Kama kuna kitu ninacho kichukia nikuutoa mwili wangu kuwa kafara kwaajili ya kazi sio mara moja ama safari mbili nimeacha kazi baada yakuona kuwa eti boss ninae mfanyia kazi nikiwa kama manager wake kuona kuwa anao uwezo nanguvu za kunitimia apendavyo nakunipa vitisho aina mbali mbali kuwa etinimhudumie kiyeye ili nidumishe kazi niendelee kuwa na maisha niyapendayo kwa huo ujinga jibu langu moja tuu mimi sitaki kazi awatafute watakao mkubalia kutumika kingono ila sio mimi siwezi kubali nile leo wakati wengine wanao mtegemea wanalalia njaa ama hata shule hawasomi kisa mimi hio ni bg no kwangu wacha nile jasho langu kwani ndilo lenye kunipa raha na sio hela zakuongozwa na tamaa ya kuishi kama mfalme kesho ni aibike acha nizoee kuhangaika
Ila kazi zingine nama boss wengine ni keroooo yanini kumuajili mtu na wakati yupo na qualification zake nzuli na CV yake ipo sawi harafu boss anaanza kumupa vitisho vyakumuachishq kazi nawakati anavigezo vyake muhimu, ila ODAMA alikuwa nabahati japo kuwa kutowa mwili wake ili apate kazi sijapenda kabisa ila yote kwa yote simulizi ni tamuuu😂😂😂😂😂
Ooooyeeee mashabiki WA Lucas mpoo mnaendeleaje na musimuliaji wenyu Lucas lumbasi 🎉🎉🎉naomba like zenu❤❤❤❤❤👍 tuwendelee kusikia sauti ya lucas❤❤❤
Ni mimii Lucaaaasi Lumbasii😂😂😂😂😂😂
Kabsaaa tuko pa 1 kusikiza sauty ya kka etu Lucas Lumbas tukizid kuenjoy🎉🎉🎉🎉Mungu ambariki sana Lucas Lumbas
Thanks kaka lucas kwa simulizi yko
😂😂😂😂😂 daa! nisichokijua kuhusu shetani,sijui kama ni mwanaume au mwanamke 😂😂😂😂😂😂
Haifai kutoa mwili ❤❤❤ kwaajili nakazi
Nikwel wala usisem mn mwish wa sku unapata hma 😢😢😢
Kazi nzuri Kaka lumbas,much ❤,listening from Kenya 🇰🇪.
🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤ Lucas pokea Maua yako hakika ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
endelea kutupa utama wa simulizi , ila kama kuna wanaume kama wegne kama bos wa odama mungunawabariki kila hatua za maisha yaooooo!
Kaka lucas simulizi zako nizuri sana unastahili maua yako tunapnda kusikiliza smliz zk 🎉🎉🎉🎉❤❤❤😊
🎉🎉 Anno lumbasi nakupenda bure
ODAMA pokea maua yak❤❤🎉pamoj na kaka lucas
Nakupenda sana Kaka
Asante Sanaa Sanaa kwa story nzuri
jaman lucas kama mafunzo umesona naukaelewa unanikosaha e🎉🎉🎉
Sijachelewa sanaaa achanikae mkao wakula nijue kilicho jiri❤❤❤❤❤❤❤
❤❤❤❤🎉🎉
Mm upande wangu siwezi uzautu wangu kisa kazi hapana ugumu wakukataa na mwili wangu niliishia kufulia watu nakuchoma viazi Karai hadi nikapata passport nikasafiri sahii natumikia warabu kaxi yangu naipenda kweli kweli..
Nimewai leo sijachelewa sana ❤❤❤❤
Napenda sana simuliz zako lucas lumbas
Unasaut km ya stewat
Waoooooh 🎉🎉❤❤maua yako
Lucas naomba namba ya stewat jmni😂😂😂kafanya pka nimevunja sahani na maneno yke daaah😂😂🤭 eti wpi cjashika🤦
Anadharula au anaenda kwa mwanamke mwingine 😂😂😂😂
Lucas unaweza bwana🔥🔥👑👑👑💕💕💕❤❤❤
Sijachelewa sana 😂😂🎉🎉🎉🎉
Ivi huwa unavosimulia kulia lumbasi unalia kweli, ujue mpaka namm naliaga 😂😂
Angalau nimechangamka sai
Wa mungu yeye hanahishima asente Sana Lucas lumbasi
Anko Lucas nakupenda babaaa
Kama kuna kitu ninacho kichukia nikuutoa mwili wangu kuwa kafara kwaajili ya kazi sio mara moja ama safari mbili nimeacha kazi baada yakuona kuwa eti boss ninae mfanyia kazi nikiwa kama manager wake kuona kuwa anao uwezo nanguvu za kunitimia apendavyo nakunipa vitisho aina mbali mbali kuwa etinimhudumie kiyeye ili nidumishe kazi niendelee kuwa na maisha niyapendayo kwa huo ujinga jibu langu moja tuu mimi sitaki kazi awatafute watakao mkubalia kutumika kingono ila sio mimi siwezi kubali nile leo wakati wengine wanao mtegemea wanalalia njaa ama hata shule hawasomi kisa mimi hio ni bg no kwangu wacha nile jasho langu kwani ndilo lenye kunipa raha na sio hela zakuongozwa na tamaa ya kuishi kama mfalme kesho ni aibike acha nizoee kuhangaika
Nzuri sana 🪑🎧
Tulikumis Anko Lucas 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
Mjomba lukas😊
Niliwamisi piaaaa😊😊😊😊
❤❤❤❤
Wa pili🎉🎉🎉
Kaka bigapu sana❤
Adama yko wap lucas😂😂❤
Tuendelee kusikiliza, kwanini akosekane😅😅😅
Mmh jamani wacha tuone
😂😂😂eti hajakanyaga mtu 😂😂 nyie simulizi tama sana wallah
Mashabik wenzangu mpoo nawapenda pamoja na kaka Lukas lumbas
Tupoo
Tupooo
Ila wanaume wana maneno sijui hata wanayapangaje
Thanks sana ❤❤❤🎉🎉mauwa yako Lucas lumbasi
Santeeee🎉🎉😊😊
Tupo
🎉🎉🎉
Thanks bro nilikua naboeka
Wa 11❤
Jaman palt 2 siion
Ila kazi zingine nama boss wengine ni keroooo yanini kumuajili mtu na wakati yupo na qualification zake nzuli na CV yake ipo sawi harafu boss anaanza kumupa vitisho vyakumuachishq kazi nawakati anavigezo vyake muhimu, ila ODAMA alikuwa nabahati japo kuwa kutowa mwili wake ili apate kazi sijapenda kabisa ila yote kwa yote simulizi ni tamuuu😂😂😂😂😂
Watu hamlali
Congratulations 🎇🎇🎇👏👏👏👍 good job ubarikiwe sana kaka Lucas Lumbasi mjengoni ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
Good❤
Asante ❤❤❤
Sehemu ya pili inatoka lini
Lucas yani saut😅yako tuu unamaliza shida ya mtu
Hope sijakanyaga mtu😂😂😂
😊😊😊
Aliekanyagwa kaamua kukaa kmya tu😅😅😅
@@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI yupo tayari kuumia ilimradi tu asukize wa kwanza🤣🤣🤣🤣🤣
Tuko powa habibty vipi na wewe ?❤❤❤
Niko swadaktaaaa basaaaaa😊😊😊😊
Mauwa yako upewe ❤❤❤
Alali mtu apa
Weee jamani 11 min nanimechelewa
Lucas thanks God bless you
Amin
Amen😊😊😊😊
❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Kesho useme tanesco walai nakufata uko😂😂
😂😂😂
❤❤❤❤😂😂🎉🎉🎉🎉🎉😢
❤️❤️❤️❤️❤️❤️
🎉
Hey
👊👊👊👊👊💪💪💪💪💪💪
Kaka JAMBAZI kajisalimisha,ila yeye ni mtoto wa Mungu 😂😂😂. Asante sana Lucas Lumbusi kwa burudani hiii.❤❤🎉🎉Big up sana
wacha nichili kupata burudani KAMILI
🎉🎉🎉🎉
❤🎉
Kila mwanaume wa kwenye simulizi ni hb?😂
😂😂😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣
ᴺᵈⁱᵒ ⁿᵃⁱⁿᵍⁱᵃ ʷᵃᵏᵘᵏᵘ ᵏᵘˡⁱᵏᵒⁿⁱ umu😅😅
❤❤❤
❤❤❤🎉🎉
❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
🎉🎉🎉🎉🎉
❤❤❤❤❤
❤❤❤
❤❤❤
❤❤❤
❤❤❤❤
❤❤❤❤
❤❤❤❤
❤❤❤❤🎉
❤❤❤❤❤
❤❤❤❤❤❤
❤❤