Kwa majina naitwa tony ni mtoto wa tatu kwa mama yangu ambae ana watoto watatu,wa kwanza na wa pili ni dada zangu na wa mwisho ni mimi Tony Ambae Ni Last Born
JAMANI NIMECHELEWA MIE😢ILA HAPAJA HARIBIKA JAMBO BORA NIMEFIKA ..WACHA NIENJOY ZANGU MIE..AHSANTE ANKO JAY KWA KIGONGO KIPYA ❤BILA KUMSAHAU MWANDISHI WETU LISSA MWALA..POKEENI MAUWA HAYO KUTOKA KWETU WASIKILIZAJI WENU 🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹
Hakika tumeamini unatupenda kweli mungu akubariki na akuzidishie kwa kazi yako nasi tunakuombea sana mungu akupe afueni upone haraka tunakupenda pia kwa bidii ya kazi yako nzuri congratulations 👏👏👏🎉🎉🎉❤❤❤
Namshukuru mungu Kwa kukujalia ubora wa afya,natumaye inaendelea vizuri Kwa Sasa,am so happy to hear your voice 😊, thanks so much for the love y've shown us❤❤❤
Aisee Tony naona huyapend maisha yako utatupwa kwenye mashimo ya migodi,unakula sahan moja na boss wako tena kwa mikono michafu ooooh,balaa linakunukia
Daah kumbe kuna wanaume wanajipendekeza kutoa msaada kumbe una lako jambo, dogo ashajisahau tayari 😂😂😂 aliponea kufukiwa machimboni kisa mwanamke wa mtu hivi anajibebisha tena kwa mke wa mtu, hebu tuangalie digo ataishia wapi manake amezid😢kule mwanzo alitoroka kisa kulala na dem wa rafiki yake, hapa kaingilia ndoa ya watu, 😅😅daah I feel for this guy siatafute dem wake😊
Next tym ukiona mwanamke amependeza naumeambiwa na boss wako huyu mkewangu bora muachee lkn miyeyuko ya hisia ungefia hapo shimoni nani angejua umekufaa hayaa utakapo pona ukiona wanawake kuwa naheshima nao yani wanaume bn uko na happy lkn tamaaa unamtaka cheupe haya kakupoxaa naalikudanganya atakulinda kwa danga lake hiloo
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 ata msip like nisha zoeya tu 😢😢
No sixteen jmn give my likeee😂
Mim kama kawaida yangu nafaid masontojo ya miez iliyopita,nasikiliza kwanza last born nitarud kucoment
Kwanza niliboeka leo LAST BORN kafanyanini haya tunasikiliza ili tujuwe mich u LISSA MWALLA❤🥰
❤
Jaman mbon epesod 2 siipat
Leo nmekuwa wa pili duuh nmepiga hatua anyway tuendelee na simuliz nzuri
Waaah,,dda Lisa Mwala leo unatupunga na last born,,asante Anko J kwa smlz zenye nafunzo
Hongela sana best friend wang kwa kaz nzuli ila pumzika upone maana mafua yana umiza sana
Yanaumiza Sana
Pole sana Ankoj wangu ❤️❤️🥰
Wow 😲 am happy today ebu tuone hope umepoa mpendwa wetu
Asantee,Lissa,mwaLLa
Jamani mapenzi Haya hinahumeza tana sana hukipata mzuri shukuru mungu
Wakwanza jamani nipen like zangz❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Hongera dear 😘😘😘😘
@@anjelinandambuki-fi4ip 😍😍😍😍😍😍
Ongel
😍😍😍
Leo nimekuwa wa kwanza Asante anko jay💋💋😘
Nime,wah❤❤
❤❤❤ pole daer
💞💞💞❤️ jmn jmn ako j ww mh utauwa kwautamu
Ngoja tule.raha na last born toka kwa kipenzi chetu Liza mwalla asante anko joy jamani nilikua nimeboeka hapa ❤
Very good anko just love you
Asante kaka pole situmekupa ruhusa upumnzike kaka afya muhimu
Ankojay tunasubiri kwahamu sana part 2 aissseee
Number 1
Anko jey vipi Hali yako mzm uko powa pole na kazi simulizi nzuri hii ❤❤❤🎉🎉🎉
JAMANI NIMECHELEWA MIE😢ILA HAPAJA HARIBIKA JAMBO BORA NIMEFIKA ..WACHA NIENJOY ZANGU MIE..AHSANTE ANKO JAY KWA KIGONGO KIPYA ❤BILA KUMSAHAU MWANDISHI WETU LISSA MWALA..POKEENI MAUWA HAYO KUTOKA KWETU WASIKILIZAJI WENU 🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹
Acha nimuongeze mauwa 🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹💓💓nampa ongera pia Allah azdi kumpa furaha na kipaji chake cha utunzi Mungu akibariki
Wa9 leo jaman 🎉🎉🎉
Asante anko jay kwa simuliz tamu ❤❤❤❤❤
Natumai akoy j unaendelea vizuri ❤
Duhh acheni tu mapenzi jamaa kama ticha ally wapo ase😭😭😭
Anok j kaz nzuri❤❤❤
Mashallah anko Jay jazakalwau da lisa Allah awajalie kila lakheri
Haijalishi nimechelewa ila nimefika shukrani anko jay and Lisa mwalla❤❤❤
Mpole ni kamtu kabaya hatareee❤❤❤❤
akojay Asante kwa simulizi tamu tamu ❤❤❤sishikiki niki kitako
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪😂😂😂😂wa mwisho leo😢😢😢
Daa,kweli kichwa cha chini kikiachwa kifanye kazi ni hatari kwa maisha ya mwanaume😂😂😂😂
Jamani mbn mm hii simulizi sielewi part zingine zimerukwa ama mm ndo sijaelewa😮
Leo nimeiwayi ❤❤❤
Anko jay vp mafuwa pole asante kwa kutusisimua na simulizi tam
Ewaaa...watu mko haraka jmn🤣😂😂😂😂😂
Asante Anko j nimewahii twande nalo
No1😂😂 twende nalo
Jamani wa mbozi kujeni huku ❤❤❤
Mnipee🌹🌹🌹🌹
Hakika tumeamini unatupenda kweli mungu akubariki na akuzidishie kwa kazi yako nasi tunakuombea sana mungu akupe afueni upone haraka tunakupenda pia kwa bidii ya kazi yako nzuri congratulations 👏👏👏🎉🎉🎉❤❤❤
Asante Akoy j Kwa simulizi zenye mafunzo❤❤❤🎉
Sisi twaenjoy tuu hapa 🇰🇪🇰🇪🇰🇪wapi nduruuu ya ankojay na lissa mwala
Nimewahii leo🎉🎉🎉
Pongez sana Lisa pamoja na anko jay kwa simuliz tamu,ingawa nimechelewa lakin nimefika
Asante anko j
Lisa Mwallatukum bushie wajibu wa wazazi hasa jamii za wafugaji
Nimewahi vipi anko Jay simulizi unaendelea vizuri❤
Anko jay kuna watu wengine wavivi
Asant dj wetu🎉
ᴺⁱᵐᵉᵏʷᵃᵐᵃ ʰᵃᵖᵒ ᵏʷᵃ ᵐᵏᵒⁿᵒ ʷᵃ ˢʷᵉᵃᵗᵉʳ😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
Very nice one Anko jay we always❤❤❤❤
Leo nimewahi
Shkran kwa simulizi safi ankojey ❤❤
Hi Lissa mwalla? ahsante Ankojay kutuletea simulizi ya Lissa nilim6 acha ni 🪑🎧🌹🙏🙌
Wow ❤❤❤❤❤❤❤❤
❤❤❤❤ pole na kuumwa
Unajua anko j huyu mwandishi Lisa mwala me namkubali sana kwasb simulizi zake yaani zinasismua na kufundisha
Nakupenda pia ❤
❤❤❤❤❤
Leo WA kumi na Tisa nimewahi
Enyewe maisha wakati mwingine hayatabiriki kweli Tony jipe tuu mda mambo yatakaa sawa kwani mapenzi nayo yamekuwa kizungumkuti kwako
Tonny wew Tony umeepuka kifo kwa boss wako migodini,sasa upo na madam mke wa teacher,uwe makin hatar iko mbele yako
Shukran anko J pamoja na mtunzi wetu ❤❤❤❤
Wow ❤❤❤❤❤❤
Wa mwishooo😂😂😂
Watu mnawahi lol 😂😂
Namshukuru mungu Kwa kukujalia ubora wa afya,natumaye inaendelea vizuri Kwa Sasa,am so happy to hear your voice 😊, thanks so much for the love y've shown us❤❤❤
Saluti kwako lissa mwalla
Aisee Tony naona huyapend maisha yako utatupwa kwenye mashimo ya migodi,unakula sahan moja na boss wako tena kwa mikono michafu ooooh,balaa linakunukia
😂😂😂 sema wanaume kukataa kitumbua! mhhm,alifaulu Yusuph huko Misri tu,😂😂😂 ni wadhaifu jamani
@@avelinabaluhya2804 😁😁😁kweli
Lakini Jana tulielewana upuzike Anko why😂😂😂😂😂
😢 wengine waligoma
@@ankojay_ pole Mungu atazidi kukuponesha na kukupa nafuu ya uzima,,In Sha Allah
Hatimaye tumefikiwa wakina Happy😂😂
Napenda simulizi zako nasauti Yako anko Jay upewe ulinzi
Part3 ikowap
Wow
Nzuli 😊
❤❤❤❤mpenzi umepona😊
Daah kumbe kuna wanaume wanajipendekeza kutoa msaada kumbe una lako jambo, dogo ashajisahau tayari 😂😂😂 aliponea kufukiwa machimboni kisa mwanamke wa mtu hivi anajibebisha tena kwa mke wa mtu, hebu tuangalie digo ataishia wapi manake amezid😢kule mwanzo alitoroka kisa kulala na dem wa rafiki yake, hapa kaingilia ndoa ya watu, 😅😅daah I feel for this guy siatafute dem wake😊
Asate sana ako Jay ubalikiwe sana
Wa pili leo❤❤❤
❤❤❤❤❤❤
❤❤😂😂😂😂🎉🎉🙆🤔 poooooo
Hapa kwenye mnyama anko jay nimekuelewa😂😂😂
Nani mwingine akili yake imekita kambi kwa Lisa na Lisa pekee zingine aiiiii
Raha❤❤
🥰🥰🥰so happy
Ank wew sulima kwamb unaumw engesubil upone anko wetu
Lisa mwalla na ankojay ni moto
❤❤❤❤❤ nc
❤❤❤🎉
Next tym ukiona mwanamke amependeza naumeambiwa na boss wako huyu mkewangu bora muachee lkn miyeyuko ya hisia ungefia hapo shimoni nani angejua umekufaa hayaa utakapo pona ukiona wanawake kuwa naheshima nao yani wanaume bn uko na happy lkn tamaaa unamtaka cheupe haya kakupoxaa naalikudanganya atakulinda kwa danga lake hiloo
Nzuri❤❤❤❤❤
Tuna subiri sehemu ya pili kwa hamu kubwa
Nilikumiss lisa
❤❤❤❤
Hongrra , Asante
Asante uncle jy
🎉🎉❤❤
❤❤🎉
❤😂❤😂❤😂❤asante sana anko jay na lisa mwalla
🗣️❤️✨❤️✨🙏🏽
Loe ujambo anko
Binge la simulizi