TUNDU LISSU ATINGA KARIAKOO NA MKATABA WA BANDARI, AMTETEA HAYATI MAGUFULI, AMTAJA MSUKUMA....

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 817

  • @zabronjonathan2264
    @zabronjonathan2264 Рік тому +26

    Mwenyezi Mungu akulinde akuongezee Mika mingi Kwa kusema ukweli ,hata kifo cha Magu ulisema wakakubishia badaye ilithihirika kuwa wewe ndie ulikua unasema kweli.

  • @musarajymusa2649
    @musarajymusa2649 Рік тому +6

    Asante xana Kwa kuweka ukweli ndani ya huo mkataba maana walituzuga sana bila kuelewa 🔥🔥 xana man

  • @clemenceparokola
    @clemenceparokola Рік тому +26

    Mungu akupe maisha marefu kaka

  • @lucaspaulo5371
    @lucaspaulo5371 Рік тому +19

    Nafurahi sana nikiona sahii tu mmeshaanza kumkumbuka Magufuli sawasawa na neno lake akisema najua siku moja mtanikumbuka si kwa mabaya ni kwa mazuri sababu nimesakrifais maisha yangu kwa ajili ya watanzania masikini.

    • @lilydickson740
      @lilydickson740 Рік тому +1

      Yaani Acha tu, inaumiza sana Mungu atusaidie

    • @sonnyr1899
      @sonnyr1899 Рік тому +2

      Hawa ni wanafki sana walimpinga Magu sana katika kila jambo alilofanya.
      Sasa Leo wanaanza kujitekenya wenyewe.
      Yule ndio alikua makini na kutosaini mikataba tata.

    • @abelmbilinyi1262
      @abelmbilinyi1262 Рік тому

      😮❤

    • @hannahharis6210
      @hannahharis6210 Рік тому

      Yeah wanafiki vile hawajagaiwa pesa na wao !wangekua wamegawana wote wangekaa kimya

  • @zuenahamoud1532
    @zuenahamoud1532 Рік тому +16

    Magufulication forever mtanikumbuka

  • @karimhgau9020
    @karimhgau9020 Рік тому +21

    Tembea inchi nzima kutuelimisha zaidi ulipokua inje ya inchi nilikua sikuelewi lakini sasa wanainchi wengi tumeanza kukuelewa kabisa.

  • @yassinhamza1969
    @yassinhamza1969 Рік тому +19

    Lissu kaongea point sana

  • @nelsonmgaya1490
    @nelsonmgaya1490 Рік тому +28

    Nipo ITIKADI tofauti, lakini kwa hili tupo pamoja saaaana!!

    • @onesmojustice2348
      @onesmojustice2348 Рік тому +3

      Kabisa kiongoz ata Mimi tundulisu sio type yangu lakini hapa Niko nae kwenye ili😂😂

    • @PrivaAgust
      @PrivaAgust Рік тому

      Tuungane tutokomeze maharamia.

    • @levinaernest4364
      @levinaernest4364 Рік тому

      😂😂😂😂

  • @kefajoseph158
    @kefajoseph158 Рік тому +22

    Tutasumbuana kichwa bure Tanzania hakuna bunge Wala rais tuna nguruwe bungeni kule hamna wabunge zile ni nguruwe na mashetani

    • @odilomwemeziernest646
      @odilomwemeziernest646 Рік тому

      Ujue wanakuona wajomba watakushughulikiaa,lugha imekuwa kalii mno

    • @lightnessmushi8137
      @lightnessmushi8137 Рік тому

      @@odilomwemeziernest646 washughulike.na.mkataba.kwanza.ndipo.wawashughulikie.haowenye.lugha.kali

    • @lilykarim8968
      @lilykarim8968 Рік тому

      @@lightnessmushi8137 mkataba kwanza mengine baadae

    • @chomasongidion6047
      @chomasongidion6047 Рік тому

      Wote watakufa mungu amesikia

    • @kamanapomo7029
      @kamanapomo7029 Рік тому +1

      @@lilykarim8968kwani mkataba unasemaje? na nikifungu gan chenye utata au ndio bendera fuata upepo! ebu acheni ujinga

  • @queenraphaher7736
    @queenraphaher7736 Рік тому +37

    Huyu ni mwanasheria tunakusikiliza kwa makini.

    • @salehkhamis9994
      @salehkhamis9994 Рік тому

      Mwanasheria kwako tu lissu anasapoti mapenzi ya jinsia moja ushoga hizo Sheria za lissu utazisikiliza ww tu

  • @trillhappybeautypoint9874
    @trillhappybeautypoint9874 Рік тому +10

    Aiseee hapanaaaaaa vidonda visivyopona🙌 Rest in peace dady Magufuli 😪

  • @mesutnyaryanga8932
    @mesutnyaryanga8932 Рік тому +4

    We hear you @Lisu
    This is for the Nation and the generations to Generations - Our greatest Nyerere could sell the whole Nation to whoever - But he has Heart/Brain and Love to not only Tanzanians but the rest of African people....
    Africans we should keep our heads ups.

  • @jonasmpita2206
    @jonasmpita2206 Рік тому +7

    daa Adv Antipas alishajitoaga mazima mazima huyu hata ukimuhonga anakuumbua 😀😃

  • @evodirudo4813
    @evodirudo4813 Рік тому +11

    Safii Sana Kaka Lisu Mungu akujalie afya tele skuzote za uhai wako.
    Naomba kw msaada wa watu wachini ambao hawajui kingereza mfanye utaratibu wa kuutafsiri, kuuchapa huo mkataba Kwa lugha ya kiswahili na muusambaze kwenye mitandao yotee ya kijana watu wasome wote.

    • @omaryhabibu2746
      @omaryhabibu2746 Рік тому +1

      Ccm 2025 hakuna kupitia kwanza huyu mama hafai kabisa kuwa raisi mwizi tuu

    • @kamanapomo7029
      @kamanapomo7029 Рік тому

      @@omaryhabibu2746 zezeta mkubwa fatakumbo, hiv unajua unacho simamia pumbuv wew, unajiingiza katka mtego wa ngiri kwann! Kama hujui kitu kaakimy

    • @officialfredoo3549
      @officialfredoo3549 Рік тому

      ​@@kamanapomo7029kuma la mama ako

  • @maduhuboniphace3474
    @maduhuboniphace3474 Рік тому +37

    Kweli magufuri hakupenda mambo hayaaa

    • @rashidsalim7078
      @rashidsalim7078 Рік тому +3

      Lkn pia hakuruhusu ujinga km huu 😂😂

    • @StevenTambi
      @StevenTambi Рік тому +1

      Huyu mchambawima atuachie nchi yetu

    • @rosetreffert6727
      @rosetreffert6727 Рік тому

      Kabisaa

    • @kalutalumenge5260
      @kalutalumenge5260 Рік тому +5

      Mtanikumbuka kwa mazuri na sio kwa mabaya. RIP Mfalme JPM.

    • @del-mohaa7527
      @del-mohaa7527 Рік тому +1

      Nakwambiaje haya anayoyaongea mukishampatia kura ile kuja kuwatesa huyu mtu mutashangaa anaongozwa na mabeberu na siku zote mabeberu hawapendi kuona africa wakienuka sasa huyu ndie kaja kumaliza tanzania mutanikumbuka RIP JPM.

  • @luckygmdegela8477
    @luckygmdegela8477 Рік тому +3

    lisu leo umeongea vema,,,kikawaida ,lisu mimi huwa simkubali coz alikuwa ana discourage sana movenment za maendeleo za HAYATI MAGUFULI , because am so positive leo nimeona , vile umenipa nilicho kuwa nakitafuta maana,mimi naipenda sana nchi yangu na ndio maana nilimpenda sana magufuli , hivyo kiufupi RAISI wa sasa TANZANIA , ni vema aangalie taifa hili linahitaji nin na si yeye anahitaji nni hatuwezi tukawa watumwa katika taifa letu wenyewe , miaka yake ni michache kiutawala ila taifa hili lipo na umri mrefu sana na wanufaika ni kizazi cha sasa na cha badae hivyo ,ni dhahiri ubinafsi na kuto jali rasilimali za nchi ni kutalipoteza taifa hili .

  • @digostjafety6070
    @digostjafety6070 Рік тому +3

    Mungu yupo juu sana ,,ndo maana alikulinda walishindwa kuua

  • @nassonsimwanza1437
    @nassonsimwanza1437 Рік тому +8

    Lisu hongera kwa ufafanuzi mzuri.Tuwaongeje Ccm na Serkalikuu.

  • @SilaKayagwa-gt7zg
    @SilaKayagwa-gt7zg Рік тому +34

    Mungu awalinde watu kama hawa Jesus name

    • @omaryramdhani9823
      @omaryramdhani9823 Рік тому

      MUNGU HALINDI MIJITU YA HOVYO HOVYO KAMA HUYO NA ANAE MUUNGA MKONO

    • @mayalakatema2576
      @mayalakatema2576 Рік тому +4

      @@omaryramdhani9823 unaongea ukiwa wapi ? Ukweli ni kwamba huna akili ata kidogo ata kama ww ni CCM hapa umechemka

    • @barakamalanga4977
      @barakamalanga4977 Рік тому +1

      Ashamlinda Sana tu,na baado ataendelea kumlinda🙏🙏

    • @ramadonehp18
      @ramadonehp18 Рік тому

      ​@@omaryramdhani9823sasa mungu kaweza mlinda asiuwawe kwa lisasi 16 mwilini mwake ilikuwaje hapo

  • @jamalmbaraka6180
    @jamalmbaraka6180 Рік тому +11

    Wenye kuelewa wameelewa maana mambo ambayo ayafafanuliwi Kwa kina ni mengi

  • @chomasongidion6047
    @chomasongidion6047 Рік тому +2

    Kwa sasa bola mungu awauwe viongozi wote hakiyamungu wafe mungu pokea dua hii,ili waje wapya wazarendo, Amin imeisha hiyo

  • @jafariomari3552
    @jafariomari3552 Рік тому +9

    Nakumbuka ndugai alisema nchi itapigwa maana yake ndoo hii....ukishindwa kulipa deni unalipa ulichonacho

    • @YonaMjema-ci4gv
      @YonaMjema-ci4gv Рік тому

      Alipoongea Ndugai walisema amebugi lkn alikuwa anajua

  • @perisiverympwenku139
    @perisiverympwenku139 Рік тому +1

    Bandari ya daresalaam haina ushindani na inapoteza wateja kila siku sgr haitakuwa na faida pasipo kuwekeza banndarin kwa kuvutia meli kubwa za mizigo kutumia bandari ya dsm...mkataba ukiwa ni mzuri haina shida 50/50 .

  • @NariethYohana
    @NariethYohana Рік тому +16

    Mungu akurinde tund lis do maana mungu alikutetea

  • @regansaid9784
    @regansaid9784 Рік тому +15

    Watanzania wenzangu tuletewe malaika wa aina gan atueleweshe jaman

  • @sethstiven3393
    @sethstiven3393 Рік тому +30

    Tuingie barabarani jamani hadi ikulu tukamng'oe huyu anauza nchi yetu

    • @lilykarim8968
      @lilykarim8968 Рік тому

      Ndicho kimebaki huyu bibi kalewa madaraka nchi anataka kuifanya yake eemungu tufundishe kumtoa huyu bibi kizee na genge lake

    • @lightnessmushi8137
      @lightnessmushi8137 Рік тому

      watu.watatuwanampotosha.Razzmbarawnamstaafu

    • @dangomc_niger
      @dangomc_niger Рік тому

      Sidhan km police wa kibongo n km wa Kenya nenden

    • @salehkhamis9994
      @salehkhamis9994 Рік тому

      ingia wewe unataka uwatoe chambo wenzio..ukivunjika mguu haji kiongozi kukuletea msaada

  • @RoseNoah-rz3jh
    @RoseNoah-rz3jh Рік тому +30

    Barikiwa sana mama nchi imemshinda mungu atusaidie

    • @alirama1897
      @alirama1897 Рік тому

      Acha ujinga huo vv nahao hamwezi ata kuuku acheni kupotosha wanaume

    • @yesunialamayakiama.9013
      @yesunialamayakiama.9013 Рік тому +2

      @@alirama1897 Ungeweka angalau hoja moja ya kuonesha wanavyopotosha!

    • @ZamoMartin-i2e
      @ZamoMartin-i2e Рік тому +1

      ​@@yesunialamayakiama.9013yaah iyo ndo point

  • @maikomatayo2794
    @maikomatayo2794 Рік тому +17

    Kwakwel mungu akupe maisha marefu yenye baraka na Aman tundu lissu

  • @EdinaRaphael
    @EdinaRaphael Рік тому +34

    Walaaaniwe wote wanaotaka kuteketeza nchi eee baba wa mbinguni wewe ndio uliumba kila kitu mpaka binadamu na mawazo yake nakuomba ,, teketezaa kila binadamu mwenye Nia na mawazo mbaya na nchi ya Tanzania wafeee wotee uitee nchi Amen

    • @kefajoseph158
      @kefajoseph158 Рік тому +1

      Kweli bhana MUNGU ATUSAIDIE

    • @menshitunze
      @menshitunze Рік тому

      Mungu atatusaidia,maadam ameamua kuwa wazi.

    • @omaryramdhani9823
      @omaryramdhani9823 Рік тому +3

      HAKUNA CHA BABA WA MBINGUNI WALA ARDHINI KUCHUKIA KWENU WAARABU HAIWEZI KUA SABABU YA KUACHA KUPEWA BANDARI.KUFENI NA MACHUNGU YENU

    • @omaryramdhani9823
      @omaryramdhani9823 Рік тому +1

      ​@@kefajoseph158MUNGU HASAIDII MIJITU YA HOVYOHOVYO

    • @lightnessmushi8137
      @lightnessmushi8137 Рік тому

      @@omaryramdhani9823 utakufa.wewena.washiriki.wote.mungu.hashindwi.iliijulikane.kuwa.yupo

  • @hamicpina1151
    @hamicpina1151 Рік тому +2

    Samia ukimlza bandari naomba uukodishe na mkoa wa kigoma mana watanganyika si wametupora vingpi uza kila k2 hko adi vichogo wakatae muungano

  • @alicempuya5238
    @alicempuya5238 Рік тому +2

    Mungu alikunusuru, alikuwa na makusudi na wewe na aendelee kukupa maisha marefu

  • @hashimchaoga9566
    @hashimchaoga9566 Рік тому +7

    Hii inaweza ika affect uchaguzi ujao kama maoni ya wananchi yatadharauliwa. Wapinzani watapata pointi muhimu kujipatia kura .na hao wanaoshangilia sasa hivi kupoteza viti vyao

    • @AminialiAli-vv4yk
      @AminialiAli-vv4yk Рік тому +2

      Tz hii ccm ipate kura kumi tuuu itaongoza nchi

    • @SinemaZaChina
      @SinemaZaChina Рік тому

      Kuna watu uwaambii kitu kuhusu ccm bado watu awajapewa vitenge na jezi za Bure 😂😂😂

    • @belovedflorence4109
      @belovedflorence4109 Рік тому

      Kura zetu hazihesabiwi, ni mazingaombwe.

  • @vedastamalekela8711
    @vedastamalekela8711 Рік тому +7

    Ivi nikweli wabunge kwenye mkataba huo hakuna vipengele ambayo mliviona avina tija Kwa wananchi mkavikosoa kweli jamani🙏

    • @Fabianfideltz
      @Fabianfideltz Рік тому +1

      Tanzania Haina bonge mamuzi anayo rais 😢😢😢😢

  • @alanusrespicius1796
    @alanusrespicius1796 Рік тому +31

    Mimi nikiikamata hii nchi, nafuta bunge maana halifai hata kidogo.

  • @LaurentZacharia
    @LaurentZacharia Рік тому +2

    Hongera kwa kusema ukweli

    • @abdallavictory6723
      @abdallavictory6723 Рік тому

      Ninachojua wamewawahi kwenye kuongeza mapato' lazima utatukana sana na kutumia nguvu kubwa, kuakikisha nchi na Uongozi mambo yao hayafanikiwi,

  • @shadrackjuliuskaboya5239
    @shadrackjuliuskaboya5239 Рік тому +5

    *nilishtuka sana pale nilipoona lile jengo kubwa la Dubai kuonyesha bendera yetu pamoja na mama nilijua tuu Kuna namna hapo sio kawaida kwass watu tuliosomea cyuba tunaelewa ukitaka kula na kipofu usimguse*

  • @eradiusdezideri
    @eradiusdezideri Рік тому +9

    Nyinyi mnatusaidia watu wa chini maana wanaoteseka ni WA Hali chini

  • @khadijajacobo627
    @khadijajacobo627 Рік тому +2

    Mungu pigania nchi yetu isamehe Tz, ibariki Tz

  • @aishafrancis7714
    @aishafrancis7714 Рік тому +17

    Huyu ni mrokaji ila mengi anayajua hata kifo cha magufuli nilianza kumsikia yeye akisema viongozi waseme ukweli raisi yuko wapi wakakaa kimyaa gafla ametangazwa amekufa raisi daah 😢😢😢😢😢😢😢

    • @ElvisMulenga-j5w
      @ElvisMulenga-j5w Рік тому +3

      Nayeye aliyetaka kumuua anamjua pia maana alimiminiwa risasi kushinda tembo

    • @zumbeshauri8114
      @zumbeshauri8114 Рік тому +3

      Hahahaa leo kamsifu magufuli?😊

    • @shahadaushindi7745
      @shahadaushindi7745 Рік тому +2

      Mropokaji ni wewe, ambaye magufuri alikuwa Mungu wako. Lisu hawezi kueleweka kwa mataahira anaeleweka kwa wazalendo

    • @angellomarcel5677
      @angellomarcel5677 Рік тому

      Au Atakuwa alihusika kifo chake..?😅😅😅

    • @youngsachafurniture5482
      @youngsachafurniture5482 Рік тому

      Sasa ww unafanana nae au ww chocolate tuuu

  • @TwahaSaidiLigoola-kr1rt
    @TwahaSaidiLigoola-kr1rt Рік тому +1

    Mama yupo kazini mwacheni apige kazi mh samia suluhu hasani mungu ambalik

  • @sarahmarishay6002
    @sarahmarishay6002 Рік тому

    Dah Mungu naomba ukathibitike

  • @GEOPHINELUGWISHACHARLES-fs5gn
    @GEOPHINELUGWISHACHARLES-fs5gn Рік тому +2

    Neno la John ndugai IPO siku nci itapigwa mnada

  • @Punda284
    @Punda284 Рік тому +3

    Mungu ameona mtumishi,Sasa atafanya kabla ya 2025 Mungu ni mkweli zaidi inatosha.

  • @HappynessJulius-o2h
    @HappynessJulius-o2h Рік тому

    Sioni uzuri wowote wa mkataba huu we mama utatuaacha kwenye maisha magumu sana hii haijawahi kutokea tangu Tanzania iumbwe nyie mnakula vizr siye hata panado tutakoswa mungu awaonyeshe njia iliyonzuri Amina.

  • @kamalofanuel8120
    @kamalofanuel8120 Рік тому

    Wazanzibari wametukalia....watanganyika sisi ni mbumbumbu.....Rais muislam....waziri mkuu muislam.... Mshauri wa rais ni kikwete Muislam...wanaopewa bandari waislamu....Hata marais waliovuruga nchi hii ni wale waislam

  • @mariammalendeja370
    @mariammalendeja370 Рік тому +19

    hyu jamaa nae akishakufa tutmkumbuka kama maghu

    • @jessegodson8575
      @jessegodson8575 Рік тому +1

      Hata wafanyaje MUNGU atakataa kufa kwa lissu maana siku yake haijafika ndio maana risasi zimemshindwa kumuua

  • @dennischarles8524
    @dennischarles8524 Рік тому +7

    Creativity at the highest level

  • @mariamsaid6166
    @mariamsaid6166 Рік тому +7

    Mungu akulinde na mabaya yote, maana kutusemea wanyonge si kazi ndogo maadui lazima wawepo

  • @theresiakimath5402
    @theresiakimath5402 Рік тому

    Mungu atusimamie na uo mkataba ukashindwe.nyerere alise uo niumalaya umalayaa.

  • @danielalmas6595
    @danielalmas6595 Рік тому +2

    A man of the other ranks bigup

  • @josephmkinga9509
    @josephmkinga9509 Рік тому +2

    Ukweli mtupu mungu akubaliki Lissu

  • @ikulunimahalipatakatifu7642

    Angepewa mzungu tungekaaa kimyaaa ..tuanze na migodi ya wazungu na mikataba ya wazungu

  • @costardeogratias7784
    @costardeogratias7784 Рік тому +4

    Raisi wangu ni marehem magufuli

  • @helenkahema2636
    @helenkahema2636 Рік тому +4

    Ndiyo maana Mungu ni alikuacha uishi Mungu tusaidie Tanzania

  • @CloudMnkondya
    @CloudMnkondya Рік тому +9

    Jamani nasikitika sana kuwa na wabunge kama hawa

  • @edsondaud9764
    @edsondaud9764 Рік тому +4

    Upo vzr kamanda tusaidie tuikomboe nch yetu

  • @juliuskitaluka1206
    @juliuskitaluka1206 Рік тому +12

    Nafikiri inabidi tuache mzaha katika Jambo hili

  • @ElishaDuka
    @ElishaDuka Рік тому +5

    Samia ni adui wa taifa hili hususan bara ametuuza 😢

  • @kaguripenina63
    @kaguripenina63 Рік тому +1

    Mwakahuuu kazi mnayo viongozi.

  • @ezekielsabiyumva8048
    @ezekielsabiyumva8048 Рік тому +3

    Lisu kichwa 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤

  • @charlesmush8162
    @charlesmush8162 Рік тому +1

    Mtanikumbuka kwa mengi na sio mabaya.
    Tufanye yote lakin tusiwe Kama kongo, becouse no politics

  • @athumani543
    @athumani543 Рік тому +1

    NI CHUKI NA WAARABU TU AKA WAISLAAN TULIONA HATA OIC NA MAHAKAMA YA KADHI MLIVIMBA MASHAVU SANA TU ILA MIKATABA YA MEMORANDUM OF UNDERSTANDING MIDOMO YENU KIMYAA KWELI NI WAPENDA HAKI AU MNAIENZI BETTER CHANCE YA BABA WA TAIFA

  • @tanzcanmediatv4473
    @tanzcanmediatv4473 Рік тому +4

    Kumbe walisha sign toka 2022 kumbe mange alikuwa sahihi kwamba wanatuzuga tu walishasign

  • @gibsonjosephat6352
    @gibsonjosephat6352 Рік тому +20

    Wafanyabiashara wetu wanaumizwa kwa kubambikiziwa kodi. Leo wanabinafsisha Bandari kwa kisingizio eti inaendeshwa kwa hasara wakati wahuni wezi wanaachiwa wanaiba Mali za maskini badala ya kusimamia uendeshaji kwa kuwaondoa wezi na kufanya ufuatiliaji na kuweka teknolojia.

  • @mimiraia2531
    @mimiraia2531 Рік тому +5

    WATU WA PWANI WASHENZI SANA

  • @JoseZebedayo-ds2tk
    @JoseZebedayo-ds2tk Рік тому

    Duh kweli Kuna haja ya kufanya mabadiliko maana,serikali iliyopo inaendesha nchi kimazoea sasa wamejisahau

  • @ankogeorge8972
    @ankogeorge8972 Рік тому +2

    Tanzania wananchi tumelogwa HATA kuandamana hatuwezi?

  • @joshuasamson9618
    @joshuasamson9618 Рік тому +3

    😂😂😂😂 Aizaa Hana Akili Au Amehongwaa pesa

  • @yedidyamunyangeyo9433
    @yedidyamunyangeyo9433 Рік тому +1

    Siyo bandari tu pia air space yetu ndege zakimataifa zikitumia anga letu waarabu watakusanya pesa

  • @yannicksakisa7830
    @yannicksakisa7830 Рік тому +4

    unajuwa hii nchi inapoelekea inaelekea kubaya sana kwasababu marehemu magufuri aliyapinga kabisa haya lakini baada ya kufa tu imekuwa nifuraha kwao leo hii alienacho ndio yuko juu ambae hana anateseka poleni sana watanzani kwani huu ndio mwanzo picha bado harijaanza

  • @pastor_benjie
    @pastor_benjie Рік тому +2

    Nilichoelewa mimi kwa ujumla ni kuwa serikali imeamua kuziuza bandari zetu ili tupate maendeleo makubwa. Kwaiyo maendeleo tutapata lakini bandari sio zetu
    Mfano. Una eneo lako kubwa sana umejenga nyumba moja tu na umechoka kukaa eneo kubwa nyumba moja . Hivyo unaamua kuuza maeneo mengine kwa watu ili mazingira unayoishi yawe na maendeleo. Hivyo wakinunua eneo lako maendeleo yatatokea lakini Yale maeneo uliyouza sio yako Tena.
    Amebaki Mungu Tu Tz yetu

  • @obedwilliam5906
    @obedwilliam5906 Рік тому

    Ndo tatizo la kuwa na wabunge wa ndiooooo mhuuuuu Asante tundu lisi

    • @salehkhamis9994
      @salehkhamis9994 Рік тому

      Sasa hao wabunge mnao wategemea kupinga si amewafukuza magufuli na nyinyi mlikuwa mnashangiria Sasa mnaona madhara yake

  • @muyajuma6278
    @muyajuma6278 Рік тому +12

    Namuomba Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema muumba mbingu na ardhi na vyote vilivyomo akupe maisha marefu mheshimiwa Tundu Antipasi Lissu ili uendeelee kuwaelimisha wa Tanzania wengi mpaka watakaposema Sasa hawa viongozi wanatuchezea Sasa liwalo na liwe 😭😭😭😭😭😭

    • @jonaswamamajonah2687
      @jonaswamamajonah2687 Рік тому

      Qqqqqqq

    • @kamanapomo7029
      @kamanapomo7029 Рік тому

      Wew nahisi hauna akili na Kama unazo bas zipo sehem ya hajakubwa waulize wanao jua vita watakuhadithia, huyo mnae muona kua mkombozi aliku ulaya kwa muda gani? na kwann karudi na huko alihifadhiwa na nani? na kwann yupo hapa kwa sasa! Kilichomkimbiza mwanzoni ni nini?, huo mkataba mnao upigia kelele nani alie kutafsirieni katka woote hao wanao kupotosheni au mmewahi kuambiwa kua ni kifungu kipi chenye utata! acheni kucheza mchezo wa kujiua

    • @abdulhakimsaleh6899
      @abdulhakimsaleh6899 Рік тому

      Mungu amuwe

  • @EmmanuelShitindi
    @EmmanuelShitindi Рік тому +1

    Upo vzr lisu

  • @hamzaswaibu9470
    @hamzaswaibu9470 Рік тому +2

    Twambieni na mikataba ya kanisa iliyoingia na serikali ktk ma hospital yetu

  • @januaryjohn2014
    @januaryjohn2014 Рік тому +1

    Duh jamani kwanini lakini hii nchi inaendeshwa ivi

  • @ngugimundia6306
    @ngugimundia6306 Рік тому

    Watanzania amkeni mtetee rasili mali zenu.....wakenya huo mpango umetushangaza....mh tundu lisu anahitaji nguvu za raia watanzania kupangua mikataba ya hovyo...karibuni 🇰🇪...

  • @josephngassa7073
    @josephngassa7073 Рік тому +7

    Komaeni wataramu wa Sheria kuelimisha wananchi mbumbu kuikomboa nchi isiuzwe badari zake usalama utakuwa mdogo kiulinzi wa mipaka yake

  • @adamrajabunkungu5222
    @adamrajabunkungu5222 Рік тому +12

    Aise nchi yetu ndio hivyo tena,tutamkumbuka mwenda zake, mungu inusuru nchi yetu itoke kwenye hili dimbwi

  • @clinton3168
    @clinton3168 Рік тому +3

    BAS TU TANZANIA 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
    Samia POPOTE ULIPO MUNGU ANAKUONA

  • @didowamchops9229
    @didowamchops9229 Рік тому +2

    Mama wa hovyo sana huyu simpendi, cjui kwann hajauza kwao

  • @seperatusthomas6543
    @seperatusthomas6543 Рік тому +1

    Akimaliza kuiuza nchi yetu atarudi kwake ZANZIBAR Kula bata

  • @ijumaawikienda5435
    @ijumaawikienda5435 Рік тому +6

    Mungu wanguuuuuuu

  • @abdulmohd6880
    @abdulmohd6880 Рік тому +1

    Watanganyika washenzi wametutawala kwa zaidi ya miaka hamsini hawakujua km muungano huu n wa kinyonyaji na wanatunyonya na kuikandamiza Zanzibar leo bandari imekodishwa tu wamekuja juu mamazao mama kodisha mpk viwanja vya ndege vyao shenz type hawa✌️

  • @birianination7097
    @birianination7097 Рік тому

    Hiyo ni MOU sio contract of agreement. Mambo anayo uliza hayawekwi kwenye MOU.

  • @johnmmasa
    @johnmmasa Рік тому +3

    Nachanganyikiwa😭😭💔

  • @mbwanaomary7537
    @mbwanaomary7537 Рік тому +12

    Mtanikumbuka kwa mazuri na sio mabaya! Big up Mh lissu kwa kuendelea kuwafungua akili watz

  • @FadhiliEmanueli-w3x
    @FadhiliEmanueli-w3x 2 місяці тому

    Lakini kwa nn tuzungumze haya baada ya mkataba kuwa umeshapitishwa

  • @denisshimela169
    @denisshimela169 Рік тому +16

    Duh ndooo faida ya kuwa na wanasiasa wasomii wewe nijembe sana

  • @SaleheJuma-pp4bd
    @SaleheJuma-pp4bd Рік тому

    Tupe ukweli baba make tulikuwa hatujui.🔑

  • @eliudjamess4231
    @eliudjamess4231 Рік тому +12

    Huyu mama nchi imemshinda aachie tu hakujifunza chochote kwamtangulizi wake ni jinsi gani nch inatakiwa iendeshwe in short anakurupuka

    • @mimiraia2531
      @mimiraia2531 Рік тому

      madubwasha fulani yalienda pale yakauze nchi

  • @hassaniabdi3991
    @hassaniabdi3991 Рік тому

    Awaa ccm ni mijizi sana

  • @restkalemile5274
    @restkalemile5274 Рік тому +11

    Huyu mama hana chake 2025, asitegemee kuchaguliwa.... 😭😭 Hana uchungu na hii nchi

    • @salomewandya7257
      @salomewandya7257 Рік тому +1

      Kabisaaa

    • @NyakahulaNgala
      @NyakahulaNgala Рік тому

      Hii ndio shida yakua nakiongozi ambaye hajachaguliwa nawananchi,hawezi kua nauchungu nanchi hii,hawezi kuitetea hii nchi,maisha yamekua magumu sana,bado viongozi wanafanya vitu vyahovyo,yaani hata msukuma tuliyemwamini,???,kweli wamehongwa pesa nyingi,wazirudishe tu,wabunge vilaza kabisa,kweli pesa ilimuua Yesu,daaa niaibu sana,bora kuongozwa namaroboti kuliko hawa watu,roboti linajua boksi hili nimetoa hapa niweke pale,lakini banadam anasaini takataka kama hiyo kweli????Mungu asimame tu.

  • @ZamoMartin-i2e
    @ZamoMartin-i2e Рік тому

    Mungu baliki tz

  • @lovenessmushendwa1230
    @lovenessmushendwa1230 Рік тому

    Yan mm naona hadi aibu kuwaambia watu mm ni MTANZANIA ,TOKEA MAGUFULI ATUTOKE

  • @hashimchaoga9566
    @hashimchaoga9566 Рік тому +17

    Asemayo ni kweli kabisa kuna vipengere vya ovyo sana viko wazi lakini watu wanavipindisha au kujifanya hawavioni. Na haijulikani kama ni uwekezaji ukodishaji au ubia.

    • @Baba-nm4qz
      @Baba-nm4qz Рік тому

      Ebu taja kipengere cha hovyo

    • @onesmojustice2348
      @onesmojustice2348 Рік тому +2

      ​@@Baba-nm4qzhujamsikia lisu hapo ? Amekuambia onyesha sehemu inayoonyesha kuwa tutapata ata mia kwenye huo mkataba onyesha😂😂😂

    • @denismvula300
      @denismvula300 Рік тому

      @2348 mwamba anavunga hajasikia

    • @husseinmusa5697
      @husseinmusa5697 Рік тому

      Tundu lisu.muongo.sana

    • @salehkhamis9994
      @salehkhamis9994 Рік тому

      Mimi sipotezi muda wangu nikalisikiliza hili lissu ni shoga2 linasapotu mapenzi ya jinsia moja

  • @latifahud4336
    @latifahud4336 Рік тому +1

    Jmn Tanzania sisi,tutaishia wap sjui,mungu tusaidie

  • @SunsetTanzania
    @SunsetTanzania Рік тому

    Ishi Tajiri

  • @hamismohamed3541
    @hamismohamed3541 Рік тому +6

    Nchi ya kimalaya sana hii kweli kuishi Tanzania sio kaz ndogo

  • @belovedflorence4109
    @belovedflorence4109 Рік тому

    Wakishatuuza watavunja muungano. Kazi kwetu.