Jinsi Gani Ya Kupata Wateja Wengi Katika Biashara Yako Kupitia Mtandao Bila Ya Kuweka Matangazo

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 вер 2024
  • http"//onlineprofits.co.tz
    Kuna makundi mawili ya wafanyabiashara wanaotafuta wateja kwenye mtandao.
    1. Kundi la kwanza: Wanapata wateja baada kutumia pesa nyingi kutangaza bidhaa zao. Wenye bidhaa zenye kuleta faida ndogo wanashindwa kuendelea kulipia matangazo yao.
    2. Wanapata wateja wanaonununua bidhaa wanazouza bila ya kufanya tangazo lolote.
    Video hii inakuonyesha jinsi gani ya kuwemo katika kundi la pili ya kuweza kupata wateja wengi bila ya kutangazia bidhaa zako.
    matangazo, bidhaa, kupata wateja, mauzo, masoko, tanzania, kenya, uganda, congo
    • Jinsi Gani Ya Kupata W...

КОМЕНТАРІ • 16

  • @bakariamoss823
    @bakariamoss823 6 років тому +6

    Mimi nafanya biashara za kawaida. Tena huwa katka hesabu huwa nauza kwa bei ya juu kabisa na kuona kuwa nimepata faida, lkn mwisho wa siku nikipiga hesabu najikuta hesabu hairidhishi! Jinq nifanye nini ilikuepokana na hayo?, ahsante.

  • @fahmimustapha6969
    @fahmimustapha6969 4 роки тому

    Hongra akhi

  • @malalezengo4405
    @malalezengo4405 6 років тому +1

    ok hongera

  • @jays3349
    @jays3349 4 роки тому

    Hongera kwa maelezo.

  • @brianlyimo3864
    @brianlyimo3864 6 років тому +2

    brother you are such an inspiration to me,

    • @leowapi1247
      @leowapi1247  6 років тому

      thank you Brian. I really appreciate.

  • @jacobmathias7945
    @jacobmathias7945 3 роки тому

    Thanks

  • @shakiraswedi7239
    @shakiraswedi7239 4 роки тому

    Mimi ni meneja wa kutafuta masoko kwenye kampuni ya ulizi je ni fanye nini hili kupata Wateja zaidi mahana kampuni zaulizi ni nyingi sana

  • @hasanimavula5570
    @hasanimavula5570 3 роки тому

    Ok....nakupgia mkuuu

  • @faridakapwani5382
    @faridakapwani5382 3 роки тому

    Je naulizia kuhusu anayeuza mapochi anapataje wateja kuna umuhimu wa hizo blogs

  • @Mushidebb
    @Mushidebb 4 роки тому

    Naomba namba yako tafadhali nikutafute whatsapp

  • @jesusnetworkministry
    @jesusnetworkministry 4 роки тому

    Habari yako kaka
    Tafadhali tuwasiliane kwa email elungwa96@gmail.com

    • @dr.saidsaid
      @dr.saidsaid 4 роки тому

      Emmanuel Julius tuma ujumbe kwenda said@onlineprofits.co.tz

    • @youngstrugglemudcare2946
      @youngstrugglemudcare2946 4 роки тому

      @@dr.saidsaid ni kweli kaka Ila Sasa nilipenda nikuulize ni kind gani naweza kuanza biashara kwa mtaji wa chini?