Wameamua kuwaiga akina Neema Gospel choir na Agape band ila ukweli nikwamba vitu vyao vya zamani ndo vilikuwa vikali sana kwamaana injili ni kuhusu ujumbe wa Mungu na si swala la modern music.
Kuna watu naona hii kwaya wameipangia pakusimamia unaposema wabaki kuimba nyimbo kama za zamani, unaamanisha hii kwaya iendelee kuwa na wale walimu wazaman ambao leo hii hawamo kweny kwaya, jaman kwaya hii Mimi naamini hapa ilipo ni MUNGU mwenyew ameruhus iwe hapa kwa hiyo kama una mapenzi na cvc wewe yaendeleze tu. Mwisho wa siku utakuja kuwaelewa wanachokifanya
Viongozi wa Cvc mtakapopitia comments msikatishwe tamaa kabisa ..Mzee Kashimba endeleza hii Mungu mwenyewe anapendezwa na muziki wa live mnafanya vizuri sana hamjateteleka hata kidogo Mungu azidi kuwaimarisha na kuwapa maono makubwa Albam nzima ni 🔥🔥 jumbe za maana ..negative comments hazina nafasi uyo ni shetani anataka kuwarudisha nyumaa ..unyonge hapana Yesu awalinde love u CVC
Tunawataka masolorist wetu akina Lydia kashimba,Diana na bahati meshack,hao ndyo waimba Sasa,pia mrudi kwenye mfumo wenu wa zaman,msiwaige neema gospel ,tunawapenda sana sana Wana cvc msituangushe jaman,mrudishen deffa,tunazid kuwaombea
Atukuzwe Mungu aliye juu juu zaidi kwa namna ya kipekee anavyozidi kuwainua na kuwapa maarifa ya kuendelea kutumika Shambani mwake, hii nyimbo ni ya viwango vikubwa sana "We Can Say this is another level 🎉🎉🎉🎉
nadhani kadiri hizi nyimbo zinavyotoka ndivyo naona usiku ulikuwa umeshachanganya maana naona audience imesimama na kujiachia naona zile za mwanzo walikuwa wanazoea mazingira 😁😁😁😁😂NGOMA KALI THOUGH.
Jamani wameondoa mifumo ya iimbaji Bora WA zamani😢😢 Kamwe hawaendi maporini,visiwani,nyanjani na MILIMANI Ku shoot video zako,😢😢 Tafadhali rudisheni changombe ya zamani😢
Watu wanalalamika utadhani wao ndo wanajua maono ya hii kwaya wao ndo wanajua MUNGU kawapa maono gani mi naona wanazidi kupanda chati kwa sababu pia wanaenda na wakati Biblia inasema kwa kila wakati kuna majira yake so wapo sahihi kabisa chang'ombe mi nawapends
Me naomba next mwimbishaji akisema tuluke juu basi tuachane n step tuenende na muongoza wimbo kuna ule wimbo wa pamoja n Joel jamani mkitakiwa muziache step , ni mic ilizingua otherwise injili inahuburiwa na CVC
you guys have beautiful voices and I pray that the negative comments will not pin you down but motivate you to continue spreading God's WORD your people might not understand that your songs are not accountable to only them but to the world so never stop what you doing even Jesus was rejected by his own people, which is us Christians we spat on him and crucified him even his home town rebuked him and rejected him...if they do not support you with positive energy GOD WILL it's not about the music genre the main aim is for God to be glorified so mimi kama mkenya you guys have my full support baraka tele 🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳tuta imba lugha moja mbinguni
Jamani lakini ni vijana wetu tumewazaa wenyewe, hawawezi kuwa matatizo kama sisi wazazi wao hatujawahi kuwa matatizo. Kama kuna matatizo inabidi tuvumilie maana sisi ndio tumewazaa au tutafute namna ya kuwarekebisha. Ila mimi nawapongeza sana kwaya hii na hii ni ishara ya kukua na Mungu na awabariki kwa utayari wao.
taasisi ya hili dhehebu nayo imekaa kimya hii sasa ni amapiano tu naona imekubali kubadili Tune yake waliobaki kusimamia maadili ya muziki ni sabato na wakatoliki tu, hii siyo kwaya ya injili bali ni wasanii wa nyimbo za injili tu ck hizi sioni nyimbo za ibada hizo ni nyimbo za matamasha ya uimbaji kanisa simamieni bila kumumunya maneno tumepoteza mwelekeo
Mmepoteza muelekeo mazima kwa kuacha asili yenu ya uimbaji nimewavumilia lkn sasa nawaaga rasmi,ninyi vijana mliotuharibia kwaya yetu pendwa mlipaswa muanzishe yenu kama neema muwaache wakongwe na mfumo wao wa uimbaji wimbo mzima onaanana upuuu,i
Rudini kwa mfumo ule ule wa zamani jamani😢 Ni masikitiko makubwa kwangu mie kuona mumeiga mitindo ya kisasa 😢Hamna mashiko kwa haya matoleo mapya kabisa😢
@@kevinsimiyu5438 I agree bro but kwa hii staili naona ni mifumo ya kisasa Tu.Iweje AIC CHANGOMBE,kwaya niliyoizea kwa nyimbo zao nzuli tangia nikiwa mdogo ,waje kuharibikia ukubwani jamani. Kwaya ya AIC SHINYANGA pia nawapenda Sana,akiwemo dada Magreth magenda, na wao hawajamezwa na hii mitindo iliyomo kwenye utandawazi na mitandaoni. Hii staili nimeikataa manake ni steji ya kusikitisha Sana kwa huduma ya uimbaji.😭
mko vzur napenda mnavyoimba live, mtu asiwakwamishe. ila wale masolo watatu msiwaache kwenye huu uimbaji wa live, kama kwenye narudi kushukuru mlinibariki kumuona mmojawapo
You can also do the video recording in different geographical places like before. Include thr former soloists please. In the next songs, kindly do as requested for the glory of God.
Uongozi wa hii kwaya mjitafakari sana, mnatia aibu, hakuna toleo bovu kama hili hata idadi ya waliobarikiwa na toleo hili ni aibu kuitaja honestly i feel so sad sioni utukufu ujumbe wowote kwenye miziki ya aina hii zaid ya kelele tu . 😢😢
Sema kuna watu kama wagonjwa wa akili yaaan unahisi usipobarikiwa wewe na wengine hawajabarikiwa,Baraka ni za mtu mmoja mmoja hujalazimishwa kuwasikiliza acha kufwata mkumbo
Kavishe kafanya ya kwake hapa sana🔥🔥🔥🔥🔥🔥very blessed song mungu awabariki na. Awazidishe ..kenyans let's take this higher higher 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Amen. Be blessed guys and we really appreciate
Wapi likes za waendao Sayuni
Tupo tupo!!! Hakika Twendeni kwa pamoja twende Sayuni
Love from Kenya guys 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
ANGALIENI MSIPOTEZE IDENTITY YENU YA UIMBAJI KWA KUTAKA U Sasa! Mtapotea... Pamoja na hayo hongereni!
Hongera sana umenene vizuri kabisa
Washatusaliti tayari wameiga hata kama wanaenda na Wakati Mimi sio shabiki wao tena
Yes tutasifu tukifurahia ushindi wetu
Wooow
Sayuni lazima niungane nanyi twende ❤❤❤❤❤
Amen
Kwa kweli cvc ya zamani ilikuwa ya moto Sasa hv siwaelewi mnaimba kama bendi,turudisheni enzi zenu
Sasa cvc ndio wako fire 🔥 this is where mziki upo tunabarikiwa sana na cvc
Wameamua kuwaiga akina Neema Gospel choir na Agape band ila ukweli nikwamba vitu vyao vya zamani ndo vilikuwa vikali sana kwamaana injili ni kuhusu ujumbe wa Mungu na si swala la modern music.
Ni kweli , wasipokuwa makininwatapotea ... 😂
@@jamesliganga9098HUO NI UKWELI WA WAZI HUWEZI KUFUATA MKUMBO UKA SHINE😢
Umenunua flash ya Moyo-wa-shukrani-album?umeangalia nyimbo zote 14?
Hakika Tutaimba lugha Moja na tutasifu na malaika wa Bwana Mungu awabariki watumishi wa Mungu nabarikiwa Sana . 🙏🙏🙏
Amen. Jina la BWANA libarikiwe
Bwana awabariki na kuwatunza
Hyo ni tosha jaman identity tosha anaesifiwa hapo ni Yesu na Yesu siku zote ndo identity Yetu
Kuna watu naona hii kwaya wameipangia pakusimamia unaposema wabaki kuimba nyimbo kama za zamani, unaamanisha hii kwaya iendelee kuwa na wale walimu wazaman ambao leo hii hawamo kweny kwaya, jaman kwaya hii Mimi naamini hapa ilipo ni MUNGU mwenyew ameruhus iwe hapa kwa hiyo kama una mapenzi na cvc wewe yaendeleze tu. Mwisho wa siku utakuja kuwaelewa wanachokifanya
Amen. Yote kwa utukufu wa BWANA tu.
Hongereni sana CVC mko vizuri sana Mungu awabariki sana
Amen. Glory be to God
Aiseeeee nimefurah sana mmeimba vzr sana UTUKUFU KWA YESUUUUUU TWENDENI SAYUNI
Hellooowwwww changomb my favorite choir
Hello
Hallelujah amen. Tutaimba kwa pamoja na malaika wa Bwana Yesu Kristo.
Viongozi wa Cvc mtakapopitia comments msikatishwe tamaa kabisa ..Mzee Kashimba endeleza hii Mungu mwenyewe anapendezwa na muziki wa live mnafanya vizuri sana hamjateteleka hata kidogo Mungu azidi kuwaimarisha na kuwapa maono makubwa Albam nzima ni 🔥🔥 jumbe za maana ..negative comments hazina nafasi uyo ni shetani anataka kuwarudisha nyumaa ..unyonge hapana Yesu awalinde love u CVC
Nawapenda sana mungu azidi kuwalinda
Amen
Tunawataka masolorist wetu akina Lydia kashimba,Diana na bahati meshack,hao ndyo waimba Sasa,pia mrudi kwenye mfumo wenu wa zaman,msiwaige neema gospel ,tunawapenda sana sana Wana cvc msituangushe jaman,mrudishen deffa,tunazid kuwaombea
Tunataka nyimbo za kugusa mioyo kama usiku wa manane, mpinga kristo, pazia la hekalu nk ila hili toleo lenu kwakweli linaboa sana
Atukuzwe Mungu aliye juu juu zaidi kwa namna ya kipekee anavyozidi kuwainua na kuwapa maarifa ya kuendelea kutumika Shambani mwake, hii nyimbo ni ya viwango vikubwa sana "We Can Say this is another level 🎉🎉🎉🎉
Amen. Glory be to God
Utukufu Kwa Mungu Halelluya🙏🙏🙏
Amen
Mbarikiwe sana watumishi wa Mungu kwa ujumbe mzuri
Amen. Jina la BWANA libarikiwe
Blessing you More kwa Ibada hii #SaYUNI #CvC #J.kavishe #Live_records
Ujumbe uwafika ila badooooo ..... Mfumo ule wa kwanza jamaniiiii uligonga ndipo
Kwa kweli uimbaji huu unatuboa sana , sioni ujumbe makelele tu .RIP papa clement
Mbalikiwe sana watumishi wa Mungu nyimbo nzuri iyo
Amen
Be blessed sahna...Am so happy to see you Happy❤❤
Woah 😊😊 ngoja niruke ruke kwanza
Mungu awabariki sana kazi yenu. ni nzuri
Amen. Sifa na utukufu kwa BWANA
Semaaaa wooozaaaaa🔥🔥🔥🔥🔥
Sub woofers are burning up huku🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Hii kwaya nimekua nikifatili tangu 2006 adi leo bado naifatilia mnanibalikigi sana mungu azid kuwainua sana 🎉🎉
Kula chuma icho ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Mbarikiwe sana watumishi wa Mungu❤
Hii sasa ndio music I love it keep it up 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Oyaaa cvc now days you kill people ❤❤❤ in Zambia we apreciate youu .i need my like plz
Hii nyimbo mbona ya Moto Sana✔️✔️100%
Viwango vya juu sana congratulations
So sweet and nice to everyone
Kazi nzuri Sana watumishi mbarikiwe 🙏🏽
Amina. Sifa na utukufu kwa BWANA
You guys are awesome for sure...... Shikamoo kavishe ❤❤❤❤
Msalimieni sana Benjamini
nadhani kadiri hizi nyimbo zinavyotoka ndivyo naona usiku ulikuwa umeshachanganya maana naona audience imesimama na kujiachia naona zile za mwanzo walikuwa wanazoea mazingira 😁😁😁😁😂NGOMA KALI THOUGH.
Rudisheni uimbaji wenu huu hapana
Utukufu kwa bwana
Amen
Wateule wa Sayuni..sonear to go🔥🔥
Glory to God
Ameen 🙏
Nami penda sana
Waiting
Love u so much cvc. GOD BLESS U.
Amen. Thanks
Hii no chang'ombe ninayo ifahamu au ni nyingine kitambo mlikuwa sawa ila kwa Sasa
Jamani wameondoa mifumo ya iimbaji Bora WA zamani😢😢
Kamwe hawaendi maporini,visiwani,nyanjani na MILIMANI Ku shoot video zako,😢😢
Tafadhali rudisheni changombe ya zamani😢
Mmetisha sanaaaaaa 🎉🎉❤❤🎉❤🎉
UWIII HUU WIMBO MBONA SICHOKI KUURUDIA RUDIA🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙌🙌❤️
Watu wanalalamika utadhani wao ndo wanajua maono ya hii kwaya wao ndo wanajua MUNGU kawapa maono gani mi naona wanazidi kupanda chati kwa sababu pia wanaenda na wakati Biblia inasema kwa kila wakati kuna majira yake so wapo sahihi kabisa chang'ombe mi nawapends
Amen. Be blessed
Waoooh be blessed 🙌 ❤
Amen
Haya sasa kumekucha mambo ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Me naomba next mwimbishaji akisema tuluke juu basi tuachane n step tuenende na muongoza wimbo kuna ule wimbo wa pamoja n Joel jamani mkitakiwa muziache step , ni mic ilizingua otherwise injili inahuburiwa na CVC
💞💗💞 balikiwa saanaa 🙏
𝗠𝗶𝘇𝗶𝗸𝗶 𝗶𝘁𝗮𝗹𝗶𝗮 𝘀𝗮𝗻𝗮 𝗵𝘂𝗸𝗼 𝗦𝗮𝘆𝘂𝗻𝗶 😀😀😀wanamaombi na wahubiri watajua wasogeza waya 🏃🏃
utukufu..... sayuni
Glory to God ❤
Amen
Amen
Aksante
🔥🔥
you guys have beautiful voices and I pray that the negative comments will not pin you down but motivate you to continue spreading God's WORD your people might not understand that your songs are not accountable to only them but to the world so never stop what you doing even Jesus was rejected by his own people, which is us Christians we spat on him and crucified him even his home town rebuked him and rejected him...if they do not support you with positive energy GOD WILL it's not about the music genre the main aim is for God to be glorified so mimi kama mkenya you guys have my full support baraka tele 🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳tuta imba lugha moja mbinguni
Amen
Kwakweli CVC siyo hii,ikiwapendeza muwe na old cvc halafu na hii ya vijana,hamna tena utambulisho wenu ambao uliwapa umaarufu
Kwa Mungu nadhan hakuna maarufu! Uimbe ucheze Sana au kidogo bado ni kusifu tu.
Jamani tutakapofika mbinguni itakuwa ni 🔥 🔥 🔥
Daaaa ngoma kali sana ya kizazi kipya
Absolutely amazing. 🔥
Ahhh afadhali umbaji wa miaka kumi iliopita.hii ahileti kabisa
Wang'oloti lazima tufanye jambo
Kwaya yeyote wakiingia vijana inakuwatatizo .
Jamani lakini ni vijana wetu tumewazaa wenyewe, hawawezi kuwa matatizo kama sisi wazazi wao hatujawahi kuwa matatizo.
Kama kuna matatizo inabidi tuvumilie maana sisi ndio tumewazaa au tutafute namna ya kuwarekebisha.
Ila mimi nawapongeza sana kwaya hii na hii ni ishara ya kukua na Mungu na awabariki kwa utayari wao.
Ili mambo yawe wakati mwingine inabidi tukiri, tuna Imani kwamba siku moja tutafurahia maisha mapya baada ya maisha haya tuliyonayo.
Kavishe hongera upo vizuri sana,hongereni cvc
taasisi ya hili dhehebu nayo imekaa kimya hii sasa ni amapiano tu naona imekubali kubadili Tune yake waliobaki kusimamia maadili ya muziki ni sabato na wakatoliki tu, hii siyo kwaya ya injili bali ni wasanii wa nyimbo za injili tu ck hizi sioni nyimbo za ibada hizo ni nyimbo za matamasha ya uimbaji kanisa simamieni bila kumumunya maneno tumepoteza mwelekeo
Mbarikiwe sana
Mungu awabariki watumishi wa Bwana
Amen
Wapi like jamani nyimbo kali
Bwana yesu asifiwe wapendwa cvs mko vizuriiii ila wale wamama wasolo
Wow,wow,this is on another level
jamani onanana tena😮😮😮😮😮
Waiting....
😢😅😮😅😅
Mmepoteza muelekeo mazima kwa kuacha asili yenu ya uimbaji nimewavumilia lkn sasa nawaaga rasmi,ninyi vijana mliotuharibia kwaya yetu pendwa mlipaswa muanzishe yenu kama neema muwaache wakongwe na mfumo wao wa uimbaji wimbo mzima onaanana upuuu,i
Tutumie link ya kwaya yako ulioimba wewe tuone
Acha Makasiriko Mtumishi
Wohuuuuuuu😂😂😂😂
So fire 🔥 ❤
Amen ❤
😂😂🎉🎉🎉🎉mmetisha sana majeshi ya Bwana, 加油💪🎊👌👌
Rudini kwa mfumo ule ule wa zamani jamani😢
Ni masikitiko makubwa kwangu mie kuona mumeiga mitindo ya kisasa 😢Hamna mashiko kwa haya matoleo mapya kabisa😢
This is the best. I'm surprised you don't like this
@@kevinsimiyu5438 It's the worst of the worst😭
Wametekwa na hela ,utandawazi na Yale yaliyomo mitandaoni kwa hii staili Yao ya sasa.
@@wallacekatini3424 as long as Jesus is the center of their message, there's nothing wrong
@@kevinsimiyu5438 I agree bro but kwa hii staili naona ni mifumo ya kisasa Tu.Iweje AIC CHANGOMBE,kwaya niliyoizea kwa nyimbo zao nzuli tangia nikiwa mdogo ,waje kuharibikia ukubwani jamani.
Kwaya ya AIC SHINYANGA pia nawapenda Sana,akiwemo dada Magreth magenda, na wao hawajamezwa na hii mitindo iliyomo kwenye utandawazi na mitandaoni.
Hii staili nimeikataa manake ni steji ya kusikitisha Sana kwa huduma ya uimbaji.😭
You guys are really a blessing aisee! 😊
Amen
Mmetoka kwenye mfumo wenu lindeni identity yenu msifuate usasa
Mbarikiwe sana.changombe.
Thankyou CVC for the outcome. fireeeeeeee
Kwaya ya zamani ilikuwa inanibariki sana wale masolo wameenda wapi wadada watatu
Mmh!! Hii ni cvc kweli? Au ndo tunazinguliwa, mbona waandamizi wote simuoni hats mmoja.
Mungu Awabariki Sana Kwa Wimbo Mzurii 🙏🙏
mko vzur napenda mnavyoimba live, mtu asiwakwamishe. ila wale masolo watatu msiwaache kwenye huu uimbaji wa live, kama kwenye narudi kushukuru mlinibariki kumuona mmojawapo
Wako wote mpendwa na tayari wawili wameshaimba bado moja wimbo wake haujaachiliwa utamuona tu
You can also do the video recording in different geographical places like before.
Include thr former soloists please.
In the next songs, kindly do as requested for the glory of God.
The old AIC ilikuwa na ladha yake,if possible kuwe na old AIC na hii mpya zikiwa kwaya mbili tofauti,bwana Yesu asifiwe
Tunawaamini watumishi wamungu kazi yenu ninjema tunasubilii muiachie tukohap
Kumbe tupo wengi eeh tunausubiri huo eeh😂😂
Cvc siyo nilioijua mmeharibu rudini kwenye mfumo wa mwanzo
this guys sing well the main aim ni the message not the beats
Waoooooh ❤❤❤❤
Siku hiyo hakuna kulala
Hutakaa ulale😂😂😂😂😂
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Uongozi wa hii kwaya mjitafakari sana, mnatia aibu, hakuna toleo bovu kama hili hata idadi ya waliobarikiwa na toleo hili ni aibu kuitaja honestly i feel so sad sioni utukufu ujumbe wowote kwenye miziki ya aina hii zaid ya kelele tu . 😢😢
why too much hate si wewe wana imbia wana muimbia mungu
Sema kuna watu kama wagonjwa wa akili yaaan unahisi usipobarikiwa wewe na wengine hawajabarikiwa,Baraka ni za mtu mmoja mmoja hujalazimishwa kuwasikiliza acha kufwata mkumbo
Utazoea tu kijana
Mungu awabariki sana kwa kaz nzur