NABII SUGUYE Aibua Mapya Kushukiwa na Malaika

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024
  • Subscribe / uwazi1
    Mchungaji wa Kanisa la WRM, Nicholaus Seguye 'Nabii Suguye', Ametoa Ushuhuda kwa kutokewa na malaika na Kuanzisha Kanisa la WRM Kipindi anafanya kazi ya ulinzi na kutaka atumikie wanadamu.
    FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari Visit globalpublishe..., Subscribe / uwazi1
    Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… / uwazi1 / uwazi1 / uwazi1 WEBSITE: globalpublishe... FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM: / globalpubl

КОМЕНТАРІ • 242

  • @brightmollel6698
    @brightmollel6698 3 роки тому +2

    Thank u all this ministry WRM had helped me believe in God and to be obedient to God word.Hallelujah Hallelujah glory be to God

  • @user-ff4zh5ky4z
    @user-ff4zh5ky4z Місяць тому +1

    Toka nimjue mungu wa wrm mungu wa prophet suguye amenitendea mambo makubwa sana na ninaendelea kupokea miujiza dable dbl❤

  • @salhashaban8152
    @salhashaban8152 3 роки тому +1

    Naangalia kupitia TV tu ila nimesha jiungamanisha kuwa wrm ni dhehebu langu na chif profect suguye ni baba yangu wa kiroho mungu amemleta tumtumie na nimahali sahihi na mtu sahihi wa mungu nabarikiwa sana sana na uwepo wa baba yangu wa kiroho

  • @gizzoforshizzo
    @gizzoforshizzo 6 років тому +6

    Kazi ya Mungu Lazima iwe na vikwazo vya binadamu na ndio maana Yesu alisulubiwa msalabani. Hata kama Yesu Kristo angekuja wakti huu wapo ambao watampinga tuuuu tena. Kama kwa shetani tuu unatoa sadaka kwanini Kwa Mungu usitoe

  • @bonnystanslaus4900
    @bonnystanslaus4900 5 років тому +3

    Nakupenda sana Baba na toka nimefika kivule namuona Mungu,,Mungu akupe maisha marefu

  • @frolamboya9919
    @frolamboya9919 5 років тому +4

    Baba angu atumii kitu chochote , baba angu ni mzaliwa wa Mungu , Baba angu atumii lolote zaidi ya nguvu za Mungu , WRM church kuna uwepo wa kweli wa kimungu , Nakupenda sana Baba ,

    • @Lissarams
      @Lissarams 3 роки тому

      Waambie ❤️❤️

    • @prosperjuma905
      @prosperjuma905 Рік тому

      Na nywele za utosi na kucha? Za nini zile?

  • @sabinaboas6760
    @sabinaboas6760 5 років тому +1

    Hallelujah Our Papa you’re blessed,i love you mucho mucho

  • @juanaboaz5144
    @juanaboaz5144 6 років тому +11

    waooo nimefurai xna kumuona nabii wang Nicholas suguye mung akubariki xana

    • @edisonshepherd9734
      @edisonshepherd9734 3 роки тому

      you prolly dont care but if you are stoned like me during the covid times then you can stream all of the new movies and series on instaflixxer. Been watching with my gf during the lockdown xD

    • @kylermessiah2215
      @kylermessiah2215 3 роки тому

      @Edison Shepherd Definitely, I've been using instaflixxer for years myself =)

    • @jaylenyousef146
      @jaylenyousef146 3 роки тому

      @Edison Shepherd Definitely, been watching on instaflixxer for months myself :)

  • @frolamboya9919
    @frolamboya9919 5 років тому +1

    Waoooooooooh!!! My spiritual Dady Love you so much 😘

  • @marypeter4584
    @marypeter4584 6 років тому +12

    Asante Yesu kwa maisha ya Nabii Suguye. umpe maisha mareeefu na baraka tele.

  • @evaaggrey2971
    @evaaggrey2971 6 років тому +16

    tunaitaji macho ya Rohoni tunaitaji kuwa na bidii sisi wenyewe kujiombea, kusoma neno kufunga Mungu atakufanikisha na Mungu akupe maelekezo wapi pakusali ili kuijua kweli ya Mungu itapunguza kuhangaika

    • @elizabethcharles875
      @elizabethcharles875 6 років тому

      You are true

    • @thomasgodfrey8421
      @thomasgodfrey8421 6 років тому

      izuri sana,ila kumbuka Yesu anatuombea.
      Usipotoshe Ukweli,wa Mungu.

    • @Justine_motors
      @Justine_motors 5 років тому

      Habar ya unzim

    • @geitandelwa299
      @geitandelwa299 2 роки тому

      Na MUNGU ATUSAIDIE NYAKATI HIZI NI HATARI MNO NI BORA KUMULILIA MUNGU JUU YA DHAMBI ZETU MAANA JEHANAMU IPO KWA SASA watu hatuambiwi habali ya kutubu dhambI Ila magonjwa TU wakati magonjwa MENGI Ni kwa SABABU ya dhambI zetu

  • @mailinamanojela8142
    @mailinamanojela8142 6 років тому +4

    Ubarikiwe Mtu wa Mungu saana

  • @gwamakaallen5110
    @gwamakaallen5110 5 років тому +3

    Nakupenda sana nabii suguye mungu akubaliki sana

  • @user-bm3zb3gh6s
    @user-bm3zb3gh6s Місяць тому

    Asante baba

  • @jacksonrichard6377
    @jacksonrichard6377 3 роки тому

    amina baba wetu wakiloo kwa mafanikio yangu nafamiliya yangu tuliteseka sana tulikuwa tukiumwa malakwama tulihangaika sana hapanapale hatukupata mafanikiyo nilipo kanyanga wrm matatizoya yangu yalipotea kweli mimi namushukulu sana baba kwayote aliyo nitedea tuna shukusana panafamiliya tumepata mkombkzi wayonge sitamu acha nitamutumiya maishakwangu

  • @eliyagikaro6426
    @eliyagikaro6426 6 років тому +19

    Mimi mwenyewe niliponywa vidonda vya tumbo.vilinisumbua sana.Huyo mtumishi ni zawadi Mungu ametupatia,tumtumie vizuri.

    • @victoriatemu6149
      @victoriatemu6149 5 років тому +1

      Namba yake jaman kwa sisi wa mbali

    • @sabinaboas6760
      @sabinaboas6760 5 років тому

      Amen kabisa tunamshukuru Mungu kwa kutupa nabiii 🇹🇿

    • @millionairejeffreysunofbez3766
      @millionairejeffreysunofbez3766 5 років тому

      Nabii gan kumuona tu pesa elf 30,..Je ? yesu alilipwa kumuona..??

    • @Neema182
      @Neema182 4 роки тому

      Haujasoma maandiko? Mathayo 24:24
      [24]Kwa maana watatokea makristo wa uongo, na manabii wa uongo, nao watatoa ishara kubwa na maajabu; wapate kuwapoteza, kama yamkini, hata walio wateule.

    • @kitalutaactpr9495
      @kitalutaactpr9495 4 роки тому

      Neema Na we ni moja ya wale WA 66. ..SOMA MATENDO 2. mstari 17-19
      .
      17 Itakuwa siku za mwisho, asema Mungu, nitawamwagia watu wote Roho yangu, na wana wenu na binti zenu watatabiri; na vijana wenu wataona maono; na wazee wenu wataota ndoto.
      18 Naam, na siku zile nitawamwagia watumishi wangu wanaume na wanawake Roho yangu, nao watatabiri.
      19 Nami nitatoa ajabu katika mbingu juu, na ishara katika nchi chini, damu na moto, na mvuke wa moshi.

  • @sabinaboas6760
    @sabinaboas6760 5 років тому +1

    Hallelujah thank you our miracle workers in the name of Jesus

  • @sabinaboas6760
    @sabinaboas6760 5 років тому +1

    Amen hallelujah praise the Lord

  • @devotacassian4352
    @devotacassian4352 6 років тому +8

    nakupendaa mnoooo Nabii wa Mungu Nicolaus Suguye naangalia sana WRM bado sijafanikiwa kufika Kivule naamini ipo siku Mungu atanipa kibali. ila naumia kwa tozo ya 50000 mnayotoza nashindwa kuelewa kwanini jamani tunatoza neno la Mungu. Mungu amesema nimewapa bure toeni bure pamoja na kujieleza Nabii wangu unatoza kwa ajili ya stationary na malipo ya watenda kazi lkn Nabii wangu sadaka si zipoo Mimi kwa uelewa wangu, watu wangesajiliwa bure sio utoze pesa jamanii naumia Sana na hilo naona kama unaiuza karama aliyokupa Mungu. tumia sadaka kulipia hivyo ulivyosema. samahani Nabii kwa hili. Bwana atubariki sote

    • @evaaggrey2971
      @evaaggrey2971 6 років тому

      haaaaa 50000 ndo uombewe😂😂😂tunaitaji macho ya Rohoni

    • @pastor_mashimo
      @pastor_mashimo 6 років тому

      Devota Cassian huyu ni nabii wa uongo kabisa

    • @juliuskimeyj193
      @juliuskimeyj193 6 років тому +1

      hello dada devotha. naomba tuwasiliane kama hutojali. kwa e mail: juliuskimey@gmail.com au whats up namba +255 625 589 627

    • @deborahmwasaga6861
      @deborahmwasaga6861 6 років тому

      Nilitoka mkoani kufuata uduma ya maombi kwa mtumishi mmoja sistamtaja jina lake nilipomtumia messag nataka kuonana nae niliambiwa nilipie dola 200 ili niudumiwe

    • @janesuma2193
      @janesuma2193 6 років тому

      Devota Cassian kwanin umuombe msamaha wakati unajua anakosea uwo msamaha wa nin

  • @leonardkigutu7716
    @leonardkigutu7716 5 років тому +2

    Umejieleza vizuri mtumishi wa Mungu.

  • @FRAVIANMAKENE
    @FRAVIANMAKENE 6 місяців тому

    Amina

  • @bonita8448
    @bonita8448 6 років тому +1

    Mimi nafunguliwa kila siku nisikilizapo na kutazama WRM napokea namwamini Mungu wa kaka nikolauc suguye na nitakuja nishudie tu mambo makuu naamini sana sana Mungu Ambariki sanaaaa

  • @jacksonrichard6377
    @jacksonrichard6377 3 роки тому

    amina

  • @joserinajoseph607
    @joserinajoseph607 2 роки тому +1

    Amen 🙏

  • @neemamkakata1574
    @neemamkakata1574 7 років тому +1

    Mungu aendelee kukupa More grace...nimesikiliza ushuda wako nmebarikiwa mnoo...

  • @prophetjacksonibrahim7075
    @prophetjacksonibrahim7075 6 років тому +2

    Hongera Dad Mungu ni Mkuu zaidi

  • @chumachuma9100
    @chumachuma9100 6 років тому +3

    Mungu akutunze nabii binafsi nakukubali tangu siku ya kwanza nilipoangalia chaneli yako wewe ni zaidi ya nabii Mungu anakutumia kwa namna ya tofauti wanaokusema vbaya shauri yao Songa mbele baba unatusaidia sana nahao wanaosema unatoza elfu hamsini mbona mimi nimeshiriki mkesha wa siku yako yakuzaliwa bila garama tenant maombezi ya nguvu name nimepokea uponyaji bureeeee acheni maneno yakuambiwa jamani fika mwenyewe ujionee

  • @misagocleophas9742
    @misagocleophas9742 5 років тому

    Mungu akuzidishie IMANI zaidi, nabii Nicolaus SUGUYE.

  • @linahtsino1023
    @linahtsino1023 4 роки тому +2

    Lakini jamani naona watu wanahoji Sana suala la kumtolea Mungu,lakini wakifika hospital hawaulizi,wakifika kwa waganga wanaweka tu bila kuuliza,acheni hizo bhana,maana Kuna Siri kubwa Sana katika utoaji .

    • @Lissarams
      @Lissarams 3 роки тому

      Meona eeeh 🤣🤣🤣🤣

  • @Neema182
    @Neema182 4 роки тому +2

    Mathayo 24:24
    [24]Kwa maana watatokea makristo wa uongo, na manabii wa uongo, nao watatoa ishara kubwa na maajabu; wapate kuwapoteza, kama yamkini, hata walio wateule.

    • @Tutindaga
      @Tutindaga 4 роки тому

      the way anavyosimulia napata mashaka na huduma yake!!!!!!!!!

    • @Lissarams
      @Lissarams 3 роки тому

      @@Tutindaga nenda kanisani uubliwe mwenzake alikua the same 🤣🤣

  • @trophainamagogwa1163
    @trophainamagogwa1163 5 років тому +1

    Kibaha huko ndo hatari kwa nguvu zA giza .lakini tukumbuke neno la mungu linasema siku za mwisho watu watajitenga na imani ya kweli na kuwafuata manabii wa Uongo

  • @sabinaboas6760
    @sabinaboas6760 5 років тому

    Exactly you’re right Papa

  • @trophainamagogwa1163
    @trophainamagogwa1163 5 років тому +3

    Sema kabisa Ni makanisa Mapya kwa kweli.hasa hayo ya Akina suguye ni ya nyakati za mwisho

  • @sabinaboas6760
    @sabinaboas6760 5 років тому +1

    It’s true Papa

  • @tabumasumbuko7213
    @tabumasumbuko7213 4 роки тому +1

    Hongera kwa sababu unataja motoo Damu ya yesu kristu

  • @bettyandeso6559
    @bettyandeso6559 5 років тому +1

    AMEN.

  • @goldmansun5859
    @goldmansun5859 6 років тому +4

    malaika ni ishu ya kawaida sana kwa MTU aliyeokoka,ninyi mnalindwa na majini,mnapandisha n so on,sis malaika ni marafiki,point amekuja kusema nn ndio inaleta uxito ,haya yalikuwa for Israel,wakatema,sasa ni mataifa,Mungu huzungumza na yupo hai,yule yule aliyezungumza na kusanyiko la Israel ndio anasema nasi today tunaona,hata Mimi alintokea YESU, akaniponya ,nimeokoka n he promicd to bles me

  • @victorhamli3835
    @victorhamli3835 6 років тому +5

    nimempenda sana mtangazaj ameuliza maswal mazur na ya mcng bila woga. hivyo ndvyo wanahabar mnavyopaswa kuwa ucjal unayemhoj n nan

  • @neema.mmichael5873
    @neema.mmichael5873 Рік тому

    Mungu wa wrm nakupenda🙏🙏

  • @julietkarembocharo8255
    @julietkarembocharo8255 4 роки тому +1

    Kama hauna la kusema afadhali unyamaze kuliko kukufuru nabiii wa mungu. Mungu awasamehe

  • @jacksonrichard6377
    @jacksonrichard6377 3 роки тому

    amina baba

  • @ndikuriyolisa4329
    @ndikuriyolisa4329 3 роки тому

    Nawasalimiya katika jina la Yesu kristo mimi kwamajina ni Lisa ndikuriyo natokeya Burundi Bujumbura
    Nimepata nehema yakusikiya ushuhuda tofahuti mbali mbali na mimi nikaona naweza kusaidiwa namutumishi wake nabi Suguye naitaji maombi tena Nina imani ntambalikiwa

  • @godfreyamen1135
    @godfreyamen1135 6 років тому +2

    kila mtu nabii siku hizi,watu wa Mungu wekeni IMANI kwa Mungu sio manabii.

  • @witnesskivaria7483
    @witnesskivaria7483 6 років тому +1

    asante mtumishi wamungu

  • @prophetjacksonibrahim7075
    @prophetjacksonibrahim7075 6 років тому +2

    amen

  • @frolamboya9919
    @frolamboya9919 5 років тому +2

    Baba Nakupenda mno , wewe ni Baba angu no one like you my father , daaaah!! Nakupenda sana Ila nahitaji kukufanyia kitu baba angu

  • @kilonzolucy4932
    @kilonzolucy4932 2 роки тому

    Hakika u nabii was Mungu Alie juu🙏🙏🙏🙏amen

  • @maulidnyoni7838
    @maulidnyoni7838 6 років тому +5

    wasiosoma maandiko wataburuzwa saaaaaana?but Mungu yupo

    • @Tutindaga
      @Tutindaga 4 роки тому

      ndio hayo mazuzu likienda kanisani wakisema pokeaaa linapokea tu bila kuchunguza

  • @brightmollel6698
    @brightmollel6698 3 роки тому

    Believing is possessing indeed! Lord I believe help my unbelief in Jesus Christ name- Ameen

  • @isackathanasi4876
    @isackathanasi4876 4 роки тому

    Ameen

  • @apostlestephenkangethe5095
    @apostlestephenkangethe5095 4 роки тому +1

    Kunawezekano mtu akikombolewa lazima afanikiwe na hiyo hunduma no ya Yesu kabisha na Mungu aimbaliki

  • @edwardmsaso7311
    @edwardmsaso7311 4 роки тому

    Watu wanahoji kwamba kama wewe n mtumishi kweli nebda kafufue watu hospitali,mbna viziwi wapo,mbna hiki hakiko xawa,kweli dhahabu safi usafishwa kwa moto,binadamu hata ufanye nn bora ndio kwanza watakubebesha mzigo zaidi,hata Yesu mwenyewe walimuambia ivoivo kwamba anatoa mapepo kwa nguv ya baalzebuli,na Yeye mwenyewe alisema,mtumwa gawezi kumzid bwana wake,hatuwashangai jaman wanadamu hata leo Yesu angefika leo inawezekana tungemfanyia vibaya zaidi kuliko wale wa kale,Neema ya Mungu itujilie vinginevo adui yetu ametufunga vutambaa vyeusi atuoni

    • @happymaghobe7275
      @happymaghobe7275 3 роки тому

      Hata yesu alijaribiwa kwa kuambiwa kama kweli ww mwana wa Mungu geuza jiwe kua mkate kwaiyo iyo unayoiona ni sauti ya shetani kupitia mwanadamu

  • @barakahamis4389
    @barakahamis4389 2 роки тому

    Mungu ampe viwango vya juu sana

  • @verocioucphabrius2031
    @verocioucphabrius2031 3 роки тому

    Amen

  • @devisshirima6780
    @devisshirima6780 3 роки тому

    Na ni kweli hakuna baraka za bure, sadaka ni muhimu sana, huwezi kupokea bila kutoa. Hata watu wa duniani mfano waganga wa kienyeji hata mizimu haiwezi kufanya jambo bila sadaka, sasa kwa Mungu mtu anaona ukakasi gani kutoa sadaka? Mimi kwenye suala la kutoa sadaka sintoacha kutoa and siwezi kujudge kuhusu utoaji, kama Baba yetu Abraham aliweza kufikia hatua ya kutaka kumtoa Isaka kama sadaka mimi ni nani nisitoe sadaka hata iwe ni shilingi ngapi kama Mungu kanijalia pumzi na pumzi hiyo inanisaidia kutafuta riziki kwanini nisitoe sadaka? Jaribu kufikiri ingelikuwa binadamu anaenda kituoni cha mafuta kama ilivyo gari kujaza uhai leo hii usingeliitafuta pesa ili uendelee kuwa hai ? Tunaamini Mungu yupo na ndiye atupaye zawadi ya uhai kwanini usitoe sadaka ? Na sadaka hiyo unaweza kuitoa kwa namna mbalimbali ambayo Mungu atakugusa !! Hivyo kama una pumzi jifunze kumtolea Mungu na unapotoa usianze kuuliza nilichokitoa kimeenda wapi au kwa nani, Wewe toa na umshukuru Mungu !!!

  • @AnnaAnna-ip6bt
    @AnnaAnna-ip6bt 6 років тому +2

    Nabarikiwa sana ninapoitaza WRM

    • @winnyandrea555
      @winnyandrea555 6 років тому

      mtumishi wa Mungu tutembelee Arusha

    • @winnyandrea555
      @winnyandrea555 6 років тому

      utoaji na michango ni kila kanisa

    • @scollorpatrick7214
      @scollorpatrick7214 5 років тому

      Wachungaj kwanza matapeli ila iposiku mtakufa tu namali zenu mtaziacha yan mtu unashindwa kwenda kanisani kisa michango kamann looooo

  • @bonnyngowo7567
    @bonnyngowo7567 5 років тому +1

    Baraka zipo katika kutoa kuliko kupokea.Kwa nini watu wanapenda kujua zaidi habari za Freemason na waganga wa kienyeji na wanaziamini kuliko kazi as Mungu aliye hai?

  • @prosperjuma905
    @prosperjuma905 Рік тому

    Siku Mungu akifuta sadaka basi dhehebu litabak moja tu duniani

  • @reganwillfred148
    @reganwillfred148 6 років тому +3

    Hakika mungu yupo

  • @mropetbjoshotz334
    @mropetbjoshotz334 7 років тому +2

    Amen Mungu akuzidishie Upako

    • @mariamarua804
      @mariamarua804 7 років тому

      mimi akaa America naomba unitumie number yako na mimi ya kwangu 443 500 7447 hiyo hapo

  • @user-vx5ke6on6i
    @user-vx5ke6on6i 3 місяці тому

    Kumtegemea mungu kunafaida anamtumikia mungu Wakweli hata akinunua ndege 20 huyo suguye nimbalikiwa mungu akutunze property wetu

  • @ndikuriyolisa4329
    @ndikuriyolisa4329 3 роки тому

    Nimebahatika kujioneya matendo makuu mungu anamutumikisha mutumishi wake apporte suguye Naomi nikatamani Siku moja Ani ombeye

  • @ndikuriyolisa4329
    @ndikuriyolisa4329 3 роки тому

    gisina ona mungu akimutumikisha kwawengine Nami mungu atamutumikisha kwama isha yangu nayafamiliya yangu

  • @williamprosper7561
    @williamprosper7561 6 років тому

    Kiongozi wa kiroho inakupasa kuwa mzalendo.
    Musa aliambiwa na MUNGU achague watu safi 70 ili MUNGU aweke ndani hao roho ya uongozi iliyokuwa juu ya Musa ili wawe viongozi kumsaidia Musa kazi.
    Hesabu 11:16-17 " Kisha BWANA akamwambia Musa, Nikusanyie watu sabini, miongoni mwa wazee wa israeli, ambao wewe wawajua kuwa ndio wazee wa watu hawa, na maakida juu yao; ukawalete hata hema ya kukutania, wasimame huko pamoja nawe. Nami nitashuka niseme nawe huko, nami nitatwaa sehemu ya roho iliyo juu yako na kuiweka juu yao; nao watachukua mzigo wa watu hawa pamoja nawe, ili usiuchukue wewe peke yako."
    Inawezekana hata kwako Maaskofu au Wachungaji au Kanisa wamekuchagua au kukuteua ili uwe kiongozi safi wa kiroho.
    Swali langu je unatumika vyema na kwa utakatifu tena kwa kusudi la MUNGU?
    Je hujabadilika na kujiinua baada ya kupewa uongozi?
    Je nafasi uliyopewa haijakutumia vibaya?
    Ushauri wangu katika ujumbe huu nakuomba uwe kiongozi wa kiroho aliye mzalendo.
    Kiongozi wa kiroho mzalendo ni yupi?
    Kiongozi wa kiroho mzalendo ni Mtumishi wa MUNGU ambaye anaipenda kazi yake na anatimiza majukumu yake vyema kwa kusudi la MUNGU.
    Mzalendo wa kweli hawezi kuonea watu, hawezi kutoa wala kupokea rushwa tena mzalendo hawezi kufanya kazi ya MUNGU kwa ulegevu.
    Ndugu uliyeitwa kumtumikia Bwana YESU hakikisha unakuwa mzalendo kwenye kazi yako ya kiroho uliyopewa na MUNGU.
    Ngoja nikutajie Kibiblia baadhi ya kazi za viongozi wa kiroho.
    1. Kulitunza na kulilinda kundi la MUNGU.
    Matendo 20:28.
    Yaani kuhakikisha mafundisho ya mashetani ama hayawafikii Kanisa la MUNGU au kuhakikisha hayo mafundisho ya mashetani hayawageuzi Kanisa hata wakamuacha YESU Mwokozi.
    Unalindaje kundi la MUNGU?
    ✔Kwa wewe kuwafundisha Kanisa kweli ya MUNGU ya Wokovu wa KRISTO YESU.
    ✔Kwa kuwaonya Kanisa ili wasitekwe na mafundisho yaliyo kinyume na Wokovu wa Bwana YESU KRISTO.
    Hakikisha pia unajua kufundisha Neno la MUNGU kwa usahihi wake(1 Timotheo 3:2)
    Kama hujui jifunze na soma sana Biblia.
    2. Kulilisha Kanisa na kulichunga.
    1. Petro 5:1-4
    Unalilisha Kanisa kwa kulifundisha Neno sahihi la MUNGU.
    Unalichunga Kanisa kwa kuhakikisha hakuna kondoo anatekwa na mawakala wa shetani.
    3. Kutawala vyema.
    1 Timotheo 5:17-18
    Kutawala vyema ni jukumu lako kama kiongozi wa kiroho.
    Viongozi wengi wa Kiroho husema kwamba lawama huwa hazikosekani lakini Mimi nakumbia kwamba isiwemo lawana hata moja uliyoisababisha wewe.
    Pia katika kutawala kumba na epuka kutumikiwa wewe.
    Bwana YESU mwenyewe alisema kwamba alikuja kutumika na sio kutumika, yaani kipindi Bwana YESU yuko duniani katika mwili kama wa kwetu alikuwa anatumika na sio kutumikiwa, hata sisi katika mwili tutumike na sio kutumikiwa.
    Kwa sasa tunatakiwa tumtumikie sana Bwana YESU maana yuko sasa katika utukufu wake, hivyo sisi wote yaani viongozi na wasio viongozi tumtumikie Bwana YESU na sio sisi viongozi tuwe watu wa kutumikiwa.
    Ndugu tawala huku ukiwa Mtumishi na sio mtumikiwa.
    4. Kulishika Neno la MUNGU na kulifanyia kazi.
    Tito 1:9
    Kiongozi wa kiroho lazima uwe na mfano katika kulitii Neno la MUNGU na kulifanyia kazi kwa kusudi la MUNGU.
    Hakikisha unakuwa kielekezo chema kwa mema.
    Sio wewe unaagiza kwa ukali kwamba Kanisa waingie katika maombi ya kufunga huku wewe wala huna mpango wa kufunga, sio unaagiza watu kutoa fungu la kumi huku wewe huwa hutoi.
    Ndugu, hakikisha unakuwa kielelezo chema katika mema yote.
    5. Kuwatembelea watu na kuwaombea.
    Yakobo 5:14-15.
    Kuwatembeleawatu sio mpaka ufike kwao ila hata kujua hali zao inapobidi kisha unawaombea ni jambo jema.
    Ikiwepo nafasi ya kuwatembelea basi fanya hivyo na kuwaombea.
    Ni jukumu la Kanisa kulijenga Kanisa la MUNGU.
    MUNGU akubariki Sana.
    By Peter Mabula.
    Mtenda kazi katika shamba la Mwokozi YESU KRISTO.

  • @bonnyngowo7567
    @bonnyngowo7567 5 років тому +1

    Mbona hatu-compromise tunapopewa masharti na waganga wa kienyeji?

  • @rechoanjelo3173
    @rechoanjelo3173 5 років тому +1

    Sio kweli uongo

  • @kokukalembo566
    @kokukalembo566 6 років тому +1

    Waambie Nabii hawajui nguvu iliyopo kwenye sadaka nikubwa sana

  • @sabinaboas6760
    @sabinaboas6760 5 років тому

    Kabisa Papa

  • @elizabethcharles875
    @elizabethcharles875 6 років тому +3

    Mmmmmm neno linasema siku za mwisho watatokeaaa manabiii wa uongoooo

  • @leahmwankundile8522
    @leahmwankundile8522 6 років тому +3

    global Tv nahitaji mahojiano nanyinyi nipeni utaratibu
    Nina ujumbe toka kwa Mungu juu ya hao watumishi

  • @onesmojustice2348
    @onesmojustice2348 3 роки тому

    Kama alikuja kiwiliwili tu huyo alikuwa abilisi mzimamzima. Ujue wengi hawajui kuwa ibilisi anaweza kujifanya malaika ata akaja kwa sura yoyote.

  • @magynzioka1122
    @magynzioka1122 6 років тому +3

    Nyani njirani zetu Tanzania mungu yu pamoja nanyi yani ukifa unafufuliwa haaaaa manabi mungu ana waona sasa mwataka ulizi wa nini na Mungu alikupa uwezo wa kufufua Yesu ataki security ukuwa nae una security Mungu ana kuona ata setani anjua mahadiko

    • @goldmansun5859
      @goldmansun5859 6 років тому

      tuonyeshe yupi wa Mungu, huyo mganga aliyekusaidia siyo,sura za kifarisayo unafik tu,mtukuze Mungu hata kwa matendo yak bas we mnafiki

    • @goldmansun5859
      @goldmansun5859 6 років тому

      Daud alikuwa akilindwa,na Israel walikuwa na jesh wakat wa Mussa,si wangelala tu Mungu mbna alikuwa palepale

    • @elizabethcharles875
      @elizabethcharles875 6 років тому

      Yaaan nishida sana

  • @atukuzwemungudaimaariseand6156
    @atukuzwemungudaimaariseand6156 7 років тому

    Ahsante kwakutuhudumia jamii

    • @mathalusako4108
      @mathalusako4108 6 років тому

      Usyeamini utabaki hivyo uluvyo. Neri waaminio

    • @saidirajabu5182
      @saidirajabu5182 6 років тому

      Namkubali sana nabii mungu amjalie maisha marefu

    • @halimamgas6402
      @halimamgas6402 5 років тому

      Wewe unaempinga usiwe una angalia alafu uja wahi kupata shida

  • @josephkisembe6663
    @josephkisembe6663 7 років тому +6

    Alikua amezimia.kama nikweli nenda mochwari kafufue walio lala.

    • @levinamtui489
      @levinamtui489 7 років тому +1

      Mungu akusamehe kwa kuto kuamini kwako ila jua kuwa hata Yesu hawakumwamini pia

    • @jacklineraymond7946
      @jacklineraymond7946 6 років тому +1

      ole wao wawasemao vibaya manabii wa MUNGU,, bara ukae kimya rafiki yasije yakakutokea ya wale vijana 42 waliomdhihaki Elisha nabii

    • @johncapera537
      @johncapera537 6 років тому

      Joseph Kisembe Joseph usemayo yote hayajakukuta ila mungu akusamenhe na kauli yako ulotoa si akili yako

    • @feyzalyusuph14
      @feyzalyusuph14 6 років тому +1

      mkuu kuna watu waongo duniani huyo jamaa namba 1 wanatokewa na majini wanakuja kutudanganya

    • @zainulmustapha7912
      @zainulmustapha7912 6 років тому +2

      feyzal Yusuph hii ni hatari sana tuwe makini na hawa manabii bandia

  • @elikajames9675
    @elikajames9675 5 років тому +1

    Nabii naomba kuuliza ww unaombea watu wanapona vilema church kwako wanatembea ukimwi kansa wanapona sasa unafeli wapi kuwaokoa watu hospital jmn kama ww kwel ni nabii wa ukwel watu wanakufa wafufue BA's tukuamin

    • @andrewdevangwammari
      @andrewdevangwammari 5 років тому +1

      Jibu Rahisi, Je Kuna kazi Isiyo Na ofisi? Hosipitali Ni Ofisi Ya Madaktari, Manabii Wanaofisi zao. Wanaomtaka Mungu Wamfuate Ofisini kwake.

    • @blessingalphonce4443
      @blessingalphonce4443 4 роки тому

      Mm acha maswali hayo bhana nabii wa kweli anatambulika kwa maisha yake na matendo yake prophète suguye m'aisha yake tu na mungu anavyomtumia inatosha kujua kuwa nabii wa l'élu, Nathan umeelewa

  • @clementinamolel1216
    @clementinamolel1216 4 роки тому

    Nauache kutumia maandiko ya kwenye bibilia kukashifu karama na vipawa mungu alivyo wala watu wake wengine mnakashifu wakati mnamatatizo mengi adi umeyakatia tamaaa I think we should try hard to thing perfect rather than to think less concerning the men of god because I am not so sure if your life is perfect

  • @marrysamwel1030
    @marrysamwel1030 2 роки тому

    Bwana yes asifiwe mtumishi nahitaji huduma ya maji na mafuta napataje naitwa marry samweli kutoka moshi

  • @leahmwankundile8522
    @leahmwankundile8522 6 років тому +1

    Ghaghabu ya Mungu inakuja juu ya hao Mungu anahasira sana

  • @tumapretty224
    @tumapretty224 6 років тому

    Mungu akutunze

  • @lucasezekiel8851
    @lucasezekiel8851 6 років тому +2

    Anatoza pesa uyo ukienda ofcn kumwona,,,loooh utumish gan huo

  • @leahmwankundile8522
    @leahmwankundile8522 6 років тому +3

    kukamuliwa tu pesa

  • @mathayojoseph4733
    @mathayojoseph4733 6 років тому

    Mm uwa najiuliza sana hivi hao malaika huwa nikwaajili yenu tu au wawote maana kila nabii alitokewa na malaika

  • @irrexjr9061
    @irrexjr9061 3 роки тому

    Jina la Yesu linajitosheza halihitaji kusaidiwa na chochote hizo ni biashara tu

    • @gabrielsaelie8091
      @gabrielsaelie8091 3 роки тому

      Yesu Kristo alißema majii ya uzima nitawapa bure. Leo Hawa manabii wanauza huduma wanaosema Wana uweza wa kuzitenda. Manabii Hawa ni waongo waliojipatia nguvu kutoka kwA shetani. Badala ya kuhubiro wokovu wa Kristo Yesu wanaohubiri utajiri. Seguye waziwazi through body language ansonekana wazi ni mwongo.

  • @binurarassi8156
    @binurarassi8156 7 років тому

    Mungu akupe maono zaidi.

  • @chrismassawe326
    @chrismassawe326 6 років тому +4

    Huyo malaika Alikupa agizo lipi?ufanye nini?musa alitumwa kutoa watu utumwan,eliya mtishbi kujenga madhabahu ya BWANA,yesu alitumwa kuokoa watu na dhambi zao,Eliya adam wapili alitumwa amjengee MUNGU kanisa wewe unaagizo lipi?usanii mtupu

    • @kananaester9255
      @kananaester9255 6 років тому

      chris massawe mwmbie imekuw kubw

    • @kananaester9255
      @kananaester9255 6 років тому

      chris massawe haujui mung hapatan na machoz

    • @danielpatrickrobert125
      @danielpatrickrobert125 6 років тому

      chris massawe ndio nan adamu wa pili

    • @danielpatrickrobert125
      @danielpatrickrobert125 6 років тому

      chris massawe good

    • @linaaloys2585
      @linaaloys2585 6 років тому +4

      Daniel Patrick Robert .huyu Nabii nimeenda kwake hanijui simjui toka nasoma navaa miwani aliniambia miwani leo mwisho nimefika nyumbani naanza kutuma SMS bila miwani mpk leo sivai miwani

  • @richestcousin
    @richestcousin 6 років тому +1

    Tafuteni Interviewers wazuri...

  • @bekabakari7857
    @bekabakari7857 3 роки тому

    Mtangazaj kwakweli maswali unayouliza sidhan km unajielewa kujenga kanisa kubwa linahusiana na nn

  • @magrethstanford9175
    @magrethstanford9175 5 років тому

    Nakuamini bila maswali baba yangu no 1

  • @alumasialoyce8303
    @alumasialoyce8303 2 роки тому

    tumshukulu mungu kwa kila jambo

  • @nehemiaboniphace9239
    @nehemiaboniphace9239 6 років тому +1

    tunaomba ututembelee shinyanga kwani wengine hatuna uwezo wakufika huko ila tunamatatizo makubwa sana

    • @janesuma2193
      @janesuma2193 6 років тому

      Nehemia Boniphace muombe Mungu aondoe matatizo yako utamtegemea mwanadamu mpaka lini

  • @feyzalyusuph14
    @feyzalyusuph14 6 років тому +7

    hahaha wacha nicheke kwanza maana watu wameaoma ila elimu zao ni bure bible wanaisoma kma gazeti wacha waibiwe tu maana hakuna namna

  • @qurankareem582
    @qurankareem582 6 років тому +4

    Ngoja nikupe Dili la Ella ndefu ....NENDA KAMFUFUE AKWELINA AKWELINI ...yani inapiga ela mpaka utaacha

  • @theopistermuhozya1017
    @theopistermuhozya1017 2 роки тому

    Uwe hai baba nikuona ubalikiwe

  • @millionairejeffreysunofbez3766
    @millionairejeffreysunofbez3766 5 років тому +1

    Nabii wa uongo ....tunawajua kwa matendo yao

  • @happyarooun6037
    @happyarooun6037 5 років тому

    liongo kweli mungu hajawahi sema na mtu anaongea kupitia manabii

  • @fcfrebu
    @fcfrebu 6 років тому +2

    Uwe Hai.

  • @feyzalyusuph14
    @feyzalyusuph14 6 років тому +2

    eti yesu kanitokea ngoja nishuke hili gari nililopanda sio

    • @ashuraalex7006
      @ashuraalex7006 6 років тому

      feyzal Yusuph mtu wa mwilin ni vigumu sana kumtambua mtu rohoni sio kosa lako

    • @feyzalyusuph14
      @feyzalyusuph14 6 років тому

      +ashura Alex muulize huyo jamaa yesu yupoje?,,hata anavyoongea unaona kabisa ni muongo tumia akili kufikiri vitu vingine sio mpaka malaika akushukie

    • @feyzalyusuph14
      @feyzalyusuph14 6 років тому

      +ashura Alex maji ya ubavuni mwa yesu jaambiwa yeye na mungu 😊😊

    • @ashuraalex7006
      @ashuraalex7006 6 років тому

      Jitoen balazan mwa watu wenye mzaa na neno la mungu na mimi najitoa

    • @Petcogaminghub
      @Petcogaminghub 6 років тому

      feyzal Yusuph unaongea sana ww unann

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 Рік тому

    Nabii suguye wewe hutoi misaada kama geodavie kwa maskini na wenye uhitaji unabii wako ni bure una ubinafsi

  • @mankamushi7053
    @mankamushi7053 6 років тому +1

    next week naenda matembele

    • @dyanatanz6574
      @dyanatanz6574 6 років тому

      manka mushi 😀😀😀😀😀😀😀😀😀

    • @dyanatanz6574
      @dyanatanz6574 6 років тому

      manka mushi nenda bwana

  • @goldmansun5859
    @goldmansun5859 6 років тому

    watu wanashangaa malaika,mbna kwa mkristo aliyeokoka ni kawaida,ila tofaut anakuja kufanya nini