Kwny uislamu mwanamke kama hujamuoa hata ukifa hana chake...Ila kama umemuoa ukifa na ukawa na watoto yeye anapata 1/8 ya mali ya mume, Ila kama mume (Marehemu) hana watoto ndio huyo mke anapata 1/4 ya mali ya mume....Ni hivo
Mimi ninamtazamo tofauti kidogo. Hakimi alichokifanya siyo jambo sahihi, hususani linapokuja suala la ndoa. ameoa mwanamke, mpaka anazaa naye, huyu mwanamke hajui account ya mumewe ilisajiriwa kwa Jina gani? unaishi na mke, kabla hujamuoa alikuwa na mipango yake juu ya nini afanye baada ya muda fulani afike wapi? alipokutana naye mwanamke kunabaadhi ya mipango yake ilitakiwa kusitishwa na kushare mipango na ndoto za mumewe, katika safari za soka kupanda na shuka walikuwa wote, furaha yao na huzuni walihuzunika wote, mpaka wakazaa mtoto. leo wanaachana mwanamke hana chochote? moyo wake, pendo lake, damu aliyoiacha kwa mtoto aliyomzalia, vyote havina thamani? kwahiyo kama huyo dada asingekuwa anajishughurisha na kazi zake, leo hii angewekwa wapi? tunaweza kufurahia lakini alichofanyiwa huyu dada siyo sawa, ni Unyama. Wamama wanamatatizo sana, hasa single mothers, mtoto anaoa ana mke na mtoto, kwanini usimuache akatengeneza FAMILIA yake. kwasababu mama aliachwa akalea basi anahisi anayo haki yote kwa huyu kijana. Hakimi anasulumiwa haki yake na mama yake kwa sura ya mama mzazi, mama husituki? huoni fahari ukimuona mtoto wako na mke wake wakiwa na furaha? wewe ni mwanamke, sawa kuona mwanamke mwenzako anafanyiwa hivyo? samahani ila Mwanamke ni mwanamke tu.
Ndo mana Bible imesema ishini Kwa akili na wake zenu..kuzaa sio ishu sanaaaa kikubwa mtoto atahudumiwa vizuri..wanawake wengi siku hizi hawana true love tamaa ya mali ndo imetawala,mtu anakubali kuolewa na anaigiza kukupenda mpaka huto amini ila yupo kwa ajili ya maslahi Ila kama mwanamke akiwa mpambanaji na mtafutaji hatopata shida hata akiachwa bila kitu ila kama ni goli kipa ndo kelele zinaanzia hapo
@@abdulazizmwipi9295 alikua mchezaji wa Arsenal anaitwa Emanuel ebue. Kama kumbukumbuzangu zikosawa ila jina alikua anaitwa Emanuel hilolamwisho kitukama ebue au edue kitukama wakatiule tulikua tunasoma kwamagazeti tuu
Nimefurahi mpaka nimefurahi tena🤣 Sasa Hakimi ili kumkomesha zaidi fungua kesi ya kudai malezi ya mtoto kwasababu hana uwezo wa kumlea. Ili akome zaidi akose Mwana na maji ya moto 🤣🤣
Mkiambiwa wanawake amkeni tutafuteni pesa zetu wenyewe tusiwategemee hawa viumbe mnaanza kutuona hatuna maadili lakn kiukweli dunia ya sasa mwanamke jitafutie usisubiri kupewa kila kitu matokeo yake ndo haya unataman mali ambazo zinatafutwa kwa jasho na mwenzako unataka kuziwekea makelele tafuta na wee ujue ilivongumu kuzipata ndo utakua na heshima
Lakini siyo sawa.. sisemi haya kwa sababu ni mwanamke No... huyo bidada piah ananafasi yake kwenye mafanikio ya huyo kaka... ko siyo fair alivofanya.... coz kuna pesa walitafuta wakiwa wote..
Nafasi gani Kwa nini unakimbilia kudai Mali baada ya talaka Ina maana ulipanga tangu zamaniEmanuel Eboue aliwafunza wengi huu ndio mtindo mpya unatufaa kuwapiga hawa Gold diggers
Hakimi alijua hili litatokea kutokana na tabia alixoonesha ,ikiwa mama atafariki Hakimi na ndugu zake na mume wa mamake ndio warithi Mali haikupotea ilihali ndugu zake watajua hilo watakua hawana esay
Uyu ndo kakamilisha ule msemo tuishi nao Kwa akili Safi Sana Mzee wa Cuba 👏
Ame tuheshimisha sanaa
Jombaaa yuko njemaa pasukwapasu akili nyingi sanaaa
Huyu dada nae alikuwa mama matamaaa, mhhhh....
𝐤𝐚𝐛𝐢𝐬𝐚 𝐚𝐬𝐞𝐞
safi sana hakimi allah akupe umri mrefu amiin
Kuanzia Leo naitwa Nassor hakimi
Safi sana wanawake ck hizi tumekuwa wa ajabu sana tamaaa nyingi
Congratulation brother Akimu
Safi sana, hii muisikie mnaofuata Mali na sio mapenzi. nimeipenda sana
Hakimi is a wise man 💪
anahitaji tunzo huyokaka mwanamke kilanga kwisha nani kama mama❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Mwajumaaaa✍✍✍👍
Na ww utaolewa mume wako atampa mama yake Mali zote yani badala utetee mwanamke mwenzio kuna kesho
@@damjuaji450Hata mama ni mwanamke mwenzenu.
na akatafute shamba alime kama kutafuta mali ni rahisi
Kwa mwanamke wa kizungu kufanyiwa hivi nimefurai sana wazungu wakiona mwanaume anapesa wanapenda divorce
Ilike it
Wanawake tamaaaa mbele kitu hujatafuta unadai
what a great tackle 😂😂 city boyyyy
Huyu ndio mwamba
don't make them to predict your next move😂😂
True 😂
Every man should register their wealth with their mother's name .that's the wise thing ..wives have become worse nowadays
Dem wa Hakimi Sasa hvi analia na Ile... Heeeeeh! Father Benard! 😂😂
😂😂😂😂😂
🤣🤣walabu wanakili duhh tujifunze kitu apo
Yuko sawa sanaaaaaa ni mwamba
😄😄😄😄😄😄😄 hakini kumbe masikini tumchangie hakimi Hana hata Mia huko mkewe kashapata hasara 😄😄😄😄 pumbavu zake
Kwny uislamu mwanamke kama hujamuoa hata ukifa hana chake...Ila kama umemuoa ukifa na ukawa na watoto yeye anapata 1/8 ya mali ya mume, Ila kama mume (Marehemu) hana watoto ndio huyo mke anapata 1/4 ya mali ya mume....Ni hivo
Wanawake wengi wanawazaga mali sasa hiyo fundisho
wampe ballan d or huyu Jamaa😊 as he is only player who dribble through divorce settlement 😂😂
Kabisa..!
Mtoto wamjini dada wamjini wamemalizana kimjini
KWANI MBOGA HAZICHUMWI,,AU MASHAMBA HAYAONI
Mimi ninamtazamo tofauti kidogo.
Hakimi alichokifanya siyo jambo sahihi, hususani linapokuja suala la ndoa. ameoa mwanamke, mpaka anazaa naye, huyu mwanamke hajui account ya mumewe ilisajiriwa kwa Jina gani? unaishi na mke, kabla hujamuoa alikuwa na mipango yake juu ya nini afanye baada ya muda fulani afike wapi? alipokutana naye mwanamke kunabaadhi ya mipango yake ilitakiwa kusitishwa na kushare mipango na ndoto za mumewe, katika safari za soka kupanda na shuka walikuwa wote, furaha yao na huzuni walihuzunika wote, mpaka wakazaa mtoto. leo wanaachana mwanamke hana chochote? moyo wake, pendo lake, damu aliyoiacha kwa mtoto aliyomzalia, vyote havina thamani?
kwahiyo kama huyo dada asingekuwa anajishughurisha na kazi zake, leo hii angewekwa wapi? tunaweza kufurahia lakini alichofanyiwa huyu dada siyo sawa, ni Unyama.
Wamama wanamatatizo sana, hasa single mothers, mtoto anaoa ana mke na mtoto, kwanini usimuache akatengeneza FAMILIA yake. kwasababu mama aliachwa akalea basi anahisi anayo haki yote kwa huyu kijana. Hakimi anasulumiwa haki yake na mama yake kwa sura ya mama mzazi, mama husituki? huoni fahari ukimuona mtoto wako na mke wake wakiwa na furaha? wewe ni mwanamke, sawa kuona mwanamke mwenzako anafanyiwa hivyo? samahani ila Mwanamke ni mwanamke tu.
Wazungu huwajui wewe anazaa nawewe kimipango mkakati unadhani wana akili kama zadada zetuhawa wavikoba. Kuna legend mmoja kutoka Africa alioa mzungu alikua mchezaji alivyo achsna namkewe alifilisiwa nawatoto wakawa niraia wahukohuko jamaa mbakaleo nimasikini karudi Africa hanakitu chezea mnjunguwewe
Ndo mana Bible imesema ishini Kwa akili na wake zenu..kuzaa sio ishu sanaaaa kikubwa mtoto atahudumiwa vizuri..wanawake wengi siku hizi hawana true love tamaa ya mali ndo imetawala,mtu anakubali kuolewa na anaigiza kukupenda mpaka huto amini ila yupo kwa ajili ya maslahi
Ila kama mwanamke akiwa mpambanaji na mtafutaji hatopata shida hata akiachwa bila kitu ila kama ni goli kipa ndo kelele zinaanzia hapo
@@DM_15 legend hyo anaitwa nan?
@@abdulazizmwipi9295 alikua mchezaji wa Arsenal anaitwa Emanuel ebue. Kama kumbukumbuzangu zikosawa ila jina alikua anaitwa Emanuel hilolamwisho kitukama ebue au edue kitukama wakatiule tulikua tunasoma kwamagazeti tuu
Enyi wanaume ,muishishi na wake zenu kwa akili 🏇🏇🏇🏇
😂😂😂 Hii imeendaa
Nimefurahi mpaka nimefurahi tena🤣 Sasa Hakimi ili kumkomesha zaidi fungua kesi ya kudai malezi ya mtoto kwasababu hana uwezo wa kumlea. Ili akome zaidi akose Mwana na maji ya moto 🤣🤣
Imekaaa sawaaa iyoo
hapo hata mashat ananunuliwa na mama yake😁
😂😂😂
Huyu dogo katupa akili Kila kitu mama
Mkiambiwa wanawake amkeni tutafuteni pesa zetu wenyewe tusiwategemee hawa viumbe mnaanza kutuona hatuna maadili lakn kiukweli dunia ya sasa mwanamke jitafutie usisubiri kupewa kila kitu matokeo yake ndo haya unataman mali ambazo zinatafutwa kwa jasho na mwenzako unataka kuziwekea makelele tafuta na wee ujue ilivongumu kuzipata ndo utakua na heshima
Ameupiga mwingi 😂😂😂
Ata ya mwanae hajaandika mm ningekua mwanamke ata simdai wann sasa
Shubaamiti jamaa kacheza kama Pele. Huyo malaya alikua kashategamitego yake ili wakiachana amfilisi jamaa najamaa machale kundesa aka haki mchongo malaya kaambulia pachafu
Je hana ndugu
Yatosha mama yake analinda mali ya mwanae
🤣🤣🤣👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻
Lakini siyo sawa.. sisemi haya kwa sababu ni mwanamke No... huyo bidada piah ananafasi yake kwenye mafanikio ya huyo kaka... ko siyo fair alivofanya.... coz kuna pesa walitafuta wakiwa wote..
Hamna hakimi kwao ni moroco huyo dada kwao ni spain walikutana baada ya hakimi kua star, huyo dada alitaka kujifanya mjanja
@@lizzybrownlizzy6094 kabisaa aliehangaika ni mume vipi na yeye apewe nusu
Tatizo mnaplan sana😂😂
Kwan yeye anqcheza mpira akatafute jembe akalime
Nafasi gani Kwa nini unakimbilia kudai Mali baada ya talaka Ina maana ulipanga tangu zamaniEmanuel Eboue aliwafunza wengi huu ndio mtindo mpya unatufaa kuwapiga hawa Gold diggers
Kaupiga mwingi
Mama akifa je
Nimeona watu wengi wakimilikishwa hua urithi wanasema wapewe wale waliompa zile mali
Hakimi alijua hili litatokea kutokana na tabia alixoonesha ,ikiwa mama atafariki Hakimi na ndugu zake na mume wa mamake ndio warithi Mali haikupotea ilihali ndugu zake watajua hilo watakua hawana esay
Hawa ni waislamu hakimi na wanajua ya kwamba mali ya mtu fulani ila iliandikishwa tu kwa jina la mama hvo kma dini watafuata hawawez kugombana
Analisi mwanae inakuamali ya ulis
Hakua na tamaa ajua mama muhimu kwake,subuhana Allah
wampe ballan d or huyu Jamaa😊 as he is only player who dribble through divorce settlement 😂😂