Anko j kwa kweli tunajivunia kuwa na ww anko j mana unatufanya tuwe na furaha wakati wote napia unatupunguzia stress mungu akupe maisha marefu anko j ubarikiwe.
La 2 hili ni kwa wanafamilia wa Anko Jay na dada Lissa Mwala!! Ningependa 2toe Comment kulingana na 2lichojifunza kutokana na Simulizi husika na pia kuchangia mawazo kua Umejifunza nn kwa ulichokisikia maana nisema Kua anko Jay na lissa ni wateule walioteuliwa kutufikishia ujumbe kwa njia ya Simulizi ni km tuwapo kanisani au Misikitini inapotolewa hotuba au Injili kua ni nini inatakiwa tujifunze!!hivyo ningependa kujifunza kutoka kwa ndg zang na wanafamilia kutokana na coment zenu huenda nilivyoelewa mie na ulivyoelewa wewe ikawa ni tofauti ikanipa mwanga wa kujua Zaid Samahanini sana japo kuna wengine watabeza sitokasirika ni moja ya kujifunza pia kutokana na mawazo yenu Inshaalah 🤲🤲🤲
Katika mapenzi moyo hutulia pale unapata amani yakupendwa na kuridhika ila sio eti moyo wa mmoja umpende mmoja ila mwenzie hajaria nisawa nakulazimisha maji ya pande mlima na hicho nikitu kisicho wezekana kabisaa
Anko Jay Rafiki yangu kiukweli unatupa shida sana, kila mara nyege aise, ebu basi tuwekee simulizi za kijasusi please, alafu pia nataka ya kijasusi ichezewe Burundi🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Rafiki anayekutendea kama Nicole amekutenda halafu anakurudia kwa namna kama hivyo ujue amekujia na mpango mweusi, maana shetani hawezi kugeuka malaika mwema hata siku moja,nikuishi kwa hadhali tu
Please Anko Jay!!! Tena narudia Samahani,Binafsi mie ni shabiki wako kindaki ndaki ila ugonjwa wamgu wangu mie zaidi nikisikia Story za Kijasusi mf Class ment X na zile zenye mafunzo kuhusu utafutaji ikiwemo Safari ya Mvuvi niacheni nilie,niacheni Niue,na nyenginezo km njia panda kijiji cha wachawi na nyingi zinazohusu maisha lkn hizo za nyege nyege aaa naskiliza tuu kusema kuna baadhi ya vitu nachukua hasa Usariti na Uvumiliv hasa kwa wanandoa na wenye mahusiano kwa Sie wa Gulf mapenzi hayana nafasi kwetu binafsi sijui wenzangu Samahani km nimekukwaza na Dada yetu LISSA MWALA mtunzi mahili🙏🙏
I was not available but I'm back let me enjoy amazing voice
Nimecherewa
Nicheke kwanza kua ata kumi bora ni Kiri kwa moyo na kutamka kwa ulim anko Jay ndo king msimuliji bora tuzo yangu nampatia Mungu ampe Afya bora
🔥🔥🔥🔥🔥
Uuuuuuwiiiiiiii mambo ya anko j jamn,mambo ya moto moto
Wadau wa anko jay hatupoii, burudani juu ya burudani🥰🥰🥰🥰
Nimewahi 🎉🎉🎉🎉
Ankojay na Lisa mko vizuri sana mnatufulahisha sana
Lissa kiboko, ni mbunifu hatari kwa sasa amekuja na style mpya, mwanzo anaanza na kidokezo ambacho tutakutana nacho mbele 👏👏👏👍
Asante Anko jay $ madam Lissa kwa kutujari na msimulizi wetu sasa bomba sana
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Pia sisi twakupenda sana ni vile aujui
Waau santa sana Anko Jay❤❤❤
❤❤❤❤❤❤waaah nimechelewa xn but tuko pamoja ankoj
😂 😂 Anko jey bwana eti itakujia bure wadau msipanik anko jey wetu anatupenda sana
Atr nanusu jamani aiii
Rafuki yako niaduwi yako jamani marafiki wabaya❤❤❤
Bestie bestie 😂..Ila ayaa bn enkx kwa story ....Anko J 🥰
Anko j kwa kweli tunajivunia kuwa na ww anko j mana unatufanya tuwe na furaha wakati wote napia unatupunguzia stress mungu akupe maisha marefu anko j ubarikiwe.
🎉🎉
Waniburudisha kabisa yanisimulizi unanifanya natuliya kabisa ankoj napenda sana kabisa
Ankojei. Unasema. Unatupenda. Sana. Weweweeee. Mimi. Ndonimeoza.kwako na. Hizi. Simulizi. Zako. Yani. Nazimia. Kabisaaaaa 🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉
Muyo Mario ni mnga uyo ni mchafu wa Tabia hakufai
Waoooh Mambo ni moto huku weee acha tu naona simuliz inanikuna loo mtunzi na msimuliaji anatkosha kweli kweli ❤❤❤
😊😊😊
BEST FRIEND wangu miee baadae alikuwa my love wangu sijui ili kuwaje ngoja nisikilize labda sio ninavyofikilia miee ankojay naisubili hapa🥰🥰🥰🥰
Mmmmm0ppm
Leo nimewah jamn anko nipe zawad
Shukran anko jay Kwa simulizi nzuri
Noma sanaa 😊😊😊asante ankojay ❤
😂😂😂😂 hakuna kitu heee hii fumamizi ilikuwa international,,ohoo besty chunga unaibiwa ujue
Hamtakuwa na mwisho mweema
Hahha🤣🤣🤣🤣🤣🤣tunakupendaaa pia anko
best friend ❤❤❤
Sawa tutashare Anko jay
Waahu asanten Anko J +Lisa Mwala kwa kutupa mambo kem kem furaha ilioje😀😀😂😂🤣🤣
Pamoja saana Wana smix Lissa wewe ni hatari yaani 🔥 pamoja na ankojay big up
Nimechekewa ila Asante Anko jay kwa mzigo mpya
Asante Anko j watuburundisha Sana wakati nikwapekeangu bado nafeel nkonamwenzangu 😂😂 napenda sanasimulizi zako pamoja Na madamu lissa
ASanté sana anko nimechelewa
Anko jay tunainjoi San ❤❤❤❤❤❤❤
Haya twangoja Anko umeamkaje❤❤❤
Risarisarisarisarisa ndotunaitaka jombawajo fanyahivobasi
Pia wewe tunakupenda Sana hata wewe hujui tu asente Sana ANKO JAY
Tuko pamoja wadau❤
Lissa wangu😍
My body deh do me with my bestie hali si hali.BESTIE BESTIE CHUMBWI😅😅😅😅😅😅❤❤❤❤
😅😅😅😂😂😂😂
My best friend ❤️ ilove you my story ❤️
🔥🔥🔥
Asate sana anko
La 2 hili ni kwa wanafamilia wa Anko Jay na dada Lissa Mwala!! Ningependa 2toe Comment kulingana na 2lichojifunza kutokana na Simulizi husika na pia kuchangia mawazo kua Umejifunza nn kwa ulichokisikia maana nisema Kua anko Jay na lissa ni wateule walioteuliwa kutufikishia ujumbe kwa njia ya Simulizi ni km tuwapo kanisani au Misikitini inapotolewa hotuba au Injili kua ni nini inatakiwa tujifunze!!hivyo ningependa kujifunza kutoka kwa ndg zang na wanafamilia kutokana na coment zenu huenda nilivyoelewa mie na ulivyoelewa wewe ikawa ni tofauti ikanipa mwanga wa kujua Zaid Samahanini sana japo kuna wengine watabeza sitokasirika ni moja ya kujifunza pia kutokana na mawazo yenu Inshaalah 🤲🤲🤲
😊😊😊😊
Weeeee mambo ni mot jamn ako j
Yan bongo tup na matukio makubwa 😂😂😂 had aibu😂😂
Yaan
Watu mpo fasta😂😂
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥✌🏾
Moto lkn hauunguz
Hapo sasa
I like simulizi sina rafiki ila simulizi mix😂❤❤
Story pambe kwelikweli😂😂😂
❤😂🎉 saluti kwako ank jay
Anko j twashukuru Kwa simliz zako ❤️❤️❤️❤️❤️
Wizi cyo mzur
Am late lkn better late than never aka sitapitwa😊
Unaweza Lisa mwala Asante
Jaman Huy dada dhaaaaa😐😐😐😐😐😐
Asante sana Anko
Tuko pamoja anko
Nice job lissa❤
Wow wacha nitege maskio
Anko ungejuwa vle unatunyegesha weeeuh!!much love from Kenya 🇰🇪 jay😊😊😊
😀😀😀😀😀
The truth to be told
😅😅😅😅
For sure jamani khaaa 🙌🙌🙌@@ankojay_
Katika mapenzi moyo hutulia pale unapata amani yakupendwa na kuridhika ila sio eti moyo wa mmoja umpende mmoja ila mwenzie hajaria nisawa nakulazimisha maji ya pande mlima na hicho nikitu kisicho wezekana kabisaa
😂😂😂 jaman nimecheka sana mtu anataka kujikamatisha mwenyew
Aibu
Anko Jay Rafiki yangu kiukweli unatupa shida sana, kila mara nyege aise, ebu basi tuwekee simulizi za kijasusi please, alafu pia nataka ya kijasusi ichezewe Burundi🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
From now sitawahi amini rafiki nimejifunza dah
Kweli kabisa
Nimecheeka saana Mainda alivomuagiza shogae aongee na Mpenzi wake😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Tunakupenda pia
😂😂😂😂jmn nakojoaaaa uwiiiii
Anko jay jmn
Wow
❤❤❤❤🎉
Wengine tunalalia simulizi mix
Live ❤
We are together ❤️
❤
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
❤❤❤
Mbona hii kama imesonga haijaanza mwanzo
Best friend amefanyaje inanitia washa washa mie naona tam kuliko tunaisubir nisiwe na haraka kama chura😂😂😂
Asate sana ako j
Asante kwa simulizi anko
Wengine tunachelewa kwenda kazini kwajir ya simulizi
We are together anko jay 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
Haaa mmeimaliza lini ile mtoto wa ---++🙄, nasubiri comment nijue kama na hii itakuwa na KIPORO, 😎🙇🤗
Thanks mr j mpesa ❤
Simulizi fupi na ina part 2 anko viporo vitakua vingi tunasubr😢
Haya nisikie kwanza best friend halafu nitarud kucoment
Ndio utajua sasa kama ubuyu ni mboga
Rafiki anayekutendea kama Nicole amekutenda halafu anakurudia kwa namna kama hivyo ujue amekujia na mpango mweusi, maana shetani hawezi kugeuka malaika mwema hata siku moja,nikuishi kwa hadhali tu
😂😂😂😂mpango mweusi
Waaaa ntamu 😂😂
❤❤❤❤❤
MBOLIYA (FERTILIZER)
Ankojay eti Wanaume sijui wakoje na wewe sio kundi lao😂😂😂
Nimejikuta nacheka 😂😂😂😂
Please Anko Jay!!! Tena narudia Samahani,Binafsi mie ni shabiki wako kindaki ndaki ila ugonjwa wamgu wangu mie zaidi nikisikia Story za Kijasusi mf Class ment X na zile zenye mafunzo kuhusu utafutaji ikiwemo Safari ya Mvuvi niacheni nilie,niacheni Niue,na nyenginezo km njia panda kijiji cha wachawi na nyingi zinazohusu maisha lkn hizo za nyege nyege aaa naskiliza tuu kusema kuna baadhi ya vitu nachukua hasa Usariti na Uvumiliv hasa kwa wanandoa na wenye mahusiano kwa Sie wa Gulf mapenzi hayana nafasi kwetu binafsi sijui wenzangu Samahani km nimekukwaza na Dada yetu LISSA MWALA mtunzi mahili🙏🙏
Tunapenda hizi pia tunapenda chochote kile kinachokujaa
😂😂😂ngwinji ngwinji aky wewe ako uko na tanakali za sauti mmm😊😊
❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
❤❤❤😊😊