Mm naitwa Mohamed natokea nchi Oman subhallah subhallah subhallah Allah anijalie afya njema inshllah kwa kila mambo yangu shukrani sana ndugu yangu allkk tv
Mohamed ni maji ya kunde mrefu wa kat alipata mwanamke jina sara wakaachana akapata mwanamke jina N akapata matatizo kazin wakahangaika sana lakin sasa wamesimama vizuri sana sana mpaka raha na MUNGU awazidishie
Kaka umenena kweli Mimi jina langu la utoton ni M, na mpemz Wang wa mwanzo jina O. Tulipendana Sana ikafika maali tukapishana japo huwa ananikumbuka bado. Na mpenz wangu wa pili jina C na T Nina mtoto nae huwa ananisumbua Sana malumbano baada ya mda flan mwisho was siku hatujafanikiwa kukaa pamoja. Hivyo bc kupitia hili somo lako nimeamin huwa nakosea choice. Mtoto wetu jina linaanza na herufi K, kiukweli ananipenda Sana mpaka Basi nimekubaliana naww kupitia hili:
Mm nilipewa Jina lenye heluf m ila nilipo ongezeka nikapewa Jina lenye heluf o nashangaa nikiskiliza naona o ndio Tabia ulizo zitaja ila m Simo kabisa wakat nimepewa o nikiwa ninamiaka mi nne
Bro nimekufuatilia naona majina yetu ya kimira ndio jina sahii kama mimi Mgaza.Nimeona mengi uliyo sema.Japo tuna majina ya kidini yaliyo letwa.Jina la kibantu ndio sahii.
Wewe ni mtu wa maana kabisa, iyo herufi m kweny kiganja ulonayo, Ina ashiria utajiri na pesa nying, mda mwingine chukukua chumv weka kweny kikombe tia maji weka lisaa Moja halaf unaweza kweny mikono Yako huku ukisema hivi, Anza Bismillah halaf sema chumv inalinda ee mwenyezmung nijaalie afya njema niweze kujimudu unipe utajiri pesa nying zeny kheir na mm, Amiin, halaf usifute mikono Yako acha tu Ivo Ivo yatakauka wenyew maji endelea na shuhuli zako, bdae unakuj kua tajiri kweli
Huja wah bahatisha ase
Mungu awe nawe kaka kwani huna ubinafisi mungu kakupa elimu na una tuelimisha nasi mungu awe nawe kwani nimejifunza mengi kutoka kwako ❤❤
Mm naitwa Mohamed natokea nchi Oman subhallah subhallah subhallah Allah anijalie afya njema inshllah kwa kila mambo yangu shukrani sana ndugu yangu allkk tv
Bass haya jina la mpenzi wangu hilo alhadulilah😅 nashukuru kwa mume wangu kupata mume wa jina hilo🙏🏽🤣😂🙏🏽🇦🇪
Ni yupi mwanamke SAHIHI kwa mtu mwenye jina la m
kwel aseeee 😂😂😂 🙌🙌🙌
Ahsante sana kwa kutujuza Allykk
Pole martha
🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
🙌🙌🙌🙌🙌😅😅😅😅😅 kaka wee noma umechambua kwa weledi
Namimi ni mahuridi numbi madeleine kutoka Congo Niko mwanamuke lakini iyi ni yangu na Mimi
Na tunapendana sana sasa tufanyaje
Kwel asee
Unasema kweli baba mamboyote hayo niliyapitiya mimi jina langue ni muhindo natokeya kongo mjin goma asanténi
Mimi ni m mkewangu f bwamaweee heee kimbembe aduwi umesema kweli
Kuna mwingiliano wa nyota kaka.
Mfano mwanamke anaitwa Maliam huyu ni moto lakini yupo tena kwenye upepo mapacha.
Hapo imekaaje.
Ujui chochote we jamaa😂😂
Kwel mzee
Hahaha kaka unanigusa Sana aisee ubarikiwe mwalimu
Moses anatakiwa awe na mwanamk wa jina gan❤
Nashukulu sana kaka leo nimejijua kitugani nifanye mimi. M
Unasema kweli kiongoz
Cjui
.miee R mume M tuko vzur...alijiingiza kati S...kaja kupungua kila kitu maisha magumu...Ana kisukumi
Ubarikiwe mno
Mimi Nina Nina m kwaniganja njangu rakini mbona sinaherraa 😂😂😂😂
Kaka uko sawa kabisa
Mashaka awe namwanamke gan😊
Dah sis kina b nampenda musa jamani nifanyeje
Mim nib na yey ni m ansema anipenda na tunataka kuoana itakuaje sasa broo na tunpendana sana
Nimekwelewa San san upo sahihi
Bro umenikuna sana M kwa misimamo uamuzi na kujiamini.
Asante
Mimi jina langu ni Michael je ninagitaji kuowa mwanamke wa aina gani
Mimi a natakiwa nice nature wanna gani
Mohamed ni maji ya kunde mrefu wa kat alipata mwanamke jina sara wakaachana akapata mwanamke jina N akapata matatizo kazin wakahangaika sana lakin sasa wamesimama vizuri sana sana mpaka raha na MUNGU awazidishie
Kaka umenena kweli Mimi jina langu la utoton ni M, na mpemz Wang wa mwanzo jina O. Tulipendana Sana ikafika maali tukapishana japo huwa ananikumbuka bado. Na mpenz wangu wa pili jina C na T Nina mtoto nae huwa ananisumbua Sana malumbano baada ya mda flan mwisho was siku hatujafanikiwa kukaa pamoja. Hivyo bc kupitia hili somo lako nimeamin huwa nakosea choice. Mtoto wetu jina linaanza na herufi K, kiukweli ananipenda Sana mpaka Basi nimekubaliana naww kupitia hili:
Mimi ni M na Kwa mkono Niko na haerufi ya M pia
Mlamy
Mungu akubari jazaka allah heri
Mimi ni majaliwa nampata mpenzi mwenye herufi gani Alie Bora zaid
C,o,G,S,K,W
Nimekufatilia sana kaka...mim ni m na mwenza wangu ni L Yani ni ugomvi Kila dakika maendeleo hamna....😓😓😓nataman ata nitoke 😭
Kabla kufikiria kuachana nenda kwa dr akusaidie
Mimi m nimeoa ade (h)hilda lakini udogo wake aliitwa e napitia shida hasa uchum nifanyaje hapo
Naomba kuuliza Muhidini (M)anatakiwa aoe mwanamke yupi
Ni kwel kabisa kiongoz unachokisema hizo hali kwa upande wang ninazo kabisa
Safi Ila wapi unapatikana
Unasema kweli.mimi Methodi
Nikweli kabisa
Ni kweli kabisa
Je Mwita
Mm na mpenz wang sote wawil tumenzia na heruf ..m.. hapo unakuwaj kiongozi
Umetisha Sana
Mimi Z lkn nina misimamo sana na nikikataa nimekataa
Kweli kin musa weupe
Nimekuelewa allykk
mm z na mume wangu ni mohamed naomba unishauri kwenye hili
Kichwaaa kinanisumbuaaa sana
Shukran
Kweli
Mm nilipewa Jina lenye heluf m ila nilipo ongezeka nikapewa Jina lenye heluf o nashangaa nikiskiliza naona o ndio Tabia ulizo zitaja ila m Simo kabisa wakat nimepewa o nikiwa ninamiaka mi nne
Mm na mchumba ungi anaitwa othumani mm mulfaty je kunatiba ya kuwekasaw upepo wake sawa,
Sawa kama mambo Yutaka magnums kiuchumi mtu mwenye elufi M afanya je ilimambo ya wesawa
Mimi nna M mikono yote miwili lakini sifanikiwi nna miaka 24
Hajamaanisha herufi katika mikono kaongelea herufi ya jina lako sijui umeelewa
Je nyota hii kwenye biashara ni kutembea au kukaa
Hehehehehe zidi kupoteza watu hiyo ni Siri yake Allah peke yake hiyo elmu ghaib ni Siri yake mola hakuna ajuwao elmu hiyo only Allah
Kaka apo kwenye kupendwa na wake za watu walahujakosea ni kweri tupu na ndio maisha yanayo nikuta mimi
Daaah unaongea ukweri saan kaka
Nikwel sema umejuaje kak
Eebwana naishicongo shekh ukomukweli naitwa.monon amasulemani.
Mm naitwa msai je nipe mwanamke mwenye jina linalo Anza na jina gan et kaka
Je M na F wanaona
Namba Yako ya Simu naiomba brother, pls
MWANAMKE BORA WA A,M,NA Y NI G,S
Jina langu la kwanza mimi ni k
Nimeelewa mkubwa
Mie ni m na mke alikuwa e vulugu zilikuwa nyingi sana uko sahihi
kaka umesema kweri mm napitia magumu sana kwenye ndoa yangu mume R nifanyeje kaka
Unapatikana wap
Na kama mke wangu ana herufii m nayee jee hatuendani
Amesema mara Mia ukawa na mtu unaeendana nae sayar
Asnte kwa ushaur wako Mimi n f na mwanaume niliyezaa nae n A nikweli hatuko saw ila hakuna uwezekano maana sitaki kuchangany watt
Tuchambulie na heruf ya mw
Mimi mwanahawa mchumba Allly na mubarak ni yupi nitaedumu nae hapo maalim
M&A❤❤PIGA KELELEEE
Mm naitwa milongo jumanne nimezaliwa mwaka 1983 mwezi 9 ,hapo utofauti ni Nini
Nyota yangu ni ipi
Ally kk mm n M na yote hayo uliyosema nmeshayashuhudia kabisa..wwe kw kwli n zaidi ya nabii..
Acha ujinga wew
Bro nimekufuatilia naona majina yetu ya kimira ndio jina sahii kama mimi Mgaza.Nimeona mengi uliyo sema.Japo tuna majina ya kidini yaliyo letwa.Jina la kibantu ndio sahii.
Eh kumbe
M na R imekaaje
Sasa kama mtoto Ana herufi M na mamayke jina Lake linaanza na V nayo imekaaje
Hivi nyota nitarehe za kuzaliwa au Herufi??
Vp m kwa m wakiwa kweny mahusiano?
Je ukiwana elufi m kiganjani mkonono
Wewe ni mtu wa maana kabisa, iyo herufi m kweny kiganja ulonayo, Ina ashiria utajiri na pesa nying, mda mwingine chukukua chumv weka kweny kikombe tia maji weka lisaa Moja halaf unaweza kweny mikono Yako huku ukisema hivi, Anza Bismillah halaf sema chumv inalinda ee mwenyezmung nijaalie afya njema niweze kujimudu unipe utajiri pesa nying zeny kheir na mm, Amiin, halaf usifute mikono Yako acha tu Ivo Ivo yatakauka wenyew maji endelea na shuhuli zako, bdae unakuj kua tajiri kweli
Muriuki +254
Je kama wote ni m.m mwanamke na mwanaume
Je kama wte ni m.m
Ukiwa na mke wa nyota nyingine ambao ni Adui mtu atapona aje hayo matatizo
Kuvaa mavazi mekundu wanaumepeke yao??
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kweli ulichosemaa Mimi ni Mohamed ,ila tatizooo langu kubwaaa nasumbuliwaaa naa kichaaa sanaaa
Yani mtihani mm ni mwanamke lakini hizo sifa zote nnazo na jina langu limeanza na heruf M nifanyaje kuondokana na wasiwas
Kaka nikama umenirenga mm swala la wasiwasi na mashakaa daaah ivo vitu vimenijaa
Ndio nyota ya punda sayar ya moto nashukuru siku hizi naelewa vizur asili za nyota na kuendana kwao
Sasa unamanisha mwawiya sio inayoanzia elufi m
Sielewi nyota ndiyo nini
Mambo ya walimwengu😅