Vanillah feat Ibraah - Hakunaga (Official Music Video)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 31 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 2,8 тис.

  • @Focasnyari
    @Focasnyari Місяць тому +562

    Ibraaah ni moto anaemkubali ibraaah anipe likes hapa

  • @ObamaIdrisa
    @ObamaIdrisa Місяць тому +288

    kama ibra katisha gonga like

  • @rajabtobu114
    @rajabtobu114 Місяць тому +346

    Nani anajua kuwa vanillah ft ibraah ngoma yao itakuwa kali weka like hapa za ❤❤❤

    • @Hemedymalunga
      @Hemedymalunga Місяць тому +1

      Chingaaaa

    • @FidelMuisha-l6d
      @FidelMuisha-l6d Місяць тому +3

      🎉🎉🎉🎉🎉ibraah kaua hummo ndani 🎉🎉❤​@@Hemedymalunga

    • @FidelMuisha-l6d
      @FidelMuisha-l6d Місяць тому +3

      🎉chinga🎉 kamfunika vanillah🎉🎉🎉

    • @AdamGome-f6x
      @AdamGome-f6x Місяць тому

      Hii ni Hit song 🔥

    • @dr_gainstz
      @dr_gainstz Місяць тому +1

      ​@@FidelMuisha-l6doaa huyu spana wa Moto skiza verse vzur uone

  • @Mrishowalengamina-bx2to
    @Mrishowalengamina-bx2to Місяць тому +80

    Jaman kama kuna mtu yoyote ambaye ame rudia uhu wimbo zaid ya mala mbili bas tuchangiane like apa za mwisho maana nime fika nyuma kweli ngoma Kali iiiih 🎉🎉🎉

  • @Stingbee037
    @Stingbee037 Місяць тому +5

    Yaani vannilah siku zote Mkali🔥

  • @NivaJoseph-t1u
    @NivaJoseph-t1u Місяць тому +133

    Mbn kama ibraah ana kitaka kiti Cha ifalme wa bongo freva sasa🎉🎉🎉🎉🎉

    • @japhetmbochi4849
      @japhetmbochi4849 Місяць тому +1

      lbd atafute mganga mzuri kuliko simba, kiba, rayvany, konde na wengine Ila nje ya hapo hakunaga

    • @DogShukhu
      @DogShukhu Місяць тому

      ua-cam.com/video/qAyczP4gkpU/v-deo.htmlsi=aOUSmzFqT4RXXfAQ twende zetu ukaone kazi ya g

    • @NivaJoseph-t1u
      @NivaJoseph-t1u Місяць тому +2

      @japhetmbochi4849 atafute wap akat mchawi upo apo ushaanza kuwanga mapema

    • @JuliusKaburu-f3s
      @JuliusKaburu-f3s 24 дні тому

      Anadeserve kupewa hio kiti huyu champee Ni mkali Sio utani wallai

  • @ZABIBOY61
    @ZABIBOY61 Місяць тому +320

    Yoyote utakayesoma Hii coment mungu akupe hitaji la moyo wako 🤲🤲🙏🙏🤲🤲🙏🤲🤲🙏🤳✍️

    • @Alkibosstz
      @Alkibosstz Місяць тому +3

      Kwamanenoaya lazima tu like 😂 kamaunakubari like apa

    • @JackMsuya-j6q
      @JackMsuya-j6q Місяць тому +2

      Yaan ili mradi upate likes duhh 😂😂😂

    • @SalvaMediaTZ
      @SalvaMediaTZ Місяць тому +1

      Tujitokeze kwa wingi uwanja wa Benjamini Mkapa. Taifa Stars 🇹🇿 Vs 🇬🇳 Guinea, Tarehe 19 November 2024.

    • @kamanzicrouch3881
      @kamanzicrouch3881 Місяць тому +1

      Amiiin nawew pia

    • @officialsbjovea5822
      @officialsbjovea5822 Місяць тому +1

      Amen

  • @MulimaMilandu-w2q
    @MulimaMilandu-w2q Місяць тому +650

    Kama una mkubali chinga ngoga like basi twende nalo❤❤

  • @geohmakerseven
    @geohmakerseven Місяць тому +175

    Wanasema BONGO FLAVOR bila king's music #HAKUNAGA GONGA LIKE

  • @djchiccotzofficialdjorigin1280
    @djchiccotzofficialdjorigin1280 Місяць тому +4

    HAKUNAGAAAAA

  • @Rondofinesttv
    @Rondofinesttv Місяць тому +188

    Watoto wadogo wamewakalisha wakubwa kwa video kali nazani like mbili to zinawatosha moja 👍KINGSMUSIC&👍KONDEGANG

    • @issashabani-c7r
      @issashabani-c7r Місяць тому +4

      Video kama hizi ndo za kupeka. huko Grammy nyimbo inaujumbe video kali

    • @SalvaMediaTZ
      @SalvaMediaTZ Місяць тому +1

      Tujitokeze kwa wingi uwanja wa Benjamini Mkapa. Taifa Stars 🇹🇿 Vs 🇬🇳 Guinea, Tarehe 19 November 2024.

    • @BillyDadie
      @BillyDadie Місяць тому +1

      Muziki unapendeza hivi

    • @geofreykalawa2260
      @geofreykalawa2260 Місяць тому +1

      Hili hata Mimi nimelionaaa

    • @BakariSaidi-c5i
      @BakariSaidi-c5i Місяць тому +2

      atali sa video kali ❤❤ kaka

  • @GeraldPatrick-l2q
    @GeraldPatrick-l2q Місяць тому +378

    Kama vannilaa kauwa zaid ya ibraah gonga like hapa 😊

    • @Funnyguy-mb1sc
      @Funnyguy-mb1sc Місяць тому +9

      ibraah kamaliza Huyu spana wenu 😂🔥🔥🤣🙌

    • @petersopi1180
      @petersopi1180 Місяць тому +8

      Hujui mziki kaka, vanilla Leo Kawa mwepesi sana kwa chinga, rudia Ngoma usikilize vzr ww

    • @Funnyguy-mb1sc
      @Funnyguy-mb1sc Місяць тому +5

      @ labda ww ndo usikilize vizuri mimi nipo sawa chinga 🔥🔥🔥🙌

    • @DenisMawala
      @DenisMawala Місяць тому

      Hmn kitu hpo ibrah mkal zaid​@@petersopi1180

    • @MathiasSigeli
      @MathiasSigeli Місяць тому +2

      Kwan nyimb unasklzia wap ,,,😂😂 sklz vzr

  • @theeaglefilmproduction4567
    @theeaglefilmproduction4567 Місяць тому +24

    Kama unamkubali Vanillah anajua Gonga likee Kwa ZOMPAAH apaa✊✊

  • @Trestartz
    @Trestartz Місяць тому +3

    MMETISHA SAAANA MASTAR WETU✅💪🔥🔥🔥🔥

  • @mshambawainsta8099
    @mshambawainsta8099 Місяць тому +97

    Daah sema sjawah kupata like wangu embu dondoshen link hapa

  • @AlbertoAlberto-u6f
    @AlbertoAlberto-u6f Місяць тому +53

    Vanila ft ibrah wameuwa sana kbs naomba like zangu please check🎉🎉🎉

  • @magutumogeko6936
    @magutumogeko6936 Місяць тому +23

    Kadri ninavyozidi kuisikiliza hii ngoma ndo inazidi kunoga na mwingine kama mimi like hapo

  • @FahadyKajugus-v1y
    @FahadyKajugus-v1y Місяць тому +66

    Nafurahi kuona Muzik wetu unakua Na viwango Lebo mbili sikifanya Kazi moja no bifu kaka umeipenda hii ngoma gonga like hapo

  • @andrewpeter5244
    @andrewpeter5244 Місяць тому +4

    NYIE HUYU VANILLA 🙌🙌

  • @Melotzmsk78
    @Melotzmsk78 Місяць тому +43

    Tunao mkubali vanillah gonga like apa

  • @KingRemy-vd8rn
    @KingRemy-vd8rn Місяць тому +25

    Tim konde geng naomba liké zangu plz 🙏💪🔥🇨🇩

  • @VictorBwasama
    @VictorBwasama Місяць тому +30

    Vanilla wa moto sana aisee ila wote wako vizur wameuwa kama unakubal weka like zao hapa

  • @Espoir_Music
    @Espoir_Music Місяць тому +34

    Chinga. Ndio kauwa walai. Nipe like ya. Chinga. 🎉🎉❤

  • @richmond-BLN
    @richmond-BLN Місяць тому +3

    We Dogo wa milembe kolabo unaua sanaaa 👌🔥🔥

  • @NasriNasrihashim-lb5xj
    @NasriNasrihashim-lb5xj Місяць тому +5

    Hmm ibrah unanini wewe 🎉🎉🎉🎉

  • @theeaglefilmproduction4567
    @theeaglefilmproduction4567 Місяць тому +85

    Kama unakubali CHINGAA ANAJUAA gongaa apaa kwa ZOMPAAH☝☝

  • @SaiclassicTz
    @SaiclassicTz Місяць тому +79

    Kama unatazama zaidi ya mara moja gonga like hapa

  • @Oficial_Eredy
    @Oficial_Eredy Місяць тому +43

    Hivi umewasikiliza vizuri hivi viumbe gonga like hapa kama unaamini ni ngoma ya kufungia mwaka🎉

  • @KidumeThemaster
    @KidumeThemaster Місяць тому +2

    Jamani ngoma kali mnaomkubali ibraah weka like na ❤❤

  • @jamesmichubu4665
    @jamesmichubu4665 Місяць тому +24

    I don't care but ibraah is baddest vocal singer 🔥🔥🔥 Kenyans kama unamkubali ibraah nipe likes

  • @Mingobabah_tz
    @Mingobabah_tz Місяць тому +61

    Ibraah mwamba kabisa umu katisha sanaaa...! Ila Vanillah sikuvunjii heshima kaka🙌

    • @AdamGome-f6x
      @AdamGome-f6x Місяць тому

      Vannila noumar sana

    • @SalvaMediaTZ
      @SalvaMediaTZ Місяць тому

      Tujitokeze kwa wingi uwanja wa Benjamini Mkapa. Taifa Stars 🇹🇿 Vs 🇬🇳 Guinea, Tarehe 19 November 2024.

    • @newone9000
      @newone9000 Місяць тому

      Spana afai mzee

    • @cure4real75
      @cure4real75 Місяць тому

      Vanilla 🔥🔥🔥🔥

    • @SalvaMediaTZ
      @SalvaMediaTZ Місяць тому

      @cure4real75 Tujitokeze kwa wingi uwanja wa Benjamini Mkapa. Taifa Stars 🇹🇿 Vs 🇬🇳 Guinea, Tarehe 19 November 2024.

  • @mashabikiwaharmonize
    @mashabikiwaharmonize Місяць тому +98

    Wale tunao kubali collabo hii tuonyeshe upendo hapa ❤ IBRAAH katende haki VANILLAH nae ni fire

  • @takeiteasy4755
    @takeiteasy4755 Місяць тому +65

    Best collaboration of the year .... vanilla kaua Illa Ibrah kijana wa Gang Kama katoroka Miremba AMEFUNGA KAZI HATARI 😅 +254 KE is following 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪

  • @NYAHURURU_ICON
    @NYAHURURU_ICON Місяць тому +3

    Vanilla ni fire ndogo namkubali mi fan wake from 254👌 na ibra 🎉🎉🎉

  • @AliAli-hs8si
    @AliAli-hs8si Місяць тому +3

    Nyoma kali sanaa endelea vyo hivyo tunakukubali sanaaa❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @SaidiNyange-m6m
    @SaidiNyange-m6m Місяць тому +63

    Yan mwaka huuu kama hujafanya kolabo na ibraah manina zako
    Oya wanangu wa gang gang

    • @KeytanWhite
      @KeytanWhite Місяць тому +4

      😂😂😂😂mwenyewe

    • @SalvaMediaTZ
      @SalvaMediaTZ Місяць тому

      Tujitokeze kwa wingi uwanja wa Benjamini Mkapa. Taifa Stars 🇹🇿 Vs 🇬🇳 Guinea, Tarehe 19 November 2024.

    • @SaidiNyange-m6m
      @SaidiNyange-m6m Місяць тому

      @KeytanWhite ahsante 😎

  • @Faustinfamilly
    @Faustinfamilly Місяць тому +17

    Kama unalikubali ngoma bas gonga like twende nalo

  • @GOLDMONDG
    @GOLDMONDG Місяць тому +15

    Wapi ✅✅ za ibraah jamani

  • @JacksonMathiaskimaj
    @JacksonMathiaskimaj 23 дні тому +3

    Vanira pach baba umeuwa❤🎉

  • @pascalchipuza3836
    @pascalchipuza3836 Місяць тому +112

    Tunaoseme Vanilla kamfunika Ibrah tuna-Like hapa 👉

  • @jaysondamian9326
    @jaysondamian9326 Місяць тому +34

    Spana kamkalisha chinga gonna like

  • @justinog3105
    @justinog3105 Місяць тому +13

    Chingaaa wamoto jamani ❤❤❤❤❤❤🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @RjOfficial-zc9vk
    @RjOfficial-zc9vk Місяць тому +37

    Best song ot the year mana watunzi bora wote ndani
    Wanaowakubali like hapa

    • @MariamMashaka-r9z
      @MariamMashaka-r9z Місяць тому +1

      gud song brothers

    • @SalvaMediaTZ
      @SalvaMediaTZ Місяць тому

      Tujitokeze kwa wingi uwanja wa Benjamini Mkapa. Taifa Stars 🇹🇿 Vs 🇬🇳 Guinea, Tarehe 19 November 2024.

  • @limbomambo9728
    @limbomambo9728 Місяць тому +2

    Chinga again fire 🚒🚒🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @JayMoheart-js2dv
    @JayMoheart-js2dv Місяць тому +5

    Gudy en quality video💥🔥🔥
    ...congratulation video director

  • @FidelMuisha-l6d
    @FidelMuisha-l6d Місяць тому +30

    🎉🎉🎉@@followers@@kiukweli ibraah kamufunika vanillah@@ kama wewe ni shabiki wa chinga basi naomba hata likes 100hapo🎉🎉🎉🎉 from DRC 🎉

  • @Ommytzjp
    @Ommytzjp Місяць тому +7

    Spana ftchingaaaaaa kama nimetolola milenbe like bas wadau

  • @HembaDymain
    @HembaDymain Місяць тому +21

    Nîpo apo sababu tu ni ibraaahh KONDE Gang

  • @KenniTz-k7i
    @KenniTz-k7i Місяць тому +4

    Vanilla Umetisha sana Mwana wa mfalme

  • @Parwaazjj
    @Parwaazjj Місяць тому +3

    🎺🎺🎺🎺🎺🎺
    Hakunaga
    🐚🐚🐚🐚🐚🐚🐚🐚🐚🐚
    Hakunaga

  • @bekaboysurce
    @bekaboysurce Місяць тому +32

    0:16 director 🔥🔥🔥

    • @DadiezRec
      @DadiezRec Місяць тому

      Kawasha sana director

    • @DadiezRec
      @DadiezRec Місяць тому

      Kawasha sana director

  • @Leviaskiddo
    @Leviaskiddo Місяць тому +10

    Video kalii sana ..tupilia mbaliii copyyy za ololufem sijui hawa watoto wamefanya kaz kaliiii piga like

  • @YouMediatanzania
    @YouMediatanzania Місяць тому +13

    Nyimbo fupi mno😊

  • @ByosaaMasoka
    @ByosaaMasoka Місяць тому +5

    King's vannilah atakuwa mrisi wa alikiba kama unahamini liké apa❤️❤️❤️💪💪💪

  • @charleslulandalah9785
    @charleslulandalah9785 Місяць тому +4

    Bongo flavour yetu pendwa

  • @MOBISKOFILM
    @MOBISKOFILM Місяць тому +9

    Vanilla umeua sana ❤❤ ibra ushikiki❤❤❤

  • @rjmusictz6159
    @rjmusictz6159 Місяць тому +10

    Nakubaliiiii tisha sana van

  • @jamomuthakacommedy5721
    @jamomuthakacommedy5721 Місяць тому +10

    Vanillah is on fire

  • @saidmambo2721
    @saidmambo2721 Місяць тому +2

    Kizazi sanaaaa I say👍

  • @hamzayusuf8395
    @hamzayusuf8395 Місяць тому +16

    Tatizoo chinga ukimpa verse anajifungiagaa ndani na mzee konde 😂 awafunike TU

    • @johnyema3360
      @johnyema3360 Місяць тому +1

      😅😅😅😅 ni hatarii mashairi ya chinga noma sana

  • @chadsolace
    @chadsolace Місяць тому +18

    Chingaaaaa kunata na beat ni firee ckiza hapo penye wako yako ko ko koo, vanillah yupo vzur sana kwe melody ila nyepesi baba kwa chingaa 🚀🚀✈️ gang gang mikono juu weka like tuondoke 👉🏻🤘🏻✌🏻

  • @CaptainKenya
    @CaptainKenya Місяць тому +20

    Alafu mashabiki jau sana vanillah mmpe subscribe afike 200k mimi mkenya lakini namtambua sana pamoja na mmachinga

  • @dixminderjngao4995
    @dixminderjngao4995 Місяць тому +18

    Wanaosema ibraah kakalishwa wasenge wote kwanza hamjui music hivi umesikia maneno aliyoimba ibraah vzr vannila kaimba maneno lain sana

  • @OmickiMichael
    @OmickiMichael Місяць тому +6

    Wasanii wengi wanaiona nafasi ya Ibrahim nao kwenye kazi zao

  • @TapiwaPhiri-s4h
    @TapiwaPhiri-s4h Місяць тому +5

    Nasubiri kuona ukipewa tunzo chinga ❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @salumuzarafi-pp9fp
    @salumuzarafi-pp9fp Місяць тому +7

    Chinga Noma Xna 🔥

  • @fakikhatoro3876
    @fakikhatoro3876 Місяць тому +4

    🔥 🔥 🔥 🔥 Bonge ya ngoma

  • @JosephKizinga
    @JosephKizinga Місяць тому +14

    vijana wawili magenious wa kuandika na wakali wa melodies hatimae ndani ya track1 oyaaa wanang bonge la dudeee mmetishaa🔥🔥🔥🔥🔥🫡

  • @AllyshaibuMwaipopo
    @AllyshaibuMwaipopo Місяць тому +2

    Mmeua sana wanyamwez🔥🔥🔥🔥🔥

  • @PlataGkenya
    @PlataGkenya Місяць тому +5

    Kazi nzuri kondegang video nzuri,love from Kenya❤🇰🇪💯

  • @aphroovevo
    @aphroovevo Місяць тому +17

    King's & Konde gang 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @IbraahJuma-dl2rd
    @IbraahJuma-dl2rd Місяць тому +29

    Ibraah huwa anawauwaa snaaaa😂😂😂😂😂😂

  • @KelhamOg-o5q
    @KelhamOg-o5q Місяць тому +5

    Chinga katisha kbx from Burundi

  • @hamisisalum974
    @hamisisalum974 Місяць тому +1

    Ibraah ibrah ibrah👏🏻👏🏻👏🏻 mamaeeee unajuaaaa

  • @jamescarbon530
    @jamescarbon530 Місяць тому +2

    Vanilla hii sauti pia hakunaga 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪💯💯💯💯💯💯💯

  • @FistonQuatorze
    @FistonQuatorze Місяць тому +22

    Ibrah kaka tunachunga tuzo kaka bombo claaaaaats 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @jayjumanne6109
    @jayjumanne6109 Місяць тому +7

    Oyaaaa weeee...... Kama nimetoroka Mirembe 🙌🙌🔥🔥🔥

  • @RamtaMpingo
    @RamtaMpingo Місяць тому +13

    Safiiiiii chinga

  • @DaudiButuyu
    @DaudiButuyu Місяць тому +5

    Spana you kill it bro ❤❤❤❤❤😂❤

  • @ZenVeeZeneration
    @ZenVeeZeneration Місяць тому +3

    Kuishi Raha vizuri 😢😢

  • @Kebaclassic10
    @Kebaclassic10 Місяць тому +7

    ❤chinga 🔥🔥🔥🔥🔥 nyoosha awo watoto

  • @BabaNasritz
    @BabaNasritz Місяць тому +5

    Ngoma tamu

  • @dybreezy1696
    @dybreezy1696 Місяць тому +26

    Ibraaaaa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @Ommywhity7
    @Ommywhity7 Місяць тому +3

    Weeeeeeeee chingaaaaaaaaaaaaaaaaaa mnyamaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa❤❤❤

  • @wostalugera1359
    @wostalugera1359 Місяць тому +4

    Kwasasa wasanii wa bongo fravour wameanza kuwa wamoja Kama Nigeria ❤

  • @bazengalamar9545
    @bazengalamar9545 Місяць тому +10

    kila mtu anataka likes uku kumbe😅😅ila vanillah kafunikaa

  • @HamadiShabani-j7n
    @HamadiShabani-j7n Місяць тому +10

    Nyimbo nzuri Kila mtu kaandika ilaa chinga kazidisha kidogo Utamu 🔥🔥kazi nzuri

  • @honeyflower254
    @honeyflower254 Місяць тому +10

    WOW kigoma chenyewe kinapiga vilivyo bana❤❤❤❤

  • @benmwangi6016
    @benmwangi6016 Місяць тому +2

    Kings well represented 👑👑💪

  • @mofoGang24
    @mofoGang24 Місяць тому +3

    Hi ngoma droo

  • @highlightboy255
    @highlightboy255 Місяць тому +24

    Sikuhizi mjini mapenzi pesa Ety nikupende uje nitesa hizo hakuna hakunaga,kwetu walevi wanaiheshimu pesa mambo ya ulevi uje ugonge kunesa hakuna hakunagaa ,OYA Tafuta chako anaekujua mjini ni ndugu yako huku cha bure hkunaa hata cha kumungunyaaa oya michepuko wapo shida ukitafuta mpenzi wako wa peke yako hakunaa hakunaga🎶🎶🎶🙌🙌🙌🙌🙌🙌 #ibraah kill in it

    • @AlphaBoyie
      @AlphaBoyie Місяць тому +2

      Wow ndio nmemwelewa sasa

    • @HavyarimanaCharles-uj2gv
      @HavyarimanaCharles-uj2gv Місяць тому

      chingaaaa

    • @SalvaMediaTZ
      @SalvaMediaTZ Місяць тому

      Tujitokeze kwa wingi uwanja wa Benjamini Mkapa. Taifa Stars 🇹🇿 Vs 🇬🇳 Guinea, Tarehe 19 November 2024.

  • @ValérioFiel
    @ValérioFiel Місяць тому +5

    Vanillah 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 kama unakubali vanillah weka like apo

  • @ramadhansadallah9894
    @ramadhansadallah9894 Місяць тому +8

    Oya chinga kubabako upo motoooo

  • @SilentBoeSisyphus
    @SilentBoeSisyphus Місяць тому +1

    Wanao sema ngoma nikali gonga like apa tuendoke wote🎉

  • @GeorgesGeorkingGG
    @GeorgesGeorkingGG Місяць тому +2

    vidéo kali kinoma mwenye ana mukubali vanillah anipe like

  • @HappyShirima-k9t
    @HappyShirima-k9t Місяць тому +8

    Congrats guys nyimbo nzuri sanaa

  • @user-Zadig
    @user-Zadig Місяць тому +16

    Kwaiyi ngoma weka like kwa sisi waapa Congo lubumbashi ❤

  • @GiftyOg
    @GiftyOg Місяць тому +9

    Team ibraaah

  • @DanielBandolela
    @DanielBandolela Місяць тому +3

    Uyu Ibrah anazidi kufanya control kwa kizazi kipya kbs anazidi kuwa vuruga tu apa na Vanillah mbele ya Ibrah akunaga kitu. Kondgang gonga like kama tuna mkubali Ibrah ❤❤❤❤❤

  • @geohmakerseven
    @geohmakerseven Місяць тому +15

    GONGA like kama we ni Mwaisaaa afu tusikilize dude la mwanetu vanilah na chinga noma sana #HAKUNAGA