Young millionaire ibraah wamotoo sanaaa kama nimetorokaaa milembeee ila kiukweli lebo zipo nyingi ila ya konde gang ndioo lebo pekee iliyoo kua na kijana anae waumiza vichwa hadi watuwazima kwenye mziki? Ibraah kwani wewe nani
Unasauti nyemba Ibra Ukikaza sauti bado tuu ndogo Dj ingebidi aikazee hata mara tatu aka ziweka zote vers zote kali nimekubali na meja nyinyi wote ila ninyemvamba tuu sanaeok
Kweli ibra na zuchu ana hit nyingi zuchu afu wame toka kwa pamoja sukari ya zuchu viws zake sawa na nyimbo zote za ibra uki bisha sibishani na vichaa afu ukweli una uma
Nimekuja kumchungulia huyuu aliyetorokaa milembee aisee watu wa kusini singelii wanajuaa nimeishii Lindi, mtwaraa kuanzia 2019, nikiwa kimasomoo nimewaonaa aisee nimerudi mwaka huu hao ni balaaa endelea kuwakomeshaa ibraaa❤❤❤
Meja kazingua ilitakiwa hii collabo j kombat awepo ndo ingekuwa unyama sana..tatizo meja ana roho ya mkunjo kajua kabisa j kombati atamfunika ndomana ajamuweka kwenye collabo..na tunajua goma la j kombati sio la meja..ila kaamua tu kumficha dogo..mnaokubaliana na mimi gonga like za kutosha..ila ibra kauwa ana baya..
Konde gang bana tumeshinda tujipongeza tuzo ya gram niyetu kweli ibraah salut abobengine banyombo za comasava bataliya tuuuuu wasafi imeshi tuuuu ibraah washamoto konde gang like zenu Sasa tuuuu
Tuliokuja kwa ajili ya chizi letu la mirembe tujuane 😂😂😂❤❤❤
😂😂😂😅😅😅🤣🤣🤣 hahahahahahahaha aucoooo
Tupo hapa tunamkubali chizi letu la mirembe ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉tunamuombea sana awashe moto na asipoe💪💪
Ibraah 🙌🔥 acha waseme watachoka sisi tupo nyuma ya konde gang,🇨🇩🇨🇩☝️
Ngoma Kali Kenya tuko ndani wapi like ya ibraah ❤❤😂
Nipo china 🇨🇳 ibrah wamotooooo😮😮😮😮Nipeni like zangu tunaomkubaliii kuanzia china nilipo mpaka tz!!!!!!!
Duuu 🎉🎉
Iv like waga mnataka zann
Sio huko tu hata huku australia ni wamotooo🔥🔥🔥🔥
tunao mkubali huyu m2 kama nimetoloka milembe ibrah gonga like hapa😂😂😂
Madogo wame simamisha muji balaaa zotooooo kujaaaaaaaa weweeeeeeee fireeeeeeeeeee boom 💥💥💥💥
Amini huu mziki wa Singeli ndio miaka ya bdae utaleta sana Tuzo nchini
umeongea point mzee sema wasanii wakubwa hawafikilii wanahis ni mzik wa kihuni
Oya oya oya weeeww😂,, kama tumetoloka mirembee, unamkubali ibraah gonga like hapa❤🔥🔥🌎🌎
Hiki ni kingine kikali, sijui la kusema sina chochote cha kusema, ni mad love and respect❤️💪🙌🔥
Young millionaire ibraah wamotoo sanaaa kama nimetorokaaa milembeee ila kiukweli lebo zipo nyingi ila ya konde gang ndioo lebo pekee iliyoo kua na kijana anae waumiza vichwa hadi watuwazima kwenye mziki? Ibraah kwani wewe nani
Nakuamini sana ibrah hautu agush pepelusha bendela ya konde geng💪💪🙌
Count decision
Enjoy the moment
Right things
Ati mlikua mnafananisha Ibra na Mac voice....wacheni masihara uyu Ibra hawezekani
Oyaaah weeeh ibraah anafanya tupende singeliii
Unasauti nyemba Ibra
Ukikaza sauti bado tuu ndogo
Dj ingebidi aikazee hata mara tatu aka ziweka zote vers zote kali nimekubali na meja nyinyi wote ila ninyemvamba tuu sanaeok
Harmonize #,, HAKUKOSEA KUMUACHA IBRAAH KONDE GANG # GONGA LIKE &LOVE KAMA UNAMKUBALI KING OF NEW GENERATION
KONDE GANG tujuane Kwa ku like jamaani kama tumetoroka milembe
Baba lazima itapanda sanaa
Tunawashusha wote hao
True love
Oyoooo
@@Mgangafundi sana t kaka
Huyu ibrah anawameza sana hata waimba singeli wenyewe🔥🔥🔥🤣🤣
Nyimbo kali sema matusi mengi ndo kitanfanya nisdownload hii ngoma
Weee ukileta umbuzi njoo tukufanye mchuzi
dah noma sana 🫡🫡🫡ibra sahz hashikiki yaani nyimbo mpaka inaisha huku unabonge la tabasamu
Toka Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪. Ibra umetisha Sana bro 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
The king of young generation ibraah❤❤❤mwaka huu ni wako Anguka nao niite dogo mody Toka konde gang ni Labour yetu twapenda❤❤❤
CHUPA KALI ILA HAMJAMPAISHA J KOMBAT. SIJAPENDA
Oya oya oya km tumetok milembe 🔥🔥🔥🔥 # ibraah 💥💯🙌
Ibraah akuna mondi wala paka nani wewe ni wew nenda ebu wakimbize adi waseme bc me nakubaliki kwa mikono yote❤😂😂🎉🎉
Kabisaaa
Kama nimetoroka milembe ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤kawasha kwote babuu huu ni moto ata firefight wako bado sana..Ibrah for life
Alieona kama Ibra na meja wanafanana sura naomba like ❤😂😂
😂😂😂😅😅😅🤣🤣🤣
😅😅😅😅😅
They like twins
Ibraaaah nenda mazima kwenye singeli aise umetoa dundo kali sana hizi mbili za jay combat
MAMAMAEEE WE UKILETA MBUZI NJO TUKUFANYE WA MCHUZI SILE OYAAA OYAA TUONDOLEE MASHUZI🧨🧨🧨 NGOMA KALI IBRAAH NIMEKUSHINDWAA WEE NENDAA TU CHIIIZIIII🤯🤯🔥
Aende tu roho safi
Baba lazima tuondoke
Hit song after hit
Tunapasua anga
Tunawasha airplane mode
Ibrah uko vizur brooo🎉🎉.....umeuaaaaaa kinoum
Tueke #Machinga kwenye Billboards🔥🔥💯hii kali wakuu..+254 tuko ndani
Uyu Ibrahim kashindikana hawamuwezi tena 👐
Kama una mkubalia ibraah gonga like hap
Kama tumetoroka milembe
Maneno yaache kitenge
Tunavunja Nazi Kwa ugoko
Ibra afai ukimshirikisha jiandae kufunikwa 🔥🔥
Yaani mna mpa mtu collabo huku mkijua kabisa lazima mchinjwe
mack kwanza me ncheke
😂😂😂
😂😂😂😂😂
Lengo ni kuipeleka mbali na ndio maana hawaangalii kufunikwa kwenye mashairi
Kweli ibra na zuchu ana hit nyingi zuchu afu wame toka kwa pamoja sukari ya zuchu viws zake sawa na nyimbo zote za ibra uki bisha sibishani na vichaa afu ukweli una uma
Kwan we Nan,
Mbona Kama Choko!😂
Oyaa weee wanangu wa GangGang ❤❤❤🎉 Tujuane kama nimetoloka... mileee❤🎉
new vibe in town,hii itasumbua hadi washangae.. Locked in from Kenya
Wanangu wa gang gang tujuane hapa ,me from BURUNDI 🇧🇮🇧🇮🔥🙌
Kama tumetoloka musaga 😂😂😂
Oya geng geng oya geng geng Kama Tumetoroka Mirembe...
Ulileta umbuzi Tukafanya mchuzi🔥🔥 IBRAH🙌🙌
Ibraah msanii pekee bongo ambaye amefanya kolabo nyingi huu mwaka❤
Nah anajua ibraah ❤❤❤❤❤
...na zote kaliiu
Collabo ipi na ipi???
chizi uyo
Kutoka Australia hapa ibraah unatisha sanaa🔥🔥🔥
Yan wasanii ambao nilikwa siwapend niiii ibraaa ilaa kwa xaxa namkubaligiii kinoma Yana dg anajua 😊😊
Mwendo wa kukudokoa doko
Oyaa gang gang
Tumewasha mwenge
King's music
mashabiiki
wanomukubali
ibrah kutoka kondeng
tujuan
jaman tuwe makini inawezekana katoloka milembe kweli tusichukulie pw maan uhuu moto sio pw🔥🔥🔥🔥 nipeni like Zang wanang wa GANG
Aludishweee au 😅
Maneno yaachie kitenge,,,,,wahuni tumeruka senyenge✌👏👏👏 #Mejapower💪
Oyaaaaa were ibraaaa weeeeeeee likeeeeeee kwa hkiii kichwaaa jamani duuu😅😅😅😅
Unyama
Sioo poww huyuu jamaaaa anajuaaa sanaa@@Musaemmanuel-ks5st
Ibraah unajua hadi unakera. Huu mwaka wako hii migoma noma🎉🎉
Waliokuja hapa kwa ajili ya chinga Ibra anavyokimbiza mwenge iendelee tujuane kwa like
Nimekuja kumchungulia huyuu aliyetorokaa milembee aisee watu wa kusini singelii wanajuaa nimeishii Lindi, mtwaraa kuanzia 2019, nikiwa kimasomoo nimewaonaa aisee nimerudi mwaka huu hao ni balaaa endelea kuwakomeshaa ibraaa❤❤❤
Tunaomshauri Ibra kuimba singeli tujuane hapa kwa like
Tunaondoka sanaa
Balaa zitoooo
Uhakik sanaa
Baalaa la mji
Hatari
Noma sana ibra oyaaaa kama tumetoloka mirembe
Ambao tumeelewa ni babalevo anaambiwa atuondolee ushuzi like hapa😂😂❤
I only understand Chinese but this guy with oya weeee! Nimetoroka mirembeeee anajua Sanaa dadekiiii😅
Mimi wa kwanza Léo kutoka Congo 🇨🇩 naomba liké zangu plz 🙏🏼
Uku uraiani hatufollow them
SI umelisikia hili goma
We ni mamba ama kenge
Tunazima sheli sigara
Unafosi kunijua alafu unazingua
Suala si swala suala/swala ni nyama 🔥
Ibra kaanza kujipata nani anaamini hivo kama mimi alike hapa.
This is first love from Mozambique ❤🇲🇿
Chinga kakata kamba aiseee❤
🎉🎉🎉🎉yani chinga nomaa🎉oyaa oyaaa oyaa kama nimetoroka milembeeee ibraaaaa katisha🎉🎉🎉❤❤❤kond ngang tujuwane kwa likes❤
Kama tumetorokaa milembee 💥
Oyaaaaaaaa weeeeeeeee
Tumewasha mwenge
Oyaaaa weeeee
A big tune and vibes nuff respect you Tanzania
bonge la ngoma nimerirudia mpaka🙌🙌🙌chinga mtam sana😂😂😂
Kwani wewe nani ???hatariii 😂😂😂🔥🔥🔥🔥🔥
Wanao.mkubar ibra.tujuane.kwa.like❤❤
Kama mungu kashafungua mirango unabana kwani we nani
Uyu ibraa ana nn mbn kama anahasira san anauwa an kmmk😂dah ❤
Ila ibrah unajua had unakera🥰🥰😴
Kama unamkubali Ibraah yooooh❤❤like twende nalo
Dadeki....wahuni nation tujuane🎉🎉🎉
Ibra on fireeee 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Ibraah Kawa mbadi saaanaaa Kwenye hizi ngoma anajua mno
Jay combat wakulipe vzr haoo 😂
🔥 ishakua balaa jiji limechafuka wananguu
Kwan ibraah na meja ni ndugu au mbona wanafanana😅
Niuzie hii account
@lubokatimotheo sh ngap?
Konde gang chama la Wana chiziiii Bado anawasha moto kama kawa
Kwani we Nani remix ni balaa tu mmetisha sana 😂😂😂🙌
Kweli maisha yangu yananisumbua ila sitaki unishauri wewe
Kweli maisha yangu yananisumbua ila sitaki unishauri wewe
Zile oya oya wauni hatuzimi Leo au kesho
Tumewasha mwenge
Ibrah naweye unaanza djiona stars kweli
Mziki ina ma Gorofa djitaidi udji ulize uko mu gorofa ya ngapi
Respect Simba 😾😾😾😾💥💪
Ibraah mwaka wako huu🔥🔥
Sanaaaa tuu
Mbona ibrah na meja wanafanana😢😢
kondegang chama moja kaka chinga saport konde boy
Chinga anaondoka
Chizi ametoroka milembe
Chizi ametoroka milembe
Acha usen😅
Yani dogo j combat unawauzia watu nyimbo kali daah noma kweli
Nilitamani kusikia combat kwenye bakora aiseeee duuu mmembania mwambaa
Aminiii
@@mandajamaly4843 Kombat mwenyewe kaua sana
Daaaah wamembania mshikaji angewafunika woteee 😂😂😂
Yup kafanya na meja ya 2 hiii ya 3
Kwel wamezingua San, combat mwamba San, ile original kaua san
Kuna mwana tozi humo ndani🔥🔥🔥
Meja kazingua ilitakiwa hii collabo j kombat awepo ndo ingekuwa unyama sana..tatizo meja ana roho ya mkunjo kajua kabisa j kombati atamfunika ndomana ajamuweka kwenye collabo..na tunajua goma la j kombati sio la meja..ila kaamua tu kumficha dogo..mnaokubaliana na mimi gonga like za kutosha..ila ibra kauwa ana baya..
Kweli kabisa hajafanya pw meja
Jay combat fundi san sikiliza original yake daaah kaua san
ibraaah siku hz amekuwa wa moto❤❤❤
Ibraah 🎉🎉🎉🎉🎉 daaaah anauw kinomaaaa
Weee ni mamba ama kenge
Tunavunja Nazi Kwa ugoko
Goma la meja apa
Oyaaa tuko gang gang kama nimetoroka milembe chinga for life 💯 dope 🔥
Umetisha sana
Chinga 🔥🔥🔥🔥nakubali sna 🎙️🎙️kama nimetoloka milembe
Ni hatariii meja vs chinga 😅💯💯💯
Umetisha broo ibra🔥🔥🔥🔥
Hstar xana chinga kauwa kichiziii💪💪💪💪💪
Iyo sahuti umehimba nayo siyo nzuri.ila wimbo mzuri 👍
Kama unaamini ibrah kavuta bange weka like hapa😂💥😂🔥 kauaaa
Konde gang bana tumeshinda tujipongeza tuzo ya gram niyetu kweli ibraah salut abobengine banyombo za comasava bataliya tuuuuu wasafi imeshi tuuuu ibraah washamoto konde gang like zenu Sasa tuuuu
Ibraah ni noma
Yea ibrah ana flavor anaeka kwenye singeli anafanya inapendwa na watu hi ya pili naipenda sijawaipenda singeli
Ibra na kunta ni ndugu
Tatizo unapendwa sana hivyo ndivyo wasivyopenda hao nduguzako wa ccm yani muda simrefu watakuficha tena
Team kondegang... lets support our boy ... likes kwa wingu humu 😊
Gang gang
Oyaaaa ganggang
Kama chizi limetoroka milembe
We kondegang lets gather to suport our own with likes @@Trendingsong-tk6jp
Umezingua kutomuweka mwenye idie ya hiyo ngoma ambae ni jay combat
Kwel ngoma imepoa kichizi, jay combat angeua San