HAKIMI ANGEKUWA BONGO ANGETOBOA? RONALDO NDIO MASTA? SHERIA? SIKILIZA KESI ILIYOWAHI KUTOKEA BONGO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 106

  • @AlodiaCharles-23
    @AlodiaCharles-23 Рік тому +93

    Tuliopenda uamuzi wa hakimi tujuane kwa like

  • @ashuramhandoashuramhando6798
    @ashuramhandoashuramhando6798 Рік тому +1

    Nimependa sana big up kipindi kizuri kijana kajua kuelezea sana nimempenda sana milard utuletee tena huyo msomi tujue mengi❤️❤️🔥🔥🙏🙏🙏

  • @paschalpeter4540
    @paschalpeter4540 Рік тому +2

    Hilo noma sana aysee kuomba omba mara kwa mara hataa kama Ni buku kwa men ni usumbufu

  • @zuhmas2
    @zuhmas2 Рік тому +20

    Hakimi for life

  • @AlfredEmmanuel-b6t
    @AlfredEmmanuel-b6t 6 днів тому

    Nawakubali sanaa🎉🎉 15:45

  • @balljmushi9599
    @balljmushi9599 Рік тому

    Mimi nmeipendaa xhannaa,,huo uamuzi wa --Hakimi,,,,mpka naumwaa!!!.

  • @angelelisante8852
    @angelelisante8852 Рік тому +2

    Iko vizuri hakimi ameweza maana kunawatu wapo kimaslahi zaidi

  • @deusmallya3384
    @deusmallya3384 Рік тому +2

    Ametisha

  • @nzitogondwe9976
    @nzitogondwe9976 Рік тому +9

    😂😂❤ nimejifunza sana kwa huyu mwamba

  • @queenmilan2024
    @queenmilan2024 Рік тому +2

    Watoto 3 Alipandikiza. Siku hizi ni kawaida una chukua msichana anakubebea mimba na unamlipa kwa mkataba. Unapandikizwa wala hawajafanya tendo la ndoa

  • @nzitogondwe9976
    @nzitogondwe9976 Рік тому +5

    Aaha diamond ndiomaana aoi

  • @jcrackcrack1669
    @jcrackcrack1669 Рік тому +4

    hakimi amefungua akili wengi Sana,,, but wanawake wafanye kazi sio kupigia hesabu pesa ya mume

  • @singidaone5628
    @singidaone5628 Рік тому +5

    Hiyo nimeipenda sana jamaa yupo sawa

  • @thierrytiti886
    @thierrytiti886 Рік тому +2

    Izo habari za ronaldo sio za kweli

  • @enoszaka-tx8qw
    @enoszaka-tx8qw Рік тому

    Ashraf hakimi umejua kutufundisha jinsi ya kuishi na wanawake

  • @freddykulwa8190
    @freddykulwa8190 Рік тому

    Nikweli bisa

  • @SultanBakali
    @SultanBakali 8 місяців тому

    Munajuwa sana

  • @issazalala4907
    @issazalala4907 Рік тому +6

    Hakim katisha sikuizi madem Wanafata mari tu😂 hatamimi kanifungua akiri pumbavu zao

  • @deusmallya3384
    @deusmallya3384 Рік тому +3

    Mwanamidindo usagau

  • @David-zb6kk
    @David-zb6kk Рік тому

    Bongo Hakimi angerogwa

  • @darajalakidatukilomgi2362
    @darajalakidatukilomgi2362 Рік тому +6

    Zari alitukosakosa kutupiga mzigo kwa Diamond, tumshukuru Mama Dangote alituokoa, tungepigwa hatari😂😂

    • @muthekimutheki
      @muthekimutheki Рік тому +2

      Diamodi amshukuru @mangekimabi na followers wake coz walikiwasha mpaka Zari akahama...Hiyo vita haikuwa ndogo.😂

    • @darajalakidatukilomgi2362
      @darajalakidatukilomgi2362 Рік тому

      @@muthekimutheki 😂😂Zari Hana hamu na Mange

  • @chrisbertludovick8908
    @chrisbertludovick8908 Рік тому +7

    Frida Amani unazingua mapenzi ni wote wainjoy sasa unavyosema umetumikiq yaani nyie ni wale wale amna lolote tunawonq kama masextoy

  • @ريهامبنتمام
    @ريهامبنتمام Рік тому +2

    Eti angetoboa. Yani hakimi hakutoboa bado.

  • @freddykulwa8190
    @freddykulwa8190 Рік тому

    Nikweli kabisa wanaume.tuwe.makini

  • @edinakyaruzi9226
    @edinakyaruzi9226 Рік тому +4

    Nivibaya kumpenda mtu kisa chake sio vzr kabisa sio tu kwa wanamme hata kwa wanawake iyo ndio komesha ya wanaokuja kwa kipesa zaidi kibongo kibongo utaacha watoto masikini babamdg na aunt watafaidi

    • @joesimba
      @joesimba Рік тому

      Hilo swala ni la wanawake wenzako sio wanaume

    • @edinakyaruzi9226
      @edinakyaruzi9226 Рік тому +2

      @@joesimba kwanini hakuna wanawake wanyepesa kuliko wanamme wapo kunamuda usijue kama mwanamke ndio anapesa kuliko mumewe kama anaheshima mf hakuna mwalimu wa msingi kamuoa mwalimu wa sec au nurse mwanamme ka muoa doctor tena sio kwa mapenzi ni kipata na cord ya benk Mme ndio mmiliki , kunawafanya biashar wanawake wakubwa tu wametapeliwa na mapenzi mbona maganda ya ndizi madume mengi tu usipokuwa makini iyo ni tabia sio jinsia

    • @joesimba
      @joesimba Рік тому

      @@edinakyaruzi9226 Yaah upo sahihi, ila ni nadra sana kukuta mwanamke anamzidi mwanaume wake kipato, kwasababu sio asili ya mwanamke kuvutiwa na mwanaume ambae ana kipato cha chini kuliko yeye, ndo mmeumbwa hivyo and it's okay.

  • @slayseyfer7749
    @slayseyfer7749 Рік тому +2

    Mama kaandika urithi ni wa hakimi

  • @haidhabushiri9558
    @haidhabushiri9558 Рік тому +2

    Safi sana

  • @jameschumbula7351
    @jameschumbula7351 Рік тому +5

    Bora tugawane na Familia kuliko mpiga diri😂✌️🤗

  • @suleimansaid2633
    @suleimansaid2633 Рік тому +1

    Millard huyu Akimi kafanya hivyo kabla ya kuoa kutokana na kushughulikia alipokuwa mdogo hata kupewa kipaumbele yeye mpaka kutoboa. Hiyo ipo sana kwa familia za kiarabu.

  • @davidmbogo7503
    @davidmbogo7503 Рік тому +2

    Kibongo bongo hii bimkubwa anapoteza mwana

  • @ramakadege7448
    @ramakadege7448 Рік тому +2

    kwer milla mm mwenyew napenda km hiv c mda wote wakat mm naon stushion yake

  • @rubensaitoti6839
    @rubensaitoti6839 Рік тому +2

    Naomba kujibiwa swali lagu mm malisagu sija tirasivaa kila nilinunua nandikisha kwa mama je kwani tukiachana kunanini kitakua kinaonyesha kwamba nime trirasifaa

  • @PesaMadafu
    @PesaMadafu Рік тому

    8:40 prenups

  • @drnasirmjuma15
    @drnasirmjuma15 Рік тому +2

    Huyu mwamba namkubali kinyama, hasa akimuongelea cr7

  • @fuled6358
    @fuled6358 Рік тому +2

    Eti anatumikia hahaha! akili zao zile zile tuu..

  • @rashidomar1558
    @rashidomar1558 Рік тому +2

    Mwanasheria ameongea fact na huo ndo ukweli.....sheria za mirathi zipo ivo

  • @chamandaayolaiza1535
    @chamandaayolaiza1535 Рік тому +2

    WANAWAK NDIO WAGOMVI XIKU ZOTE ATAXIJUI KWA NNI

  • @pendomarco8928
    @pendomarco8928 Рік тому +2

    Kwa nini asiwe baba kumwandika swali nahitaji kujibiwa

  • @mariamabass5621
    @mariamabass5621 Рік тому +2

    Milard huyo frida mchaga pesa mbele

  • @gb-one6435
    @gb-one6435 Рік тому +3

    Hii inaonyesha ni namna gani nirahisi kupindisha Sheria ya Tanzania ila sio ya nchi nyingine

  • @jumazahoro
    @jumazahoro Рік тому +2

    Wez2 hakuna njia tafaut

  • @AMBINHED
    @AMBINHED Рік тому

    Millard Ayo umeongea fact 👌

  • @gangmore9091
    @gangmore9091 Рік тому +4

    Hizo sheria za Tanganyika sio z sheria z Hakim😅😅😅

  • @Mpakauseme
    @Mpakauseme Рік тому +2

    Yeye huyo jamaa kajitoa kwajili ya familia yake hao mliowataja wadogo zake na kaka zake na mama yake warabu hao hawana roho za kiswahili wapo kifamilia zaidi na huwambi kitu

  • @musamr.tomorrow8515
    @musamr.tomorrow8515 Рік тому

    Powa tuu Kwani sote sindugu 🤞🏻🤞🏻🤞🏻

  • @qwueenalimoja9071
    @qwueenalimoja9071 Рік тому

    wanaumewengine awajiongezi kaka wanapenda kupiga mzigo2

  • @MizeKombeSuleiman-id1rp
    @MizeKombeSuleiman-id1rp Рік тому

    Inaitwa preanup

  • @itanzaniaAS
    @itanzaniaAS Рік тому +2

    ALISHAJUA MKEWE YUPO KIMASLAHI.

  • @nasibugunda7927
    @nasibugunda7927 Рік тому +2

    Ndoa ni biashara kubwa sana huko ulaya hili limemkuta pia bill gates

  • @msangodiesel3132
    @msangodiesel3132 Рік тому +2

    Huyu jamaa ana madini mwambie atupe vitu anaonekana anavyo vitu vingi

  • @yasintakahamba1320
    @yasintakahamba1320 Рік тому

    Hapa tujifunze wanawake kutafuta wenyewe pesa

  • @abdulhakimsaleh6899
    @abdulhakimsaleh6899 Рік тому

    Mie sikubaliani na huyo alotoa ufafanunuzi manake kwenye mara nyingi mtu unaekua nakua kwa ajili ya maslahi so lazma mjua huyo mtu na pia utafute usalama wa Mali yako kwa ajili ya familia kiujumla

  • @sautiyangu1
    @sautiyangu1 Рік тому +2

    Unyama sana...

  • @navukalunavatanzi6227
    @navukalunavatanzi6227 Рік тому +2

    Sielewi sisi wanawake tuna shida. Mali inayotakiwa kugawana ni kuanzia hiyo 2020 yaani mtu umkute mtu na mali yake halafu unataka nusu nusu shida

    • @stellah3844
      @stellah3844 Рік тому

      Hata kwenye miaka kakosea Hakimi ana 24 yeye kasema ana 23

  • @nuruworldinsight2957
    @nuruworldinsight2957 Рік тому +2

    Kwani
    Kutoboa
    Kumeanzia
    BoNGo.
    We vipi

  • @deofanta541
    @deofanta541 Рік тому +2

    Habari milad naweza kupata mawasiliano ya wakili

  • @freddykulwa8190
    @freddykulwa8190 Рік тому

    Sasa ivi tunawaongopa sana.

  • @akimanaarlene851
    @akimanaarlene851 Рік тому +4

    Nataka unijibu Millard sasa akipata mali zake akazipeleka kwa majina y’a watoto wake akhim kuna shida ama ?talaka ikikuja mali zipo kwa watoto hapo shelia inasemaje?

    • @albertkatuga2434
      @albertkatuga2434 Рік тому

      Ukiweka kwa watoto kwa wezetu watoto uwa ni wamama kwaiyo nisawa umempa mama zote ndio maana hawaaandiki watoto,

    • @akimanaarlene851
      @akimanaarlene851 Рік тому

      @@albertkatuga2434 oooh 😯

  • @ahmedelalawy639
    @ahmedelalawy639 Рік тому +2

    Huyo mwanamke umemtoa wap milard hebu mtowe hajui hata kuongea

  • @ngeleloembete2956
    @ngeleloembete2956 Рік тому +1

    Kabla ya kuandika vyote hivyo Wali vitizama , ninavyo fikiri ni kwamba watakua Wali maliza pointi hiyo mapema
    Akifa mama Mali itarudi kwa kijana mtafutaji😅😅😊

  • @qwueenalimoja9071
    @qwueenalimoja9071 Рік тому

    Uleno kunaaki sana zawanawake

  • @handasonshaban8248
    @handasonshaban8248 Рік тому +2

    🎉

  • @godlovemasamakibatandu2092
    @godlovemasamakibatandu2092 Рік тому +2

    Kwanini mali za wanawake haziwekwi kwenye meza wagawane? Sheria ikiwa mbovu kwao wanalalamika zikiwa sawa kwao na zina wakandamiza wengine wanasema hawatendewi haki.

    • @joesimba
      @joesimba Рік тому

      Mali zote zinawekwa mezani mnagawana pasu kwa pasu, ila wanawake ni wajanja huwa hawafanyi kosa kuingia kwenye ndoa na mwanaume ambae wamemzidi kipato

  • @dianajoseph6673
    @dianajoseph6673 Рік тому +3

    Wanaume wa sasa utajiongelesha wewe na hakuelewi anakuacha na maneno yako nachangamoto zako😢😢😢😢humuombi hela na hakupi ukiwa na shida duh hatari sana😂😂😂😂😂

  • @raphaelonyango5690
    @raphaelonyango5690 Рік тому +4

    Walianza mahusiano 2018 ila walioana 2020, fanya utafuti vzuri

  • @صالحالصوافي-غ5و
    @صالحالصوافي-غ5و Рік тому +2

    Wanawake tutafute hera😂😂

  • @valenakomba9218
    @valenakomba9218 Рік тому +2

    Hao woote wanamwiga Michael Jackson marehemu.

  • @aleyidukury8333
    @aleyidukury8333 Рік тому

    Hii sheria ibadilishwe ili watu tuowe lasivo tutawazini tu

  • @KassimAlly-xp4dz
    @KassimAlly-xp4dz Рік тому

    Demu akiomba ela anaboa sn

  • @gloryprotas1043
    @gloryprotas1043 9 місяців тому

    Hii nikiboko aisee😂

  • @godwinmwakibibi274
    @godwinmwakibibi274 Рік тому

    Lakin atakuwa kaachiaa hta paso za wenzetu huko na hta room mbili za master ndan na kifensi mchwara. Naamin hvo

  • @stellahlinusi8215
    @stellahlinusi8215 Рік тому +2

    kuna sisi nyie uombi pesa na upewi pesa nyie acha tu

  • @popiya2368
    @popiya2368 Рік тому +2

    Prenup

  • @rebeccampeta6650
    @rebeccampeta6650 Рік тому +2

    Huyo dada ana pesa kuliko Hakimi acheni manenomaneno

    • @jeffyasin2977
      @jeffyasin2977 Рік тому

      sasa Mali anataka za nn

    • @gidionkadaraja1403
      @gidionkadaraja1403 Рік тому

      Hahaha et mwanamkee ana pesaa wew rebecca matakoo nn

    • @rebeccampeta6650
      @rebeccampeta6650 Рік тому

      @@jeffyasin2977 mahakamani kwanza mkitaka kutalakiana lazima muorodheshe mlivyo navyo mahakama ndiyo huwa inawauliza wahusika

    • @rebeccampeta6650
      @rebeccampeta6650 Рік тому

      @@gidionkadaraja1403 asante

  • @darajalakidatukilomgi2362
    @darajalakidatukilomgi2362 Рік тому +2

    Mama mkwe mkifa ahera panawasubiri, Sasa mwanamke anaharibu mwili wake kwa kubeba mimba jee malipo ya uharibifu wa mwili haustahili nusu kwa nusu ya Mali? Mama mkwe umemmaliza mwanamke mwenzako

    • @gilmangeorge366
      @gilmangeorge366 Рік тому

      Mwili hauribiki mungu ndo alisema mwanamke atazaa tyuuuu

  • @ridhiwanishafii813
    @ridhiwanishafii813 Рік тому

    KAMA TULIVYOKUBALIANA MZIGO UPO KWA MOTHER 😂😂😂😂

  • @zenyewe
    @zenyewe Рік тому +4

    hiyo pre nap kama ukiwa na mpunga mrefu mkifika mahakamani inapigwa mafekeche jaji anapindua meza 😂😂

  • @hassanbakari4525
    @hassanbakari4525 Рік тому +3

    TULIO UPANDE WA MWANAMAMA KWAMBA AMEONEWA TUJE HAPA

  • @chuseboy
    @chuseboy Рік тому +2

    WAache Sasa kutuomba omba😅😅

  • @AlfredEmmanuel-b6t
    @AlfredEmmanuel-b6t 6 днів тому

    Nawakubali sanaa🎉🎉 15:45