SIMU YAPIGWA LIVE MAMA YAKE TAJIRI CHUI APOKEI,NAKUNYWA DAMU NATOA MAZEZETA FREEMASONS

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 70

  • @sophiakimaro5174
    @sophiakimaro5174 2 дні тому +7

    Nawaoneaga huruma saana watu wanaoamini hela kuliko muumba wao.sooo sorry and painful.

  • @Naju645
    @Naju645 2 дні тому +3

    Ukiamini sana Mungu yesu ujue mafanikio hutopata 😢Mungu atunusuru

  • @ZsbAlbarwani
    @ZsbAlbarwani 2 дні тому +13

    Ndio mana mama yako anasema wewe freemason utajiri wa masheni anahaki ya kukataa gari ni kweli kabisa bi mkubwa akaona umemletea jeneza

  • @hasanmariam7521
    @hasanmariam7521 2 дні тому +6

    Kumbe yupo huko ndomana mama kariona mapema jamani

  • @Amina-k2t7k
    @Amina-k2t7k 2 дні тому +4

    Inalilah wainailah illah rajiun 😢wewe ni shetani kbc

  • @DJINNOSSBTZ
    @DJINNOSSBTZ 15 годин тому

    Huyu ana pesa ila hakili hana na anakoelekea utakuwa mento kabisa📌📌📌MUNGU HAZIHAKIWI🙏

  • @atonyaindanya2473
    @atonyaindanya2473 14 годин тому

    Mtafute yesu before it is too late, wacha kujidanganya mungu hawezi changanywa na uchawi

  • @nadiatanzania
    @nadiatanzania День тому +1

    Mungu msamehe 😢

  • @witnesezekiel5454
    @witnesezekiel5454 2 дні тому +5

    Daah mungu tusaidie

  • @sebastianmboya6702
    @sebastianmboya6702 День тому +2

    Huyu ni maskini kuanzia kwenye fikra zake

  • @GasperRiwa
    @GasperRiwa 2 дні тому +1

    Masikini siku zote kaka Huwa tunaishia kukosoa tu ndio maana tunaishia kuwa masikini nakukubali sana kaka kumbe ni mtu Mmoja pisi sana

  • @NDaKI250
    @NDaKI250 20 годин тому

    Million 8 kwa cku ndo matmizi
    Haya mambo wakuu ni kuwa mpolee na hawa vijana wanatamba sana kutokana na sababu flan,,,,Bora niishi katika maisha haya haya

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 2 дні тому +1

    Mungu wangu vizazi vyetu vinapotea mungu wangu duuh

  • @irenekalinga323
    @irenekalinga323 2 дні тому +3

    Hawa wanauza unga harafu wanawadanganya watanzania sisi yetu macho tunasubili raisi mzalendo

  • @gilionintellectual9312
    @gilionintellectual9312 День тому

    Successful Li 🎉

  • @ellumziray2952
    @ellumziray2952 2 дні тому +1

    Mungu tusaidie

  • @Manyanya8551
    @Manyanya8551 2 дні тому +2

    Mnapo sema Mama ni Mungu wapili mnakusudia nini?
    Mbona ushirikina huo

  • @ZamzamMulisia
    @ZamzamMulisia День тому

    Yaa venye ana jieleza😢anamaanisha yupo kwenye frimason.Musha jibiwa

  • @johnmwenda7683
    @johnmwenda7683 2 дні тому +4

    Mama alikua sahihi kumbe kukataa kigari chako

  • @santacruzy9386
    @santacruzy9386 2 дні тому +2

    Una pesa hadi mama yako anakuogopa sawa watu wakanda ya ziwa muendelee kuexpaliwa ivyo ivyo,
    Ila anachokiongea bado kina lenga ni pesa ambazo hazipo ktk mfumo mzuri
    Ila pwent ni kwamba wao zamani mbona walienda kwa waganga walikuwa wanafanya ndago inabidi umuelewe

  • @sumaiyamaster9309
    @sumaiyamaster9309 2 дні тому +1

    Innalillah wainnaillah raj'iun Ila Mwenyezimungu mjuzi yote hayo mwisho utakufa nauyace hayo yote

  • @CetrickAndeka
    @CetrickAndeka 2 дні тому +1

    Utalipia tu sai jidai venya uko tajiri ..... utaishia pabaya😂😂😂😂😂

  • @RajabMagoiga
    @RajabMagoiga 2 дні тому +1

    Mama yupo sahihi

  • @mwanaidilambere6924
    @mwanaidilambere6924 2 дні тому +1

    😭😭😭😭😭😭

  • @MohammedAmour-nf9wq
    @MohammedAmour-nf9wq 2 дні тому +2

    Babu chui ame jipata ila tatizo familia zetu ndio zina imani sizo watu tuna pambana

    • @bcozhenry2698
      @bcozhenry2698 2 дні тому

      Amejipata aendelee kujipata. Ndugu hawataki kufanywa mazezeta, ale mwenyewe madhambi yake

  • @HalimaKassim-yz3we
    @HalimaKassim-yz3we 2 дні тому +4

    Eti nimefanikiwa huna akili ww mpuzi sana ww jiachie tuu

  • @hono1232
    @hono1232 2 дні тому +1

    Party ilikuwa inataka kufanana na za p didy marekani.

  • @johnmwenda7683
    @johnmwenda7683 2 дні тому +1

    Behind the scene😢

  • @mwanaidabeid8720
    @mwanaidabeid8720 2 дні тому +1

    Bado hujasema 😢

  • @OmaryMasambiro
    @OmaryMasambiro 2 дні тому +2

    Mbuzi 6 kondoo 6 ng'ombe 6

  • @Naju645
    @Naju645 2 дні тому +1

    Chui tena wawap

  • @tigejuma9865
    @tigejuma9865 2 дні тому +2

    Sasa wakenya wanahusiana vip na huo upuzi wako unaongelea hapo.....we just courts the words...you are in bro....stop hiding around the bush...your mum gave us the correct answer..

    • @tigejuma9865
      @tigejuma9865 2 дні тому

      Hizo n kafara za 666... ng'ombe sita mbuzi sita na kondoo sita....unatoa siri utaadhibiwa 😅

    • @MwanalimaMwalimu-c4m
      @MwanalimaMwalimu-c4m 15 годин тому +1

      Huyu mtu ni freemason live ni mchawi kabisa ndio maana mama kakataa zawadi

  • @nyabahailani3169
    @nyabahailani3169 День тому

    Mchawi huyu freemason kweli ndio maana mama kakataa gari

  • @ellumziray2952
    @ellumziray2952 2 дні тому +1

    Mtangazaji unataka awafundishe vijana wajiunge ulluminati na kunywa damu

  • @Nicotricalsdesigning.
    @Nicotricalsdesigning. 2 дні тому +1

    Kumbe unaweza kuwa na hela alafu ukakosa kuwa wa maana kwenye jamii yako sa huyo fala hela zake za nini km wazazi hawazitaki

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY 2 дні тому +2

    mimi shabiki yako namba moja
    dogo jiwe unalo tena siyo mchezo

  • @princemozes9923
    @princemozes9923 2 дні тому +1

    Nisawa lakini MUNGU apendi ku... Damu

  • @seifntandala9137
    @seifntandala9137 2 дні тому +1

    Mama anahaki kukataa gari mshenzi wewe freemason mkubwa

  • @sultankivumbi9255
    @sultankivumbi9255 2 дні тому +1

    İki kijamaa kinvyowaminisha watu kama kweli kinakua srius

  • @blueberrypotatogames7950
    @blueberrypotatogames7950 2 дні тому +1

    Uyo anataka mtoa mamman yake azidi kufanyikiwa

  • @barakambigi3522
    @barakambigi3522 2 дні тому +1

    Umeingia kwenye mfumo bila kujua.

  • @jackmabirangacharles9398
    @jackmabirangacharles9398 2 дні тому +2

    Hesabu za haraka ana Miaka 27 ana miliki nyumba Magari gawanya miaka yake na mali zzake utaona hapo kuna kauwongo flan ka utajiri wake angesema anafanya Biashara ya Almasi hapo sawa kanda ya ziwa
    Iala karanga , Miwa

  • @chandeyusufu9570
    @chandeyusufu9570 6 годин тому

    Mohongo hata nyumba huna

  • @SuzyFidels
    @SuzyFidels 18 хвилин тому

    Maelezo yake ukiyasikiliza kwa umakini mbona kama anaonekana yupo freemason au mimi ndy sijaelewa vizuri? halafu huyu chui anasema hamna anaemfikia kifedha kwa hiyo hata diamond hamfikii kipesa?

  • @BeellyKaifa
    @BeellyKaifa День тому

    Weeh ni fara kabisaa

  • @KURYABOYTV
    @KURYABOYTV 2 дні тому +1

    Mbona na Mimi huwa Nakunywa

  • @AnchaCadrebuana-b3y
    @AnchaCadrebuana-b3y 2 дні тому +1

    Nisaidie na Mimi

  • @alphoncejohn6308
    @alphoncejohn6308 2 дні тому +1

    Sjaona logic ya mafanikio hapo

  • @JustinealexKashaija
    @JustinealexKashaija 15 годин тому

    Huyu kuma tu

  • @lilchampion1960
    @lilchampion1960 2 дні тому +1

    Tajiri chui

  • @ellumziray2952
    @ellumziray2952 2 дні тому +1

    Illuminati huyu kwa kwenye

  • @johnndonsivyiza4521
    @johnndonsivyiza4521 День тому

    Party ilikuwa imeandaliwa kwa ajili kumtoa mama ake kafara. Na ngo'mbe 6 mbuzi 6 na kondoo 6. Maana yake Ni sherehe mpinga Kristo 666.

  • @SipeKato
    @SipeKato День тому

    Njaaa ya utata wa pesa za upepo

  • @MwanalimaMwalimu-c4m
    @MwanalimaMwalimu-c4m 15 годин тому

    Wewe ni mjinga halafu usichanganye dini kwa ushetani wako sema wewe ni freemason yaishe,watu wengi wanajua watanzania mnapenda shot cut hampendi kuchoka lakini mlipo mtayapata tu

  • @SipeKato
    @SipeKato День тому

    Sasa uoni ww n mchawi wa kuzimu Sasa Hy pesa utaishi nayo mpaka ktk kaburi Hy n mapito

  • @johnndonsivyiza4521
    @johnndonsivyiza4521 День тому

    Mama nakuomba usipokee zawadi ya Gari. Asipokutoa wewe mama kama kafara. Wanamchua yeye hiyo ndo adhabu ya freemason au illuminati. Mama endelea kuomba mungu.

  • @blueberrypotatogames7950
    @blueberrypotatogames7950 2 дні тому +1

    Iyo ringa yivuwe. Inamanisha nini? Umemukosa mamman yako utajitoa kafara muenyewe

  • @fatmaalnabhani3609
    @fatmaalnabhani3609 День тому

    Utakubaliwa kuoa vile wewe ni freemason ?

  • @EsterDausoni
    @EsterDausoni 14 годин тому

    Mimi nitumie hat sh laki tano

  • @mashramadhani1989
    @mashramadhani1989 День тому +1

    BORA NIENDELEE NA MAISHA YA AMANI SIO PESA

  • @OmaryMasambiro
    @OmaryMasambiro 2 дні тому

    666

    • @Kalssambabo-gv6uh
      @Kalssambabo-gv6uh 2 дні тому +1

      Eti ata dam nakunywa anashindwa kutuambia nyama zawatu na dam zawatu

  • @TerezaHenry
    @TerezaHenry День тому

    Izo hela za masharti zitawatesa sana

  • @alencleophace2182
    @alencleophace2182 2 дні тому

    666