HAPPY Atoa Mpya "Nilimuacha MWANAUME kisa alikuwa Ananijali sana/KUZAA nje ya NDOA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 9

  • @khadijauledi3293
    @khadijauledi3293 2 години тому +1

    NAMPENDA SANA HAPPY HONGERA SANA, MTOTO WA PILI KAJA NA BARAKA TELE ALLA AKUSIMAMIE MUMMY

  • @SelineChandja
    @SelineChandja 6 годин тому +2

    Nampendaga saaan uyo dada❤

  • @PrincessHellen-pg1oy
    @PrincessHellen-pg1oy 34 хвилини тому

    PIPI MEDIA TUNAMSAPORRT SANA NA YUKO VIZURI SANA HONGERA KWAKE 🎉🎉🎉

  • @lenoxbuhanza4926
    @lenoxbuhanza4926 7 годин тому +1

    Waandaeni kwanza mnaowahoji kwa kuwaeleza kuacha kula/kutafuna/pindi mahojiano yanapoendelea,Umesikia Rick?

  • @PrincessHellen-pg1oy
    @PrincessHellen-pg1oy 58 хвилин тому

    Ila happy kabishi wallah sasa kwanini always anamkana beka flavour huyu Dada vipi lakini??? Ndo maana beka anaona tabu kufunga nae ndoa hembu badilika happy bhana khaaaaaa huo siyo msimamo Bali ni kumkosea adabu mwanaume ambae umshazaa nae tena mtoto zaidi ya mmoja

  • @ChipugeLaulian-fz1mv
    @ChipugeLaulian-fz1mv Годину тому

    Umalaya tu kuolewa aah😂

  • @PrincessHellen-pg1oy
    @PrincessHellen-pg1oy 53 хвилини тому

    Happy nae haya mwazo alisema beka ni mkali haya kapata mwanaume mpole bado tena hataki khaaa tumweke wapi huyu Dada mbona kigeu geu

  • @PrincessHellen-pg1oy
    @PrincessHellen-pg1oy 48 хвилин тому

    Utakuja kuzubaa weeee beka akajiolewe mwanamke wake wa kiislam wewe endelea kuzurura mtandaoni jishaue beka anakupenda subiri watoto wakue beka apite kushoto au hata akikuoa lazima atakuolea mke wa pili we endelea happy 😢 hembu tulia uolewe mwanamke wewe khaaa una heka hekaa sana wewe

  • @PrincessHellen-pg1oy
    @PrincessHellen-pg1oy 44 хвилини тому

    Kwenye kiburi ni uwongo na kisirani uwongo hivyo vitu vyote unavyo na ubishi ndo usiseme