Huu wazimu alio akijibu diamond na huu umwehu ulio comment ww umenifanya nicheke hadi nisijue huko mbele kumeendelea nini mpaka ikaisha nihadithie sasa wameendeleaje. Ila kweli kuna siku nami niliwaza baba levo ataendanda mbinguni kwa guta 😂😂😂😂 ulidhani bange wavuta pekeako tu 😂😂😂😂😂😂
Zuchu awe makini mutu akikukata mbele zawatu acha ukaribu na yeye usije ukaumiya zaidi naona hata hapo ume umiya kimya kimya watu wakubwa tumesha ona ila Pol san💫
ANGALIA BODY LANGUAGE YA ZUCHU HAJAJIBU MASUALI YOTE KAJIBU DIAMOND TU ALIVYOTAKA YY...HATAKI KUSEMA KUA WANAPENDANA..HII NI DHAHIRI KUA YY ANAMCHEZEA TU AKICHOKA ATAMUACHA KM WENGINE...
Jmn mulipo wauliza eti siku ya wapendanao walitoka kama wapenzi Diamond bado anaongea na nyinyi munamuambia Zuu mbona haongei hadi kasema yes jmn sumungelisubiri tuu diamond kamaliza jmn lol 🤣🤣🤣
Zuchu Hana bahati coz diamond Bado anapenda tanasha Sasa hawezisema anapenda zuchu hatharani sababu Bado akona matumaini kwatanasha ilhali huku wanakulana kisiri
Lil ommy:are u guys friends with benefits? Diamond:Haaah kizungu ebu niweke kiswahili Mila kunis&Justin Timberlake 2011:Hahahhahaha Diamond:Inategemea mipango ya mwenyezi Mungu hii ni taasisi. Lmao
Mm namuonea huruma Zuchu..Lkn lazima akubali akikataa mkataba utamuhusu nae ndio kwanza anaanza...KAJIVUA NGUO NI LAZIMA MAJI AYAOGE TU JAPO YAMOTO..ANAMTUMIA NYOTA YK MASIKINI BILA YA KUJUA
Huyu zuchu anaonrekana kama anamimba kikweli umeona wanavyo cheza kwa kusagana wahakuna aibbbu alafu hkhadija kopa alisema mtoto wake nimsalihina mbona anasagwa makalio na dai
Jamani.Zuchu should read the wall.Its black and white. DIAMOND SAID BEFORE,THEY BRING THEMSELVES, THEY SHOULD BE READY FOR HEART BREAKS. OH LORD I PITTY WOMEN AROUND BIG 🌟. ##womenwesufferalot.##wecandodiffrently
Daah jamani ndiy nn sasa wakati ss ♥ tulijuwa mod na zu in love why so now hamuko kimapenzi what happened 😢 kwahiy mod utawachezee watoto wa watu mpka lini jamani daah nimewapenda mod wew sshv unajielewa achana na mambo ya kimila wap umezikiya mapenz yanaingiliwa ukiwa unampenda mtu ni ww to unajirudisha utoto unajuwa mod unaumiza tz yet ww 😄 to man macho yetu yanakuangaliy ww to alafu tena watuambiy hamupo kimausiyano jamani sasa nani atamuowa zuchu ulivyo mushikiliy hivyo kumvujia heshima mtoto wa kiisilam zuhura na ww umeniudhi unajiachiy wakat mod kasema anasubir kauli kwa mama yake atakuchezey mam dangote akisem yes 😄 💖 itakuwa akisema no utakoma na hapo ushavuliwa nguo hadija kopa mama mipasho kazi anayo sijuh atampasha nani sshv me simoo
@@tozyalex2289 Ni kwel ndug lkn kulikua na wakti fulani kulikua na utata na uyu mzee adlul mbak walituaminisha sisi mashabiki kua mzee adlul sio mzazi wke yy alikua Ni mlez
Diamond platnumz walahi weh ni funny❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Hamuna vya kikohizi sema kwel damond anamupenda zuchu by RAVARICK
Yes
🥰🥰🥰waaacheni jamnnnnn wanapendana inaonyesha kabsa
Asee chawa kama chawa b.levoo😺😺
Inshaalhaa...! Allha kama amepanga Bac itakuwaaaa.. But kiukweli 💞💞💞
I love this guy diamond ,my God bless you all
I love Diamond
I love this couple....diamond amekuwa na mabibi bt this one is the best
Eti the best
Mbona Tanasha mdogo zaidi Zuchu mkubwa
She can't match tanasha
@@felistersmejumaa5188 tanasha si mdogo, she is above 30
This can be the best couple in africa
🤣🤣🤣🤣
My part Zuchu mbona hujibu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Wallah nimecheka waaaatuuuu weweeeeeeeeeeee diamond kajikanyaga
Yaani zuchu hasemi lakini jinsi anavi jibebedua utaelewa tu😂😂dai anakataa lakin Zuu tumekuelewa mama😂😂😂😂😂
❤❤❤❤❤
Baba levo .Kochi la🔥🔥🔥🔥🔥🔥🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 .nakula✌️
Diamond you so funny you made me laugh in the whole story
Zuchu mbona hujibu got me haha
Baba levo kazdi uchawaa
Who is watching these on 1st january😂😂😂
Hakia ya Mungu Mondi you are killing us. 🤣🤣Haka katoto ka mama Ndagote kajanja kweli.🤣🤣
Ndiyo kabisa #Binana
Hawa itakuwaniongo
Naona Mzee chawa anavyo washa hatuliiii
Simba ni Simba apo sawa 🙏🙏
You guys are cute together 😍
Cake ya happy birthday to u
Baba Levo atafika mbinguni na ambulance khaaaa😀😀😀😀
Huu wazimu alio akijibu diamond na huu umwehu ulio comment ww umenifanya nicheke hadi nisijue huko mbele kumeendelea nini mpaka ikaisha nihadithie sasa wameendeleaje.
Ila kweli kuna siku nami niliwaza baba levo ataendanda mbinguni kwa guta 😂😂😂😂 ulidhani bange wavuta pekeako tu 😂😂😂😂😂😂
Yaani🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@@suleimanrashid3918 hahahahaaaaaaa wewe utawasumbua sana malaika wa zamu hiyo siku😀😀😀
Ona Ivo alivo ingia ,,ni Kama Petro 😆😆😆
Hawa wanamahusiano lakini hawataki kujionesha
Zuchu awe makini mutu akikukata mbele zawatu acha ukaribu na yeye usije ukaumiya zaidi naona hata hapo ume umiya kimya kimya watu wakubwa tumesha ona ila Pol san💫
Zuchu ataachwa kama walivoacha wengne labda abadili juju 😂😂😂
Jamani uyaweke maswali vizuri kwenye mstari duu, mbona Kama utakuwa umetunga mwenyewe, hapo vip
Diamond u so funny 😂😂
Daah diamond 🤪🤪🤪
Kizazi sana tambwe kwa maswali yako naumwa Ila nimekijkuta nacheka kwa sauti 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
I like the guy who are asking
Huyu ashaonja huu mzigo 😋😋
Diamond bwanaa
Wasenge jamani
Waowane2 mbna frexh
🔥🔥🔥
Mahabba yamenoga mh🤔tutaona mwngi mwaka huu
Baba levo uchawa utakua mpaka kwene intervew
Diamond is not serious kwakweli kwakumkana uku sizani Kama atamuowa kweli
❤❤
ANGALIA BODY LANGUAGE YA ZUCHU HAJAJIBU MASUALI YOTE KAJIBU DIAMOND TU ALIVYOTAKA YY...HATAKI KUSEMA KUA WANAPENDANA..HII NI DHAHIRI KUA YY ANAMCHEZEA TU AKICHOKA ATAMUACHA KM WENGINE...
Zuchu loves daimond but daimond doesn’t love her trust the process .. zuchu utapigwa kitu kizito daimond hayupo
Hahahahha jamaniii baba levo mnooookooooo.naniii kaonaaaa kwamba baba levo anawewesekaaa kusema umbeeeaaaa?????
❤
Zuchu mbona hujibu jamani
Jmn mulipo wauliza eti siku ya wapendanao walitoka kama wapenzi Diamond bado anaongea na nyinyi munamuambia Zuu mbona haongei hadi kasema yes jmn sumungelisubiri tuu diamond kamaliza jmn lol 🤣🤣🤣
Zuchu Hana bahati coz diamond Bado anapenda tanasha Sasa hawezisema anapenda zuchu hatharani sababu Bado akona matumaini kwatanasha ilhali huku wanakulana kisiri
Eti Diamond anampenda Tanasha lol usinichekeshe
Kweli ukitaka kumuuwa nyani usimuangalie usoni bro .owa watoto wa kike utawamaliza
Diamond is clever. Kind of knowing what you gonna ask before even you ask it. That's you can't win this game of YES or NO.... Simbaaaaaaaa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣nimecheka jamani
Zuchu anapanga kalata cjui anataka acheze🤣🤣
Yani babalevo anampenda boss wake anatamani asaidie kujibu
Lil ommy:are u guys friends with benefits?
Diamond:Haaah kizungu ebu niweke kiswahili
Mila kunis&Justin Timberlake 2011:Hahahhahaha
Diamond:Inategemea mipango ya mwenyezi Mungu hii ni taasisi.
Lmao
KIZUCHU KINA MBWEMBWE
🤣🤣🤣🤣🤣 I am here laughing loud
We Zuchu we chizi nini MTU anakukana akijifanya na wewe unaona Kama kawaida chunga usije kujutia
Mm namuonea huruma Zuchu..Lkn lazima akubali akikataa mkataba utamuhusu nae ndio kwanza anaanza...KAJIVUA NGUO NI LAZIMA MAJI AYAOGE TU JAPO YAMOTO..ANAMTUMIA NYOTA YK MASIKINI BILA YA KUJUA
💯💯
😂😂😂😂😂😂kwaza mcheke mie😂😂😂😂
Ayu guys feel each other??
Mnajifeel kimapenzi each other ??🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Nyie mnatufumb macho
Kenzo I'm $
Hao n wapenz jmn kusoma hamjui picha hamuoni?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣vigezo na masharti🤣
Sasa hii TV yenu mbona Kama Kama mmesema maswali ni yes or no mbona diamond anaelwzea
Ukataaji wazuchu mbona ni washongo upande em nikujibie mm yes
Huyu zuchu anaonrekana kama anamimba kikweli umeona wanavyo cheza kwa kusagana wahakuna aibbbu alafu hkhadija kopa alisema mtoto wake nimsalihina mbona anasagwa makalio na dai
BABA LEVO SILIPENDI
Kaka #Diamondplatnumz kajikuta #Steve nyere
Ingekua mie amenikana hapo mbele ya umati urafiki huo ungefifia kabsa
Sasa akunali unafki sio wapenzi ni boss wake tu
Awa wanakulana... 😂😂😂
Kajiita nasibu Abdul
😀😀😀😀
Yani hii ndio deny deny deny
Daaah🙄🙄tabwe
Mbona keki ya b.day🤣🤣
Jamani.Zuchu should read the wall.Its black and white. DIAMOND SAID BEFORE,THEY BRING THEMSELVES, THEY SHOULD BE READY FOR HEART BREAKS. OH LORD I PITTY WOMEN AROUND BIG 🌟. ##womenwesufferalot.##wecandodiffrently
I know diamond still love tanasha that's why he will not in repablic
So are they together or what? Can someone tell me
Kujua mengi kwenye maeneo ya Muziki, Chakula, Filamu na Matembezi.
Pitia UA-cam yangu!
Hahahaha Simba umenichekesha Sana Yani unajalibu kutufanya tufurahi but you and zuchu Mmmmh
Zuchu anapendeamo kua wapenzi alieona twendesawa
Daah jamani ndiy nn sasa wakati ss ♥ tulijuwa mod na zu in love why so now hamuko kimapenzi what happened 😢 kwahiy mod utawachezee watoto wa watu mpka lini jamani daah nimewapenda mod wew sshv unajielewa achana na mambo ya kimila wap umezikiya mapenz yanaingiliwa ukiwa unampenda mtu ni ww to unajirudisha utoto unajuwa mod unaumiza tz yet ww 😄 to man macho yetu yanakuangaliy ww to alafu tena watuambiy hamupo kimausiyano jamani sasa nani atamuowa zuchu ulivyo mushikiliy hivyo kumvujia heshima mtoto wa kiisilam zuhura na ww umeniudhi unajiachiy wakat mod kasema anasubir kauli kwa mama yake atakuchezey mam dangote akisem yes 😄 💖 itakuwa akisema no utakoma na hapo ushavuliwa nguo hadija kopa mama mipasho kazi anayo sijuh atampasha nani sshv me simoo
haoo wanazagamuana mbona bira kificho
Wap😏hao ,,,., Madamga, 2
Ka zuchu kameabika hangekuwa Diamond angesgma yes ila Diamond ana siriya yoote ana kasirika zuchu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣kama Diamond angtkupenda zuchu hangekukana kskukdna bayanaa🤣🤣🤣🤣🤣
Family plan inafanya maziwa kuwa madogo
😂😂😂
Kiki zitaisha',
🤣🤣🤣🤣🤣nasib ci hiyo mila
Mm
Sasa ilo senge uko nyuma lilifata nini mama levo
😄😄😄
Eti keki ya basidei hepi basidie tu yu 🤣
Muwe mnaongea kiswahili acheni uzungu sana
🤣🤣🤣 diamond you are player -boy .
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣jmn
Napenda mondi akiongea
😂😂😂mondi maelezo kibao
Kama nimesikia diamond kajiita nasibu adluli au nimesikia vbaya jamn
Sahihi kajiita hivyo mungu ni mwema 😂😂
Si ndoo jina lak kwan?
@@tozyalex2289 Ni kwel ndug lkn kulikua na wakti fulani kulikua na utata na uyu mzee adlul mbak walituaminisha sisi mashabiki kua mzee adlul sio mzazi wke yy alikua Ni mlez
@@msalabanireko1518 na huo ndo ukweli
@@shadymbuki87 akika sikupingi Mana inaonekana yule jmaa kulitaj JIna la adlul Ni jepesi kuliko la uyo nyange
Huyu ndiye MTU wa kwanza kugundua na kupost video UA-cam
👇👇👇
m.ua-cam.com/video/UaUEkA1qIZs/v-deo.html
😂😂mondi unavtuko
Haha aty apana,ndio