Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
nani tupo 2024😁🔥🔥🔥
nyimbo zenu ni tamu sana na za kubariki . barikiwa kwa kazi nzuri
mungu awatangulie daima kwa kweli kazi mfanyayo inapendeza
Nyimbo zenu ni nzuri zinanibariki xaana.... Mbarikiwe saana ktk utume wenu
🔰🔰😀😀😀🏢🏢😀😀😀😀😀😀😀🏢😀😀😀😀🏢😀🏢😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀🏢😀😀😀😂l
mungu awabariki sana hizi nyimbo zinanifariji sana na nimeikubali sana tuko pamoja
Paza sauti piga kelele tumsifu....hakika nabarikiwa sana na hizi nyimbo
wanakwaya mmetisha sana mungu awabarik San katika uinjilishaj wa neno la mungu!!! ni Baraka mliyojaliwa na mungu baba yetu
Ameeen barikiweni Sana mt yuda sauti ya kupendeza kazi nzuri mungu awalinde
Weuwe...lipua 2024
Very amazing song, be blessed guys
You are right about that
hi kwaya ni hatari jaman, hongereni sana
Nyimbo zenu nzur xana,,,, mungu azidi kuwabariki.
Ni yeye Mungu aliyewabeba, safi sana
Asante sana wanakwaya wa mt yuda thadei mungu awabariki sana. Mlipuko........????? Ama kweli mmenimaliza
nmebarikiwa nanyimbo zenu ! M wenyez mungu mwingi wa rehema awabariki pi!
Mungu atukuzwe kwa kazi yenu nzuri sana
Mungu awajaze baraka tele ktka kuitenda kazi yenu
Tanzanians can dance wakiamua!!! Weh ! When Bi. Mukasa was still light 🙌🙌
nzri sna barikiwe na mungu katika kazi yenu
Aaaaaaaaa kwa kweli mnalipua😂😂😂😂😂😂😂shetani hana bahati... Maaaana sio kwa kulipua huko... ..Safi sana...
Mukesh,so wonderful. Thanks for the song.
Mbarikiwe sana kazi nzuri
Wap Bernad Mkasa, wakola sana
Bernard mukasa talent though . Anajua kutrain choir sana
napenda Sana huu wimbo unanibariki
Vicent upo wapi kijana wangu. Tangu enzi za Malangali ukijifunza noti hadi sasa naona upo kimziki kabisa. Hongera zenu.
Hongera Sana
Hii kwaya nayo hukua top ikifika ni miondoko
He Kwa miondoko wako top bana ,na Mt Cecilia Arusha sio wachache pia
Nice song,,
Lipua sifa na shangwe... Nice theme
ametupenda ametung'ang'ania, ni kweli; Mbarikiwe sana
Barikiweni sana na mungu amtie nguvu
Mukesh,I believe you are a good person from Uganda. Why can't you just invite more people from Uganda to join you in Tanzania.
Mubarikiwe kwa jina na bwana
Mungu awabaliki sana
hongereni sana
wimbo safi wa shukrani!
Bien merci beaucoup pour la chanson
This song is amazing
Congrats!!! Sauti tamu kabisa, dancing style ni kali bana...nawaombea ili baraka za Mwenyezi Mungu ziwaongoze katika maisha yenu
Mama utuombeee
Mama Maria ni mama
Nama no mama Maria nimama
Nani Kama mama Maria
Nama
Ilove catholic forever❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Our medicine every Sunday it's the song
2021 December 21 🥳🥳🥳barikiwa sana
like sana the song "mlipuko wa sifa" Mungu awabariki sanaaaaa;
Nyimbo tamu sana
Nic
NIMEUPENDAAAAA
yapendeza hongera
I like the music
❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
They danced very well
nimependa
Amen.
hakika kwaya imevunja rekodi. Wana vipaji vya kuimba
BT PIA NAOMBA MSAADA KUPATA TOLEO LA KWANZA MLIPUKO WA SIFA
hii ni nzuri sana. wapendwa nilisikia mlipuko part 2 mnatoa lini?
Naomba lyrics za wimbo huu
Ameeeen
nice song
Ningelipenda kujua, Kati ya Kwaya kizito makuburi na Thedaus zinatoka kwenye Parokia moja ama ni Parokia tofauti? juu mdundo wao wanyimbo unafanana kanisa.
Mtunzi wa nyimbo ni mmoja ila kwaya moja iko Dar na nyingine Mbeya
How to avoid depression.... Dance. By the time it's time to sleep you'll just trip into sleep without your knowledge
Amen
asante sana :likn yuda c alimsaliti yesu??????
KWELI WANATISHA KILA SIKU NASIKIA NYIMBO ZAO TU DAH MUNGU PA1 NAO
Sifakwamunhu
what a song.... i love it
Mnatubarik
nani tupo 2024😁🔥🔥🔥
nyimbo zenu ni tamu sana na za kubariki . barikiwa kwa kazi nzuri
mungu awatangulie daima kwa kweli kazi mfanyayo inapendeza
Nyimbo zenu ni nzuri zinanibariki xaana.... Mbarikiwe saana ktk utume wenu
🔰🔰😀😀😀🏢🏢😀😀😀😀😀😀😀🏢😀😀😀😀🏢😀🏢😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀🏢😀😀😀😂l
mungu awabariki sana hizi nyimbo zinanifariji sana na nimeikubali sana tuko pamoja
Paza sauti piga kelele tumsifu....hakika nabarikiwa sana na hizi nyimbo
wanakwaya mmetisha sana mungu awabarik San katika uinjilishaj wa neno la mungu!!! ni Baraka mliyojaliwa na mungu baba yetu
Ameeen barikiweni Sana mt yuda sauti ya kupendeza kazi nzuri mungu awalinde
Weuwe...lipua 2024
Very amazing song, be blessed guys
You are right about that
hi kwaya ni hatari jaman, hongereni sana
Nyimbo zenu nzur xana,,,, mungu azidi kuwabariki.
Ni yeye Mungu aliyewabeba, safi sana
Asante sana wanakwaya wa mt yuda thadei mungu awabariki sana. Mlipuko........????? Ama kweli mmenimaliza
nmebarikiwa nanyimbo zenu ! M wenyez mungu mwingi wa rehema awabariki pi!
Mungu atukuzwe kwa kazi yenu nzuri sana
Mungu awajaze baraka tele ktka kuitenda kazi yenu
Tanzanians can dance wakiamua!!! Weh ! When Bi. Mukasa was still light 🙌🙌
nzri sna barikiwe na mungu katika kazi yenu
Aaaaaaaaa kwa kweli mnalipua😂😂😂😂😂😂😂shetani hana bahati... Maaaana sio kwa kulipua huko... ..
Safi sana...
Mukesh,so wonderful. Thanks for the song.
Mbarikiwe sana kazi nzuri
Wap Bernad Mkasa, wakola sana
Bernard mukasa talent though . Anajua kutrain choir sana
napenda Sana huu wimbo unanibariki
Vicent upo wapi kijana wangu. Tangu enzi za Malangali ukijifunza noti hadi sasa naona upo kimziki kabisa. Hongera zenu.
Hongera Sana
Hii kwaya nayo hukua top ikifika ni miondoko
He Kwa miondoko wako top bana ,na Mt Cecilia Arusha sio wachache pia
Nice song,,
Lipua sifa na shangwe... Nice theme
ametupenda ametung'ang'ania, ni kweli; Mbarikiwe sana
Barikiweni sana na mungu amtie nguvu
Mukesh,I believe you are a good person from Uganda. Why can't you just invite more people from Uganda to join you in Tanzania.
Mubarikiwe kwa jina na bwana
Mungu awabaliki sana
hongereni sana
wimbo safi wa shukrani!
Bien merci beaucoup pour la chanson
This song is amazing
Congrats!!! Sauti tamu kabisa, dancing style ni kali bana...nawaombea ili baraka za Mwenyezi Mungu ziwaongoze katika maisha yenu
Mama utuombeee
Mama Maria ni mama
Nama no mama Maria nimama
Nani Kama mama Maria
Nama
Ilove catholic forever❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Our medicine every Sunday it's the song
2021 December 21 🥳🥳🥳barikiwa sana
like sana the song "mlipuko wa sifa" Mungu awabariki sanaaaaa;
Nyimbo tamu sana
Nic
NIMEUPENDAAAAA
yapendeza hongera
I like the music
❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
They danced very well
nimependa
Amen.
hakika kwaya imevunja rekodi. Wana vipaji vya kuimba
BT PIA NAOMBA MSAADA KUPATA TOLEO LA KWANZA MLIPUKO WA SIFA
hii ni nzuri sana. wapendwa nilisikia mlipuko part 2 mnatoa lini?
Naomba lyrics za wimbo huu
Ameeeen
nice song
Ningelipenda kujua, Kati ya Kwaya kizito makuburi na Thedaus zinatoka kwenye Parokia moja ama ni Parokia tofauti? juu mdundo wao wanyimbo unafanana kanisa.
Mtunzi wa nyimbo ni mmoja ila kwaya moja iko Dar na nyingine Mbeya
How to avoid depression.... Dance.
By the time it's time to sleep you'll just trip into sleep without your knowledge