JE YAFAA KUONANA BAADA YA TALAKA TATU

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 18

  • @alinuramin7744
    @alinuramin7744 6 років тому

    Ma shaa Allah... Jazaka Allahu kheyr Akhi

  • @خيراتعباس
    @خيراتعباس 6 років тому +5

    Hakuna anaemuacha mkewe kwa furaha😂😂😂....

  • @mwanaishambili241
    @mwanaishambili241 5 років тому

    Shukran shekh

  • @abullahkabaka8774
    @abullahkabaka8774 3 роки тому

    MASHA ALLAH ALEIK

  • @SadaKhelef
    @SadaKhelef 9 місяців тому

    Jeee mwanamke alie achwa talaka anawez kuposwa ndan ya eda ikiwa hukuingilian na mumewe takriban miez 9?

  • @nusralilobwa4752
    @nusralilobwa4752 6 років тому

    Jazzakallahu khayra

  • @خيراتعباس
    @خيراتعباس 6 років тому +1

    Dunia ya saii nikinyume...watu waloachana ndio huonana sasa! Na watu wasojuana ndio wataka kujuana ima mitandaoni ama mahali mbali mbali 😏 INASIKITISHAA

  • @omyabduu2942
    @omyabduu2942 6 років тому +1

    Kila afanyae kosa humsingizia shetani na shetani yy akifanya kosa amsingizie nanii mtihani

  • @omyabduu2942
    @omyabduu2942 6 років тому +1

    mashaallah

  • @kassimmanaramalika8592
    @kassimmanaramalika8592 4 роки тому

    🤣🤣🤣 kila mmoja anamsingizia shetani !

  • @ramakibati7415
    @ramakibati7415 4 роки тому

    majambazi pia wanao majambaz wenzao

  • @nurusamwel8011
    @nurusamwel8011 4 роки тому

    Ukipewa talaka tatu uyo mwanaume anaweza kukuoa tena mkikaa miaka miwili au mmoja bila mie kuolewa na kuachia

    • @ahmednaaman9784
      @ahmednaaman9784 3 роки тому

      Nauliza swali Hilo hilo. Je nawaza kumuowa tena na kama amekataa kuolewa na mwanamume mwengine?

    • @fatmaharun1210
      @fatmaharun1210 8 місяців тому

      Ikiwa alikupa talaka tatu kwa wakati tofauti na zikatimia hawezi tena kukuowa ni mpk uoleke na mume mwengine kisha itokee akuache mwenyewe ndio unaweza olewa na mume wako wa kwanza tena

  • @a.856
    @a.856 6 років тому

    Mtihan

  • @salmamohamed8802
    @salmamohamed8802 4 роки тому

    🤣🤣🤣🤣🤣

  • @nurusamwel8011
    @nurusamwel8011 4 роки тому

    Mie naomba kuuliza talaka ya kulazimishwa na wazazi inafaa