MIRAJI | TUMKUMBUKE CHAMA KWA ALICHOTUACHIA | USAJILI VIONGOZI WAMEJITOA | JOBE SIO MAAMUZI MAGUMU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 лип 2024

КОМЕНТАРІ • 49

  • @ChenchiKing
    @ChenchiKing 24 дні тому +3

    Miraji Uwaga Akwepesh Yey Uwaga Ni Kutem Fact Tu🔥🔥

  • @abelimaganga417
    @abelimaganga417 24 дні тому +1

    Hujawahi kufeli miraji mzeee wa minyoosho❤❤❤

  • @huseinbusaba5064
    @huseinbusaba5064 24 дні тому +2

    Yani miraji bana et hakuna noma 😅😅😅😅😅😅😅😅😅🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌

  • @christinaKufakulala
    @christinaKufakulala 23 дні тому +1

    Miraji chukuwa maua yako🎉🎉🎉🎉🎉 wewe ni mtu na nusu 💪🏾

  • @IbraMwakipesile
    @IbraMwakipesile 24 дні тому +2

    Wa pili like kwa miraji mara moja

  • @mhinajerome5964
    @mhinajerome5964 24 дні тому

    Oyaa hivi mwamba anajuaga jinsi anavyonikumbusha ngoma Kali zazamani kutoka kama kawa record

  • @ifmknowledgepower7333
    @ifmknowledgepower7333 24 дні тому

    Miraji Eeee, tarehe 8 tunawapiga hao utopolo niamini 🎉🎉

  • @yassinchuwa8824
    @yassinchuwa8824 24 дні тому +1

    Nakuelewa sana miraji,ila me niko pale nimetuliaaaa!!! Krismasi haifiki kuna mtu atatolewa kafara pale msimbazi. Yani ni kama msimu uliopita.

  • @AloyceNdalije
    @AloyceNdalije 24 дні тому

    nakuerewa sana miraji tuko pamoja familia

  • @clintonnyaluke1567
    @clintonnyaluke1567 24 дні тому

    big up sana.

  • @hammytototundu9292
    @hammytototundu9292 23 дні тому

    Nimefanya sana kubadirisha radio dah

  • @RaymondCharlesSaliboko-to6vx
    @RaymondCharlesSaliboko-to6vx 24 дні тому

    Milaji ❤

  • @user-wk2bg8zf3l
    @user-wk2bg8zf3l 24 дні тому

    Simba nguvu moja 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤

  • @user-nh5ch4ur5x
    @user-nh5ch4ur5x 23 дні тому

    hadi Dk 21:59 chagamba hajala makofi ya bega !

  • @malietamaliet
    @malietamaliet 24 дні тому +1

    mimi naeza washauri costal kimataifa waakikishe matampi na lawi wasiwauze na juma Shaban kama anakuja kweli atawasaidia ila nimeona game ya Leo wamecheza vby kisa awana first eleven Yao Ile ya msimu uliopita

  • @Nuraty-oy1zy
    @Nuraty-oy1zy 24 дні тому

    Miraji uko vzur cna unajua mpran kinoma

  • @ahmadakhelef9650
    @ahmadakhelef9650 18 днів тому

    marahii wkipita nyum tunapita hukohuko hakuingia vyumbani hatuingii mpaka kidleweke

  • @user-hy6lh7cp1q
    @user-hy6lh7cp1q 24 дні тому

    miraj nakubal sana bro coz unaongeaga fact bla kujal ushabk Yan unaweza kaka ungelkua kwenye media ingependeza sana

  • @BasuleBasule
    @BasuleBasule 24 дні тому

    Chama Baba❤😂

  • @SumaEtoo
    @SumaEtoo 24 дні тому

    Kak unalijua sana ball yan ungekua kwenye midia da tungekua tunafurah sana

  • @saidmansoor8528
    @saidmansoor8528 24 дні тому

    Mara mmoja kama NOMA NA IWE😂😂😂😂

  • @HajiSimai-pp9cm
    @HajiSimai-pp9cm 24 дні тому

    Ndugu miraji unahabari gani kuhusu mpazu

  • @AlfaKanasa-zv9fo
    @AlfaKanasa-zv9fo 24 дні тому

    Miraji vs chagamba nguvu moja unyaman

  • @FahiyeFarah6878
    @FahiyeFarah6878 24 дні тому +1

    Miraji is a world class PUNDIT 👏

  • @johnmwita9370
    @johnmwita9370 23 дні тому

    Toka nikufatirie Yani ongera sana

  • @BubuallyMwakipesile-br8dc
    @BubuallyMwakipesile-br8dc 24 дні тому +6

    Miraji wewe nimwamba na kukubali jembe ila wambie viongozi wawalinde wachezaji wetu pia Dua isomwe kwajili ya wasaliti plz plz

  • @user-xe8uk1fs3l
    @user-xe8uk1fs3l 24 дні тому

    Chagamba jeziza Simba zikitokitoka nambieni

  • @pauljoackim2786
    @pauljoackim2786 24 дні тому

    WATU WA MPIRA! HATARI SANA:

  • @williamissaya8091
    @williamissaya8091 23 дні тому

    Miraji waambie viongozi wa Simba kwamba yanga Wana mbinu kubwa 5 za kuiharibia zimetumika muda wote Toka waanze kuchukua ubingwa wa miaka 3 mfululizo, Sasa Simba kama watazing'amua Basi yanga hawana lolote.

  • @ashrafumbawala
    @ashrafumbawala 24 дні тому

    Watu wamaana kabsa hawa

  • @idrisakhalfan7025
    @idrisakhalfan7025 24 дні тому

    Huna baya

  • @DM_15
    @DM_15 24 дні тому +1

    Kwani crown ya king kiba haimuoni chagamba na miraji siwaende wapige pindi laopale liwe pindi Lao pendwa ? King anafeliwapi . Anakazana kuokota okta waliotumika huko

  • @ekimnkande2873
    @ekimnkande2873 20 днів тому

    Tatizo ushabiki mtu wa simba akiongea ukweli au akiwasema viongozi wake mnafurahi nyie mbona hamsemi yenu

  • @fadhilimrisho7804
    @fadhilimrisho7804 24 дні тому

    Crip zenu ni nzuri ila nashauri muwe mnaweka fupi

  • @realmalik3192
    @realmalik3192 24 дні тому

    Kila Nikiangalia Kwa Usajili Tuliofanya Simba SC Nanusa Chuma 3 Anakufa UTOPOLO August 8 Japokuwa Wako Bora Sana #respect #nguvumoja

  • @efraimjohn4956
    @efraimjohn4956 23 дні тому

    Chagamba, Tatizo je Simba ataendelea kuwa hyo nafasi ya kuanza stage ya pili.? chagamba

  • @abdallahmwanga5792
    @abdallahmwanga5792 24 дні тому +1

    Leo hii Miraj unasema shirikisho ni shindano kubwa,hatari sana aisee
    Pindi yupo yanga,uliponda sana...😂😂😂

  • @elizabethsingano5922
    @elizabethsingano5922 24 дні тому +1

    Wakwanz

    • @realmalik3192
      @realmalik3192 24 дні тому

      kalale

    • @EmmaPallanjo
      @EmmaPallanjo 24 дні тому

      ×1 ukweli simba Hadi Sasa hivi usajili tumeridhika nao ila mm binafsi natamani Elie mpanzu aje unyamani naamini kocha atakuwa na machaguo mengi vipi Kwa upande wako