Simba Diamond Platnumz huyu mtoto Zuchu ni zaidi ya Beyonce. Wanawake aina ya Zuchu akizaa watoto wanakuwa na IQ kubwa sana maana Zuchu ni Msanii pekee wa kike anayeandika mashairi hivyo Ubongo wake ni material.Simba tulia na mtoto huyo ule maisha pia atakusaidia kuendeleza Kampuni ya Wasafi huko mbeleni Inshallah.
Baba levo anajua anachokisema sababu yuko karibu sana na diamond hawezi kukosakuona ishara za kimapenzi kati ya zuchu na diamond ila jamaa anajua kula na diamond
Huyo Zuchu kama kweli anatoka na Mond fala tu hivi haoni warembo walikuwa nae saa hii wako ama nataka kuzaa tu na Diamond nje ya ndoa awe analea mtoto haramu upuuzi tu
Sasa la ajabu ndio gani hapo huyo zuchu si kahamia kwa mondi Tangu zamani alikuwa akichezea kina wema sepetu n'a kina Aliya, Pia hata tanasha kawachezea mbona hakuthubuti ,kumchezea zari siku ile ya mpira alibaki tu kubinua midomo uwanjani kama kunguru aliyenyeshewa.
Lol Mwanamme umbea sio kazi yaani imefikia mahali umbea umekuwa kazi yaani Mtu analipwa kutangaza umbea duh hatari. Yaani eti tumwambie Diamond akuoe Zuchu hao wengine Baba Levo watu ndio walisema aachane nao???
Baba levo wewe nakukubali👌👌👌👌
Padre kkkk
Babalevo anajua kitu🤣😅Sisi tunapenda wakiwa wameowana 🙌🥰
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
B-Levo mkali wa yote 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Niulize Mimi😂😂😂Baba Levo alokuroga
Why can't she be happy..... It's her time...if it's meant to be it would be ..all the best zuchu.
Simba Diamond Platnumz huyu mtoto Zuchu ni zaidi ya Beyonce. Wanawake aina ya Zuchu akizaa watoto wanakuwa na IQ kubwa sana maana Zuchu ni Msanii pekee wa kike anayeandika mashairi hivyo Ubongo wake ni material.Simba tulia na mtoto huyo ule maisha pia atakusaidia kuendeleza Kampuni ya Wasafi huko mbeleni Inshallah.
Mondi aweza kuowa huyu amejaliwa kuza watoto wa haramu ulisikia wapi mtu anae abudu mashetani
Am tz baba Levo toa siri❤😅😅😅 pasua Nice job ZUCHU TUNAMPENDA NA SIMBA TUNAWAPENDA SAWA TU
Kazuchu kanatumika ipo siku akiondoka WCB atakujaga kusimuliwa.
Baba levo anajua anachokisema sababu yuko karibu sana na diamond hawezi kukosakuona ishara za kimapenzi kati ya zuchu na diamond ila jamaa anajua kula na diamond
Tanzani mtakufa kufatiliya maisha za watu
Baba levooooo😃😃😃😃
B levo Ba anaemkubali like hapa jamaa hajui kuficha Kbsa 😂🤣🤣🤣🤣
Babalevo jamani 🤣🤣🤣🤣
Yn bbaa levo cjui lipoje utasema yy ndo Lina fanyiwa kipindi
Haya endelea umeniwuwa sana
Hahahahahaaaa niulize mm😂😂😂
Huyo Zuchu kama kweli anatoka na Mond fala tu hivi haoni warembo walikuwa nae saa hii wako ama nataka kuzaa tu na Diamond nje ya ndoa awe analea mtoto haramu upuuzi tu
Anajiamini ni mrembo zaidi ya waliopita nae 😂😂😂😂😂😂😂
@@gracesilayo7670 yeye na mobeto, na joketi , wema na zari the big boss haingii hata wakifunga macho
Mbona asiwe kama Nandy mashallah mrembo na ajihifadhi kuliko huyo muislamu Zuhura na sio eti hana mahusiano lakin ni mtulivu saana namkubali saana
@@mwaiphamkuruto1087 anaonyesha pajaaaa vimini ndo mitoko yake huenda aliambiwa ndo anapendeza
Cku moja ataliaaa km paka huyoooo mondiii nomaaa
Chawa 🔥🔥🔥😂😂😂
😄😄😄😄❤️♥️♥️♥️♥️🌸ZucH
Diamond kula wote hao
Seeeemaaaa baba levooooooooooooo
Baba levo we noma
🔥🔥🔥🔥
Nice
Baba levo🤣🤣👌
KunguniProMax😆😆👐
B levo mastory gd sana
Uwo upuuzi haushitui tena kila ngoma muje na hili
Acheni Mambo ya kidada wanaume
ss ww chawa wivu umekujaa kwani ulikuwa wataka kuliswa ww kuweni wabunifuu kila siku boss wenu ama Hamo mwaboowesha sana
😂😂😭Baba Levo
Chawa kma chawa...kiroboto yuko wapi jumah😂😂😂
Yan uyu baba levu
Adela na baba levo nawapenda sana,akili zao zinaendana
Sasa la ajabu ndio gani hapo huyo zuchu si kahamia kwa mondi Tangu zamani alikuwa akichezea kina wema sepetu n'a kina Aliya, Pia hata tanasha kawachezea mbona hakuthubuti ,kumchezea zari siku ile ya mpira alibaki tu kubinua midomo uwanjani kama kunguru aliyenyeshewa.
Kwani. Kumuekea. Chakulaa. Boss. Wakoo. Mdomoo. Kudety. Naee
Baba levoooo hatar
😀😀😀
😃😃😃😀😀😀😀😃❤️❤️❤️❤️❤️😍😍
😂😂😂😂😂😂😂 chawa pro max no 🧢
B levo chawa
weeee
😂😂😂😂😂😂ila baleo daaa
😂😂😂niulize mm
Adele be intelligent not subsequent
Zuchu na diamond tuna subiri doa
Hapa hamtoki🤣🤣
Adela miwanibkama kipof
Msidangane ukweli hiyo
Mhh kumlisha bosi?
Hawa wote kelele tu.
😄😄😄😄😄😄😄🥰😍🥰
Wasafi wanajua kutafuta pesa kweli wameacha bifu sasa ni mambo y’a mahusiano baadaye tutasikia mboso n’a wema sepetu
Lol Mwanamme umbea sio kazi yaani imefikia mahali umbea umekuwa kazi yaani Mtu analipwa kutangaza umbea duh hatari. Yaani eti tumwambie Diamond akuoe Zuchu hao wengine Baba Levo watu ndio walisema aachane nao???
We endelea kuamini tu huwezi kujua
Yan ndio mmeamua kuuwa Kiki ya harmonise na kajala🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 levolevo
Ameamua kukula his own stock. Si mbaya
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
kama wanakulana si waseme tu kila siku maneno ushuzi 😂😂
Kwani hata wakiwa wapenzi si wameridhiana kuna ubaya gan
Kazuri kametembea km chache kuliko ile mi mazaa
😂😂😂😂 *Chawa*
B_Levo ba
😂😂😂😂😃
Baba levo naee anaongea sana Aki ila ni ngpn
😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣
Babalevo😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😊
Kaa jamaa mbea huyu duh
Kila mtu anakufa kwa ugonjwa wake hakuna atakae kufa kwa ugonjwa wa mwenzake kwa hivyo huyu mondi ugonjwa. Wake ni kucheat wala hato pona huyo
Baba levo wewe huna bibi au watoto mtu mzima kama wewe mbona ovyo sana mwana mume hatakikani kuwa hivyo hizo nitabia za kishoga
Wabongo bhnaa mwenzako anaingiza pesa kutumia domo lake ww unabaki makasiriko daahh
😜
Baba levo utauponza
🤣🤣🤣
Studio mbovu mno, hongeeeni mamba ya maana
😹😹😹😹😹 dah
Unaongea ukweli.
Balev
Kaji fanya ATI mondi ni boss Léo fyuuuuuuuu vile alivyomchukua ndio hivyo hivyo atakavyo toroka tuuu
Zuchu Aache kutuchezea na kiki zenu Shenzi nyinyi hakuna cha mausiano hapo ni Drama tupu! Yote nikuzima mausiano ya Hamonize hakuna mvuto.
.
🤣🤣🤣