Kwako Bwana Zinatoka Sifa Zangu - Joseph Mkomagu | Tanzania Organists Society (TOS)
Вставка
- Опубліковано 8 вер 2024
- Wimbo: Kwako Bwana Zinatoka Sifa Zangu
Mtunzi: Joseph D. Mkomagu
Organists: Diana C. Kitika
Organ: Yamaha Electrone FS 50
Location: Parokia ya Mwenyeheri Anuarite, Makuburi
Video: Jugo Media Network
Tafadhali Subscribe, Like, Comment na Share tone hili la upendo kwa ndugu jamaa na marafiki.
Jumuika nasi katika mitandao mingine ya Kijamii:
Instagram: / jugo_media
Facebook: / jugomedia2019
Mawasiliano:
JUGO MEDIA,
Sokoine Drive, Posta
P. O. BOX 34014,
Dar es Salaam.
For Bookings and other Enquiries
Phone Number +255757560764/657790405
#jugomedia #kanisakatoliki #familiatakatifu #wawata #uwaka #viwawa #australia #unitedstates #canada #america
Best Organist DIANA am speachless for sure....
Amina sana ubarikwe sana naupenda sana huwo wimbo❤❤️
Akika ww ni fund i ❤ you diya
Mungu akuzidishie saaana dada Daiana.
My best organist to happened in this world.
Sauti moja haiko vzr but unajua vzr san
Safiii sana. Barikiwa
This is excellent dear.
Kupata wanawake wenye ujasiri kama huu ni ngumu sana.
Diana.... that was amazing 😻
Dada Diana hakika unajua kunifurahisha. Nakufuatilia sana tangu nione kazi zako. Mungu akubariki
Na mm naomba uje kunifundisha natamani Sana kujua🤔
Umekuwa Bora sana
Ubarikiwe sana. Yaani unapiga vizuri sana.
Kwa kweli unanifanya nipende kinanda kazi nzuri KITIKA
Ok uko vizuri Sana
Yuko vizuri sana
Disclipe uyo na Classmate wangu🥰Nimemis upige kinanda muda wakuabudu adi roho inatulia😘Masista wamepost video zako kwa Page ya shule..Ukipewa ela urudi shule ili uwapigie utarudi🤣🤣🤣
Dy nakupendq
Uko vizuri
Safi Sana dada
Umejitahidi sana hongera yako
Aah Diana unajua bhana. Dah...... mungu akubariki
Hongera Sana kwake👏🏾👏🏾
Umetshaaä blood
Hakika nimebarikiwa sana na wimbo huu.Ubarikiwe sana Diana
Big up sana sana dadangu mpendwa
Wow.You play ni nicely
Good job. Unapiga vzr
It is so nice.
Well done dada
Extremely fine
🙏🙏🙏🙏🙏
Walimu wapo wapi
Upo vizuri n
Safi sana hongera