RAIS DKT. SAMIA AKIZINDUA BARABARA YA SUMBAWANGA - MATAI - KASANGA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 сер 2024
  • Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Akizindua Barabara ya Sumbawanga Matai Kasanga ikiwa ni sehemu ya Ziara yake Mkoani Rukwa leo tarehe 16 Julai, 2024.

КОМЕНТАРІ • 11

  • @Saki930
    @Saki930 Місяць тому +2

    Hongera kwa Mh.Rais kwa kuendelea kuijenga nchi yetu

  • @abdulhajiahmed8735
    @abdulhajiahmed8735 Місяць тому

    Kazi iendelee lets the work continue 🇹🇿🇹🇿🇹🇿✅

  • @JacksonMtese-gn4so
    @JacksonMtese-gn4so Місяць тому +1

    Hongera a country on a move

  • @issaidrisamusa5962
    @issaidrisamusa5962 Місяць тому +1

    Kama Taifa tuwe na maono ya muda mrefu, hii barabara Bado haina hadhi ya kuzinduliwa na Raisi . Ni kauchochoro traffic lights hamna

  • @isakhamisi8923
    @isakhamisi8923 Місяць тому

    Hii barabara yenyewe mbona inaonekana haina ubora sina uhakika hata kama itafika hata miaka miwili haijahitajia ukarababu wanaohusika waangalie kama hakukuwa na ubadhirifu hapo kwa wasimamizi.

  • @EvaMwangunule
    @EvaMwangunule Місяць тому

    Angekuwepo jpm angewadabisha wote wariohusika kukubari utumbo huhu warosimamia ujenzi wakindiga uchafu tuuu😂😂😂😂😂😂😂

  • @Ammarah0688
    @Ammarah0688 Місяць тому

    Hazeeki bi mkubwa

  • @Ammarah0688
    @Ammarah0688 Місяць тому

    Mbona mama anakua mweupe kwan anapiga kitaulo 🤣

  • @user-hq5we6xm5u
    @user-hq5we6xm5u Місяць тому

    Mama chapa kazi ilii Tanzania ijulikane kiulimwengu edereza
    Mazuri ya mtagulizi wako mzee jpm hapa kazi tuu bruedoza ni Mimi juma toka mbarara Uganda mtanzania harisii mama nakunga mkono

  • @astrinomgesi-np5xv
    @astrinomgesi-np5xv Місяць тому

    Ongea juu ya mahindi kuporomoka mbunge

    • @issaidrisamusa5962
      @issaidrisamusa5962 Місяць тому

      Mahindi kuporomoka mtazamo wako ni upi maana mwaka jana tukipiga kelele chakula bei juu.