AZAM FC TV 18/06/2024 | Watoto walivyokula raha za kiwanda cha Azam Biskuti

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 чер 2024
  • Kuelekea siku ya mtoto wa Azam FC, Juni 22, 2024....Watoto zaidi ya 40 wamefanya ziara kwenye kiwanda cha biskuti cha Azam Biskuti kilichoko Kipawa dar es Salaam...
    Watoto hao pia wametembea Cocoma Beach na ku-enjoy michezo mbalimbali ikiwa ni pamoja na kuogelea.....
    Meneja Masoko wa Azam FC, Tunga Ally ndiye aliyekuwa kiongozi wa msafara huo na ameeleza sababu na malengo ya ziara hiyo pamoja na maandalizi yote kuelekea Siku ya Mtoto wa Azam FC.
  • Спорт

КОМЕНТАРІ •