Umenena vema, wanaodekeza watoto hawajui mpaka pale wakishuhudia mbele watoto wamekuwa watu wazima hawajui kitu. Nidhamu inatengenezwa.!! Asante Mchungaji.
Hakika mimi mwenyewe natokea mkoa wa Njombe. Ningechagua kuota moto. Asante wazazi wetu kwa malezi yenu Mungu awabariki. Nasi tutawalea vivyo hivyo watoto wetu.
Toka Makete mwezi wa tano hadi wa tisa ningeota moto tu, asante baba na mama mlinilea ipasavyo kwa fimbo na kwa maneno. Sasa naifurahia kazi yenu kwangu.
Nakupongeza kwa mafundisho mazuri ila kwa huo ukweli lazima wakupige wanadamu hasa walio juu Yako ila usiogope maana walianza kwa Yesu wanamaliza kwetu ili tufike kwa baba salama jipe moyo
Haya ndio mahubiri yanayotakiwa,mueleze mtu wazi ili ajitambue itadaidia kuponya taifa na kanisa,japo tumechelewa.Nashukuru kwa msamaha wa baba askofu sasa Mch rudi na nguvu mpya,ari mpya,nia mpya na upako mpya 🙏
Haki ya mungu mchungaji umenena mm mmoja wapo niliazibiwa mbele ya wanafunzi wote mstalini nilikiona cha mtema kuni kwakweli ckurudia. Tena na huwa nawaambia wanangu venye nilikuwa so. Sipendagi ujinga nachapa
Niliendaga madale kwenye nyumba moja nilijuta Jamani Yule mtoto mpaka alivunja glass niliyowekewa maji mama ana kazi ya kusema ndivyo alivyo yaani ni mtundu Sana nillitamani wanipe niende nae nikakae nae week tu
Jmn hawa wazazi wa siku izi uwiiiiiii nyie nakibaya wakiwa na mfanyakazi nyie acheni, Baba umesema ukweli mtupu barikiwa sana ❤🙏🏽
Umenena vema, wanaodekeza watoto hawajui mpaka pale wakishuhudia mbele watoto wamekuwa watu wazima hawajui kitu. Nidhamu inatengenezwa.!! Asante Mchungaji.
I always appreciate my Mom! Nakupenda Mama umenifanya mtu!
Mungu akubariki sana Mchungaji Elion kwa maji unayomwaga kwenye masikio yetu.Mungu Akutunze
Ubarikiwe baba Mtumishi wa Mungu, umenigusa sana na mahubiri , maana kipindi hiki kuna mmomonyoko wa maadili.
Mtumishi Mungu akubariki uendelee kutoa mafundisho ya namna wazazi tunavyotakiwa kuwalea watoto wetu.
Asante sana Mch. Mimi mwenyewe nilikula bakora za kutosha na baba ni mchungaji. Mungu akubariki ktk huduma yako.
Pumzika kwa Amani Mama angu kwakweli bakora zako ndo zinaniongoza kwa hii dunia
Appreciate pastor kimaro be blessed again 🙏 🙌 ❤
Amen baba💓💓💜
Tuliopata bakora toka kwa baba na mama TUJUANE
Nip0 jamn
Mimi hapa
Nipo niliwahi kufinywa sababu ni kufichua mbege iliyofichwa
Uwii kweli Mungu awatunze mamangu na kaka yangu maana baba alifariki nikiwa na miez 8 lkn walihakikisha ninasimama
Niko hapa. Za baba ziliunguza kama moto wa gesi. Asante baba.
Asante sana mtumishi wa Mungu, sema tupone baba!
Ukweli unaongeaga ukweli baba , msumari wa moto huo!..wanajikuta wanajua sana kuwapenda watoto wao.
Salute kwa baba na mama bakora zenu zimenifanya niwe mtu
Mungu akubariki mtumishi wa mungu umenikumbusha mbali sana
Nimasomo mazuri mtumishi Mimi Namshukuru Mungu kwa bakora alizonichapa mama angu Estruder Mtangi mpaka hapa nilipo.
Hakika mimi mwenyewe natokea mkoa wa Njombe. Ningechagua kuota moto.
Asante wazazi wetu kwa malezi yenu Mungu awabariki. Nasi tutawalea vivyo hivyo watoto wetu.
Toka Makete mwezi wa tano hadi wa tisa ningeota moto tu, asante baba na mama mlinilea ipasavyo kwa fimbo na kwa maneno. Sasa naifurahia kazi yenu kwangu.
Ubarikiwe mtumishi, yaani Mungu akuinue kwa viwango vyake! Uzidi kupewa mafunuo mengine
Sema sanaaaa mchungaji kimaro mungu akusaidie sana kwa kuwaelemisha watoto wetu ambao ni kizazi cha sasa hivi kinacholea watoto wao vibaya
Mungu akubariki Sana mtumishi nabarikiwa na mahubiri yako.
Mungu akubariki mtumishi
👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿 Tell them.Thank you for the teachings God bless you mightily
Nakupongeza kwa mafundisho mazuri ila kwa huo ukweli lazima wakupige wanadamu hasa walio juu Yako ila usiogope maana walianza kwa Yesu wanamaliza kwetu ili tufike kwa baba salama jipe moyo
Asante Kwa somo lililonirudisha mbali Sana. Asante wazazi
Barikiwa sana mtumishi mungu wa mbingun azidi kukutunza
Sijawahi kuacha kukuelewa Mtumishi wa Mungu ,Mungu ameweka Neno lake kinywani mwako
Yaaani nishafinywa Mimi Hadi nikaenda kulala kabulini kwa Baba Asanteeeeee Mama mwema
Mchungaji unaongea kitu ambacho mafanyiwa Na watoto wa boss wangu mungu akuinue kiwango chajuu 🙏❤️
Ubaikiwe sana mtumishi wa mungu, tuna tamani uje na mwanza
Hongera pastor mungu akuinue zaid pia aendelee kukupa ujasir zaid uendelee kutusaidia
asante Rev. asante napata mengi, mimi sio mluther ila nikija lazima nije niabudu kanisani kwako.
Hakika mi nilisha chapwa mbele ya wenzangu mstarin .na sikurudia tena utoro had leo mungu ni mwema Nafurahi malez niliyo pewa na mama🙏
Haya ndio mahubiri yanayotakiwa,mueleze mtu wazi ili ajitambue itadaidia kuponya taifa na kanisa,japo tumechelewa.Nashukuru kwa msamaha wa baba askofu sasa Mch rudi na nguvu mpya,ari mpya,nia mpya na upako mpya 🙏
Mungu akubariki sana kwa ujumbe wa kulea watoto
Barikiwa papa pastor ukweli utazidi kuwa ukweli
Asante sana mchungaji simo safi sana barikiwa sana
It's totally true Dad , Yani nimekupenda! I agree with you 💯%
True
Asante yote haya tumepitia mungu mbariki bibi yangu kwamalezi bora
God bless you man of God
Ahsante Mchungaji Kimaro sema usiogope sema watoto wetu wa sasa hivi ndiyo malezi yao
Mungu akubariki sana huwa nabarikiwa na mafundisho yako mtumishi
Mungu akubariki Mchungaji kwakutohubiri ujinga hata Mimi nimebarikiwa
Mchungaj unanibariki sana
Mungu akuzidishie karama hyo
AMEEN AMEEN servants of God Our heavenly father bless and preserves you Baba
Baba umejua kunifundisha, Mungu akubariki
Asante Mchungaji ni mafunzo mazuri sana
God bless you Pastor
Ubarikiwe sana kwa ujumbe mkubwa
great teachings.
🙏
Ni kweli kabisa Kuna nyumba zingine ukienda unatamani uage muda huohuo. Watoto wa siku hizi Ni shida! Unatamani kumnasa kibao.
Mtumishi tunashukuru ila wazazi tunachangia sana kulea watoto vibaya kisa utandawazi,Cha msingi wazazi tulee watoto kijeshi azabu apewe inayostahili
Sure pastor this is what we're going through Saudi Arabia mtoto atatupa kila kitu everywhere since there is workers
Nakuelewa sana Mchungaji Mungu akuinue zaidi
Ubarikiwe sana Mchungaji Daktari Kimaro
Good message
Amina sana ubarikiwe sana
Saf sna baba Mchungaj ubarikiwe sna kwa mafundisho yko mema
Mungu akubariki kwa funzo mchungai
Very true Pastor
Waambie babaaaa. Mimi ndo maisha niliyoishi👍👍👍👍
Ubarikiwe
Kweli unaleft mwenyewe Mungu awabariki mama zetu
Tuambie mtumishi,Mungu akubariki
Asante kwa ujumbe
Asante mtumishi.
Asante sana baba na mamaangu
Ubarikiwe sana mchungaji
Ubarikiwe sana mchungaji kwa kutoboa siri miongoni mwetu
Amen.nahisi kubarikiwa
Mch.Mungu akubariki sana
You parent take that challenge to change the way your living with children... Thanks my self I have learned a lot thank thanks thanks
Asante kwa walezi wetu waliotufundisha
Umenikumbusha pastor
Barikiwa sana mchungaji
Hapo umenena mtumishi!nimebarikiwa sana.
Uko sawa kabisa Mchungaji ELIONA MUNGU AZIDI KUKUBARIKI SANA.UNA KIPAJI CHA MAHUBIRI.
Nabarikiwa sana na mafundisho Yako Baba Mchungaji!! Mungu akubariki Sanaa
Powerful message
Kwakweli ujinga hauondolewi kwa maombi kwa fimbo
Well said Mchungaji .
Asante mama kwa kunilea ipasavyo,r.i.p mamaa
Very excellent in Jesus Christ 😇😇😇🙏🙏🙏
Mafundisho wazi wazi haya...mtumishi 🇰🇪 twakupenda bure.
Thanks for good teachings
Umenena na Mungu Atuhurumie Sana
Uko sahii mtumishi bakora zinasaidia sanaa
Tupo jamn,🙏🙏
Mtumishi mwenye maneno ya maono ya kweli
Be blessed our parents
😢😢😢 lakini mbona watoto wetu sasa wamekuwa watukutu hata tukiwachapa
Nakuelewa sana bb mimi wa miaka 50 now.Ubarikiwe
Unanibariki sana mchungaji
Mungu anisaidie kuwalea inavyopasa
Leo umepiga penyewe, kiukweli malezi ya wazazi ni chanzo cha maadili mabovu kwa watu,
👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾 it is true
Mchungaji ubarikiwe sana
Mama Munuo Mama yangu heshima kwako Mama Yangu
Ubarikiwe
Haki ya mungu mchungaji umenena mm mmoja wapo niliazibiwa mbele ya wanafunzi wote mstalini nilikiona cha mtema kuni kwakweli ckurudia. Tena na huwa nawaambia wanangu venye nilikuwa so. Sipendagi ujinga nachapa
Ukweli baba mungu akubariki sana baba
asante mchungaji kwa kutukumbusha
Kweli mchungaji
Niliendaga madale kwenye nyumba moja nilijuta Jamani Yule mtoto mpaka alivunja glass niliyowekewa maji mama ana kazi ya kusema ndivyo alivyo yaani ni mtundu Sana nillitamani wanipe niende nae nikakae nae week tu
Ungemchapa
Powerful 💪
Mungu akubariki nabarikiwa san kwa mahubiri yako
Nabalikiwa Sana
Shida ni wazazi malezi mabovu hakika inaudhi sana sana kweli asiyejua kupata kapata. Ninachefukwaga sana
Mimi nimekupenda Sana ubarikiwe mafunzo yako mazuri