Nashauri Emmanuel Mgogo mtoe huo wimbo na huyo kijana utafaa sana kumuinua Mungu Tanzania na nje ya Tanzania. Waimbe pamoja utolewe kabisa. USHAURI WANGU NI HUO
Luyha version of lwanda ni yesu,,, powerful song,can't get enough of this song,,,pastor mgogo am blessed,lift that talent,,mwamba ni yesu,listening from kenya,,
Mungu akutunze Sana Mgogo. Aendelee kufanya chemchemi za sifa zitoke ndani yako daima. Akupatie ufunuo uendelee kutoa vitu vyema vyenye kubadilisha maisha ya watu. Barikiwa Sana
Bro mgogo wewe mungu kwely kakupa upako wa kwely kwa sababu whatever you sing anywhere regadless where you are mm huwa nabarikiwa toka ndan yaan na itapendeza sana kama utatoa hata wimbo wa live band bhas hata mmoja kaka mgogo mung akubarik san
Nashauri Emmanuel Mgogo mtoe huo wimbo na huyo kijana utafaa sana kumuinua Mungu Tanzania na nje ya Tanzania. Waimbe pamoja utolewe kabisa. USHAURI WANGU NI HUO
i too support You
Kweli kabisa
twangoja hiyo collabo hakii
Elizabeth Maige nakuunga mkono dada🤝🤝
Huyu kijana kashainuliwa, hahitaji msanii kumsaidia.
Keyboard Player ni Mtaalamu sana
This guy is true gospel artist.. ametembea na wimbo as if aliifanyia mazoezi 3 months. Be blessed Mgogo
Hatari, mpaka mwili unasisimka
Whose here 2024, Yesu ndie mwamba❤
Lamashakaaama telewa wow mungu ni mwamba hakika ..nimenguswaa na huu wimbo
Nafiki hata Mungu akiwa kiti chake cha Enzi Anatabasamu jinzi unamwiimbia mtu wa Mungu.
Unapendeza sana
Emmanuel mgogo Mungu akubariki na akuinue kupitia huu wimbo
Utukufu Kwa Mungu
Can someone appreciate how swiftly pastor is moving wow great
Mgogo mtie moyo huyo Jamaa fanyeni record
Luyha version of lwanda ni yesu,,, powerful song,can't get enough of this song,,,pastor mgogo am blessed,lift that talent,,mwamba ni yesu,listening from kenya,,
Men am from Kenya and really blessed with these song
Wow wow wow sooo nce ata Mimi nmepata ufunuo mpya ,anatenda mambo makuu ,uyu Yesu
Mwamba ni yesu mm nilipona kifafa , nilio umwa kwa zaidi ya miaka5
wawoo Yesu ni mwamba anaweza yote
Mtunzi wa huu wimbo ni Mike kalambay kutoka Congo
LEZA WA MULU 2016
Find it on youtube 🙏🙏🙏🙏
Kama vipi tuombe kolabo
Nahitaji wimbo uliorekodiwa huo unaoimba Mtumishi Emmanuel mgogo
Huyo kijana ana sauti iliyojaa mafuta
ya upako
Ameni mungu awabarik watumishi
Just blessed with song ,,, God you are the Alpha and Omega
Kweli mwmba ni yesu pekee nime furahi Sana mawazo ghafra yamenitoka barikiwa sana
Jina la BWANA YESU LIHIMIDIWE KWA KUKITUMIA CHOMBO CHAKE (EMANUEL MGOGO KUONA KUSIKIA NA KUSEMA)
Jaman kaka ulieimba toa huu wimbo jaman hata kwa kuchanga tutachanga huu wimbo una kitu ndani yake tumebarikiwa saaaana
Huo wimbo uliimbwa Kenya kitambo na jamaa mluhya
AMEN 🙏🏼 Mwamba ni Yesu,Alpha Omega,Mwanzo na Mwisho,Nimebarikiwa Sana na huu Wimbo
Amina ubarikiwe
Amen
EMA KaKa angu we nifund nimekubali kwa amani zote moyoni, saf mazima
Mungu akutunze Sana Mgogo.
Aendelee kufanya chemchemi za sifa zitoke ndani yako daima.
Akupatie ufunuo uendelee kutoa vitu vyema vyenye kubadilisha maisha ya watu.
Barikiwa Sana
Nimebugujika sana umenibarki huu wimbo mbarkiwe Mungu awainue Kwa viwango vya juu
Amen amen ubarikiwe zaidi nawe
1:53 b
Listening it from 🇰🇪🇰🇪 loving everything about this servant.. youre blessed
Likewise to me here in Kenya 🇰🇪
Emen
Na amini utabarikiwa na huu wimbo pia 👉🏻ua-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/v-deo.html God bless you
@@Danielmparanyi u
Amen
KWA kweri nasikia upako wa Hali ya Juuuu, Moyoni nina AMANI sana
Can't get enough of this song kweli mwamba ni yesu
Na amini utabarikiwa na huu wimbo pia 👉🏻ua-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/v-deo.html God bless you
Mtumishi wa Mungu mgogo dah sinachakusema itoshe kusema hakika Mungu yu ndan yako barkiwa bro
Iko poa sana
Much.Mgogo umebarikiwa sauti ya radi radi radi
Tunabarikiwa kupitia huduma zako mtumishi
Ata mwarabu aseme ni keleke.. I cant get enough of this song
Mwarabu ni nani
Her boss
Bro mgogo wewe mungu kwely kakupa upako wa kwely kwa sababu whatever you sing anywhere regadless where you are mm huwa nabarikiwa toka ndan yaan na itapendeza sana kama utatoa hata wimbo wa live band bhas hata mmoja kaka mgogo mung akubarik san
We mgogo wimbo wa watu umeubamiza namna hiyo? Duuuh Mungu akubariki , I really experienced goosebumps!
Still listening to this song... Naomba official link ya huu wimbo jamani💕💞🔥
Amen Mungu hawabariki sana kweli watumishi wa Mungu🙏🙏👏👏🙏🙏
Hakuna aliye Kama yesu mungu awabariki Sana waimbaji
Kwangu haki itoshe nami kusema Yesu n mwamba kwelkwel
Wow Ni manzoni tena mwisho JEHOVAH
Mwamba ni Yesu hakika. Sema tu vyombo vimeniangusha haswa kiki ya dram
Aleluyia akuna mwamba mwingine Kama si yesu
Wimbi ni mtamu Sana Hadi nikatamani niwaliike Kenya kwa mkutano was injili bana
❤❤ kolabo please imenoga mlivyoshirikana
More grace Apostle mwaba ni Yesu
Popote ulipo mtumishi wa mungu E.mgogo na Huyo Jamaa mungu awabariki sana
Yesu kristo ni bwana wa mabwana
The song for me...record the song tunaingoja sana
Oh yes Mwamba ni yesu,Alpha n omega, powerful worship, blessings and more grace
Na amini utabarikiwa na huu wimbo pia 👉🏻ua-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/v-deo.html God bless you
Emmanuel be blessed am Ev Dismas kukunenea Leo hii na uzima w milele Amen
It bring me back to 2004 Iyunga high school.God bless you Emanuem Mgogo
Nzuri sanaaa' chozi limenilenga kabisaaa...kuna upako hapo...Hallelujah
🤗🤗
Kwa yeyote amwabudue Mungu amubariki
Amen amen
Wimbo nzuri saaaaana unaleta AMANI ndani aya Moyo unabariki
Mwanzo na mwisho katika maisha yangu
Good song mungu awabariki
Amina sana watumishi wa baba mungu azid kuwafunulia zaidi
Yesu ni mwamba ujumbe mzuri sana
nyimbo zako zinani udumia Sana na kuniweka karibu na mungu kiwa wakati mungu akubariki Sana pastor mgogo
Huuu wimbo unaguza moyo wangu sana
Mtumishi WA Mungu, huu wimbo una ni bariki sana, jMungu awawezeshe mtuo video
Amen 🙏🙏🙏 katika hali zote Yesu ndie mwamba👏👏👏
Mbarikiwe sana wimbo unafariji sana ko utolewe
Wooow wonderful song. May the favour of the holy ghost keep you increasing
Am blessed with the song
Hakika mwamba ni yesu love this song 😍
Na amini utabarikiwa na huu wimbo pia 👉🏻ua-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/v-deo.html God bless you
Hakika wimbo huu umenibariki sana mbarikiwe sana watumishi
Kila Kitu ni safi kwa waliosafi
Mwamba ni YESU mwamba,ALFA OMEGA KYALA
Barikiwa emanu
My mentor although you don't know me
Wimbo mzuri sana, mbarikiwe
Yesu wangu Yesu usiniache Yesu 😭
Mwamba ni Yesu mwamba.
Nimebarikiwa sana, MUNGU wa mbinguni awabariki kwa uimbaji mzur wa kusifu MUNGU aliye hai
Wow Mwamba ni Yesu🙏🙏🙏
Barikiwa mtumishi mgogo
Ameeen hallelujah ameeen
Haleluya Jehova mwili umesisimka
Niwaimbaji wachache Sana wanaweza kuwasifia wenzao kwakufanya vzr .ubarikiwe mgogo
My pastor na muimbaji wangu mgogo nakupenda sana katika umani
Kweli ndio Yesu ndio mwamba mtumishi wa Yesu.
Ukiwa na yesu upat shida yoyote
Asanteni kwa kutubariki wapendwa, Bwana aendelee kuwainua zaidi
Mwamba Ni Yesu kweli kabisa
Mungu akubariki
Nimeipenda hiyo inamafuta ya roho mtakatifu atanikilalaa najikuta naimba
Alpha Omega so nice song stay blessed man of a living God
Unanibarki sana wimbo hu
Oh amen,les Africains,servez le seigneur de tout votre coeur
Mungu ahimidiwe
Namkubali sana mgogo
Wah hii wimbo imeninguza
Mwanzo na mwishoo.... Oooh haleluyaa!!!! Im blessed
Nice one,Yesu in Mwamba
Hakika Mungu nakupenda sana
Nimebarikiwa Sana mahali hapa
Emmanuel Mgogo kindly imba huu wimbo, na tuweze kupata copy.
Mungu awainue
Keyboard player is just perfect. I love this song.
Na amini utabarikiwa na huu wimbo pia 👉🏻ua-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/v-deo.html God bless you
Aky
Emanuel, I am very blessed with this song