Mchungaji mbaga nakukubari sana kiongozi, hata mimi napenda sana style yako ya kuhubiri nmeijifunza sana ila cjaweza. Napenda sana kuwa kama wewe. BARIKIWA SANA. hakuna somo lako ambalo cjawahi kuliona maadam liko mtandaoni
Mualike ROHO WA MUNGU UTAWEZA TUU YOTE YANAWEZEKANA KUPITIA YEYE ATUTIAYE NGUVU INAWEZEKAN TENA YAWEZEKAN UKAZIDI ILA UOMBAJI WETU NA IMANI ,PIA OMBENI NENO LOLOTE KWA JINA LAKE NAE ATAFANYA
Amina.. Ubarikiwe sana Mtu wà Mungu na Bwana asikupungukie katika karama hii.
Amen sana pastor Mmbaga Mungu akubariki na azidi kukutumia zaidi kwa Kazi ya Utume uliojitoa kuifanya
Mchungaji mbaga nakukubari sana kiongozi, hata mimi napenda sana style yako ya kuhubiri nmeijifunza sana ila cjaweza. Napenda sana kuwa kama wewe. BARIKIWA SANA. hakuna somo lako ambalo cjawahi kuliona maadam liko mtandaoni
Mualike ROHO WA MUNGU UTAWEZA TUU YOTE YANAWEZEKANA KUPITIA YEYE ATUTIAYE NGUVU INAWEZEKAN TENA YAWEZEKAN UKAZIDI ILA UOMBAJI WETU NA IMANI ,PIA OMBENI NENO LOLOTE KWA JINA LAKE NAE ATAFANYA
Asante kwa funzo nzuri
AMEN;.🙏..following......ili nipate kujengeka ki imani,ki maisha,ki ndoa,...barikiwa mchungaji mmbaga.🙏
Barikiwa Sana pastor Mmbaga, Mungu aendelee kukutumia....unaponya roho zilizonyong'onyea.
Umenibariki saaana kwa mafundisho yako mengi yamenisaidiya kweli kwa ndowa yangu :kwa familiya :na kwa ukristo
Amina Pastor, Mungu azidi kukulinda
amen ubarikiwe mchungaji tunashukuru Kwa somo zuri
kweli mwenyenzu apokee sifa.Hekima ya nama hii inatoka pekee kwa mungu.Mtumishi mmbaga mungu akuzidishie hekima.Amina
Ubarikiwe sana mchungaji Mmbaga unajua sana hii kazi Mungu akupe nguvu
Amen, tumebarikiwa sana,mchungaji Mungu azidi kukutumia.
Amina na Ubarikiwe Pasta.
Amina national pastor juu ya ndoa zetu
Mungu akubaliki pasta na mi nmebalikiwa Sana nasomo lako zuli
AMEN barikiwa sana pastor
Ameeeeen ubarikiwe sana pastor
Am lesterng from Nairobi ,mungu naomba azidi kukutumia,usifuge break ktk kufululiza masomo,umenidia
Napenda mafundisho yako Mchungaji
Amina
Nimefurahi kwa somo zuri mentor wangu mpaka nimekumic
Amen Asante mch.
Shukrani mchungaji kwa somo la familia
Pasta nmepata kitu kpya iyo wo tumbo la uzaZ bwana akubalik sana
Umekuja wakat sahihi yaan tunakuombea nasi tuombee
Nafwatilia Kwa umakini mno
Kinaumana
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌️👍.
Ubarikiwe sana pastor
Tunakupata vizuri sana kutoka majengo tambaruka kituo kiko kijiweni watu tunabarikiwe sana

Naombeni namba ya huyu mtumishi jamani ninashida nae Sana
mm pia nahitaj ukipata naomba unitag
Pastor Tunabarikiwa na masomo yako ila Unapenda kuwasifia wanawake kupita kiasi
Hhhhhh, we aksifia unapungkiww n nn?