Daah doctor mayla pole san ad nahis km ni mm ndo nimepitia hayo yote jmn naumia san ten san nimeguswa mnoo na hii simuliz hongera san Lissa mwalla kwa simuliz nzuri san
Daaah dada Lissa nmekuvulia kofia wewe ni mtu na nusu naomba ujengewe sanamu uko vizur mno yaan ya chizi fresh hatujayasahau ushatuachilia kitu kipya umetisha sister keep it up asante kwa kigongo kipya cha maana doctor mayla haya ngoja tusikilize much love ❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Simuliz iko p xaan Lissa mwala hujawah kutuangusha ✌️✌️🥰anko j nae msimuliz wetu pendwa kabisa mweny vionjo vyake nae up juu xaan✌️🔥❤️🙏tunaisubiria hiyo part 2 kwa hamu zote🥰🙏
Waaaoooow dada LISSA hongera na shukrani Kwa kutupa vitu roho zinapenda na zaidi mafunzo na mashauri yako Kwa wote Kwa wanandoa na kwao vijana pia ahsante Sana maana kazi yako haijawahi tuvunja mioyo kwani inaburudisha mnoo pia hongera anko j Kwa kutunjrudisha na Kwa kutupa mambo mazuri mazuri pia Wana simulizi mix wote hongereni
Wow Lissa kipenzi cha wengi may God bless you much love 💕🥰 to you dear same to my favourite 🤠 Anko Jay your blessed with sweet sound and the smix family🙏🙏
PART 2 YA SIMULIZI HII INAPATIKANA SMIXAPP.
Hapo ndo mnaharibu sasa
Jamani tuwekee hapa
Jmn mbn ciion iyo ah jmny
Kwann msiweke you tube? .... kiukweli sio Wote tunaweza kwenda uko😔😔
APP NINAYO ILA SIIONI HII NAZIONA ZINGINE TU
Daah doctor mayla pole san ad nahis km ni mm ndo nimepitia hayo yote jmn naumia san ten san nimeguswa mnoo na hii simuliz hongera san Lissa mwalla kwa simuliz nzuri san
Allah atakulipa kwa subira hiyo
Daaah dada Lissa nmekuvulia kofia wewe ni mtu na nusu naomba ujengewe sanamu uko vizur mno yaan ya chizi fresh hatujayasahau ushatuachilia kitu kipya umetisha sister keep it up asante kwa kigongo kipya cha maana doctor mayla haya ngoja tusikilize much love ❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Jomn simulizi tamu hasw uyoo msimuliaji kazid kunogesha❤❤ankoj kukupenda ndo najuwaga sio kinginesho
We love you sisi Lissa ❤️ simulizi zako huwa zinatufunza weng hasa kwasisi watoto wakike twakushukuru sana 🙏😘
Hii simulizi imeniliza sana 😭😭😭😭 New I like this story 🤩🤩🙂
Lissa wangu jamaniii 😌😌♥️♥️♥️ hunaga kazi mbovu mamy 😌💋
Simulinzi mzuri sana
Anko jay twende kazi 🤩🤩🤩
Safi sana...👍twasubiri sehemu ya pili
Anko kam anko big up sanaaaa bilaa kumsahau Lisa mwalla
Simuliz iko p xaan Lissa mwala hujawah kutuangusha ✌️✌️🥰anko j nae msimuliz wetu pendwa kabisa mweny vionjo vyake nae up juu xaan✌️🔥❤️🙏tunaisubiria hiyo part 2 kwa hamu zote🥰🙏
Dada Lisa ee umejua kutufuraisha jmn .Anko J tunashukur kw saut yako jmn maan ina2changamsh sn😍😍🤩
Lissa mama🙌🏽❤️….bado sijasikiliza but I know ni nzuri🥰
Waaaoooow dada LISSA hongera na shukrani Kwa kutupa vitu roho zinapenda na zaidi mafunzo na mashauri yako Kwa wote Kwa wanandoa na kwao vijana pia ahsante Sana maana kazi yako haijawahi tuvunja mioyo kwani inaburudisha mnoo pia hongera anko j Kwa kutunjrudisha na Kwa kutupa mambo mazuri mazuri pia Wana simulizi mix wote hongereni
Mmmh!!pole san Da Mayla nandomaan mungu hakuruhus huo mtoto azaliwe kweli😭😭
Haya LISSA MWALLA itakuwa lini jamani party 2 kipenzi utamuuu unakuja halafu unakata 🥰🥰🥰
Woyoooooooo finally lissa mwalla again 🥳🥳🥳🥳🥳 ngoja nisikilize sasa ntarudi wakuu❤❤❤❤
Wow Lissa kipenzi cha wengi may God bless you much love 💕🥰 to you dear same to my favourite 🤠 Anko Jay your blessed with sweet sound and the smix family🙏🙏
Amen my lov ❤❤❤❤
Love you sisi lissa tunakupenda sn ❤❤❤
Mwendelezo kipenzi lissa 👌😋umefika patamu ❤️shukrani san anko jay kwa masimlizi matamu 😋🌹🌹🌹
Daah! Simulizi tamu kweli yaani daah
Mmmh anko Jay hapo kwenye chupi sasa unafananisha na chupi za Waigulu mmh maana nimejikua nacheka kwa sauti😂😂😂😂
Jamani jamani!! lissa mwalla umetuacha na utamu wetu sehemu ya pil isichelewe pleass!!!
Kata muti panda muti ila kurudisha mizìgo ndani umeniuzi mwanaumeanakwambìa unanuka usirudikumuheshimidhs dj tupe2 basi🌷🌷🌷🌷🌷🌷
Lissa mwala ni 🔥🔥❤️anko j nae ni 🔥🔥🥰
Lissa Mwalla na Anko Jay nawapenda sana
Tunakupenda pia loooov
Dah🤣🤣🤣ndio naimalza sasa jamanii 🙄
Mhh ahsante nzur
OMG MY KIND OF STORY. 🔥🔥🔥🔥🔥🤩🤩🤩 👏👏👏👏 MARVELOUS ANKO JAY
Shaukran kwa story nzuri ila usitucheleweshee sehemu ingine ankojj
Aki anko jay mpaka unalia khaaaa 😂😂😂😂😂😂😂 ww kweli ni moto 😂😂😂😂napenda sana smlz zako
Shukurani sana simulizi mx tunapenda sana
Lissa asante Sana Kwa simulizi tamu pamoja Na ako Jay nawapenda sana ❤️❤️
Mimi nakupnd Bure lissa ulikuwa wap jamni much lov babe
Lov uuu
Asante Lisa,simulizi zako zimeshiba mafunzo
Hata kama sija sikiza..najua vitu vya Lissa mwala huwa Moto
Twende sehemu ya pili sasa mbona utamu nyie ## simuliz mix
Mbona mimi siipati kwenye App yao ya simulizi mix
ANKO JAY mwenyew simuliz mix tunafurai kiukwel aya comments kama zote juu yako tunakupenda ANKO wetu mungu akupe maisha maref🙌💓💓💓💓💓
😂😂😂😂 Anko jay wacha ujinga wewe eti unalia😢😢
🖐🖐🖐anko j 😜😜😜kwaendaje😂😂😂😂
Sichoki kusikia simulizi nasubiri hiyoo part 2 ♥️♥️ kwahamu mpk kieleweke 😘😘
Anko j ni mmoja tu 💗💗💗💗💗💕💞
Tena hata photocopy yake hakuna
Hiii simulizi tam balaa
Nakupenda sana da lissa Mwenyezi Mungu akuongezeye❤❤❤❤
Jamani dada lissa na anko J munasababisha nisilale mchana wala usiku unafurahisha mno maana kila cku mambo mazuri ❤❤❤
Yupo si anko j jamani tena mmebak wawili tu ww na Ivan hhhhhhhhh
Wawooo lisa 🌹🌹🌹🌹😍😋
Jaman sehem ya pili doooo
Hhhhhhhh anko we mpuuzi kweli mbona dudu
Wa kwanza jamani tumekumiiss sana lisa mwala like zenu kama zote smix asant anko j mapesaa
Wawuuu 😘ngoja nisikilize pads yakubuludika na story takuja na comment ju katikati apo Anko shuklan 🙏
I lov u
I love it so much I can't wait for party 2 you done anko J...
LISSA MWALLA tulikumis LISSA kipenzi chetuu like zenu kwa kipenzi LISSA MWALLA🥰🥰🥰🥰🥰
Umeonaee tunainjoy2 na saut ya ank j wetu 🥰🥰😍
Nakupendaa
Shadia uko fasta
Kwani lissa mwalla ndo nani??
@@fatmaalbahri1846 p
Woooow Asante sana mwandishi lissa mwala na msimuliaji Anko jay mapesa 😁😁 mbona warabu watanuna sana safari hii .....ONE LOVE TO SIMULIZI FAMILY ❤❤
😂😂😂😂
Ahsante anko jay ila siku izi wachelewesha story
Lissa ankojay i love you so much keep it up
Mbn ne me siion jmny
Anko jay mwenyew
This lissa lady loll you should start writing novels ,you are just amazing ❤❤❤❤ @Kampala uganda
I miss you Anko jay😓😓wacha niinjoy kwanza ntarudi kukoment.
😂😂😂😂😂jaman Mayla badala afurahi hasumbuliwi na wanaume yeye analilia wanaume wamuute ila utoto bhna Daah nimecheka sana
Hii itkua ya kusismua maana imehusisha mkoa wangu
Ame date na wanaume wangapi uyo mayla 😂😂😂😂😂 Daaah
Tamaa yako ilikuponza
Dr. Mayla ana asili ya umalaya
Halafu huyu Stewart ana akili kama za daylan kumb
Yap kabisa kama dylan
Kweli tabiya za Daylan
Mjue nimepunguza kuchat ktk magtoup na ista yan nimebobeahuku kingine ni simuliz nayoskiliza ni mtunz lisamwala
Nasubir mwendelezo
Stori za Lissa ni nzuri ila muhusika huwa anapenda kubadilisha wanaume yaani hatulii na mmoja yaani zote ziko ivo
Ndio maisha yalivo kwan wengi wanaishi na wansume tofauti wachache mmoja au wawili,tunasimulia yote ili tujifunze zaid na kuburudika
@@lissamwalla501 sawa nimeelewa
Ndo naisikiliza alifanya nawangapi?
😂😂kwa kweli
Jamani mbona siioni part 2 jamani
Jamani smix nawapigia salute sio kwa story hizi jamani na lissa pamoja n anko jey
Tunaisubilikwahamu🥰🥰
NATAKA sehemu ya pili plz plz
Part2
jamani me sipatii part 2
Jamani tuleteeni part 2 doctor mayla please
Sehem ya pili isichelewe jaman🥺
Msukuma nimechelewa kidogo
Simulizi nzuri sana tunataka pt 2 ila Anko J kwa kwenda myayo hatari🥱🥱😄😄😄
Jmn tunaomba part 2
Ndoto yangu yakuorewa na muzungu
Ankojay twende pat 2😊😊
I'm so in love with simulizi mix🥰🥰🥰
Na utashukiwa kama mvua ya mawe we anko j wew
Big up Anko J wetu👍
Wanaume washenzi Tu 😢
Jmn mbna sione part 2
Hello my friends
Anko nisaidie nipate.part 2 bhanaaaa
Part two please
Lizza Mwala salute
Anko jay plz part 2.
Daaaahhh aiseee Lisa tuletee mavituzi
Sauti yako tu
Wanaume wanaumiza mioyo ya wanawake sana majeraha yasiyopona jaman
Nimwendo wakuijoi tu asate sana simlizi mix ako j
Story nzuri fanya tupate mwendelezo pls
Lissa mwalla asnte
Ebana anko jay sijapenda siungemalizia bas🙄🙄🙄
Part 2 please
🔥🔥🔥
❤❤❤❤❤
Anko jei
Mbona nime download app yenyewe na sijaona hii ya mayla?mtuwekee hapa UA-cam tuone msituchoshe bana
Part 2 jamani