Asante mtumishi wa Mungu..umenitoa kutu mchango upo kwetu kanisani ACK hapa kenya na hparuki mtu nitawaendea kwa neno lilitoka mdomoni mwako wacha kazi ya Bwana itendeke...
Mchungaji somo lako lanibariki sana ila tuombee sana..Mimi nipo Katavi Mpanda mwaka jana tumejenga kanisa likaanguka mwez uliopita tumejenga juzi limeanguka..Mungu atutie nguvu hatukati tamaa japo inauma kweli
Shetani anajua moyo nilionao wa utoaji, kaiba kila namna ya kujitahidi kwangu kutaka kutoa Siwezi aidha pesa kupishana na malengo naama ukame kabisa usioeleweka wa moja kwa moja hata sadaka ya kawaida inanitatiza. Nachacharika, napanga na kupangua lkn nashindwa. Nafunga na kuomba Mungu arejeshe neema bado sijaipata. Mungu anikumbuke tena niweze kutoa kwa wepesi na kiwango kikubwa kuliko nilivyowahi kutoa. Mwenye neema ya kuomba aniombee ombi langu hilo.
Mchungaj nataman hata kupata namb yako ya cm maake mahubili yako yamenisaidia sana naomb uniombee Mungu ninaye mtafuta aniwezeshe kuyaishi haya ninayo yasikia kwako naam Mungu atanitendea maana nimwaminifu
am not an SDA but these preachings have enlightened me!!! It has opened my eyes. I pray that God opens my eyes so that I can be like Dorcas.
Amen,blessings to you Hellen
Amen
Amen
Amen sana mchungaji mahubiri yako yame nigusa kweli
Mungu azidi kunijaza na roho kama ya Dorcas. From Qatar. Ubarikiwe mchungaji
Amen
Mungu akubariki sana mtumishi
Asante mtumishi wa Mungu..umenitoa kutu mchango upo kwetu kanisani ACK hapa kenya na hparuki mtu nitawaendea kwa neno lilitoka mdomoni mwako wacha kazi ya Bwana itendeke...
Amina naomba no yenu jamani
Nabarikiwa sana pastor kwa namna MUNGU anavyokutumia!!Azidi kukuinua katka vilele vya juu hatimaye mbinguni!!
Barikiwa kwa na Bwana Yesu kristo
Barkiwa Sana mchungaji
Mchungaji somo lako lanibariki sana ila tuombee sana..Mimi nipo Katavi Mpanda mwaka jana tumejenga kanisa likaanguka mwez uliopita tumejenga juzi limeanguka..Mungu atutie nguvu hatukati tamaa japo inauma kweli
Pole sana mtu wa Mungu
Mungu atusaidie tuonane pia Mbinguni mtamaliza kulijenga kabisa kanisa
Laana za mababu zetu ziende nao katika jina la yesu hatukuwa wakitenda
Amen
ASANTE Pastor Mbaga
Ameen
Hakika tunabarikiwa
Mungu na azidi kukutumia
barkiwa sana mtumish
Amen n
Shetani anajua moyo nilionao wa utoaji, kaiba kila namna ya kujitahidi kwangu kutaka kutoa Siwezi aidha pesa kupishana na malengo naama ukame kabisa usioeleweka wa moja kwa moja hata sadaka ya kawaida inanitatiza. Nachacharika, napanga na kupangua lkn nashindwa. Nafunga na kuomba Mungu arejeshe neema bado sijaipata. Mungu anikumbuke tena niweze kutoa kwa wepesi na kiwango kikubwa kuliko nilivyowahi kutoa. Mwenye neema ya kuomba aniombee ombi langu hilo.
Mungu atakushindia dumu kuomba bila kuchoka Yesu anakupenda
Amina!
Mungu nisaidie nami niwe kati ya Doricas au Mama Theresa na moyo mnyoofu wa kutoa