mwitu ww