"Tunasisitiza watu waache kuvuta sigara"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 жов 2024
  • Kila Septemba 29, dunia huadhimisha siku ya Moyo Duniani.
    -
    Takwimu za wizara ya afya nchini Tanzania za mwaka 2023, zinaonesha kuwa kuna ongezeko la asilimia 9.4 za magonjwa ya Moyo na Shinikizo la Juu la damu.
    Mwandishi wa BBC @mubalileonard amezungumza na Daktari Peter Kisenge mkurugenzi mkuu wa Taasisi ya moyo ya Jakaya Kikwete nchini Tanzania kufahamu sababu haswa ni nini?
    🎥: @frankmavura
    #bbcswahili #tanzania #afya
    Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili / @bbcnewsswahili

КОМЕНТАРІ • 1