ZUCHU - "FIRE NILITAKIWA NIIMBE NA DIAMOND, ALIKUWA AMESHAREKODI"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 47

  • @afterfull-time1348
    @afterfull-time1348 2 роки тому +20

    Zuchu kabarikiwa vingi ikiwemo uandishi, ukiachilia sauti nzuri

  • @mohamedsomobwana5530
    @mohamedsomobwana5530 2 роки тому +5

    Zuhura mashallah umpendeza Sanaa dadangu

  • @jacklinenyanchama2866
    @jacklinenyanchama2866 2 роки тому +5

    Baby zuchu wewe ni moto

  • @ibrahimsaid4263
    @ibrahimsaid4263 2 роки тому +9

    Baba levo nakupenda bure brooo

  • @marthabura2266
    @marthabura2266 2 роки тому +1

    Hongera zuchu

  • @FulkoKomba-x3l
    @FulkoKomba-x3l Місяць тому

    Duh atar Sanaa mariiioo anawaumiz roh wambea

  • @yasnaghump5763
    @yasnaghump5763 2 роки тому +2

    Basi hiko kipande Cha diamond nd kimenibamba zaidi

    • @hajiabdallah7643
      @hajiabdallah7643 2 роки тому

      Huyu Jamaa tuache chuki anajua kinyamaaa🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @annahmasae5204
    @annahmasae5204 2 роки тому +1

    Yan baba levo

  • @TonyCristy-j6e
    @TonyCristy-j6e 4 дні тому

    ❤❤❤

  • @saudahassan6667
    @saudahassan6667 2 роки тому +5

    Zuuuuuchuuuuuu ni noooooomaaaaa

  • @hissadiliveta6735
    @hissadiliveta6735 2 роки тому +1

    Good maadam

  • @jontezdiamond670
    @jontezdiamond670 2 роки тому +18

    Diamond platnumz ndo msani pekee anaye tuwakilisha kimataifa zaidi nje na ndani ya inchi ...kama unapisha leta data#FOA

    • @afterfull-time1348
      @afterfull-time1348 2 роки тому

      Hakuna wa kubisha sema huu ukwel unawatesa san

    • @omaryhajji1393
      @omaryhajji1393 2 роки тому

      @@afterfull-time1348 hamna mtu yeyote tanzania asiyejua hilo wala asiyrkubali hakuna ila lazima wawepo wasaniii wengine ili waweze kutanua tasnia ya mziki zaidi

    • @afterfull-time1348
      @afterfull-time1348 2 роки тому

      @@omaryhajji1393 Hao wengine hawapo kutanua tasnia ila wanadanganywa na media zinazomchukia simba kutaka kushusha simba badala ya kufanya muziki mwishowe wanaishia humu humu

  • @yusternyirenda7231
    @yusternyirenda7231 Рік тому

    Wimbo wa fire ungeacha tu ukaimba na diamond maana verse yake ilikuwa ya moto sana

  • @fellybonny5618
    @fellybonny5618 2 роки тому +2

    Baba levo bana eti ndoa

  • @afterfull-time1348
    @afterfull-time1348 2 роки тому +1

    The Queen Endelea kuupiga mwingi

  • @davoolongoz4947
    @davoolongoz4947 2 роки тому +3

    Baba levo atar 😂😂

  • @alainmuhindo2137
    @alainmuhindo2137 2 роки тому +2

    Babalevo jamani 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @sammycharomwalili6728
    @sammycharomwalili6728 2 роки тому +3

    Waligusana hahahaha ilove that

  • @evansirungu3349
    @evansirungu3349 2 роки тому +1

    Baba Levo ni mwhehu

  • @hansjoshua7288
    @hansjoshua7288 2 роки тому

    Huyu ndiyo alifanya basi our gal akamua kutoka

  • @KoreanDramaMoviesKiswahili
    @KoreanDramaMoviesKiswahili 2 роки тому +2

    🔥🔥🔥

  • @hemednassor2362
    @hemednassor2362 2 роки тому +6

    Kuna albam mbele kuna ndoa 😄 🤣 😂 😆

  • @starkidtvexclusive
    @starkidtvexclusive 2 роки тому

    Baba levoooooo🔥🔥😂😂😂😂😂

  • @tumasaid6538
    @tumasaid6538 2 роки тому +4

    Mapenzi bwana sio boss tena no Diamond?? Haya Acha tuendelee kuona mwisho wa movie hii

  • @marykioko7614
    @marykioko7614 2 роки тому +1

    🔥🔥🔥🔥❤️

  • @ahmedanwar1210
    @ahmedanwar1210 2 роки тому

    Olewaa basi utuliee ama umefunga kizazi wataka kufumuliwa tuu olewaa na huyo Baba levo pia aolewwww tuu kudadddekiii gademmmmmmm

  • @erickmahona5357
    @erickmahona5357 2 роки тому +4

    Bab lev ckuwez

  • @deboratv1941
    @deboratv1941 2 роки тому +8

    sisi ata ukituficha sisi tunajua kuwa nyie ni wapenz🤣🤣🤣🤣🤣

  • @givenjackson5449
    @givenjackson5449 2 роки тому +2

    Baba levo jamn hahaaha

  • @ashuramanya9282
    @ashuramanya9282 2 роки тому +6

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣yani baba levo wala ajali yote yasemwayo.

  • @alverztv6272
    @alverztv6272 2 роки тому +4

    😂😂😂😂😂😂🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @isdorspretre9851
    @isdorspretre9851 2 роки тому +1

    Baba levo🤣🤣🤣🤣🤣

  • @minihajmdoe9671
    @minihajmdoe9671 2 роки тому +2

    Hiki kipindi gani