Amen mtumishi nikiwa tarime nafatilia mahubiri tukisali pamoja umenibadirisha sana sikua jinsi kama nilivyokua maisha ya nyuma Niko na amani barikiwa sana
Baba Ubarikiwe sana kwa huduma hii Napenda kukusikiliza sababu kupitia wewe na mafundisho yako nazidi kupenda maandiko naona nimechelewa kuijua WRM. Neno ni Tamu na Kristu Yesu ni Mzuri sana. Makubwa niliyotendewa kupitia huduma hii sitaacha kumtukuza Mungu siku zote. maana Ushuhuda wangu ni mzito umenipa heshima kubwa sana.
amen mtumishi najiungamanisha na madhabau nikiwa nawe nabii
Baba naomba namimi nifunguliwe🙏🙏🙏🙏 in Jesus name
amina mungu naomba umlidishe mpenz wangu amenichunia bila sababu mungu mfungue
Njia zangu za mafanikio zilizofungwa zifunguliwe kwa jina la Yesu Kristo
Amina baba ubarikiwe notation neno lako❤❤❤
Baba mungu akubariki napitia wakati mgumu sana kira nina chopanga hakitimii lakini kwa neno naenda,kufanikiwa
Mungu nifunguwe na roho chafu za mauti
Waondoke Leo Leo in Jesus name
Mungu naomba unipe mme wangu aliye sahih
Niondoke kwenye madeni na mradhi Kwa jina la yesu wa nabihi suguye napokea na kuamini
Baba mungu akubariki saidia familiyayangu
Amen mtumishi nikiwa tarime nafatilia mahubiri tukisali pamoja umenibadirisha sana sikua jinsi kama nilivyokua maisha ya nyuma Niko na amani barikiwa sana
God bless you a man of God
Baba mungu akubari napitia wakati mgumu sana kila nipangapo jambo halitimii lakini sasa ivi naenda kupokea katika jina la yesu
Baba mimi wananivuruga sana kichwa kinauma sana roho ya hofu ya umauti kuhisi kupiga kelele nisaidie baba angu yesu usiniache
Baba nibaliki nami niweze kufanikiwa
Amina
Amina!! Mungu naomba niponye uvimbe
Amina baba najua namm rdhiki yngu japo wanaichelewesha lkn kwa Iman najua mungu attenda
Mungu wanabii suguue nifungue namimi mak
Madhabahu yenye nguvu Mungu azidi kukutumia mtumishi
Baba Ubarikiwe sana kwa huduma hii Napenda kukusikiliza sababu kupitia wewe na mafundisho yako nazidi kupenda maandiko naona nimechelewa kuijua WRM. Neno ni Tamu na Kristu Yesu ni Mzuri sana. Makubwa niliyotendewa kupitia huduma hii sitaacha kumtukuza Mungu siku zote. maana Ushuhuda wangu ni mzito umenipa heshima kubwa sana.
Amina naomba mungu awekeunzio wamoto kwenye mazao yangu niliyolima maan maadui niwengi
Kupitia neno naomba mama angu akafunguliwe🙏
Mungu unisaidie nisipuuzie neno lako
Malaika WA Bwana wanichomoe kwenye vifungo Mimi na watoto WA uzao wangu,,,, Amen
Amen naikomboa ndoa yng Kwa damu ya Yesu
Adui zangu waachie maisha, mafanikio yangu uponyaji wangu kwa jina la Yesu kristo mwana wa Mungu aliye hai.
Naomba mungu anifunguwe katika Maisha yangu napitiaa Maisha magum sana naomba baba utabirii wako
Naitwa Joyce hamisi naomba unitabirie baba napata wakati magum sana baba yang wa kiroho
AMEEN BABA ubarikiwe sana naomba MUNGU anisaidie mimi na famililia yangu
Mungu mfungue mpenz wangu huko alipo Kwa Imani mfungue anitafute asinichunie bila sababu Kwa Imani mfungue
Amena baba nabarikiwa naneno namafundisho yako
Mungu nifingue na mimi naumwa mwili mzima
Nabii ninakua.ini sana naomba maobi yako na sumbuliwa na presha
Nipste kupona
Bwana yesu asifiwe
Maadui wangu wote wakaangamie
Amen napokea🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Naomba niombee biashara yangu yifunguliwe wateja waje
Amina baba
Baba niombe nifanikiwe katika maisha yangu
Napenda sana mafundisho yako. Amen.
Napokea
Mungu nifungue
Amen Leo kibiko ni ya kwao🙏🙏🙏🙏
Baba naomba niombee niweze kufungiliwa kwenye vifungo
Amen
Ukweri baba amen amen amen
Mungu akuzidishie kila siku yako
Ameen
Amen mydady🙏
Nakupenda sana suguye
Najiungamanisha na ibada hii nipate kazi
Ameen
Mungu atusaidie
Nakuelewa sana baba.
Keeo iondoke Leo kwa jina la yesu
Baba naomba Leo niwena amani
AMEEN ADUI AACHIE MAFANIKIO YANGU KATIKA JINA A YESU🙏🙏🙏
Ameeeen baba
Ameen baba ❤
Amen amen baba
Nakukubali sana chief
Baba yangu nifungue Mimi na familia yangu pamoja na biashala yangu
Mmewangu aachane na yule mwana mke
Amen Baba ❤❤❤
Kupitia neno hili mama yangu akafunguliwe
Oh Lord help me
Napokea kuinuka kiuchumi kwajina layesu
Shalom baba yangu wakiroho
Baba yangu mfungue mpenz wangu huko alipo kuanzia kesho anitafute asinichunie bila sababu
Nakukubali sana
Baba yangu nisaidie Mimi na familia yangu na Uchumi wangu
Mungu naomba uniponye uvimbe na magonjwaa mwilini mwangu
Baba naomba unionekanie katika unabii wako jumapili 16/6/2024 naiwe ivyo
Amen🙏🙏
AMEN
Emeee❤
safisan
Nataka tuishi kwa amani
Shetani achia mafanikio yangu
Nachukua maji yaliyo hai katika ulimwengu Wa roho Leonada massati kutoka bagamouo
Mngu nahombaunisaidie nifunguliwe
❤❤❤❤
Baba nipo hospital hapa nimelazwa nimeambiwa mimba mda wowote inatoka niombee baba mimba isitoke
👏👏👏
❤
Adui achie mafanimio yangu na familya yangu
Aduo ata niweza kwajina layesu
Ameeen
Naitwa Eliza HUSSEIN KONDO Niko kijitonyama
Nachukua maji yaliyo Hai
Natokea Kijitonyama naomba uniombee sh
Kila aliefunga ndoa angu nifunguliwe Leo na nipate ndoa sahihi
Ninajiungamanisha na ibada napokea maji yaliyo hai ktk ulimwengu wa roho. Naitwa Leah Charles mbeho nipo tabora
Anaye nivuta nisiolewe arudishwe nyuma
Waliofunga nisiolewe Leo warudi nyuma
Mung nitie nguv
Ninachukua maji ktk ulimwengu wa roho nakuwa hai
Kila nikipata mchumba ananiacha t na ninaota ndoto mbaya t
Nimalize madeni yote
Unaongea na Mimi kabisa baba
Hakika Naitaji Maombi yako😂😂😂
Mungu nifunguwe na roho chafu za mauti
amina mungu naomba umlidishe mpenz wangu amenichunia bila sababu mungu mfungue
Amen
Ukweri baba amen amen amen