Yaani mafundi wana laana,Unamuwekea kila kitu saiti kuanzia cement,Nondo,Mchanga, alaf yeye anapita navyo ikiwa kashalipwa....jamani mafundi ni wezi....
Joti na Crew nzima km na ata km KIPANDE amnasoma msg zetu Basi mtaona Jinsi gani KIPANDE TAULIVYO MKUMBUKA Tunaomba 🙏 KM MMETOFAUTIANA BASI MUNGU awafanyie wepesi muwe sawa na km Yupo Mbali Inshallah Allah Amjalie awe salama na arud kutupa Burudani 😭😭 Kipande anaweza
Jamani hata mm leo nime wahiwahi hebu naombeni like hata tatu nizione utam wake
JOTI NDO GWIJI WA COMMEDY TANZANIA KAMA UNAKUBARI TUMPE LIKE JOTI HATA 50 ZINAMTOSHA
Wangapi wamemmiss kipande
Kama unaaamini jot ni the best like 51
Likes za tunao Mpenda joti mwanzo mwisho Africa nzima
Joti na Crew nzima km na ata km KIPANDE amnasoma msg zetu Basi mtaona Jinsi gani KIPANDE TAULIVYO MKUMBUKA Tunaomba 🙏 KM MMETOFAUTIANA BASI MUNGU awafanyie wepesi muwe sawa na km Yupo Mbali Inshallah Allah Amjalie awe salama na arud kutupa Burudani 😭😭 Kipande anaweza
Joti hapo umechemka kumuweka huyo jamaa kua Boss, hapo hiyo nafasi alitakiwa Sopa ndio awe Boss ingenoga sana ila Big up💪💪💪 kazi nzur
Sopa na kipande ndio mpango wa mjini hao wengine hawaelekei
Joti hapo kwenye nafasi ya bosi ungemueka soap aiseee ila big up
Na fasi ya boss ungemuweka sopa ingependez zaidi
Joti tumemmisi kipande pls kam mmekosana msameheane kama anaumwa mungu amponye haraka iwezekanavyo ili tumuone
Daah! Joti shukraan kw hili yani mafundi siku hizi ni waongo sana kupita maelezo
Ukweli Joti anaweza sana tumpeni heshima na like zake
Kwenye boss ungemueka sopa daaaah 🤣🤣🤣🤣
Wenye tunasubiri ya kiboga tukae upande Huu ..😜😂🇸🇦🇰🇪
Engineer
💃💃💃💃
Joti so talented dah hadi raha
We Joti umeanza kujichanganya Boss ni SOPA peke yake hao wengine maboya2
Mmmh siku hizi video zako Ni mbaya Sana sopa hayupo kipande hayupo upande Wang mm siinjoi hata kidog