jamani kama unapenda mambo ya maakuli , vyakula vitamu basi karibu kwenye channel yangu one jinsi ninavyokula vyakula mbalimbali naimani utaenjoy ...karibuni sana.
Hii episode ni hatari mpaka mbavu. Zinauma joti wewe ni noma bro unatisha,malima na sopa mnatisha hii episode mama mkwe nae noma mpaka nimecheka Sana joti and crew ur are the best u have brighten my day
Nouma sanaa🏆🌟🌟⭐⭐✨✨💫🌠🌠 Kama unamkubali jot like hapa
Wangapi walidhani mama mkwe ni mama dame kama mimi.... 🙌🏽🙌🏽
Nami pia
Haha 🤣🤣🤣🤣
Weeeeee mama dame alivyo na msambwanda nlijua 2 co yeye
Mimi pia😀
Mh...labda humjui Mama dame...hafanani ‘ mama dame hana tumbo la uzee’ halafu msambwanda wake Upo kamili..we vipi..?
Najuwa ni mechelewa likes jamani from zambia
Nishai hii shati nakubaliiiii..big love toka 254
Alie sikia maa mkwe anasema anatak anipinde saba anipig tak tat atupie like hapa maa mkwe mwenyew mhun kwl
hahahahahahahhhahhahahahha, ampinde kama saba hahahahahaa
Joti anajua kuigiza Sana.. he catches the audience's feelings and attention. He is like KANUMBA
Wanaomkumbuka #KIPANDE kama mimi, ndani ya komedi za Joti , gonga like twende
Cijuu wap mwamba
Jamaa ameadmika sana
Yupo likizo
Jaman kipande arudi tumemic
jamani kama unapenda mambo ya maakuli , vyakula vitamu basi karibu kwenye channel yangu one jinsi ninavyokula vyakula mbalimbali naimani utaenjoy ...karibuni sana.
Mie ningetoka mkuki 🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️ ile bi´mkubwa kafunua uso tu, na home sirudi siku kadhaa 😂😂😂. Maelezo nitatoa mbele ya safari.
😂😂😂😂 joti umezidi sasa umpige tako3 mama mkwe😂😂😂😁😀
😂😂😂😂wakat wa kuingia Ni mwanafunzi wakat wa kutoka Ni headmaster 😂😂
😀😀😀😀
KUPIGA TAKO TATU HAHAHAHAAA
😂😂🤣
Habiba... jamani Habiba yuko wapi? tumemmiss Habiba ❤❤😍
Yote tisa kumi anataka anipinde namba saba anipige tako tatu 🔥
Daaaa yaani Joti komedi zako ni zaidi ya Elimu dunia 😂😂😂😂
Mama mkwe shikamooo Mama heri ya mwaka mpya hahahahaaaaa
Tako 3 mmmh!!😂 hapa wameelewa ma legend tu...gonga like hapa
Ni kweli Mimi sijaelewa Nipe somo kaka
Minyamaa nataka kumwaga asali alambwe mwili wote duu so kichekeshoo
Nakuona tu kaka jotiiiiii oky
Joti hizo nguo huzishoneshaaaaa au una nunua zikiwa ready-made 😂. Ila mi na mmiss kiboga
Na watuletee kipande
Kipande alisema hayupo tena Joti Tv
Hata me kibogaa namuelewa bn😊
@@beatricetenywa4367 kwann tena
😂😂aliecheka kwa kusukumwa kwa Jot kwenye uzio chaliiii😂😂
😅😅 yaani nimecheka kinyama
😂😂😂😂😂Nishaii Marayaa snaaa
Hii kali Sana ya mwaka
😀😀😀😀 shikamoo mama heri ya mwaka mpya mama😀 kaumbuka kwelikweli.
😘
Nishai mtombangile kitwangi love you so much broo nakufatilia Sana
Et Shetani mbayaaaaaaa Mamaaaaaa🤣🤣🤣🤣🤣 PIMBI sana we Jotiiii
Umetisha sana Joti hahahaahah
Waliokubali pigo mpya za joti gonga like twende sawa
Heri ya mwaka mpya mama😀😀😀
Yan jot mungu akuweke miaka mia nakupenda sana
Mwisho wa siku joti kitumbua kimeingia mchangaa.!! Yani kumpinda mama mkwe SABA na kumpiga 3 pa! Pa!!🤭🤣🤣😂😆😜
🤣🤣🤣🤣🤣
Heri ya mwaka mpya wasoma coment😂😂
Mvuto wa kupendwa na watu kazin biashara
ua-cam.com/video/rdBBJqLQ8GE/v-deo.html
hahahahahahhaha
Haha
Ukifika mwaka wa waandika comment utanipongeza 😮😮
@@sirbinladen786 we unapendwa
Nshai umejimalza weeeeeh mwsho wa cku ni mama mkwe wako aibu hyo😀😂🤣
Hahaha yaaan iyoo flaan inaniuwaaa 😂😂😂😂😂😂
Yote 9 anataka anipinde 7 anipige tako 3 bila... Dadadeki 😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ndio nini kwn
Apo naandika talaka mwenyewe najipa mwenyewe,dakika 4 comments 22..duh! Likes kw joti pekee sababu ndie anae stahiki..🇰🇪
Joti Legend of Tanzania unatisha 🤣🤣🤣😅😅😅🤣🤣🤣🤣🤣🤣😅😅😅😅😅🤣🤣🤣😅🤣🤣🤣
Anipige Tackle tatu....Mamae nimecheka kwa sauti😂😂😂
😂😂
Nguo zake ss 😂😂🤣🤣
Hayo nafuta niyaweke ndani😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hahaha hanipige tako Tatu. Piga tako Tatu halafu hunipe thru pass nishai. 🔥🔥🤣🤣🤣😂
Hahahahahahhahaaaaa nishai wamshushia mamkwe mistari, hapo ndo utajua hujui
Yaan hzo nguo akitembea kama mbuni mamaeee
hhahahahahahahahaaaa
Jot is the best bro🤣🤣🤩🤩🤩😍😍😍😍😍😍
🤣🤣🤣😍 Joti umefanya kosa kisha unamzingiziya Mwovu Shetani, roho yako ndo iliyokutuma🤣
😂😂😂😂😂😂😂😂tulio elewa tako tatu za mama mkwe kwa msisitizo tupo hapa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂no 7
Mtuambie inamaana gan jaman
Mama shikamoo , heri ya mwaka mpya🤣🤣🤣🤣🤣🤣. Nishai bwana
Nataka baraka zangu zinfwatwe ka Nishai amfwatae ma'mkwe😌
Hii balaa wallahi.............👏👏👏👏👏
Ni watu amabao wame zaliwa na vipaji joti ana toka hata number 1
Jaman Kipande 😞😞😞😞😞😢😢😞😢😞Nsha umiss jaman arudi 😢😢😞😞😞😞😞😢😢🚶♀️🚶♀️🚶♀️
Nimecheka sana 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 mafuta hayooo 😅😅😅😅😅😅😅
Hahahaha hizo nguo za joti jamani🤔😀😀😀 kubwa kweli kweli
Mama Mkwee Shetanii 😈mbyaa
😆😂
🤣🤣🤣🤣mwanakuliget mwana kulifind
Hii episode ni hatari mpaka mbavu. Zinauma joti wewe ni noma bro unatisha,malima na sopa mnatisha hii episode mama mkwe nae noma mpaka nimecheka Sana joti and crew ur are the best u have brighten my day
Kama umeangalia comments zikongap ktk video hii kwa hapo juu nipe like twende sawa
This is more than comedy 🤣🤣🤣🤣
Watu mshawahi like za mama mkwe basi
Shikamoo mama, heri ya mwaka mpya mama hahahaha
Et Mifuta hyoooo, Et nikikupata ww nakumwagia yaaaan, NYAMBAFU SANA,
😂😂mama mkwe anakuambia nishai anataka ampinde namba 7 alafu ampige tako tatu 😂😂😂mecheka mamaaae
🤣🤣🤣😁
Heri ya mwaka mpya mama mkwe 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mtoto unamafuta😂😂😂😂
Anikuje saba anipige tako tatu 😂 😂 😂 😂 nishaaiiiiiiiiiiiiiiii mkwe nae yumo
Pa 1 sana JOTI! hII NI ZAID YA bURUDANI.
Joti anataka amwagie mama mkwe asali amrambe dah noma sana
Una jicho la mahaba😹😹😹😹🙌
Joti inatisha sana unapamba Chanel yako vizuri
Nishaiiii Nakubali Sanaaaa
tukiongozana naonekana mimi mwanafunzi, ila tukitoka eneo la tukio naonekana mimi heasmaster.., hii ni bonge ya punchline...
Hahhaha alie mzaa joti daaaa hatari
Hahahahajajajjzjzjz
Shetani mbayaaaa haHHhHHHH
Kamponza anataka kumtongoza mama
😀😀😀Joti uishi miaka 10000 uwe nembo ya nchi yetu.
Nimecheka kama mwandazimu wa portzeiz Mombasa 😁😂😀
Mama shetani mbaya anataka atugombanishe
Joti joti joti na kuita mara 3 wewe unakipaji 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Duh sipati picha uingie Sio na mama mkwe kiruuu unaweza jidivorcisha mwenyewe
Hapo kwenye tako tatuuu😂😂😀😃😄😄😆😅😅🤣
Joti toka tembea mavazi kicheko maongezi full comedy.ety HAYO MAFUTA NIYAEKE NDANI
Kaka jot 😂😂😂 nacheka mpaka😂😂😂😂😂😂😂
Kheri ya mwaka mpya mama😂😂😂
Hahahaha et tako 3 mama mkwe ameuwa!
Nishai hilo lishati🤣🤣🤣🤣🤣🔥🔥🔥
😄😄😄😄
Aaahaaa yamekukuta joti leo aaahaaa
Hatariii sana nacheka balaa
tako 3 mama mkwe nomaa😃😃😃😃😄😄😄😄😄
jamani namtaka Kipande arudi, yuko wapii jamaniiii... Please Bring back our Kipande
Kipande hayupo joti tv tenaaa ameibaaa kafukuzwaaa
@@husseinomar4558 Oohh Jamaniii
Ila we jamaa fala sana yani unampakia mpaka asali🤣🤣
Leo mapemaaaa wa 6 😁😁😁😁😁😁
@DJ MACK MOVIES KISWAHILI bila samahani
Nakupenda sana jot
Chizi karogwa tena haki 🏃🏿♀️🏃🏿♀️🏃🏿♀️hujui waongea nanani wanaume hakika shida mnayo mnaitaji maombi
🤣🤣🤣🤣 Jamn Joti hiyo t-shirt utaniuaaa
😂😂😂😂wallahi nimecheka mpk bac
Kheri ya mwaka mpya mama🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😭
Mama shkamoo kheri ya mwaka mpya 😂😂😂
Wangapi Wanamkubali Nishai
Joti huna adabu...Umpige mkwe kota traa...Dadadeki zakoo
nilizani mama dame😭😭😭
Weee jamaaa hasa 😃😃😃 unavnja mbavu zetu
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 *NISHAI* Leo kaunusa kama sio kuuramba aisee mhuni kawakaaaaaaaaa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Wa bongo bhna badala muangalie series mmekalia kipande kipande Yuko wapi ka machizi
Tako tatu tena mbona mhnaongea maneno machafu du sio sawa kabisa