sheby umuulize vipi kuhusu kile chumba ambacho baba yake alisema anatumia kuswalia na mtu yoyote asiingie huko kwenye hiko chumba je hiko chumba kiliichia vipi kina nini na ilikuaje baada ya hapo
ELI YA MWAKA MPYA KWA SOTE NAPENDA SANA STORY ZA WATU WA TANGA KAMA ILIYOPITA TAJILI WA MIFUGO N,GOMBE STORY YAKE MZURI SANA INAFUNDISHA WANANCHI ♥️🙏✊️👏🇹🇿🇬🇷⚓️🛳
HD camera.... Video inangaa kama kioo saaf sana👏👏👏👏
tupo pamoja🔥
Sheby muendelezo 🔥🔥🔥
Saf san bro sheby tupe vtu vzr kma ivi
Kwel kbsa hii story n nzuri lkn sdhan kma itaisha
Babaaenu aliingia maagano na hilo agano kulivunja ni nguvu za Mungu pekee zihusike laaa sivyo mtaishia pabaya familia nzimaaa
Story tamu
dah shebi bwana sasa mtu sura kafichwa halafu unamwambia ajitambulishe yeye ni nani HAHAHAHAHA
Jamaa mbona km kaanza mapema kuniliza
Stor nzur lakn itaishia njian 😢😢
Kwann
sheby umuulize vipi kuhusu kile chumba ambacho baba yake alisema anatumia kuswalia na mtu yoyote asiingie huko kwenye hiko chumba je hiko chumba kiliichia vipi kina nini na ilikuaje baada ya hapo
Moto uwo
Sauti shida
Ewaaaaaaah
Maana ya kuficha sura na tena ajitambulishe Jina lake hio nini sasa..eti mtu wa dini sana..uislamu si dini..ni ushirikina na majinni tu!
SASA TWENDE KAZI
Sheby unatukera sisii mashabiki zako aisee story zako asilimia 90 huwa zinaishia njian shida ni nini .??
Financial support kila kitu gharama.
Unaomba radhi. Kwa maiti..mafundisho ya kishetani!
Umemficha sura alafu unamwambia ajitambulishe why
Apa inabidi ageuke tu😅
Sura yake haina shida kwa upande wetu sisi tunataka story yake.
Sheby una gruop la Whatsapp????
Cheki hiyo namba WhatsApp
ELI YA MWAKA MPYA KWA SOTE NAPENDA SANA STORY ZA WATU WA TANGA KAMA ILIYOPITA TAJILI WA MIFUGO N,GOMBE STORY YAKE MZURI SANA INAFUNDISHA WANANCHI ♥️🙏✊️👏🇹🇿🇬🇷⚓️🛳
Acha kupenda ushirikina kenge wewe
Acha kupenda ushirikina kenge wewe