Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Hongera kwa taranta angavu, binti. Wasiwasi wangu, kwa sasa unafanya vema, labda [siombei iwe hivyo], waweza kupitiwa 'mihemko' ya tapo la kimapinDuZi, kiSasa - ukatoka kwenye maelekezo ya Vatican council 2![sura ya 6]!Natamani ubaki mkatoliki...!
Jamani Diana ❤❤❤❤
Wimbo mtamu. Namfurahia mwalimu diana kwa umakinifu huo.sifa kwa Mungu
Uko wapi rafiki angu nije unifundishe tafadhali
Mungu wa mbinguni azidi kukuza kipaji chako mwanangu uweze kumtumikia mungu vizuri.
Amina..Mungu akubariki pia Mama😍🙏
Hongera sana dada kwa kazi nzuri
Safi dear mwaaa👍👍
Hongera sana Organist wetu napenda sana Wimbo huu na pedal unaitendea haki kiasi nikualike ucheze kwenye Pipe organ yetu hapa........
Sister Diana ongera nimeipenda fingalin
Nakwitaji sana njoo igunga diana
Upo good mdogo Wang hongera saaanaa
Nice,keep it up👊👊
This is amazing 👏 keep it up
Very sweet
Hongera yake
Poa sana Dada yangu
It's so nice,plz naombeni namba za huyu dada,mwanamke kupga organ vzur hv dah amizng
🙏❤️Molto brava👏👏❤️
Nahitaj contact ya huyu diana... Kaz nzurii
Mimi pia ninahitaji... Naombeni nikutanishwe naye
𝐃𝐚𝐡 𝐮𝐧𝐚𝐛𝐨𝐟𝐲𝐚 𝐣𝐚𝐦𝐞𝐧𝐢
Congrats 👊
Hongera kwa taranta angavu, binti. Wasiwasi wangu, kwa sasa unafanya vema, labda [siombei iwe hivyo], waweza kupitiwa 'mihemko' ya tapo la kimapinDuZi, kiSasa - ukatoka kwenye maelekezo ya Vatican council 2![sura ya 6]!
Natamani ubaki mkatoliki...!