Tabora-Kigoma vipi? Maana hali ni mbaya hata kula chakula ni mtihani inabidi uvizie treni ikiwa imesimama stesheni ndio haraka haraka la sivyo ukila huku treni inatembea chakula chote kitamwagika 😭😭😭😭😭
HONGERA MH.SAMIA MUNGU ATAKULIPA THAWABU KWA HILI NA HONGERA KWA KUIPA KAMPUNI YA CCECC....NCHINI NIMSAADA MKUBWA KWELI KWENYE UJENZI NA WANAJUA SANA KAZI.
Good job trc. Tunangojea na ukarabati kama huu northern zone maana treni inaruka kama kitenesi.
one love baba makame
Hongera sana Mbarawa
TUNA ukarabati wa leli NDIO jee vituo vyake VIPI kwa maana stesheni na magenge VIPI mfano genge la kambuzi na kabronge
NI sawa kukarabati hiyo old school rail track...lakini pia kwani huku hakutakuwa na SGR?
Kwa nini hizo zaidi ya Bilioni 350 zisingeanza kujenga Sgr ?
Mh. Mbarawa usitumie nguvu nyingi. Hire me nisimamie kitengo CSR ndani ya MGR or SGR. Hii jamii bado mno..hawathamini
Tabora-Kigoma vipi? Maana hali ni mbaya hata kula chakula ni mtihani inabidi uvizie treni ikiwa imesimama stesheni ndio haraka haraka la sivyo ukila huku treni inatembea chakula chote kitamwagika 😭😭😭😭😭
Huko ni SGR vumilieni mazuri yaja
HONGERA MH.SAMIA MUNGU ATAKULIPA THAWABU KWA HILI NA HONGERA KWA KUIPA KAMPUNI YA CCECC....NCHINI NIMSAADA MKUBWA KWELI KWENYE UJENZI NA WANAJUA SANA KAZI.
CCECC,CCRC NIKAMPUNI BORA DUNIAN HAKUNA KAMA HIYO KAMPUNI YA CCECC,CCRC
Izo ela ni xi jimping sio samia acheni bangi
Sasa tulimbiwa kua ni ya umeme sasa tena mnajenga lakawaida
tulia mzee kila kituh taratib...
@@killy_hoffman2698acha kulopoka sikiliza oja ya jamaa na toa pint sio atulie 🖕
Kwanini nayo isiwe electrified mbalawa
ISHAPIMWA SGR ZOTE NIMUHIMU....MGR NA SGR KOTE ZIPO HUKO....