Sasa HV reli yakati yote inafungwa pound 80 tena inaungwa kwa umeme kite mpaka kigoma mpaka hapo mwanza mlipo...ina mana ton's zakutosha na kwaharaka zita safiri 78KPH kiukweli JPM anatosha.
HATUTUKANI MARAIS WENGINE LAKINI UKWELI USEMWE WALITUANGUSHA SANA NA SIO TZ PEKE YAKE BALI AFRIKA NZIMA...JPM AFRIKA NA DUNIA INAMFATILIA KWA KARIBU WENGI WALISEMA NGUVU ZA SODA....WATASHANGAA!!!JEMBE!!!!
Ebwana eeh hii ni awamu ya kazi kazi, hongera mkuu wetu JPM.
Ahsante mungu ahsante jpm hapa kaz tu.
Ben Mwanantala na wew leo ngoja nikusifu unapiga kaz nzur saana
Tanzania tunasogea. Hongera JPM na viongozi wote kufanikisha haya.
Ukweli jpm yupo vzur
Ben piga kazi kaka, shukrani Sana kwa kutuletea taarifa za reli yetu... Asante kaka.
Yes i can do
Mungu ibariki tanzania
Sasa HV reli yakati yote inafungwa pound 80 tena inaungwa kwa umeme kite mpaka kigoma mpaka hapo mwanza mlipo...ina mana ton's zakutosha na kwaharaka zita safiri 78KPH kiukweli JPM anatosha.
Daahh hongera na tusonge mbele
Asante san mwenyez MUNGU kwa muongozo wako mwema kwa raisi wetu na wasaidizi wake wote asante san mwenyez MUNGU mkuu
TULIKUA NA MARAIS WANACHAPA UCNGIZ, MAGU💪💪💪
Zefa Mange umeonaa,, 😁😁
@@lamecktheonest225 sanaaa, mm sikumpa kura yangi saiz najilaumu mnooo
Zefa Mange ndo usifanye makosa Panapo uhai ukijaaliwa.
Kazi bora sana inafanyika na serikali
Hapa SGR bado. Ikikamilika naamini millions of tonnes zitakuwa zikisafirishwa
Tumeshindwa mpira wa miguu, tukazane tu na uchumi 🔥🔥🔥
Ben mwanantala boss Masanja itabidi akuongeze mshahara
safi sana Rais wangu
mbona treni ya abiria ya dar mwanza hakuna hyo ya mizigo inapita wapi?
HATUTUKANI MARAIS WENGINE LAKINI UKWELI USEMWE WALITUANGUSHA SANA NA SIO TZ PEKE YAKE BALI AFRIKA NZIMA...JPM AFRIKA NA DUNIA INAMFATILIA KWA KARIBU WENGI WALISEMA NGUVU ZA SODA....WATASHANGAA!!!JEMBE!!!!
🙌🙌🙌🙌🙌👏👏👏
Iko wapi meli nyingine ya MV Kahawa,?
Duh mv kahawa zilipendwa tunajenga meli mpya na za kisasa
Iko wapi meli nyingine ya MV Kahawa,?
Iko wapi meli nyingine ya MV Kahawa,?