Nafurahi sana kuona vijana kama hawa wamamuimbia bwana jamani asante Mungu kwa hazna ya vijana Amina na sisi vijana wengine tuige mfano waoooo nawapenda sana wote
Jameni wimbo huu una uvuvio wa kipekee , nina upenda sana tena sana. tangu ni meujuwa ninajisikia kabisa nifuraha ya ajabu moyoni mwangu. wakati ni tafika tanzania ya mara ya kwanza nitajihidi ili tuwe pamoja sote.Asanteni sana kwa utungaji wa huu wimbo MWENYEZI MUNGU awawezeshe kwa yote wa pendwa. Mimi ni BAHATI RUBESHUZA Nkulwe, ninaishi kongo ndani ya mji Wa BUKAVU
Ni kwa neema tu Tanz🇹🇿ania tumevuka salama katika kipindi hiki cha CORONA , siyo kwa uwezo wetu. Tunasema Asante Mungu wetu wa mbinguni. Mungu ibari,i Tanzania Mungu ibariki Afrika 🇹🇿🇹🇿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Hata tusiokuwa Rc tumependa,unapoona kundi la vijana Kama Hawa wanaweza kutumia muda kumsifu Mungu unashukuru kwa kusema Wazazi wamefanya sehemu yao,hongereni
Nguvu vijana, neno la Mungu ni chakula cha Roho. Mtu ambaye hasemi chochote juu ya Mungu, huyo hana chacula cha Roho. Nakuombeni kwa msirudie nyuma katika hiyo khazi ya kumsifu bwana Mungu wetu, AMEN!
Ni nyimbo nzr sana iliyochezwa kitamaduni hakika kwel ni neema zake mwenyezi mungu tunakuomba mungu utupatie neema zako Katika Maisha yet thanks God for every thing
Naupenda wimbo huu. It makes my catholic so beautiful. It reminds me of the days nilipokua Tanzania. Ndugu zangu hapa Zambia nawaonesha wanavioimba waki Tanzania. Nadhani kiswahili changu kimenyooka.
Naupenda sana wimbo huu. Ni wimbo wa mashujaa kwa kuhimiza watu kujuwa kutumika huku tuki juwa kwamba sote tuko sawa mbele za Mungu. Walio na Kazi wasi jivune maana ni neema ya Mungu. Kuna watu wengi wanao kuwa na vyeti vikuu na ikili nyingi sana ila hawana kazi. Yule ambaye amekwisha pata kitu asimucheke yeye ambaye Mungu haja mukumbuka. Asante sana.
Camkanlah ini baik2 bhw orang Kristen di negara mana pun ia tinggal dan hdp selalu membawa terang Tuhan Yesus Kristus kepada semua org melalui lagu-lagu Rohani. Kiranya semua bangsa di seluruh dunia ketika mendengar lagu Rohani yg dinyanyikan olh orang Kristen mereka bertobst & percaya kpd Yesus.
I am not Kenyan but I loveeeeeeee Kenyan catholic music. I love playing them especially after a stressful day at work. Very colourful and beautiful language. I hope I will visit Kenya one day and attend your high mass. Well done guys, I love you all.
Hakika yote tunayo ya Ona ni neema yake Mungu, na Neema yake yatosha kwa maisha yetu apa chini ya jua. Na tunaweza yote katika Kristo atutiyae Nguvu De la part de JULYAM ❤️
Mungu hawapungukii waja wake ubunifu na sauti nzuri waja wake katika kumsifu kwa nyimbo... Ooo mungu wazidishiee waja wako yote haya. Ni wimbo wenye mdundoo mzurii. Kuryiryiii.. Hiki ni kigelegele cha kichagaaa
Kuna ule wimbo wao mwingine mzuri sana waliimba wakiwa wamevaa kitamaduni, una maneno ndani yake "Bwana atatoa kilicho chema, na nchi itatoa mazao yake,"
As an African man, before even reading the comments I would like to convince myself that the translation of the song might actual mean the love of God or the grace. I stand to be corrected, I'm from South Africa 🇿🇦. The choir is spot on ❤❤
A song that draws us back to God as the source of all. Let us learn to trust in God always and not in our own strengths. To God be the Glory and Honour.
ANNA MONDO The song is talking about the things we do and have received just by God’s grace. As well as urging us to sing him praise and be thankful because he was,he is and will forever be our everything.
Merci beaucoup pour cette belle chanson, que Dieu vous visites , qu'il vous procure d'autres inspirations. Soyez béni dans le nom de Jésus Christ. Merci pour le sourire.
ni mwembo usioweza kuchuya bali kudumu daima. tumshukuru mtunzi na wote waliomshauru au kumuongezea na kumpunguzia mambo fulani katika utunzi wake. wote walioimba, wote walio record, kwa Utume wao mwema kwetu. , ,IMGI AWABARIKI AMINA
Please support: www.patreon.com/user?u=77044884
Jamesi tenyange
@@jamestenyange8939 acc lol0 on nook í
@@jamestenyange8939 😂❤
@@jamestenyange8939❤❤❤❤❤❤❤❤
Sebep
Kama unaamini Mungu wetu halari gonga Likes kma zote🇧🇮
2024 am watching hakika ni neema za Mwenyezi Mungu🙏
Sure to a 2024 full of Gods Grace and hearts full of gratitude
Hakika ni mwenyezi mungu
If you believe it's God's grace plz put a like 😊
Absolutely! It’s our Creator’s Grace.
Ni neema za mungu kila wakati❤❤
Nafurahi sana kuona vijana kama hawa wamamuimbia bwana jamani asante Mungu kwa hazna ya vijana Amina na sisi vijana wengine tuige mfano waoooo nawapenda sana wote
🙏🙏❤️
Aya
n neema zake mwenyezi mungu 🙏🙏wale mnatizima 2024 wapi likes
Naupenda Sana unabariki
Jameni wimbo huu una uvuvio wa kipekee , nina upenda sana tena sana. tangu ni meujuwa ninajisikia kabisa nifuraha ya ajabu moyoni mwangu. wakati ni tafika tanzania ya mara ya kwanza nitajihidi ili tuwe pamoja sote.Asanteni sana kwa utungaji wa huu wimbo MWENYEZI MUNGU awawezeshe kwa yote wa pendwa. Mimi ni BAHATI RUBESHUZA Nkulwe, ninaishi kongo ndani ya mji Wa BUKAVU
Ni kwa neema tu Tanz🇹🇿ania tumevuka salama katika kipindi hiki cha CORONA , siyo kwa uwezo wetu. Tunasema Asante Mungu wetu wa mbinguni.
Mungu ibari,i Tanzania
Mungu ibariki Afrika 🇹🇿🇹🇿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Amen
Amina kweli ni neema
Hata tusiokuwa Rc tumependa,unapoona kundi la vijana Kama Hawa wanaweza kutumia muda kumsifu Mungu unashukuru kwa kusema Wazazi wamefanya sehemu yao,hongereni
Waoooh ni neema kweli za Mwenyezi Mungu!!! ....very amaizing ....I'm proud to be Catholic
Listening to Catholic songs is real rewarding and blessings
Catholic songs always. Bless me
Na
My ancestors are from Africa I am so proud of every bit of it, I am in love with their culture as well.
Nguvu vijana, neno la Mungu ni chakula cha Roho. Mtu ambaye hasemi chochote juu ya Mungu, huyo hana chacula cha Roho. Nakuombeni kwa msirudie nyuma katika hiyo khazi ya kumsifu bwana Mungu wetu, AMEN!
Et en cor cette shanson sa ma grâce dans ma vie que dieu te bénisse.
Ni nyimbo nzr sana iliyochezwa kitamaduni hakika kwel ni neema zake mwenyezi mungu tunakuomba mungu utupatie neema zako Katika Maisha yet thanks God for every thing
Pokeeni neema hiyo kweli Waumini waMungu
@@lukatairo6054 9v
Kama wewe ni m RC gonga like hapa
African people have gifted voice very nice from Philippines
Après 8 anns je. Regarde la même vidéo
Seigneur jésus à vous la gloire
Merci pour tout
Naupenda wimbo huu.
It makes my catholic so beautiful.
It reminds me of the days nilipokua Tanzania.
Ndugu zangu hapa Zambia nawaonesha wanavioimba waki Tanzania.
Nadhani kiswahili changu kimenyooka.
Habari ya Zambia, msiachilie nchi wa China waivamie na kuwatawala. Chungeni uchumi yenu kama waAfrika.
Mungu wetu ni mwema. Sa grace me suffit. enjoying this song in Abidjan.
Naupenda sana wimbo huu. Ni wimbo wa mashujaa kwa kuhimiza watu kujuwa kutumika huku tuki juwa kwamba sote tuko sawa mbele za Mungu. Walio na Kazi wasi jivune maana ni neema ya Mungu. Kuna watu wengi wanao kuwa na vyeti vikuu na ikili nyingi sana ila hawana kazi. Yule ambaye amekwisha pata kitu asimucheke yeye ambaye Mungu haja mukumbuka. Asante sana.
Mungu awabariki sana maneno mazuri sana katika wimbo huu ❤
Mmmmmh ni neema zake Mwenyezi Mungu walai
Camkanlah ini baik2 bhw orang Kristen di negara mana pun ia tinggal dan hdp selalu membawa terang Tuhan Yesus Kristus kepada semua org melalui lagu-lagu Rohani. Kiranya semua bangsa di seluruh dunia ketika mendengar lagu Rohani yg dinyanyikan olh orang Kristen mereka bertobst & percaya kpd Yesus.
Ama kwel nyimbo hii ni nzuri sana na una fundisha
Hongereni sana wanachuo UDSM kwa album yenu nzuri, nawapenda sana barikiwe sana.
I am not Kenyan but I loveeeeeeee Kenyan catholic music. I love playing them especially after a stressful day at work. Very colourful and beautiful language. I hope I will visit Kenya one day and attend your high mass. Well done guys, I love you all.
This choir is not from Kenya. This is from Tanzania.
@@rajopro I stand corrected. Well i love it either way.
This is Tanzania
@@rajoprotukifika Kenya nitakujulisha.
Welcome
Ni Neema zake Mwenyez Mungu kweli ndo maana niko hai mpk Leo 2021 natazama hii video 🙏🙏🙏🙏🙏
🤦🏻😥😥who else listen this song 2020...na Anajua n neema....song ya kufunga mwaka tena safiii
Aksante kwa nyimbo hizi. Sifa kwa Mungu
Watching it from Amsterdam Netherlands....where are Kenyans watching it 2020. Africa my colour
Amina Kazi Nzuri sana wimbo ni mzuri saana Mungu awabariki saana na endeleeni kumsifu kumtukuza Mungu kwa uimbaji maana kuimba ni kusali mara mbili🙏🙏
Nyimbo nzuri xanaàa kweli Neema ya MUNGU mwenye xauti na amwimbie bwanaaa 🙏🙏🙏
Huwa sichoki kuusikiliza huu wimbo...u did a good job.. fantastic song
Amen
Amen...
Aamena Wana wa mungu
I like it NEEMA.....KEEP IT MY BROTHERS AND SISTERS YOU MADE ME TO BE A PROUD A CATHOLIC.....NEEMA ZAKE ZA MWENZI MUNGU
Naipenda saana hii nyimbo Mungu awatunze kwa Neema zake Mungu
Hakika ni kwa neema zake mungu...wimbo mzuri ambao huchoki kuusikiliza
ni mimi wakwanza ku watch ❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉😊😊the song
just came across this song,its wonderful n sweet,.playing again n again ,from kenya,shukrani ndugu zetu
N neema ya mungu Aki napenda hii song👍
Ni Neema zake Mungu, mbarikiwe sana🙏🙏🙏🙏🙏
When Africans sing to praise God, even the heavens pause to listen to the melodies.
2021 na bado tuko hapa,,bila shaka ni NEEMA YA MUNGU
Amina
God bless African what a lovely song am proud to be African
Amen my dear ❤️✨❤️
By grace of God we will be out of every difficult situations
Hakika yote tunayo ya Ona ni neema yake Mungu, na Neema yake yatosha kwa maisha yetu apa chini ya jua. Na tunaweza yote katika Kristo atutiyae Nguvu
De la part de JULYAM ❤️
Hakika n neema zake mungu kuwa hai had sas
C'est un réel plaisir d'être vu et de contempler la magnificence de Dieu
Mubarikiwe sifa kwa mungu kwa neema tume okoka tunakula tunaishi
Mungu hawapungukii waja wake ubunifu na sauti nzuri waja wake katika kumsifu kwa nyimbo... Ooo mungu wazidishiee waja wako yote haya. Ni wimbo wenye mdundoo mzurii. Kuryiryiii.. Hiki ni kigelegele cha kichagaaa
I real love hear the lerics though l don't understands God bless the choirs.
Wimbo mzuri sana unanibariki kila siku napousikiliza😍
Kuna ule wimbo wao mwingine mzuri sana waliimba wakiwa wamevaa kitamaduni, una maneno ndani yake "Bwana atatoa kilicho chema, na nchi itatoa mazao yake,"
Kwa kweli ni neema yamungu 🙇🙇🙇
May God bless Africa much love from Gambia 🇬🇲
Wow nice song like it for those who are still watching 2020
Mungu awape kibali mbele yake na mbele ya watu mwuwe wa wavuvi mwema Injili iendelee na waasa vijana wenzenu wafuate hatua zenu HONGERENI
ni neema is a wonderful song lik never b4 oh my gash???
Kwaneeema, kila kitu ni kwa neemaza mwenyezi mungu. Nakuomba nakuomba endelea kuonyesha neema yako kama vile hawa wanakwaya wanavyo kuimba.
As an African man, before even reading the comments I would like to convince myself that the translation of the song might actual mean the love of God or the grace.
I stand to be corrected, I'm from South Africa 🇿🇦. The choir is spot on ❤❤
Song means Grace of God. You are very right Collin
Grace of God
Exactly
Aki ni kwa neema kweli wimbo uko juu wanibariki Sana naipenda kuskiliza kila wakati congratulation
Whaaaaa,such anice song,Ni neema ya MUNGU
A song that draws us back to God as the source of all. Let us learn to trust in God always and not in our own strengths. To God be the Glory and Honour.
Who watch this in this time of stay home in corona virus time give me like
Nice
Me
Sou angolana gosto de músicas shalil podem me falar o que significa está musica
i hafe never cn a choir lik this one in my life ilik this very much!
Eboana magnific louange et bien d'ancrer amen alleloua Gloire a Dieu merci Bravo Soyez Benis Victoire de jesus amen 💋❤️🌏🇧🇯🇨🇭🙌🙏👏👍
I DONT UNDERSTAND THE SONG BUT IT BITES MY HEART ❤️ PLEASE KINDLY SEND MORE TO ME WELL DONE 👍 EXCELLENT SONG
ANNA MONDO
The song is talking about the things we do and have received just by God’s grace. As well as urging us to sing him praise and be thankful because he was,he is and will forever be our everything.
Mungu awabarik kwa huu wimbo
Wow am never tired of this song bravo guys .....am also a choir member somewhere
Huu wimbo ni mzuri lakin kwa maisha ninayoyaisha ununipatia farajs kubwa ninapousikiliza
C'est ça qui fait la fierté de notre église. Louer notre Seigneur avec ferveur ! 🎉🎉❤
Mungu abarikiwee amen 🙏🏻 🙌
Ni kwa neema za mungu mim na familia yangu tumefika 2019, asante mungu
Babalao
Nimetafuta huu wimbo Sikh nyingi but at long last I got it very nice song a lot of creativity and enjoying continuous air play here in nairobi
I like the song...how beautiful the Church is ..
Mungu mwenyezi watunze waimbaji Hawa na kuwabariki kipimo Cha kujazwa na kushindiliwa kwa kweli najiskia furaha nkisikiliza wimbo huu
Chrétien catholique un jour, chrétien toujours. Comme elle est belle la chanson.
C'est vrai que la chanson est très belle. Elle dit que c'est seulement par la grâce divine que nous faisons tout
Nice song...Neema ya Mungu...Asanteni sana Dar.
Many thanks to you all - choir, dancers and musicians. What a blessing you are to the world!
Mbarikiwe,kwa kutangaza neno la Mungu kupitia nyimbo,na mko sawa, mbarikiwe
Yeye ndie ngao yetu
Yeye ndie nguvu yetu
Yeye ndie shibe yetu
The song really blesses ,big up!
Anayeutazama hpa mwaka 2020 ubarikiwe mpendwa🙏
🙏
Amina
Epaineto malulu
amen sifa na utukufu ni kwa bwana Yesu atupaye uzima barikiwa sana wanakwaya
Mubuzima butunganijwe bukuricyiye Imana ibyukora bigaragara neza amagambo aturuka mumpumeko nziza asana imitima.
Merci Jésus Christ que la gloire Du seigneur soit rendu
Merci beaucoup pour cette belle chanson, que Dieu vous visites , qu'il vous procure d'autres inspirations. Soyez béni dans le nom de Jésus Christ. Merci pour le sourire.
Asanteni sana.
mchana wangu umekuwa wa neema kupitia wimbo huu.
Moyo wangu huburudika sana nikiusikiliza wimbo huu.Big Up sana
I smiled throughout the whole video although i don`t understand the lyrics. Africa I love you.
from Zimbabwe
🥰
main theme is "by the grace of God"...
@@cate774 thank you dear
Ni neeema zake mwenyezi Mungu..mbarikiwe sana
I'm at peace nkiskiza nyimbo yenu, keep up na mungu awabariki sana.
ni mwembo usioweza kuchuya bali kudumu daima. tumshukuru mtunzi na wote waliomshauru au kumuongezea na kumpunguzia mambo fulani katika utunzi wake. wote walioimba, wote walio record, kwa Utume wao mwema kwetu. , ,IMGI AWABARIKI AMINA
Ubarikiwe sana Innocent
Asante Mungu kwa yote ipo vizuli kweli kweli
Nani anaangalia wimbo huu mzuri kwa mwaka huu 2020
Am here
Mimi tena najivunia kuwa mkatoliki
Na Mimi
Isacka
@@emmanuellameck4996
Ku ishi ni kwa neema zake mwenyezi mungu
Wow that's nice.,sauti zenu zinafurahisha wengi, I'm one of them..keep it guys..mungu anapenda hivyo munavyomsifu...
My morning starter. This song blesses my morning. Thank you Lord.
Wimbo huu unanipa kumbukumbu za mtangazaji mahiri sana na mwenye tajiriba, SI haba , Immaculate Wesonga. . Anaupenda. Unanipendeza pia.
Kazi njema vijana wa chuo kikuu cha Dar es salaam. Mungu awalinde na mahasidi Siku zote. 🙏
Still in 2020 wapi like zangu kama bado imekupendeza
Wow huu wimbo unaweza kweli. Mbarkiwe saa. 🙏🙏🙏
Naomba nota za huu wimbo tafadhali, kwaya yetu inauonea kiu sana
❤ata mimi ni kijana ninae taman maisha kama ya hawa vijana
Bravo superbe mélodie merci de la France vive l'Afrique