'Mwanume mpaka kufika hatua ya kupata tiba ni hajajipeleka mwenyewe'

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 жов 2024
  • Mwezi June kila mwaka dunia hutumiwa katika uelimishaji wa masuala ya afya ya akili kwa wanaume.
    Hii ni kutokana na tafiti mbalimbali za kiafya kubaini kwamba kuna utofauti wa mazingira na kuhimili matokeo ya changamoto ya afya ya akili kati ya mwanaume na mwanamke.
    Mwandishi wa BBC @mubalileonard amezungumza na @michaelbaruti na mwanasaikolojia tiba @nadiaahmedtz kuhusu changamoto za afya ya akili kwa wanaume.
    #bbcswahili #wanaume #tanzania
    Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili / @bbcnewsswahili

КОМЕНТАРІ • 2

  • @Kijana-wa-Tanzania
    @Kijana-wa-Tanzania 2 місяці тому

    Kabla hata sijamaliza kuangalia nimegundua hapa nilipo ninatembea na ukichaa wangu aisee😂
    Nitatafuta mtaalamu kama Nadia kwakweli!

  • @YusufuNahimana
    @YusufuNahimana 3 місяці тому

    Nikonafatiliya napatafaida