REV. DR. ELIONA KIMARO: MASHAKA YA MAISHA
Вставка
- Опубліковано 18 жов 2024
- IBADA YA JUMAPILI - 17 SEPTEMBA 2023
UJUMBE WA LEO: "MASHAKA YA MAISHA"
Mathayo 14 : 28 - 36
28 Petro akamjibu, akasema, Bwana, ikiwa ni wewe, niamuru nije kwako juu ya maji.
29 Akasema, Njoo. Petro akashuka chomboni, akaenda kwa miguu juu ya maji, ili kumwendea Yesu.
30 Lakini alipouona upepo, akaogopa; akaanza kuzama, akapiga yowe, akisema, Bwana, niokoe.
31 Mara Yesu akanyosha mkono wake, akamshika, akamwambia, Ewe mwenye imani haba, mbona uliona shaka?
32 Nao walipopanda chomboni, upepo ulikoma.
33 Nao waliokuwamo ndani ya chombo wakamsujudia, wakisema, Hakika wewe u Mwana wa Mungu.
34 Na walipokwisha kuvuka, walifika nchi ya Genesareti.
35 Na watu wa mahali pale walipomtambua, walituma watu kwenda nchi zile zilizo kandokando, wakamletea wote waliokuwa hawawezi;
36 nao wakamsihi waguse hata pindo la vazi lake tu; na wote waliogusa wakaponywa kabisa.
Mhubiri : Mch. Dkt. Eliona Kimaro.
Kwa maombi na ushauri :
Mch. Kiongozi: Dr. Eliona Kimaro
Simu: +255 655 516 053, +255 754 516 053
Amina nabarikiwa cn
Be blessed Dr
Asante mtumishi Kwa somo nzuri, nimejichelewesha Sana
Mungu akubariki sana Baba Mchungaji.Mungu akupe maisha marefu
Amen
Amen
Asante mchungaj mung akubarik xan
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu.
amen rev mungu abariki kabisa
Asatemchungaji,umetutoa hatua moja kwenda ingine,mungu akubariki sana
God bleasse you, Father Rev Kimaro
Aminaaaaa mtumishi
Amen. Nimepata neno ambalo limenifungua upeo wangu. Thank God
Na Mimi ushuhuda wangu uko studio utatoka
mchungaji ubarikiwe saana.kila nikisikiliza mahubiri yako nabarikiwa saana
Barikiwa sana baba angu asante kwa mafundisho
Mungu nisaidie nisiwe na imani haba
Amina, sintaona shaka kamwe kwenye maisha yangu. Nitathubutu.🙏🙏🙏
Aaameeeen
Amen🎉
Barikiwa sana mtumishi 🙏🙏
Barikiwa Mtumishi wa Mungu
Nimesogezwa kiroho Barikiwa Baba MCH Kimaro
Barikiwa Baba MCH Kimato
Nipe ee yesu imani iliyotindika nipate kuijua hiyo kweli yako.
🤔♥️♥️♥️♥️ Baba mchungaji hii Imeenda
🎉duuh,,Dr kimaro Mungu aendelee kukutumia tupon
Amina mtumishi wa Mungu
Hahahahaha Tena kaburi la mtoto heri ingekuwa kaburi lamtu mzima mchungaji umejua kunipatia kama unaniona vile,napenda mahubiri Yako nafarijika Sana Mungu aniondolee mashaka katk kuufanya maamuzi nayawe ya hekima🙏
Nashukuru Kwa SoMo nimebarikiwaaa mnoooo
Amen ❤😢 thank
Ee Mungu asante jwa kumtumia mtumishi wako Dr Eliona Kimaro, hakika tukilishika neno na kuacha kuona mashaka, tutapona. Nakupenda Yesu umenisikilisha ujumbe huu wa baraka. Libarikiwe tumbo lililomzaa Dr Eliona
Mungu amekuleta kwa wakati Mchungaji Dr.Eliona. nimejikita ktk mahubiri yake na yamenifungua sana kiimani 🙏🙏
Amen
Amen nmebarikiwa
Dkt kimaro yupo vizur najuw kufundisha amina mchungaji kimalio
Amen 🙏 mtumishi wa mungu
Nimebarikiwa
Hakika Mungu anajishughulisha Sana na Maisha yetu.
Amina
Sitaonna shaka tena kwa jina la Yesu kristo wa Nazareth
Amina kubwa, ubarikiwe sana, Baba Mchungaji.
Amina
Nimebarikiwa
Amina