Pastor asante kwasomo nzuri yakubarikiwa nakutuelemisha juu ya msaliwa wakwaza,wakati ndugu yangu alikua hosipitali wakati tulikua tunaenda kumuona tulikua tunamuomba nauli yakurudi ukweli kabisa Amina Amina mbarikwa sana sana
umenibariki sana Mchungaji kwa somo hili. nimekuwa nikikufatilia mahubiri na mafundisho yako nahisi kubarikiwa na kutiwa nguvu. MUNGU azidi kukutumia kwa kiwango Cha pekee na akizidi kukubariki🙏
pastor kwanza hili la kuzaliwa wa kwanza hadi kwa cheo yan two in one n fire kwangu God can you heal ma voice and the word of ma mouth🙏 umeeleza vyema hauna hata ile peni ya zaman baada ya muda mchache sms imeingia , au napoteza😭 wakati mwingine naona nkama ndoto , Dear God no matter what Iam passing indication lam going somewhere🙏🙏, Nashkuru sana pastor somo nzuri kila nsikizapo linanijenga na knipa jipu nnapokuwa na swali linalontatiza
@@namsamson3443 amen yuster barikiwa sn sn tena sn,, lkn pia kuna mengine ame post yanahusu kuhesabiwa haki kwa imani, Zipo sehem tatu ni mazuri kuliko maelezo, pia baraka za imani na nguvu ya agano
Mtumishi wwe ni zaidi ya mwalimu, yaan hili la kuzaliwa wa kwanza kwa cheo,linanitesa sana ukweli unaweza kulala hoi au ukakosa kazi kabisa lakini bado ndg wakauliza unawasaidiaje!
mchungaji mungu akubariki sana kwa masomo yako mazur yananibariki
Amen , nimekuwa nikiyarudia rudia haya mahubiri -
it's amazing , pastor!!! Be blessed abundantly
Pastor always your lesson teach me how to move on despite of many challenges I face in my life
Asante mchungaji kwa somo nimepata mawazo mapya nimejifunza vitu vya ziada Asante
God bless you the servant of the Most High God.
Pastor asante kwasomo nzuri yakubarikiwa nakutuelemisha juu ya msaliwa wakwaza,wakati ndugu yangu alikua hosipitali wakati tulikua tunaenda kumuona tulikua tunamuomba nauli yakurudi ukweli kabisa Amina Amina mbarikwa sana sana
AMEN mtumishi Mungu akubariki nabarikiwa saana na ujumbe wako
Thanks for sharing I really do appreciate it.
Mungu akubariki
AMEN AMEN mahubiri yako yanaeliweka thanks glory to God
Amen 🙏
Amen amen
unanibariki sana ubarikiwe sana
Asante kwa somo zuri kiukweli umenitia moyo sana.. nimepata nguvu ya kusonga mbele, Barikiwa
Ubarikiwe pastor
Amen mchungaji umenifungua.
Amen. God bless you Pastor, I have learnt so much and I appreciate.
Nimebarikiwa san Mungu azidi kukuinua pr
umenibariki sana Mchungaji kwa somo hili. nimekuwa nikikufatilia mahubiri na mafundisho yako nahisi kubarikiwa na kutiwa nguvu. MUNGU azidi kukutumia kwa kiwango Cha pekee na akizidi kukubariki🙏
Pastor sinde kuniombea . Mimi na family
Hakika tangu nimeanza kufuatilia haya mahubiri yananigusa kabisaa ubarikiweee pastor wetu
🙏🙏🙏🙏🙏
mungu akubariki sana
Amina barikiwa Mtumishi
🙏🏻 amen
Pastor nabarikiwa sana niombee
Kuwa na imani yatosha omba mwenyewe weka iman tu
Ujumbe mzuri sana ubarikiwe sana Pastor. Yaani roho inapondeka pondeka haibaki jiwe juu ya jiwe..
Asante, nakuelewa vzr
Asante Mchungaji nimepata mengi kwako.Mungu aendelee kukupa mafunuo Baba
pastor kwanza hili la kuzaliwa wa kwanza hadi kwa cheo yan two in one n fire kwangu God can you heal ma voice and the word of ma mouth🙏 umeeleza vyema hauna hata ile peni ya zaman baada ya muda mchache sms imeingia , au napoteza😭 wakati mwingine naona nkama ndoto , Dear God no matter what Iam passing indication lam going somewhere🙏🙏, Nashkuru sana pastor somo nzuri kila nsikizapo linanijenga na knipa jipu nnapokuwa na swali linalontatiza
Ahsante kwa somo
AMEN
Amen sanaa
🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍✌
Christopher Msafiri hakika Pastor mahubiri yako yamenigusa
Amen
Hakika huyu ni mtume wa mungu mahubili yake yameniweka huru ASANTE YESU. John juma kahama
Amina
aminaaa
Nimekuwa mfuatiliaji wa haya mahubiri hakika hayaja wahi kuniacha bure kila ninapo yasikiliza
Yaani David, Mungu Ni Mkuu kila hubiri Lina kipengele changu kinachonisumbua..Mungu ambariki Sana Pastor
@@namsamson3443 amen yuster barikiwa sn sn tena sn,, lkn pia kuna mengine ame post yanahusu kuhesabiwa haki kwa imani,
Zipo sehem tatu ni mazuri kuliko maelezo, pia baraka za imani na nguvu ya agano
@@davidmisiwa4622kila point ni kama amenijua nilivyo maishani Mwangu abarikiwe zaidi ya kushinda
Nazidi kubarikiwa na mafudisho yakoMungu na azidi kukuzidishia nguvu
huyu pastor na pastir emanuel mbogo wanajua
Mtumishi wwe ni zaidi ya mwalimu, yaan hili la kuzaliwa wa kwanza kwa cheo,linanitesa sana ukweli unaweza kulala hoi au ukakosa kazi kabisa lakini bado ndg wakauliza unawasaidiaje!
Pole! Nakuombea
Asante Mtumishi,Mungu azidi kukutumia ili wengi tupone ,somo hili ni lenye baraka maishani mwangu
@@davidmmbaga3350 Hujui tyu unavyonibariki pastor ubarikiwe saana🙏🏻
Hakika pastor mahubiri yako yamenigusa
Pastor naomba namba zako kwaushari zaidi
Lailat Hussain +255764600129
Safi pasta
Barikiwa sana pastor kwa mahubiri mazuri nazidi kuimarika kiroho
Uko vizuli
Pr ambao hawajaajiriwa hawatakuelewa ila wakiajiriwa watakiona.
somo hili huwa linanitoa machozi
Firstborn are final decision makers
Amen amen
Asante kwa somo zuri kiukweli umenitia moyo sana.. nimepata nguvu ya kusonga mbele, Barikiwa
Amina
Asante kwa somo zuri kiukweli umenitia moyo sana.. nimepata nguvu ya kusonga mbele, Barikiwa