Mm naitwa Said na mwanamke wangu anaitwa Neema ambaye natarajia kutoa mahal hiv punde ila nina maswali bila majibu hvyo kugombana kwetu kumekithiri n ananifanyia dharau na jeur sametime.. ushaur kutoka kwako allykk
Naomba namba yako nikupigie nikuambie huo mziki unapiga kelele hatusikii baadhi ya maneno sie wengine masikio madogo chonde acha hizo kelele mziki mbayaaa😅😅😅😅
Please baba naomba unisaidiye jinsi ya kupata mafanikio kwenye kovu ya nyota ya mapacha.
Asante baba
Asante baba kwa yote
Nasrah
😄😄😄😄😄😄, hayo maneno siyaamini kama mi naitwa neema ila hayo yote mi sijayapitia wala kuyapitia
Mm naitwa Said na mwanamke wangu anaitwa Neema ambaye natarajia kutoa mahal hiv punde ila nina maswali bila majibu hvyo kugombana kwetu kumekithiri n ananifanyia dharau na jeur sametime.. ushaur kutoka kwako allykk
S niupepo
N udongo hamuendani kinyota hivyo Kama unaoa kz kwako huko mbele ya safar
Ni kwel mi enyew kama wew
Yota zenu ni adui wewe ni upepo bayeye ni udongo
Eheeee😂
Mimi ninyota ya mapacha ...na kovu ninalo kwenye muguu wa kushoto
Uko sawa kabisa
Iyo miziki ya Nini bwana?
Nelly mie mweee
Mziki uko juu hatukuskii
Tatizo makelele kama upo kwenye Ngomaa
Kaka naomba kuuliza ulishawahi kuishi mabibo Mimi ni kama picha inakuja na kupotea najitahid kukumbuka lakn wapi
Sait ya background inakera sana
Naomba namba yako nikupigie nikuambie huo mziki unapiga kelele hatusikii baadhi ya maneno sie wengine masikio madogo chonde acha hizo kelele mziki mbayaaa😅😅😅😅
❤
Yaani umenichambua mimi mtupu❤
Umeonaee kipenzi nahisi kaniona mie ndio kuja hapa kusema maan yote alio ongea nikweli kabisa
Sasa iyo miez atutoboi kivip
Jina Njuma ni J au N?
Toa mziki
Mbona nikweli kilakitu
Uo mzik umeharibu
Upunguze iyo miziki dah
😂
Yani umenichambua haswaa
Umesahau moja, wanasiri kupitiliza hawa watu.
Ahahahaha APO nmecheka kiukwel
Kweli
Hahaha
Sijawai Kaa na mtoto
Sijawai Kaa na mtoto
Asante baba