@@irenekaluse3213 hivyo ndivyo walivyokudanganya. kwa uislamu uchawi ni haramu na haukubaliwi...kama hujui kitu soma kwanza ndio uweke comments otherwise una prove ujinga wako mbele ya mamilioni ya watu...
@@kelvinnjuguna5906 kwani kuwa muislamu kumkataa YESU mpaka useme shauri yako?. Waislamu wanamuamin yesu ni nabii kama musa au manabii wote waliotangulia hatumuabudu Maria mama wa yesu na yesu wote hawa ni binadamu katika imani ya Kiislamu hawapaswi kuabudiwa unatakiwa kumuabudu Mungu pekee na kumsujudia yeye tu . Hiyo ndio iman ya uislamu kwahiyo kumwambia awe muislamu maana yake afate yesu kama nabii na aache kumswalia mama yake yesu na yesu mwenyewe katika swala zao zile . Ile salam Maria mama wa Mungu umebarikiwa kuliko wanawake wote , hii ni dhambi kubwa sana kumuabudu mwanadamu kwahiyo ukiwa kwenye uislamu hutomuabudu Maria na yesu utamuabudu mwenyezi Mungu
Wakrito wengi wamepotoshwa kwa sababu ya kutosoma neno la mungu na kuelewa God bless you pastor,naomba mungu anipe Neema ya kusoma bibilia na kuielewa zaidi
@@salimbaasba6159 Sabab imani yangu niliyonayo nimeona Miujiza ya kutosha, kushangaza , na kustaajabisha Yesu kwangu ajawa adisi kama ya kufikirika ndo mana waislam nawakubali lakin kuhama itakuwa ngumu kwakweli.
@@nassorsharifu9837 mie nahisi ndacha hajaelewa uislam vizuri , angeelewa angesilimu. Kwa sababu ana maswali yake naona hajapata majibu vizuri , angepata majibu ya kumridhisha angesilimu. Kwa sababu si mjinga. Pia haamini mtume Muhammad ni mtume wa Mungu. Ila maswali aliyekuwa nayo akipata majibu ya kulidhisha atasilimu. La sivyo hapana
hakika sheikh ramadhan unaifanya kazi ya kulingania watu waingie katika din ya uislam ALLAH akujalie kher na baraka na akupe umri mref zaid uzid kulingania watu
Ustadh ramadhan Allah akupe nguvu na afya na hikma na amani na uwezo wa kuilimiaha ummah wa kicristo na pia waislamu tunapata ilmu hapo kuzidi kumjua nabii issah wanae muita yesu...na pia Allah akujaalie IKHLASW...amiin
Sheikh ramadhan assalamualekum vipi hali yako mbona watunyima utamu kaseti umeikata kweli kidogo ni tamu ana kwa ana mkristo kwa mkristo katika zote this is nice mashallah Allah akuzidishiye 🙏
Assala am alaykum kazi nzuri. ALLAH AKUZIDISHIE Maana umewa ambiwa ukweli WAKISHINDWA KUTOA MAJIBU , WANADAI WANATUMIA ROHO, SASA NAONA HAPO WAMEKUTANA KILA MTU ANAMUONA MWANZAKE HAJAFUNULIWA ROHO, WAFUNDE ,MAANA YA ROHO.
Muulzen yesu wa yongareni...miaka yte akiwa hayupo hapa duniani alkua wapi na alikua yuwafanya nn....atoe maelezo kamili..... Wallah msiba huu Mungu awaoneshe njia ya khaki
Salaam aleikum warahmatullahi wabarakatuh. Shukran kwako Mwalimu Ramadhan kwa kazi yako nzuri ya daawa. Mwenyezi Mungu azidi kukuongoza na kukulinda. Ya Tongaren inasikitisha sana. Tuzidi kuwaombea wapate kubadilika.
Napenda vile wakitamka 1.baba mungu 2.aminaa 3.halafu majina ya manabii wakiume..hapo wako wamama au wanawake.nabii yakobo,nuhu 🤣🤣 4.halafu mbingu kufunguka uone malaika na waongee na wewe hee..
Assallam aleikum ustadh Allah azidi kukuongoza uwaellimishe hawa wenzetu zaidi wakristo na kristo wee hio kali Alhamdullillah kuwa muislamu ni kheri kubwa inshaAllah
قال الله تعالى فى كتابه العزيز وهو أصدق القائلين: ومن الذين قالوا إنا نصارى أخذنا ميثاقهم فنسوا حظا مما ذكروا به فأغرينا بينهم العداوة والبغضاء إلى يوم القيامة وسوف ينبهم الله بما كانوا يصنعون:المائدة ١٤
HUU NI UWONGO MTUPU !!! KUNA YESU KRISTO MMOJA PEKEE ALIYE MWANA WA MUNGU NA YEYE SIYE KIUMBE . HUYU SIYE YESU KRISTO. TAFADHALI TUACHE MAFUNDISHO YA UWONGO.
In the last days, there emerge the false prophets, from the real Christ....Ati Yesu....And when you see all these things happening know that my second coming is around the corner and do not be fooled by those who will claim to be Christ. Jer 14:14, Matt 24 :7-8
Acheni kuhangaika na huyo mwehu ndo Maana wakristo hawahangaiki nae sababu wanajua Ni mwehu ,kila mtu ataubeba mzigo wake kadri ya matendo yake Sasa Yeye Kama ameamua kujitukuza Mungu atashughurika nae Ni swala la muda tu
Shekhe wangu ramadhan kwanza mi nakupenda kwAajili ya Allah na kingineee sikuu utakutana na huyo yesuu wa huko tongareni mwaambieni amwombee huyo baba yake ateremsho mujiza wowote ulee ilii iwee bishara kwa walee tusiyo mwamini nihayo tuu
Pastor, tunamshukuru Mungu Jehova kwa ajili yako, unalifahamu neno Mungu akubariki sana.
Ndacha anajuwa biblia vizuri sana. Watching from Australia 🇦🇺 🇨🇩
Yes Anajua km biblia inadanganya lkn hataki kusema kweli.
Ana jua sana lakini kufuata ni shida 😁😁
Anaweka viraka sana😂
Afate uchawi wenu wa muhamad
@@irenekaluse3213 hivyo ndivyo walivyokudanganya. kwa uislamu uchawi ni haramu na haukubaliwi...kama hujui kitu soma kwanza ndio uweke comments otherwise una prove ujinga wako mbele ya mamilioni ya watu...
Pastor ndacha mungu akubariki kazi mzuri sana
Hahaa😂😂 wacha kwanza nicheke.... Wakristo hatuko serious 😂
fanyamaamuz hakunagharama kuslimu Allah akukubal ndguyangu
Unaambiwa uwe muislamu apa 😂😂😂ukikumbali shauri yako 😂
@@kelvinnjuguna5906 kwani kuwa muislamu kumkataa YESU mpaka useme shauri yako?. Waislamu wanamuamin yesu ni nabii kama musa au manabii wote waliotangulia hatumuabudu Maria mama wa yesu na yesu wote hawa ni binadamu katika imani ya Kiislamu hawapaswi kuabudiwa unatakiwa kumuabudu Mungu pekee na kumsujudia yeye tu . Hiyo ndio iman ya uislamu kwahiyo kumwambia awe muislamu maana yake afate yesu kama nabii na aache kumswalia mama yake yesu na yesu mwenyewe katika swala zao zile . Ile salam Maria mama wa Mungu umebarikiwa kuliko wanawake wote , hii ni dhambi kubwa sana kumuabudu mwanadamu kwahiyo ukiwa kwenye uislamu hutomuabudu Maria na yesu utamuabudu mwenyezi Mungu
@@kelvinnjuguna5906😂😂😂
Uislam ndio DINI ya haki iko wazi kabisa ...
Mwalimu Ndaca Mungu akubariki sana na Ashukuriwe Muntu kwa hekima respect
Wakrito wengi wamepotoshwa kwa sababu ya kutosoma neno la mungu na kuelewa God bless you pastor,naomba mungu anipe Neema ya kusoma bibilia na kuielewa zaidi
Mi ni mkristo lakini huyu sheikh namfatilia anafanya juhudi kubwa sana kuhoji imani hasa zilizo na utata, hongera sana sheikh🇹🇿🇹🇿
Mwenyezi mungu hakujalie ramazani
Kitu gani kinakuchelewesha wewe kuwa Muisilamu?
Asante kwa ukweli
@@salimbaasba6159 Sabab imani yangu niliyonayo nimeona Miujiza ya kutosha, kushangaza , na kustaajabisha Yesu kwangu ajawa adisi kama ya kufikirika ndo mana waislam nawakubali lakin kuhama itakuwa ngumu kwakweli.
@@FreeGod368 Allah akuongoe inshaallah
Alhamdulillah kwa neema ya uislamu Allah awaongoze ambao hawajaona nuru ya uislamu Allah awahifadhi masheikh insha'Allah
Ndacha usisahau kwamba Kila lilinonenwa litatimia,ila nivyema kuelimisha watu wasiingie kwenye mtengo, Mungu akujazie hekima kwa kazi ipo
ASALAM ALYEKUM..SAUTI YA RAMADHAN NIKAMA SAUTI YA SWALE MDOA YULE WA CITIZEN...SAUTI NZURI..MASHAALLAH..MAY ALLAH BLESS ALL MUSLIMS
Amen ufundisho wa bible ni tamu sana watu wakisoma bible haya matokeo yalio tabiriwa tutayaelewa viema , praise God
Amen
Allah akuzidishie Ustadh Ramadhan. Pastor Ndacha InshaAllah Allah atakuonyesha haki
Aameen
Ndacha anaelewa lakini hataki yeye ni wale waliotajwa katika Quran 2:6 "Na wale waliokufuru ni sawa ukiwaonya au usiwaonye wao hawataamini"
@@nassorsharifu9837 kabisaa kaka
@@nassorsharifu9837 mie nahisi ndacha hajaelewa uislam vizuri , angeelewa angesilimu. Kwa sababu ana maswali yake naona hajapata majibu vizuri , angepata majibu ya kumridhisha angesilimu. Kwa sababu si mjinga. Pia haamini mtume Muhammad ni mtume wa Mungu. Ila maswali aliyekuwa nayo akipata majibu ya kulidhisha atasilimu. La sivyo hapana
hakika sheikh ramadhan unaifanya kazi ya kulingania watu waingie katika din ya uislam ALLAH akujalie kher na baraka na akupe umri mref zaid uzid kulingania watu
Mashalla ndungu wetu ramadhan mungu wako akupanyie wepesi Kwa Jambo lolote shukurani
Huyu ndacha mlevi kwa hiyo yesu anaitwa yesu mungu. Anaitwa Yesu mwana wa mariam.
Ustadh ramadhan Allah akupe nguvu na afya na hikma na amani na uwezo wa kuilimiaha ummah wa kicristo na pia waislamu tunapata ilmu hapo kuzidi kumjua nabii issah wanae muita yesu...na pia Allah akujaalie IKHLASW...amiin
Ndacha akiwa kwa hawa waluhya hananga kelele mingi😂😂
Yesu anakwambia mimi niyule yulee😂😂😂😂😂 subhanallah
🤣🤣🤣
Sheikh ramadhan assalamualekum vipi hali yako mbona watunyima utamu kaseti umeikata kweli kidogo ni tamu ana kwa ana mkristo kwa mkristo katika zote this is nice mashallah Allah akuzidishiye 🙏
Mke wa yesu kumbe ana mipasho namna hii! Hii kiboko shikamoo wakiristo iko siku ataonekana hadi mungu
Hahahahahaha nimeipenda
@@rahema1992yupo zumarid wa tz anajiita mungu mwanamke😢😢
Shukran sheikh ramadhan kwa juhudi zako zako za dawaah Allah akulipe jannat firdaus inshallah, nafurahi kuiona markaz imefika mbali Alhmdullh
Alhamdulillah Allah kunijalia neema yawisilam shekhe allah atakulipa kheri inshaallah tunakumbea Dua
Masha Allah Ustaz Kuria Good job.
Tabarak Allah
Huyu ndacha et yesu aliziliwa na mungu subuhallah I proudly to be Islam
Allah akufanyie wepesi katika kufikisha daawa. Allah awaongoze hao ambao hawajapata Nuru ya Uislam ili waingie katika Uislam.
I can't miss this video, shukran Ustadh Allah akubariki
Mashallah mashallah mashallah mashallah ramadhan kuria bin kaguoo,,, tunakuelewaa vzr snaaa kwaa Kaz nzuri,, Allah akupe afyaa njemaa
Yesu alikuwa mweusi si mweupe
Togareni Yuko sawa
SUBHANALLAH
LAILAHA ILLALLAH WAHDAHU LASHARIKALAHU LAHULMULKU WALA HULHAMDU WAHUWA ALA KULLISHAIIN QADIR WAANNA MUHAMMADAN RASULULLAHI SWALLAAHU ALAIHI WASALLIM WA BARIK ALAIHI.
ALLAHUMA SWALLI ALA SAIDINA MOHAMMADIN WAALI SAIDINA MOHAMMADIN WA BARIK ALAIHI WASALLIM.
Barakallahu Feek Sheikh Ramadhan Kuria
Masha Allah kazi nzuri.
Allah awaoneshe noor ya Uislamu kwa wote.
Qur'an 3:19
Mwarimu Ndaca mungu akuongez myaka mingi yakuishi sana,Nakupenda sana Ndacha,uyo yesu nae izidi kujiogopea moto upo
Allah akujalie shekhe ramadhani kulia
Masha Allah markaz nzuri sana inapendeza Allah awazidishie walio changia na awape pepo zake tukufu ishallah
Mungu ni mwema asante pastor
Uho mze kalogwa😅😅😅😅😅😂😂😂😂
Baraka ALLAH Sheikh Ramadhan.. Wa Jazza ALLAH Kheyr l Jazza .. ALLAH atakulipa Kila la Kheyr In Shaa ALLAH.
Mshalah ramadan kuria bin kaguo may God show them our Christians right path
Watu waongo km hawa wapo wengi huja km moto wa kifuu,
Mara moja hizimika
Alhamdulillah kuwa muisilamu.
Waaaa Mungu atufungue roho zetu hii ni kugonjeka
Assala am alaykum kazi nzuri. ALLAH AKUZIDISHIE
Maana umewa ambiwa ukweli
WAKISHINDWA KUTOA MAJIBU ,
WANADAI WANATUMIA ROHO,
SASA NAONA HAPO WAMEKUTANA KILA MTU ANAMUONA MWANZAKE HAJAFUNULIWA ROHO,
WAFUNDE ,MAANA YA ROHO.
Muulzen yesu wa yongareni...miaka yte akiwa hayupo hapa duniani alkua wapi na alikua yuwafanya nn....atoe maelezo kamili..... Wallah msiba huu Mungu awaoneshe njia ya khaki
Masha Allah great work ustad
Salaam aleikum warahmatullahi wabarakatuh. Shukran kwako Mwalimu Ramadhan kwa kazi yako nzuri ya daawa. Mwenyezi Mungu azidi kukuongoza na kukulinda. Ya Tongaren inasikitisha sana. Tuzidi kuwaombea wapate kubadilika.
Amiin
Assalam aleykum
😂😂😂😂
Walaikum Salaam Wa Rahma Tullahi Wa Barakat.. Allah Ummah Amiin
@@abdulmustafa2148 Kicheko ni cha nini sheikh badala ya kuitikia dua?
Sheihk mungu akubariki umefanyakazikubwa alafu unasbra
Mungu akulinde Ndacha
Allah akupe maisha marefu yenye faida kama haya amiin..
I love you,kwa ajili ya Allah SWT
Masha allh sheck Ramadan mungu akuzidishe ilimu
Masha ALLAH sheikh wetu Ramadan
Inshallah Allah atuongoze kwa njia ya haki
Watching this from green and spice island (Zanzibar) waiting for part 2
Ndacha unajicontradict..ati yesu ni mungu na ni mwana wa mungu...surely surely...
Kuna wakati ndacha alikataa kuwa yesu si Mungu,
Watching from usa
Mashallah❤Great job Mr Ramadhan ❤
Pastor Mungu akubariki sana unajitaidi kuwaambia ukweli but ukweli inauma lkn ni lazima neno la Mungu lisemwe kwa ukweli
Mashallah ustadh Ramadhn mungu akulipe kheri
May Almighty Allah bless you sheekh Ramadhan
Ameen
Amiin Thumma Amiin
Mwenyezi akuzidishie kwa jinsi unavyo tuwakilisha,na unavyo muwakilisha mwenyezi Mungu na kutetea dini yake
Mashallah hongera sana sheramazan mungu arakulipa.heri kwakila.hatuwa akuepushiye kila lashari
Asante sana mwalimu ndacha,,,nahitaji sana number yako ya simu,,mm ni mkristo na ni mwana sabato nahitaji number ako samahani
Hio ni kali😂😂❤ unasema kweli ubarikiwe sana inachekesha sana
Ramadan MaashaAllah Allaah azidi kukupanua kufua
Kabisaaa haya mambo YESU KRISTO mwenyewe aliyatabiri alisema watatokea watu na makanzu wakisema Mimi ndiye YESU tuwe makini
Mm napenda sanna daawa yako allah akujaliye kila la kheri
For once mkewe aliketi nyuma yake baada ya kuchongolewa na Ndacha 😂😂😂
😀
😀😀😀🤣nimecheka jamani
Napenda vile wakitamka
1.baba mungu
2.aminaa
3.halafu majina ya manabii wakiume..hapo wako wamama au wanawake.nabii yakobo,nuhu 🤣🤣
4.halafu mbingu kufunguka uone malaika na waongee na wewe hee..
Subhanallah huyu yesu anajua kutetea pia mambo zake alafu Ramadhan nitakutext huko whatsapp kuna mambo yananitatiza huko naomba uangalie ilitusaidiane
Mashallah kazi njema jitihadi unazo na Allah akubari na akuzifishie neema inshallah
Mwalimu ndacha Mungu azidi kukutumia kupitia kwa nguvu za Roho Mtakatifu wengingi wafunguliwe macho
Mwalimu Ndacha tunamtukuza Mungu Jehova kwa ajili yako unalifahamu neno ,Mungu Jehova aendelee kukutumia.
Uislamu ni raha ❤❤❤
Great sheikh, spread the religion
Masha Allah 🥰
sikilizen nyinyi mulio hamna maalifa msio na neno la Mungu msitake galika ya lazima acheni ujinga wa kupoteze watu
Mashallah ❤Mwez Mungu afungulie vifuwa wandugu zetu kimwili kiro inalillah in-shallah shukran shiekh Ramazan Mashallah ❤
Ndacha anajitekenya alaf anacheka mwenyewe
Assalam aleykum warahatullahi wabarakatu..Good job Ramadhan
Pastor ndach barikiwa kwa kaz yako
Mungu akubariki sana ndacha kwa kazi nzuri
Maashallah mungu akulidi she
Mola akjazie kher sheik wangu
Leo wakristo tumekua well represented. Ramadan leo umepatana na mtu level ama size yako
Jamani hyu ndach ni mbishi looh subhnnallah mtihan
Hii Dunia Ina binadam wa ajabu sana
Assallam aleikum ustadh Allah azidi kukuongoza uwaellimishe hawa wenzetu zaidi wakristo na kristo wee hio kali Alhamdullillah kuwa muislamu ni kheri kubwa inshaAllah
Ustadh Ramadhan hio markaz ishe utuietie shuuli za kufunza
قال الله تعالى فى كتابه العزيز وهو أصدق القائلين:
ومن الذين قالوا إنا نصارى أخذنا ميثاقهم فنسوا حظا مما ذكروا به فأغرينا بينهم العداوة والبغضاء إلى يوم القيامة وسوف ينبهم الله بما كانوا يصنعون:المائدة ١٤
HUU NI UWONGO MTUPU !!! KUNA YESU KRISTO MMOJA PEKEE ALIYE MWANA WA MUNGU NA YEYE SIYE KIUMBE . HUYU SIYE YESU KRISTO. TAFADHALI TUACHE MAFUNDISHO YA UWONGO.
NDACHA NA YESU MAANDIKO YATAALEWEKA TU HOJA ZITAUMANA KATI YAO
Mwalim hapo umekosea mambo yamajina nimambo yawazungu
Huyo ajiitaye yesu ni mlagagai mkubwa maswali pia hajibu ipasavyo umenena,umenena ndio vitugani yeye kama yesu
Yesu anakuanga na simu 😂 anaredeem bonga points waluhya mnatupima walai😅
Asalmu aleykum hongera sn mwali wtu allh ajulipe Kila lenye kheri na ww
Huyo nishetani amevaa mwili sio JESU CHRISTO
We unamuliza maswali mingi ni ka ulikuwa na Yesu... Acha na huyu msee
Kabisaa
In the last days, there emerge the false prophets, from the real Christ....Ati Yesu....And when you see all these things happening know that my second coming is around the corner and do not be fooled by those who will claim to be Christ. Jer 14:14, Matt 24 :7-8
Assalam alaikum warahmatu-llahi wabarakatuh,
Allah Atupe Mwisho Mema
Masha Allah ninzur sana marqaz itaisha insha Allah alaf nifulo ngap?
Acheni kuhangaika na huyo mwehu ndo Maana wakristo hawahangaiki nae sababu wanajua Ni mwehu ,kila mtu ataubeba mzigo wake kadri ya matendo yake Sasa Yeye Kama ameamua kujitukuza Mungu atashughurika nae Ni swala la muda tu
Kabisa
Shekhe wangu ramadhan kwanza mi nakupenda kwAajili ya Allah na kingineee sikuu utakutana na huyo yesuu wa huko tongareni mwaambieni amwombee huyo baba yake ateremsho mujiza wowote ulee ilii iwee bishara kwa walee tusiyo mwamini nihayo tuu
Ndacha umeona balaa lenu
Wakristo
Ndacha unajikoroga unasema hujawahi kusikia mungu ana mke Wala wa toto na udai yesu ni mwana wa mungu sasa nukuelewe vipi kafiri ndacha
😂😂😂😂
Anajipingaga saana ndacha
Ndacha anajikaanga mwenyewe
Ndacha Kuna kipindi alisema yesu si mungu