Njia Ya Bora Ya Kuuza Bidhaa Kwa Wingi - Joel Nanauka

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 вер 2024
  • 🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.se... 🔥🔥🔥

КОМЕНТАРІ • 56

  • @EmmanuelKinyaha
    @EmmanuelKinyaha 2 місяці тому +1

    My leader niko alliance in motion global,,,,, ulicho ongea exactly kipo perfect na nimeona matokeo,,,, naomba nipate mawasiliano yako piah my leader

  • @hellenmwangi5414
    @hellenmwangi5414 2 роки тому +2

    Barikiwa sana kaka Joel,Asantee sana Mungu akupe maisha marefu yenye furaha na ya kumpendeza yeye,video zako na vitabu baadhi vimenipa mwanga mkubwa,kwangu nauona ni mwanga kwa sababu nilikuwa kwenye madeni ambayo sikujua najitoa vipi kule,na nilikuwa sijui kujiwekea akiba,sikuwa na matumizi yaliyo rasmi yani nikikutana na kigauni kizuri mi twende,ila nilipo anza kufuatilia video zako na kuacha vile napaswa acha nimeondoka kwenye madeni na biashara yangu imeanza kukuwa,kaka SAIKOLOJIA YA MTEJA ni zawadi kubwa sana umetuzawadia,MUNGU AKUTUNZE KWA AJILI YA FAMILIA YAKO NA KWA AJILI YA TAIFA, WEWE NI TUNU YA TAIFA

  • @happynescostat7420
    @happynescostat7420 2 роки тому +1

    Nimefaidika na wewe Sana,biashara yangu imesonga mbele, hasa pale nilipojifunza kuwa kumuongelesha Sana mteja ni shida,unamkengeusha,barikiwa

  • @MaryNgokoko
    @MaryNgokoko 4 місяці тому

    All the best Joel! Me natumia packaging, muonekano ndio kila kitu kwangu. Mteja hujikuta anahitaji kulipa zaidi anapoona kitu kinamfurahisha kukiona na kukitumia, namaanisha na ubora pia.

  • @williamkiyumbi2800
    @williamkiyumbi2800 2 роки тому +2

    So resourceful

  • @sudimsokwa9269
    @sudimsokwa9269 Рік тому

    Hii ndio elimu iliyokua inatakiwa hata shuleni. Aisee asante sanaa mkuu

  • @Charx_G
    @Charx_G Рік тому

    Natamani sana kujua kuhusu jinsi ya kuanza kuuza bidhaa mtandaoni kama vitabu, sema sijui, naomba msaada

  • @matembegroup
    @matembegroup 2 роки тому +1

    Nimejifunza kitu bro, ahsante Sana 🙏,.
    🧏✍️

  • @abelntobi382
    @abelntobi382 2 роки тому +1

    Kiukweli UBORA NI nguzo MUHIMU Sana #ABELNTOBI

  • @SaidMachai
    @SaidMachai 6 місяців тому

    I appreciate you

  • @firdosoman3133
    @firdosoman3133 2 роки тому +1

    Ubarikiwe kaka somo zuri sana

    • @abelntobi382
      @abelntobi382 2 роки тому +1

      Sorry tembelea #ABELNTOBI channel hii pia kunalajifunza

  • @evaristmbunde7947
    @evaristmbunde7947 2 роки тому

    Umeniokoa Sana mzee baba kwa speech zako nimepiha hatua kiasi fulan

  • @ossmansanga9605
    @ossmansanga9605 2 роки тому

    mi ni chinga wa bizaa ndogondogo baazi ya mbinu nilizo jifunza kutoka kwako naiyapa ya punguzo la bei imeniletea speed ya mauzo kwenye biashala yangu yani kiufupi mungu akujarie ufunguo mkubwa wakufikili mbali zaid iri uweze kutufungua baadhi ya mambo na sisinazingatia asante sana

  • @kayombog1694
    @kayombog1694 2 роки тому +1

    #ahsanteJoel

  • @bestinakeyyah6532
    @bestinakeyyah6532 2 роки тому

    Dah,inanifungua sana lakn biashara ya vinywaj ina changamoto

    • @missdee9501
      @missdee9501 2 роки тому +1

      There is no easy business...but do what you love you will do it so well

  • @geofreymushabe6835
    @geofreymushabe6835 2 роки тому +1

    Asante sana kwa mafunzo na ushauri mzuri.
    Lakini je, vitabu vyako vinapatikana wapi mkoani Kagera?

  • @Truewarrior01
    @Truewarrior01 2 роки тому +1

    Shukran kwa ushauri

    • @abelntobi382
      @abelntobi382 2 роки тому +1

      Sorry tembelea channel hii pia kujifunza mambo mengine pia #ABELNTOBI

  • @fahminassor9109
    @fahminassor9109 2 роки тому +2

    fact

    • @denissylvester7709
      @denissylvester7709 2 роки тому +1

      Napenda Sana elimu unayo tupatia juu ya mambo mbalimbali nilitaka kupata elimu juu ya jinsi ya kuvutia wateja kwenye biashara yangu ya oili

    • @sanjerobnson861
      @sanjerobnson861 2 роки тому

      @@denissylvester7709 Hakika wewe mtu muhimu kwangu.

  • @minaaminaa1781
    @minaaminaa1781 2 роки тому +1

    Thanks

  • @user-to4zp6zf4j
    @user-to4zp6zf4j 8 місяців тому

    Asante sana

  • @jamesdeus8476
    @jamesdeus8476 2 роки тому

    Great..!

  • @YvonneKonzo
    @YvonneKonzo 6 місяців тому

    Me nafanya Biashara ya Sunflower oil so fresh naomba maelezo zaidi

  • @jumannelukuba934
    @jumannelukuba934 2 роки тому +1

    Pamoja

    • @saadarashidi2428
      @saadarashidi2428 2 роки тому

      Kwakweli katika miranda wanasumbuwa saaana hawajui hata wakaliii madirevad hawajui jinsigani wakutumia kauli ya.dilivad

    • @abelntobi382
      @abelntobi382 2 роки тому

      Sorry tembelea channel hii pia kujifunza masomo mengine pia BOFYA..#ABELNTOBI

  • @Ibrahim63
    @Ibrahim63 2 роки тому

    Very educative video

  • @gracemwanyika7429
    @gracemwanyika7429 Рік тому

    Una ushauri mzuri sana,Mimi Nina mtaji wa sh milioni mbili ,je nifungue biashara gani? Naomba ushauri

  • @stephenntinginya1062
    @stephenntinginya1062 10 місяців тому

    Elimu madhubuti

  • @NyundobinTwanga
    @NyundobinTwanga 2 роки тому

    I have learnt something important today! On my way, most intentionally, towards the Top!
    #NyundobinTwanga

  • @joramjaphet3060
    @joramjaphet3060 2 роки тому

    Bro same as saikolojia ya mteja, umeboresha point hyo Safi san

  • @user-sq6sk5lt2y
    @user-sq6sk5lt2y 6 місяців тому

    Hapo kwenye bei

  • @niclasstephano7644
    @niclasstephano7644 Рік тому

    Furniture

  • @bonifaceferdinand566
    @bonifaceferdinand566 2 роки тому

    Vigezo vyote ulivyovionge ni vyakweli100%

  • @vincentmichael8467
    @vincentmichael8467 2 роки тому

    Kaka Mimi ndo Kwanza naanza Sina mazingira mazuri ya kufanyia biashara nauza sabuni za kufulia na kuogea pamoja na vipodozi napanga nje mvua ikinyesha Sina kazi siku hiyo, hapa nitumie mbinu gani mkuu. Nisaidie tafadhali

    • @jaxmkada6797
      @jaxmkada6797 Рік тому

      Cheza na ile hatua ya package ambayo ndiyo suruhishoo yaani namna ya kuifanya biashara yako kuwa na muonekano mzuri kulingana na soko lako lilivyo

  • @elishaelia9669
    @elishaelia9669 Рік тому

    Kaka samahani nikweri kunadawa vinazotumika kuvuta wateja? Make hi sayansi inanichanganya

  • @josephjulius5699
    @josephjulius5699 2 роки тому +1

    Broo mpaka natamani kuonana naww ili unipe ujuzi zaidi maana nimeanzisha biashala ya mchele apa buza afu Bado hainipi kile nachoitaji na sielew nakosea wap mm

  • @ashaally5883
    @ashaally5883 2 роки тому +1

    Namba 4 imenibamba maana nataman sana nipate vitabu vyako lkn naona upatikanaji wake ni mgumu kutokana na sehem nilipo adi nakata tamaa

  • @barakaanarrybarakaanarrywi7101
    @barakaanarrybarakaanarrywi7101 2 роки тому

    M baraka nafanya biashala yanafaka naitaji kuaminika pia niongeze wateja zaidi nisaidie

  • @raisenpaul3228
    @raisenpaul3228 2 роки тому

    joel natk nijue location ya duka ilo la vitabu vyako nipo dar

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  2 роки тому

      MWENGE BAMAGA mawasiliano 0762 31 21 71

  • @ngelejacharles8037
    @ngelejacharles8037 2 роки тому

    Mimi Ni Fundi ac na fridge, nadhani Matangazo ndiyo yatafanya nitoe huduma kwa wingi.

    • @devothasimbi6495
      @devothasimbi6495 2 роки тому

      Tatizo sio kutoa huduma kwa wingi kwa KAZI Yako la hasha, ufanisi mzuri WA KAZI Yako ni matokeo ya kupata wateja wengi Kwani kuna kuambizana nenda pale huo ndio mpango mzima.kumbuka mafundi mna changamoto nyingi wengi sio waaminifu,

  • @hiland255fundi5
    @hiland255fundi5 2 роки тому

    Delivery ya vitabu vyako inashida kaka joel zungumza na mhusika wa hiyo dept wateja anatutesa

  • @geofreymushabe6835
    @geofreymushabe6835 2 роки тому

    Asante sana kwa mafunzo na ushauri mzuri.
    Lakini je, vitabu vyako vinapatikana wapi mkoani Kagera?

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  2 роки тому

      Tuwasiline 0745-252670 au 0762 31 21 71