Achraf Hakimi wa PSG atoa msaada wa bilioni 10 Arusha
Вставка
- Опубліковано 26 чер 2024
- Taarifa kamili kuhusu nyota wa PSG, Achraf Hakimi kutoa msaada wenye thamani ya shilingi bilioni kumi (10) kwenye Shule ya Patandi, iliyoko Tengeru, Arusha huku akisakata kabumbu na wanafunzi wa shule hiyo.
- Спорт
mungu amzidishie
thanks bro for your kind heart God bless you 🙏 all the best to you
Congratulations 🎉🎉👏👏 hakimi
❤❤❤❤❤
Daa Leo azam mmezinguaa
Billion 1 Sio 10
Ni bilion 1 waropokaji wanazingua kusema billion 10
Ni Bilioni 1 au Bilioni 10 ? Kuweni makini sana kwenye kuongeza hizo 0
Media kubwa kama hii mnaandika habari kubwa kwa kukurupuka na mmetype kabisa hadi ndani ya habari bilion 10
Wewe unataka waseme shiling ngap