SHUHUDIA ROBOTI LILIVYOINGIA MBELE YA RAIS SAMIA KWENYE UZINDUZI WA MKONGO WA MAWASILIANO
Вставка
- Опубліковано 9 сер 2023
- Karibu kujiunga na group letu la What's app kwa Habari, Matukio, Burudani
BONYEZA LINK 👉👉 chat.whatsapp.com/DfwqANhvBcB...
Subscribe hapa : bit.ly/2UBtyaG
Tufuate Kwenye Twitter : bit.ly/2UFkrWH
Like Ukurasa wetu wa Facebook : bit.ly/2XbYro5
😭😭😭aisee inaniuma hatakama mimi sio mu Tanzania 🇹🇿 mimi ni mu congo 🇨🇩 kiukweli nyakati za mzee @MAGUFULI vitu kama hivi havinge fika Tanzania 🇹🇿 ange kemea huu upuuzi daah mwenyezi mungu amulaze mahal pema peponi 😭😭😭🙏🤲🤲🙌
Pamoja sana ndugu yangu
amin yarab
Amiin
uko sahihi ndugu yangu mambo ya kishamba haya
Kwakweli ukingalia basi Tanzania Kwa unashughuli gani za kuhitaji robot wenyewe umeme wa mgao viti vyakula vya kishida wanavyotafuta vyahabika kwa mafriji kwa umeme wakuzima zima vionhoz jitafakarin muache kuiga nchi za watu waliondelea
Daaaah kwakweli Mungu tunaomba utupe raisi kiongozi bora na si bora kiongozi katika taifa letu
Naomba kujua faida zake
Kuna wananchi wengi hawana ajira mnatengeneza robot wann hii ndio moja ya roho mbaya
Najiuliza Sana hili swali,😭😭😭😭 tuombe Mungu Sana maana Hakuna kilichobaki
Hii ni nchi yakipumbavu sana ,pumzika Kwa amani baba magu mema yako na mazur yako yatadumu daima
Kama hamna chaku fanya tufundishen hata mambo ya mungu tuwe na iman kuliko huo upuuzi
Kabisaa
Ehee Mungu kwa hili nfundishe kunyamaza maana nikisema hatari
Da Mungu atusaidie sana
Tunakukumbuka sanaaa mwana chato,mungu akupunguzie adhabu ya kabuli kipenzi chetu😢
Dunia imeisha Mungu tusaidie😢
Daah dear Lord have mercy on us
Mama ana uza bandali alafu anatuletea maloboti sisi yanini ayo maloboti..au ndo anaupiga mwingi?
😂😂😂😂😂sijui nacheka nini
Mh jaman unabii huo inaenda kutimia muyaonapo hayo changamken mkaviinue vichwa vyenu kwamana ukomboz ukalibu
Mashallah ❤❤❤
Kusema kweli tuwe makini hii ni program ya A.I inayoendelea duniani kwasasa, nilijua Tanzania yangu haitaingia huku. NI HATARI JAMANI, Tuweni makini karibia TERMINATOR Wana take over DUNIA NZIMA 😭😭😭
Ulichokisema kimeshaonekana ndugu yangu 😢😢😢😢😢😢😢😢
Tnaiitaji madawa ndoyamsingi namba Moja pili ndotupate hao madaktari
Very shame.........tpuuuuuuu........ I dont know if our brain still intact........ is something not ok somewhere.......
Mingu ailinde Nchi yangu huyu mama ametuletee shetanii atutaeale Yaah Allah
Daaah...... kweli kunatofauti kati ya binadamu na kivuli....... vivuli vikibaki.......... everything goes FU*****D
So pain and very Pain...... No solidality, no Vission,.... no goals..... no stretigies..... Just Stupidity and staying on a palace throne having a ceremony for UTUMBOOO....... my tears for my lovely Country...... so Pain for my Africa........
Oooh allah jaaalia amani
Upuuz gan huo wananchi hawana kaz pesa mwamalza kutengeneza upuuz uwo mtakuja kufa vbaya na marobot yenu
Kazi yake nini wafrica mko nakazi mumeharibu pesa kutengeza kitu ambacho hakina maana sasa huyo robot mkikosea mtaona kazi
Magufur Fufuka utasaidie hv hy bajety yakuagiza marobot Vp! Mngeierekeza kutujazia Mita zamaji watanzania wote tukatumia maj bure ata kwa ck 3
Someni (1timoseo2:12)haya,kazikwenu,ilasiasa,niatali,leowanamsifia,akitoka,mbaya,siasa,niunafikitu,niwakati,wakumtafuta,MUNGU,yadunia,hayanamaana,yakobo5:1-4)
Waabudu sanamu ole wenu
Maana yake na Tanzania pia inaabudu sanamu Kwa kuwa wameshawaingiza nchini kwetu kama laana ya nchi😢
Mwenyezi Mungu tupe akili😢
Watu wengi mtaani hawana ajila nyie mnapiga makofi robot kweeeli MUNGU wape macho ya rohoni viongozi wetu tz
Roboti ana mapoziiii zaidi ya mr blue
😂😂😂😂
Nape huna jipya kwenye wizara ya mawasiliano tokea urudi kwenye wizara Mambo yameharibik kabisa bando juu, voucher juu yaani kaa umebaki kutuletea midoli ya umeme kutoka ulaya sijui inafaida gani kwa Tanganyika yetu.
Siyo Tanganyika bali ni Tanzania ila kama ni ziwa Tanganyika hapo sawa
Wenye nchi awo hadi raha❤
Magufuri baba pumzika salama daima tutakukumbuka haya mambo ungekuwepo usingeruhusu yafanyike kabsa 🥲🥲
Yaani naamini mataifa mengine wanatusikitikia sijui anafaida gani huyu robot
Mungu tu ahusike Tz
Bora angalau mfundishe biashara ya forex trading duuuhhh Tanzania bana
Kwakwel tuombeni sana hizi ni nyakati za mwisho tunako elekea hizi hizi roboti zitakuja kutuua sisi wenyewe MUNGU itetee Tanzania tupe watu sahii Katika tafifa letu
Wabudu shetan Tz mnaipusha African i wish nengekua Rais wa kenya Ruto ningekata husiano wetu juu bibilia lasema chitenge nawao
Tanzania yetu. Inaitaji lehema za mungu
Ivi tz ndo tumefikia hapa kweli!
yaan mpaka nacheka kwa kwel ila tanzania bana uwiiii
Hizi kufuru huwa sizipendi huu upuzi
Mataka taka Tanzania inchi yangu yanini😢
Hapo kuna majabu gani jamani
Nipe kazi yakumogesha
Sasa ilo limashine lakazi gani mbona kama ushetani mnatufundisha nini
🎉🎉
Mungu ingili kati tanzania
😢😢😢😢 mama etu nae analiga makof ni nini hii mung tupe.macho ya rohon
Mhn...
Hii ni Mungu ya gizani tu siipendi kamwe
Kwakweli mungu tusadie
❤❤❤
Ivi nanyiii mulio Kaa umo ndani munakenua tu alafu mnashangilia sisi uku tunaumia
Mimi sina chakula robot inanisaidiaje?
Let's see what is our future
Mama unatufundisha nini sisi waislam hivi kweli unaanza kuabudu sanamu na unalipigia 10 ewe mola wngu mzindue huyu mama hajui alitendalo
Vitu vidogo sana hivyo
Ila Mungu anawaona
Kwakweli
Dah sjui kwann nime zaliwa tz 😢😢😢
Sisi Bado sana kwa kweli vitu vya kawaida kabisa hivyo
Safi sana.
Alooooooh!😮😮
Mmezoea kuyaona hayo Duniani sasa yamekuja hapa inamaana hapa sio Duniani ni wapi sasa????!!
Daah ❤❤❤❤❤
nchi zilizo piga hatua wanacheka mpaka wanakaukia jinsi tulivyo mapunguani kichwani tena mpka Mh raisi wa nchi anakuja kuangalia hii toii dah mama washauri wako wanakuangamiza hawakupi ushauri unaojenga
Mungu anatuangalia tu Wacha tutape tapeeee Kisha Kun sim tutajua mung ni nani naon bad hatumjui mungu ni nani?
Kumbe watanzania munakuaga na ujinga nilizani munahakili hamuna kabifa munadhamini kitu kisio sema nalipokosa akili munashagiria watu wazima hovyo😂😂😂😂😂😂😂
We tunaakili
Kwan Tanzania haipo duniani 😭😭😭
Hataree
Daaaah hivi tunajua tunakojipeleka kweli jmn tunajua kwel tunakoend?
Jiuliseni hizo pembe 👹 sini ni. Ya kishetani😭😭, ewe Mungu utusamehe maana Dunia ya Sasa inaongoswa na shetani👹👹😭
RIP raisi yetu kipenzi JPM❤
Mhh mambo meusi watu tunashindwa kupeleka watoto shule kumbe hela ipo ndio muyaone hayo
5:00
Kazi ziendelee maendeleo na mapinduzi makubwa ya kiteknolojia
Naomba kuuliza iyo pesa mgenipa mm kungekuwa na ubaya gan iyo 5 G nikapeleka mwenyewe kwa mama?
Jamani achine kutaka kuchukuwa na fasi ya Allah tume chuku wana wana ume wame kuwa wana wake wana wake wame kwahiyo hatu rizike na fasi ya mungu tuaa che
Kwakweli haya madogolingo mimi sijayaelewa rabda sijaelewa
Roboti apewe uteuzi ukuu wa mkoa mara
😂
Kuna ulazima kwa hili robot kuwekewa mapembe na sura yakutisha?
Matangazo ya ushetani
Robot Lina mapembe ya shetani au ndo shetani mwenyewe?
Yalabi tunusuru wajawako
😢
Ngoja likosee lianzekutembeza kichapo cha maana,Mie Simo
Lifinye mimacho ya ilo libibi tuki ntachela nizimie kiukweli mm magu Bado ndio raisiwangu
Kwanza ingetakiwa liwakanyage wote hapo ndani
Kufanya ivyo maanayake nini inafaidagani uyo roboti ni wa kazi gani kwenye maendereo yetu au ni kupotezeana time ya kufikiria mengine
hayo Maroboti ndiyo yatakuwa yanafanya kazi Bandarini baada ya DP WORLD kukabidhiwa Bandari
Kazizuli mamaangu hakika Mungu aendelee kukutetea ombilangu mama kwako mm jasiliamali soko limevujwa nimeyumba kimtaji nakuomba mama unisaidie nipo kigoma mama🙏
Hiyo kazi ya robot ingepewa mtanzania akapata ugali wa wanae
Roboti bado kichanga anajifunza kutembea😂😂
Wapuuzi kwel sas hilo robot au mtu kavaa si bora mtutafute vijana tupo amabao tunaweza tukatengeneza modern and functional robot amna kitu hapa
Nani katengeneza
Watu wanajua kupiga ela kisomi uyo roboti anaweza kununuliwa bilioni 5 wakati uko vijijini shule hakuna na watoto wanakaa chini, wanajua maendeleo ni kuangalia mjini tu .
Roboti kauzu ata picha na mheshimiwa Rais aombi 😂😂😂
Makubwa c shetan huyu nyie kha
Samahani sina cha kukoment ila kwanini bodyguard amekaa wakati rais amesimama?
Ni vtu vyakijinga Sana vitu muhimu nikulinda asilimali za selikali kuzbiti ufisadi nalushwa uwajibkaji kwa wtumishiwauma hyo ndoyamcngi siyo upuuzi ambao haunatija
Mmmh
Nawakumbusha tena mbeya maji yanasumbua sana achaneni na haya masanam mnailetea laana
Kuku anarushiwaa maidi mwesho wake watanzani watachijwa hahaha wanadam wame kaaha kuwona romboti nyinyi amujuwe African Tanzania ni ichi takatifu kwa nini ivyo very said kizazi Cha nyoka 🐍 mimi nina wawona nikiwa kwetu Nairobi Kenya western Ingo luyha 🤔 pst mubarikiwe ajawonaa hayo Diyo tenaaa mumufuge kwa jelaa
Siku ya siku wanaenda kuangalia roboti linawauwa wenyewe wapuuzi sana 😂😂😂😂
Mama watakukubali tuu wacha wakomae ila watakukubali tuu japo wanajifanya hawaoni hawasikii
Mwanamke ni mwanamke2 awez mshinda akili mwanaume😢
Sio yatuchenjie ndio tukome